LUSINDE ASIMAMA BUNGENI NA KUHOJI "HATUMUONI WAZIRI WA FEDHA BUNGENI, JE NI SAWA?"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- LUSINDE ASIMAMA BUNGENI NA KUHOJI "HATUMUONI WAZIRI WA FEDHA BUNGENI, JE NI SAWA?"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Vijana wa sasa wenye umri kuanzia miaka 19-30 kwa msoto wanaokula mtaani basi watakuja kuwa serious na nchi yao huko mbeleni,lakini kwa hawa wazazi wetu walioko kwenye nafasi daah Malizeni tu muda wenu mpumzike
Yaani mungu tusaidie pesa ya masikini anaekula mlo mmoja au asile kabisa Leo hii tatu wanakaa Marekani zaidi ya week mbili wanakula bata kwa pesa ya masikini! Ewe mwenyenzi mungu hebu yaone haya!
insha allah 🙏
Kama mbunge lusinde sijui lakini kama anasoma comments au mtu wake wa karibu, Naomba mumshauri afungue TH-cam channel awe anaposti kila kitu kuhusu yeye, kuanzia bungeni na popote pale, Huyu mtu tumtazame kwa jicho la pili, Madini anayotema yana mvuto kwa wananchi wengi sana, Sidhani kama hakuna mwananchi hapendi kusikiliza anapochangia au chochote anazungumza, Mwingine ni Waziri Bashe, Hawa wawili mtakuja ni watu wa kuwaangalia wenye nia na mdhumuni mazuri na taifa lao.
Hakika
Mwigulu Nchemba yuko zake na mama huku Majuu wanakula maisha; hana hbr na hata hilo bunge lenu kama mmekaa leo au la, na huyo spika wenu wa mchongo anavojua kutetea kibarua chake mpaka raha...yaani nchi hii raha sana!!
Chama kipo mikononi mwa majizi tupu. Ma Vasco dagama full, mungu anawaona wachumia tumbo.
Mungu/MUNGU sio mungu
Sioni mantiki ya anachokitetea spika coz kuna siku waziri wa nishati hakuepo ukainuka kulalama na kusema unashangaa kua yupo dodoma ila bungeni hayupo wakati huohuo waziri mkuu yupo muda wote..
Sasa mnapiga makofi wakati raìs mwenyewe anazurula kila siku,mie ninasema bunge la Tanzania ni hovyo
Waziri wa fedha Ana hesabu fedha marekani na Raisi wake kazi iendelee
Waziri wa fedha ni fisadi mwizi na tapeli hawezi kuja bungeni maana anadharau mamlaka ya bunge na kujiona yeye ndio basi hana haja ya kuwatumikia watanzania anaowaibia mali zao. Huyo waziri wa pesa anajiona bora sana hata mkundu wake hauruhusu maji yake kupita. Shame!!!!
Nchi ngumu sanaa hii
SWALI LA MSINGI LINAJIBIWA KISIASA
Li nchi la viongozi wazururaji tu hakuna kitu!
Kazi kukaa na kupanga tozo za kutembelea nchi zingine!!!
na madini yanaibiiwa wao wamelala tuu
Tuchangue viongozi wazuri wakati wa kuchangua kama mulichangua hewa mvumilie tu
huyo mwigulu huwaga ana kiburi na alishashiba hela huyo na Ana dharau. niwakutumbua tu.
Kaya isiyo na baba ndo ilivyo!
Ni fedheha kubwa kuongozwa na huyu mtu.
Yaan sjui Mama alikwama wap
Yupo Marekani
Royal Tour. Ya Rwanda ilifunguliwa Rwanda, Kagame alibaki Rwanda. Ya Tanzania imefunguliwa Marekani. Rais mzima kawa musanii. Tuna vijana wengi wengeweza kuifanya hiyo kazi vizuri sana, na Rais angebakia nchini na kupigana na wezi aliyowateuwa.
Tena kuna waziri wa utalii angeweza kwenda yeye
kalenda marekani wanakula bata
Hii nchi alisema ndugai karibu inapigwa mnada mmi naamin aisee. Yaan Sasa hivi huwezi kujua mama ni yupi na Baba Ni yupi wote wanafanana.yanafanyika Mambo ya hovyo sinajahi kuona. Watu wanahangaika huko mitaan maisha magum lakin wezetu huko juu wanakula Bata tu. Tuonane 2025 tutajuaga hapo hapo mbona Ndugai Alisha Seema tutachagua Kama tuendelee na hao hao au tulete wengine.
