LUSINDE AWA MBOGO, ATAKA MAGUFULI AHESHIMIWE - "MNAMSIFU SAMIA KINAFKI, ZITTO AOMBE RADHI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 157

  • @deograciakashaigili5973
    @deograciakashaigili5973 2 ปีที่แล้ว +18

    Wewe Baba Mungu akupe maisha marefu sana. Sio Zito tu na wengine wapo wengi wanamsema vibaya. Wanafiki Wamekaa sijui wanajisikiaje!

  • @winifridakasibu2900
    @winifridakasibu2900 2 ปีที่แล้ว +1

    Lusinde mungu akupe maisha marefu umewaeleza ukweri ,watu niwanaiki sana ata mama Samia akitoka na yy watamnanga watanzania tumezidi naunafiki mungu anawaona

  • @AthumanAthumanTz
    @AthumanAthumanTz 2 ปีที่แล้ว +16

    Mungu Mpumzishe JPM kwa Amani Watanzania Tutaendelea kumkumbuka Daima

  • @stephentossi2626
    @stephentossi2626 2 ปีที่แล้ว +11

    Bravo Lusinde you are really patriotic of Our beloved Tanzania

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 2 ปีที่แล้ว +10

    Lusinde Mungu akulinde sana simama na msimamo wako acha wenye tamaa wa vyeo wamsifie huy mama msalindi yy ana nyamasia ujinga kama hii iliweje

  • @godfreybikukana2079
    @godfreybikukana2079 2 ปีที่แล้ว +22

    Lusinde ndie mbunge pekee mkweli na Mzarendo mungu atakusimamia zito kapewa posho na Samia kumchafua Magufuri Ila watambue kua Magufuri alikua nawatu Wote wanaomchukia Jpm ni wale mafisadi

    • @maulidmango1087
      @maulidmango1087 2 ปีที่แล้ว

      Hivi unajua mana ya uzalendo, ana uzalendo gani kibajaji

    • @fauzimohamed5757
      @fauzimohamed5757 2 ปีที่แล้ว

      We kweli punguwani mama hana mda mchafu wa kumtumia zitto kenge wewe

    • @godfreybikukana2079
      @godfreybikukana2079 2 ปีที่แล้ว

      @@fauzimohamed5757 Mm sijatukana nakushukru kwakuniona punguani namini wewe umekamilika

    • @lucycharles7057
      @lucycharles7057 2 ปีที่แล้ว

      Wao waendelee kumchafua JPM lakini tutakutana 2025 wasijiamini kihivyo

  • @emmanuelkaale471
    @emmanuelkaale471 2 ปีที่แล้ว +23

    Lusinde una moyo uliojaa haki, wabunge wenye moyo uliojaa tamaa wanadhan kukaa kimya ktk hili watatunukiwa aidha uaziri au wanavyotamani wao. Sisi tulimpenda JPM na tumebaki kuipenda familia yake, Lusinde wewe ni mbunge tu umekuwa jasiri kugemea jambo hilo. Wapo wenye nafasi kubwa zaidi ktkt serikali hii wameshindwa kufanya ivo, hakika haya yanapoendelea bila kugemewa tunapata shida ata kuelewa au ni kweli jambo hilo lilipangwa.

    • @amenmushi4240
      @amenmushi4240 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu wetu ni mume wa Wajane na Yatima,hivyo atajibu zitto,na wengine wote wanaomsemaJPM vibaya,Mungu wa mbinguni simama mwenyewe

    • @robosia2915
      @robosia2915 2 ปีที่แล้ว

      Hili linaloitwa Zito ni mpumbavu halina dini yoyote.limekaa na roho ya kiibilisi tu. Linategemea kupata cheo Serikali kwa kujipendekeza kwa Rais kumtukana Magufuli . Usimwache mpe maneno yake akome kumtukana marehemu. Apumzike kwa amani baba yetu . Wengi tulimprnda saana.

