TAFSIRI YA NDOTO KUOTA UNATUMBUKIA KISIMANI | TARAJIA KUFIKWA NA HAYA"SHEIKH ABUU JADAWI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 81

  • @omarbashir991
    @omarbashir991 8 วันที่ผ่านมา

    Insha ALLAH RABI akujaliye hery nyigi sana kutupa ellmu 🇰🇪🤲🤲

  • @SakinaValy
    @SakinaValy 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mmmm!!naota mara nyingi eee mungu niepushe na hili

  • @MwanaidiTwaha-my6mz
    @MwanaidiTwaha-my6mz 4 หลายเดือนก่อน

    mashaAllah Allah akupe pepo ya juu kwa elimu hii kubwa na pia kwa dua na tiba zako kisheria

  • @JeanineMmadi-s9g
    @JeanineMmadi-s9g หลายเดือนก่อน +1

    Naoba namimi ouniwonge kwegne groupe lawatsap

  • @SophiaDaud-b3u
    @SophiaDaud-b3u 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba unique kwe group

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 ปีที่แล้ว

    Asante sn sheikh 🙏, mie nliota naingia kwa shimo kwa shida sn, lkn baadae nikangangana nikatoka nje, kisha nilivontoka nikaanza kuomba, baadae nkataka kuenda kuoga ss nlivokuwa ktk harakati ya kwenda kuoga nikashutuka usingizini nkaamka

  • @suhaylajuma5761
    @suhaylajuma5761 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba tafadhali sheikh uniunge kwnye group la Ndoto

  • @MarthaMaziku-r1l
    @MarthaMaziku-r1l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh naomba uniunge kwenye group

  • @alimzee
    @alimzee ปีที่แล้ว

    Swadaktah

  • @Nasrasuleyum-bu3zi
    @Nasrasuleyum-bu3zi 9 หลายเดือนก่อน

    Nitafasirie shekhe

  • @TumainiMwankenja-kb7zs
    @TumainiMwankenja-kb7zs ปีที่แล้ว

    Amen

  • @FatmaHemed-fd1cu
    @FatmaHemed-fd1cu 19 วันที่ผ่านมา

    Naomba uniunge

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu 2 หลายเดือนก่อน

    Niunge kwenye group shekhe

  • @esterodunga
    @esterodunga 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ukimwota mtoto wako ametumbukia kwenye kisima Cha maji na nikamuokoaa mm mwenyewe ila mama yangu mzazi aka mvuta Yale maji na mtoto akaarisha maharisho mengi sana yamajimaji nakuna mdudu alietoka katika tumbo lamtoto kupitia hayo maharisho ila mama yangu akasema mdudu huyo akutakiwa kutoka tumboni na kama akitoka nilazi hyo mtu afariki nashindwa kuelewa inamaanisha nn kwa mwanangu

  • @FatmaHemed-fd1cu
    @FatmaHemed-fd1cu 19 วันที่ผ่านมา

    Nimemuota mjomba wangu yeye ndo kaingia kisimani kulikuwa na maji..mimi nikawa namtafuta sijamuona..baadae nikamuona punzi zake zilikata

  • @FatmaHemed-fd1cu
    @FatmaHemed-fd1cu 19 วันที่ผ่านมา

    Mi nimeota mjomba wangu kaingia kisimani mi nikawa namtafuta nilipomuona tayari punzi zake zilikuwa zinaisha

  • @SHAKILB-f7o
    @SHAKILB-f7o 5 หลายเดือนก่อน

    Shekhe sion namba

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 ปีที่แล้ว

    Assalam alaykm walhmatu llahi wabarakatu shekhee mm naomba kuuliza mm mwanzo nilikuwa naota ndoto nakumbuka la kini kwa sasa nikiota sikumbuki hii ina maana gani

  • @shuuhassans2702
    @shuuhassans2702 7 หลายเดือนก่อน

    shekh mm nmeota nmeingia kisiman lkn nilitolewa na mtu shida mwanangu yy alifika hadi chini y kisima lkn ndoto ilionyesh nalia sna sjui kiliendlea nn nlishtuka ssa sjui mwanangu n vp yarraby😢😢

  • @AminarashidAlly-g6r
    @AminarashidAlly-g6r 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota nimepita kwenye kisima juu Kuna gogo hafla lile gogo lika Katika na kutupikia ndani ya maji lakin nikawa naelea juu na nyumba kulikuwa na mtu anataka kupita ghafla mbele yangu akatokea mtu na kunifuta nikatoka

  • @KabibiiNassa
    @KabibiiNassa 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeota nadondokea kisimani lakin kabla sijafika chini kugusa maji nkashika Jani kumwa bich linafanana na Mti wa mchikich nikawa nimeshikilia badae ikatokea kitu kama ngaz nikashika nikatoka kwenye kile kisima maana yake nn

  • @SubiraMpela
    @SubiraMpela 8 วันที่ผ่านมา

    Shehe naomba uniunge kwenye group la wasafi

  • @VenocterVlady
    @VenocterVlady 4 หลายเดือนก่อน

    Mm nimeota tunafanya mashindano ya kukimbia alafu mm nilikua nakimbia kwa kasi mbele nikakuta tuko watatu wote tunaenda leo sawa ya kukimbia mwisho nikaona kuna mtu akaja akanibeba juu akaingia kwenye kisima mara tukatoka lakini mm bado alikua amenibeba began mwake.