Duh! Ayo majibu ...
Yuko marekani
Lusinde Naamini Sasa CCM Hakukufai.
Atuelewi serikali inaendaje
Mm nakukumbal we mbunge wengne uchama n mwingne na ccm kichwan
Yuko sawa waziri hayupo anakula Bata marekani
Ni sahihi kuhoji kabisaa
Swali nzuri saaaana
Nchi Haina mwelekeo. Mnapoteza hela za masikini.
Kivipi?
@@itwaaky75 Utajua baadae.
@@itwaaky75 kwani hauoni au nawewe nimlamba asali
Mwigulu yupo ULAYA na mama
Daaaah basi sheria zenu, mbovu
Msenge we unamtetea waziri wa fedha
Sometimes unaqeza ukaomba dawa yakuzuia kichefuchefu ka Bunge hili
Waziri wa Fedha anaonekana Marekani na ameabatana na Rais hii ni sawa?
Yupo uzinduzi wa Tozo mpya zikitokana na Vita mpya iliyolipotiwa Jana huko Israel
Wamekwenda Kuzindua filamu Marecani
Waziri wa fedha wako rais marekani. Wanafutana pesa Royal Tour.
Wazir mwenyew anajichubua
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Mhe. Spika unatetea ugali tu lakini unaona dhahiri hilo haliko sawa.
Uwepo wake au kutokuwepo kwake kuta tafsiriwa na matokeo
Yaani nchi hii bhaaana nimechoka viongozi sijajua kama mwajua nini hasa wananchi wanapitia muda huu hasa tangu mwaka huu uanze
Nakwambi huyu lusinde mungu amlinde aendelee kutoa madini yanayotoka moyoni, si kwa kusifia tu anaonekana ana uchungu na nchi hii, na kila analoliongea anamaanisha na linatoka moyoni. M mungu amjalie.
Safiii Tulia
Lakini msg send. Maana mimi hata ungeniuliza naibu wake ni nani, hata simjui. Lusinde tunakusoma
Naibu wake brain ni ndogo sana
Waziri eti yuko Anafanya Royo Tour.. Haahaha
Natamani corona irudi tena uko ulaya ..
Waziri yupo ROYAL TOUR USA anakula bata.
Bunge la Tanzania libarikiwe
Hatuna spka hahaha alilewa sifa Kwan c ujibu
Huyu mbunge ninatamani nionane naye angalau nimsalimie tu
utaikuta Tanzania tu hiyo...
Mheshimiwa Tulia unalinda uovu. Rais kateua waziri wa fedha na wizara zingine hali kadhalika.
Muhimu utaratibu ufuatwe.
Tulia ivi kwann unajibu kisiasa dada uboa sana
huyu hakijui kiini macho kweriii?
🙁🙁🙁
Madam spika usiitetee serikari wazili mwenye dhamana na wizara husika yaani wazili wa fedha lazima awepo unaposema naibu wake yupo sio sahihi kumbuka kwenye Baraza la mawazili naibu huwa hawaiingii maana bunge la bajeti ni muhimu zaidi kuliko kazi zingine anazozifanya wazili nakusihi maadamu spika usiwe mtetezi au serikari au msemaji wa ccm wewe ni spika wa bunge la taifa
Wanafanya biashara huko ya kula asali
Utakuta ameshaikimbia mkutano wa Bunge..
Maana ndo wale wale
Yaan huyo
Anachozungumza mheshimiwa Lusinde ni uchungu wa Mwenyezi Mungu kumuondoa duniani aliyekuwa anawanyasa wananchi na kupendelea baadhi ya watu akiwepo mheshimiwa Lusinde
Mbna ww upo huna majukum mengne ww
Wanapiga mihela
Wivu MBAYA Sana Naibu Waziri fedha yupo,Waziri wa uratibu sera na shughuli za Bunge YUPO, Waziri MKUU ambaye ndiye kiongozi wa shughuli za serikali Bungeni Yupo, Spika wa Bunge YUPO,wote hao hamuwaoni, SERIKALI YA RAIS SAMIA INAWAUMA ROHO SANA kufeni na chuki zenu.
Na ww utakufa pia na uyo bibi yako
Unafkili utaishi milele?
Hii inakuhusu Lusinde Barikiwa Sana 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
th-cam.com/video/t9VNQgkbbxM/w-d-xo.html
Atuelewi serikali inaendaje