    • @maryomiro5701
      @maryomiro5701 2 ปีที่แล้ว

      WOOOOTE WANAOMTUKANA MAGUFULI WAJIPIME NA WAJIULIZE JE ?NI WEMA SANA KWA WATANZANIA? JE WANA ALAMA GANI KWA WATANZANIA?HATA WAMTUKANE VIPI, WAMSEME VIPI KILA ZURI NA BAYA WATANZANIA WANAONA, NA WANATAMBUA, WATANZANIA WA JANA SIO WA LEO WA UHURU MIAKA 60,MUNGU WA HAKI TASIMAMA NA TAIFA LETU KILA WAKATI,

    • @aishahamadi5391
      @aishahamadi5391 2 ปีที่แล้ว

      Tena ashindwe na pepo lake magufuli mtetezi wetu wanyonge mungu ampumzishe kwa amani

  • @georgeamry7545
    @georgeamry7545 2 ปีที่แล้ว +7

    Eee mwenyez mungu mpe raha ya milele Kamanda wetu JPM

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 ปีที่แล้ว +5

    Zito Mungu anamuona asijizanie hapa duniani amefika

    • @dicksontimoth4297
      @dicksontimoth4297 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa Yani naye atakufa tu Tena kifo kibaya Sana

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 2 ปีที่แล้ว +6

    ZITO NI LINAFKI SANA PIA LINA LAANA

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 2 ปีที่แล้ว +10

    Lusinde wewe ni mtumishi wa MUNGU

  • @georgeamry7545
    @georgeamry7545 2 ปีที่แล้ว +6

    Dkt. Magufuli hakika nafisi yake itawasumbua saan

  • @gervaiskinyamusitu163
    @gervaiskinyamusitu163 2 ปีที่แล้ว +6

    Polesana watanzania,Mungu ailinde injienu ibaki kama zamani,isije ikawa kama Congo drc.

  • @geraldeliah7287
    @geraldeliah7287 2 ปีที่แล้ว +4

    Me nakukubali sana mbunge wangu 💓

  • @jogamujoseph640
    @jogamujoseph640 2 ปีที่แล้ว

    Hata mimi nipo na Magufuli. Mnayemsema Magufuli hajajielewa

  • @judihmnyawami5284
    @judihmnyawami5284 2 ปีที่แล้ว +6

    Wamuache marehemu apumzike kwa amani. Kuna mengi sana mazuri tunayakumbuka aloyafanya Magufuli. Si vyema watu kumsema kwa mabaya. Hakuna binadamu aliye kamili. Tuyaenzi mazuri aloyatenda na Mungu aendelee kumlaza mahala pema peponi

  • @thomaspallangyo6620
    @thomaspallangyo6620 2 ปีที่แล้ว +3

    Lusinde mungu akubariki Kwa kusema ukweli, zito hatufahi na siasa zake chafu.

  • @ezelinadavidmwampaja1804
    @ezelinadavidmwampaja1804 2 ปีที่แล้ว

    Asante Kaka inauma Sana sio hiyo tu lakini mungu Atajibu

  • @lameckstanslaus7624
    @lameckstanslaus7624 2 ปีที่แล้ว

    You're 100% right.... Mungu akubariki sana kiongozi...

  • @jescamuijsers4206
    @jescamuijsers4206 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana mbunge Lusinde

  • @emilykassiano6173
    @emilykassiano6173 2 ปีที่แล้ว +5

    Niko kigoma zitto ni mpuuzi sanaaaaa Lusinde hongera nitakuombea Daima

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 2 ปีที่แล้ว +2

    Bwana hao wanatiwa nguvu na huyo mama

  • @emilykassiano6173
    @emilykassiano6173 2 ปีที่แล้ว +1

    Lusinde Mungu akulinde

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 2 ปีที่แล้ว

    BARIKIWA NA MUNGU.INAUMA SANAbora umesema kweli

  • @devidluhaga5514
    @devidluhaga5514 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi mwenyewe naudhika sana

  • @mcbabaparokowa2518
    @mcbabaparokowa2518 2 ปีที่แล้ว

    Hapo nakukubali sana mh. Rusinde upo sawa mtetee Uncle magu

  • @silvananjunwa7905
    @silvananjunwa7905 2 ปีที่แล้ว

    Amina ubarikiwe sana mheshimiwe,ulale pema peponi.

  • @thomaspallangyo6620
    @thomaspallangyo6620 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Kaka

  • @theresiachigali9482
    @theresiachigali9482 2 ปีที่แล้ว +1

    Lusinde uwanakusifu sana unakuaga wazi siyo hayo manafiki ambayo saizi yanajipendekeza kwa huyo zito Hana akili mjinga anamsema mtu ambae hawezi kujitetea anapigana na maiti ambayo hauwez hata kunyanyua kucha yeye mama yake alipo kufa alizikwa nae au alikua hampendi zitto amekera sana magufuli atabak daima hongera sana lusinde mungu akusimamie

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 2 ปีที่แล้ว +4

    Zitto akili ana kachanganyikiwa ubunge hana na apati teeeeena asahau ubunge chizi huyoo ela.hanaaa anabk kuropoka km kanywa maji ya choo

  • @lwidikombembati4010
    @lwidikombembati4010 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana lusinde upon vizuri.

  • @florameza1028
    @florameza1028 2 ปีที่แล้ว +1

    Sema kaka nimekupenda eti kafunga

  • @mariethapaswelo3584
    @mariethapaswelo3584 2 ปีที่แล้ว

    Lusinde ongea bb kiukweli tunaumia sana watu kumsema Magufuli alie kua rais wa wanyonge tulimpenda sana zito ana jipya

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 2 ปีที่แล้ว

    So sad ni kweli kabisaa

  • @josiahsimon5333
    @josiahsimon5333 2 ปีที่แล้ว +1

    Lusinde uko poa sana weldone

  • @mussakayenze3235
    @mussakayenze3235 2 ปีที่แล้ว

    uko sawa

  • @feristamichael5247
    @feristamichael5247 2 ปีที่แล้ว

    Zitto marehemu mtarajiwa atakufa si mda mrefuu yeye si mungu...

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว +8

    Mungu atamlipa zito kenge yule yeye agezikwa na baba yake

    • @onesmomlinga2739
      @onesmomlinga2739 2 ปีที่แล้ว

      Zto c anakula mke wa marehem filokojombe hafai

  • @radhiaissa71
    @radhiaissa71 2 ปีที่แล้ว +2

    Zito kalipwa pesa ,co asituchanganye, asidhani hatujui .ananunuliwa kwa kumchafua mtu , ipo ck itamgeukia .

  • @J4UPro
    @J4UPro 2 ปีที่แล้ว

    Upo sawa

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 2 ปีที่แล้ว

    Umesema ukweli

  • @saidali8338
    @saidali8338 2 ปีที่แล้ว +3

    Wengi ni wanafiki wakati wa magufuli baadhi yao walikua hawavai barakoa baadae magufuli ameshaondoka tunawaona wakihangaika na mabarakoa, nchi hii bwana inahitaji maombi,

    • @mastermwakyembe1093
      @mastermwakyembe1093 2 ปีที่แล้ว

      BUNGE LA CHAMA KIMOJA NDIYO MADHARA YAKE WANAACHA MADA ZA MSINGI WANAONGEA PUMBA HALAFU MWISHO WA MWEZI MSHAHARA MILIONI 12,DAAHKWELI HAKUNA HAKI WALA USAWA KABISA

    • @francisowiti816
      @francisowiti816 2 ปีที่แล้ว

      Very giant politician nimekupenda sana mbunge Lusindo 🙏🙏🙏 zito kaishiwa point ndo maana anaongea pumba.

  • @ezelinadavidmwampaja1804
    @ezelinadavidmwampaja1804 2 ปีที่แล้ว

    Tumuombe Lusinde maana Amejitoa muhanga

  • @ezekielmugeta2427
    @ezekielmugeta2427 2 ปีที่แล้ว

    Dah an sio uungwana kbsa cjapenda ila jpm watz tunakumic sana😢😢😢😢 mackn wanavyokusema sasa dah see u dady

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 ปีที่แล้ว

    Zito ni pumbavu huyo"mwislam gani huyo"magufuli amejenga mpaka misikiti'

  • @sadakhamis9851
    @sadakhamis9851 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubar sana mbunge

  • @nyamogaStudio
    @nyamogaStudio 2 ปีที่แล้ว

    Rais wa Tanzania ni Jpm mpaka sasa

  • @hasheemmalulu7719
    @hasheemmalulu7719 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Lusinde

  • @lizybethclaudio7444
    @lizybethclaudio7444 2 ปีที่แล้ว

    Kabisa fact

  • @lydiamsheri4095
    @lydiamsheri4095 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabsaaaa waambie hao

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +1

    Sema usiogope sema lusinde mungu amlaani sana na yeye yuko njiani wanzanzibar hawamtaki wanasema zito ni mtoto wa nani huko laana inamuingia taratibu mmoja baada ya mwingine mshenzi mkubwa unamtukana mwendazake magufuli alikuwa mtu wa watu

  • @zabroninyamba7235
    @zabroninyamba7235 2 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @peaceappolinarygahene9646
    @peaceappolinarygahene9646 2 ปีที่แล้ว +2

    Usimdharirishe marehemu,ila mwombee kwa mungu amrehemu.

  • @pascmedia1713
    @pascmedia1713 2 ปีที่แล้ว

    Kina roho mbaya kama sura yake ilivyo mbaya

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 2 ปีที่แล้ว

    KWELIIII. JPM AHESHIMIWE.KABISA.

  • @raykas9976
    @raykas9976 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana Mh. Lusinde.

  • @sammuelmkuli3789
    @sammuelmkuli3789 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa mheshimiwa lusinde

  • @atrick.
    @atrick. 2 ปีที่แล้ว

    kwel Zito ni mjinga wa uelewa hata ukiwa na elimu unaweza ukawa na elimu ya kuendeleza ujinga wako

  • @soudbako5925
    @soudbako5925 2 ปีที่แล้ว

    Nondo za maana

  • @papaamashana3962
    @papaamashana3962 2 ปีที่แล้ว +1

    Zito alishafeli tanguatokechadema

  • @raymuhmu3506
    @raymuhmu3506 2 ปีที่แล้ว

    Ipo siku tutaingia mtaan sababu ya kumzalilisha jpm

  • @azikamujulius3530
    @azikamujulius3530 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @merrymalala3548
    @merrymalala3548 2 ปีที่แล้ว

    Na mimi nakupongeza unayoyasema ya kweli mtupu.

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 2 ปีที่แล้ว

    Acha uchochezi mfwate zito unaongea hadharani mnafiki mkuwa unamuumiza janet

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 ปีที่แล้ว +2

    Umesema ukweli mtupu, tunampenda magufuli na bado anaishi mioyoni mwetu. Huyo zito afe akazikwe pembeni ya kaburi la mama yake.

  • @kyzabrown1627
    @kyzabrown1627 2 ปีที่แล้ว

    I say brother umeongea point saana kweli wewe unafaa kwenye jamii

  • @Msonjo
    @Msonjo 2 ปีที่แล้ว +1

    Perfect

  • @chumawambula954
    @chumawambula954 2 ปีที่แล้ว

    tanzania serrkari aiyoni juu ya kashifa za hayati joni pombe magufuli kama hamuoni ipo siku 1 tu hayo mnayo yatenda
    mtayachukia miyoni mwenu wenyewe

  • @samsonmaduka2820
    @samsonmaduka2820 2 ปีที่แล้ว +1

    Kabisa huyu ni mjinga sana sijui kalewa na nn Zitto nilikuwa namheshim sana amekuwa mpuuz...wana kakundi flan kwa ajili ya kufuta legacy ya Jpm hawataweza uzuri mzee alisema wazi alitenda wazi ...kazi ni kwao wapuuzi sana ..

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 2 ปีที่แล้ว

    Lizito lenyewe silpendi Hadi siyo vzr lkafiie mbele, mwachen baba wawatu apumzke salama😭😭

  • @muddytzmk3339
    @muddytzmk3339 2 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P magu

  • @msalabanireko1518
    @msalabanireko1518 2 ปีที่แล้ว +2

    Awa viongozi wengine kama akina zito ni wasenge tu

  • @azizakiswili9063
    @azizakiswili9063 2 ปีที่แล้ว

    kuna mijitu ina nongwa lama watu wa Kigoma yaani achana nao Bora Mwl,angeliacha ikawa ya huko Burundi nilizaa huko lakini hapana wanafik walinitesa sana.

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 2 ปีที่แล้ว

    Mhe.Lusinde 2025 uje ugombee Iringa

  • @johanesbina1302
    @johanesbina1302 2 ปีที่แล้ว

    Huyuuu mmbunge duuuh hatarii sana namkubalii

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 2 ปีที่แล้ว

    Umeniliza tena mnooooo msg send wanafiki mno

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 ปีที่แล้ว

    Mshenzi zito wanataka kupewa kazi NA samia

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 2 ปีที่แล้ว

    Inatuumiza sana..

  • @blessbaysa5561
    @blessbaysa5561 2 ปีที่แล้ว

    Zitto mshenz amepewa milioni mia ili kumchafua magufuli

  • @Wi.Music24
    @Wi.Music24 2 ปีที่แล้ว +1

    Zito ametukosea Sana..

  • @chumawambula954
    @chumawambula954 2 ปีที่แล้ว

    ndio mweshimiwa rusinde mbona yeye akuzikwa na mama yake ivo hakua anampenda zito hana jipya kwani alisha poteza sifa za uongozi

  • @wilsondankson1241
    @wilsondankson1241 2 ปีที่แล้ว

    Na mwengne alikuwa marekani akaanza kusema "nlipokuwa chini ya magufuli skuwa na amani mbn hajaambiwa chochote au ndo uoga ulioptiliza?

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 ปีที่แล้ว

    Zitto ni mwehuuuu

  • @elishamwakipiti1044
    @elishamwakipiti1044 2 ปีที่แล้ว

    JPM wetu bado mema zake zinaishi miyon mwetu

  • @nicksonkavishe7076
    @nicksonkavishe7076 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni popo t uyo zito

  • @stellaowden9069
    @stellaowden9069 2 ปีที่แล้ว

    Magufuli Tunamkukumbuka Baba yetuu, alikuwa mtetezi wa wanyonge

  • @ednahamisi7288
    @ednahamisi7288 2 ปีที่แล้ว

    hakika mtoa hukumu ni mmoja tu, yawezekana mzee magu yuko peponi wao wanahangaika kumsema vibaya.

  • @nicholausmngapi4708
    @nicholausmngapi4708 2 ปีที่แล้ว

    Zito akilizake hazimtoshi

  • @yudaaraphati9673
    @yudaaraphati9673 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿💚

    • @mwanaidiismaili2127
      @mwanaidiismaili2127 2 ปีที่แล้ว

      Sema baba zito hajuwi anarorisema is ten kashifa kumbwa san ndomana hatuwataki wanamaneno ya kejeri

  • @jacklinehermani1491
    @jacklinehermani1491 2 ปีที่แล้ว

    yani natamani nilie kwa uchungu kumsema vibaya marehem jaman

  • @bern1229
    @bern1229 2 ปีที่แล้ว +1

    Hivi huyu mtaalam ni mbunge wa wapi? Mana hawa ndo wanahitajika wasema kweli

    • @abdallahmuttaq7306
      @abdallahmuttaq7306 2 ปีที่แล้ว +1

      Mbunge wa mtera

    • @bern1229
      @bern1229 2 ปีที่แล้ว

      @@abdallahmuttaq7306 n mashine ya kazi hiyo.

  • @emilykassiano6173
    @emilykassiano6173 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe Naibu sipika unamkatikiza mtu anaye wasilisha mawazo ya watanzania CCM mjue kua kitendo cha kumzalilisha magufuli mnaua chama fanyeni utafiti

  • @ngulirashid6740
    @ngulirashid6740 2 ปีที่แล้ว

    Mwambieni,aenderee,ipo,siko,atanyamaza,mungu,anamuona,maraya,huyo

  • @michaelmotika4477
    @michaelmotika4477 2 ปีที่แล้ว

    Huna lolote wewe wale watu wLioumizwa na magufuli je hakuna lolote umetumia mwenyewe

    • @mosesmaiga7408
      @mosesmaiga7408 2 ปีที่แล้ว

      Motika ww inabidi ukapimwe ww uliumizwa nini

    • @michaelmotika4477
      @michaelmotika4477 2 ปีที่แล้ว

      @@mosesmaiga7408 Idont know you knowledge capacity good bye

    • @mosesmaiga7408
      @mosesmaiga7408 2 ปีที่แล้ว

      @@michaelmotika4477 Kwanza uandishi wako tu ushanipa wewe ni mtu wa namna gani

    • @michaelmotika4477
      @michaelmotika4477 2 ปีที่แล้ว

      @@mosesmaiga7408 you can write also if you know if you don't keep quiet kwaheri endelea kuchangia hoja achana na Mimi!!

  • @stellaowden9069
    @stellaowden9069 2 ปีที่แล้ว

    TUMECHOKA UONGOZI WA SASA

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 ปีที่แล้ว

    Lusinde ww ni mwambaaaa shikamooo

  • @ngulirashid6740
    @ngulirashid6740 2 ปีที่แล้ว

    Nakama,arishiki,kumuua,atapata,tabu,sana

  • @respisiusrevocatus5024
    @respisiusrevocatus5024 2 ปีที่แล้ว

    Semeni ukwel nas tutawaunga mkono

  • @jeffreysasala4347
    @jeffreysasala4347 2 ปีที่แล้ว

    mtanzania mjinga hata kama ukimfanyia mazuri gani na wkt mwingine akawa anapita kwenye hivyo vitu alivyovitengeneza mfano ndenge, barabara, meli, magari, treni na vingine bado watakusema tu mabaya na wakiwa humo humo kwenye vitu ulivyovitengeneza ww

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 ปีที่แล้ว

    RIP MAGUFULI