  • @ramlaabdulla4908
    @ramlaabdulla4908 ปีที่แล้ว

    Assalam aleikum warahmatullah wabarakathu mm niliota na tubukia dani yaki sima cha maji mengi lkn nikapata usaidizi nika tolewa

  • @suhaylajuma5761
    @suhaylajuma5761 3 หลายเดือนก่อน

    Je kama mume wangu ameota nimemdumbukizq kwnye shimo ina maana gani😢

  • @user-in0478
    @user-in0478 ปีที่แล้ว +2

    Shehe Mimi nimeota nakibizwa na wanajeshi baadae nikakimbilia kwenye kisima nikatumbukia baadae akajamtu akaniokoa maana yake nin

  • @RamlaNasri
    @RamlaNasri หลายเดือนก่อน

    Mimi. Nimeota nawatoa watoto kwenye maji cjui inamaan gan

  • @ChristinaLumbwe
    @ChristinaLumbwe 7 หลายเดือนก่อน

    Nimeota mtoto wa mdogo wangu ameangukia kwenye kisima na kisima hicho nicha humhum ndani tunachotaga maji nimeangaika kuita wtu wa kumuokoa wamekuja wakamtoa kumtoa kumbe ni mwanangu na akawa yupo kama kwenye usingizi TU hajafa

  • @fadiahamza1467
    @fadiahamza1467 3 วันที่ผ่านมา

    Asalamu alekum mm nimeota nachota mji kisimani ndoo kubwa na ndogo nawachotea watu wapembeni ila wao hawahitaji maji yang ila mm nawazalimisha kupokea maji yangu ila najion nimechoka kuchota maji ila nachota tu

  • @birungianna1618
    @birungianna1618 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota karibu nitubukia shimon lakini nikatoka sikuikia ndani maana yake nini

  • @NeemaGauso
    @NeemaGauso 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota mwanangu katumbukia kisimani na watu wanamuangalia na kulikua na wezake mle kwenye maji mimi nikakimbia kumtoa ila maji kayanywa nikawa namkamua

  • @jacklineomwega2771
    @jacklineomwega2771 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota mtoto ameanguka kisima inamaana Gani.

  • @NamwaminiLubamba
    @NamwaminiLubamba หลายเดือนก่อน

    Mm nimeota natumbukia kisimani lakini sikufika mwisho akaja mtu kanivuta nakunitoa

  • @EvariniJumanne
    @EvariniJumanne 9 หลายเดือนก่อน

    Samahani mm nimeota wanangu wameangukia kisiman ote wawili ila nilienda kumuita mka simjui wakati anaingia nangaz nikaamka nilikuwa Malia Sana

  • @Nasrasuleyum-bu3zi
    @Nasrasuleyum-bu3zi 7 หลายเดือนก่อน

    Asalaam aleykum shekhe mm nimeota nimedumbukia kwenye shimo lina maji nikataka kutoka nikashindwa maporomoko ya udongo yakaanza kuniangukia shekhe nimeogopa sana maanake nini shekhe

  • @ChantalBijoux-i5x
    @ChantalBijoux-i5x 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota mutoto wangu ameanguka kwakisiima kirefu alakini hakufariki

  • @GariseSalim
    @GariseSalim 6 หลายเดือนก่อน

    Sheik mimi nimeota navuta maji lakini bahati mbaya nika tumbukia kwenye kisima hicho cha maji. Baada hapo nikaona kitu kama daraja na nikatumia mti mti kutoka kutumia daraja hio.

  • @faridasalm4248
    @faridasalm4248 ปีที่แล้ว

    Aslm alkm, mm leo nimeota natumbukia ndani ya choo, lkn kukatokea mtu akanitoa

  • @YusufKhan-pi3lc
    @YusufKhan-pi3lc 6 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie sheikh mm nimeota mwangu kdumbukia kisiman alafu kisima hcho maji yalikuwa meupe xana xaxa kabla sijamuokoa nikawa nimeshituka kutoka usingzini nn maana yake sheikh

  • @Islamic_halal_videos-h2s
    @Islamic_halal_videos-h2s 2 หลายเดือนก่อน

    Shehe mimi nimeota shimo kikubwa sana nani pana sana badaye nimeokolewa namtu

  • @Rukiaally-v2e
    @Rukiaally-v2e ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota tumetumbukia kwenye kisima na mwanang na kisima chenyewe sielew ni sehem gan kile kisima kilikua na maji masafi sana pia tulitoka wote

  • @HancyHalexanda
    @HancyHalexanda ปีที่แล้ว

    Kuota unamulisha mwanao

  • @JoelMwalongo-cr1bi
    @JoelMwalongo-cr1bi 9 หลายเดือนก่อน

    Asante, Mimi nimeota namwona mtu nisiemfahamu anaporomokea kwenye kisima kirefuu ,ila palikuwa na umati wa watu wamezunguka kisima hicho maana yake Nini?

  • @امينه-ط7ل
    @امينه-ط7ل 9 หลายเดือนก่อน

    MoSheee asalamu aleiku mim nimeota nimedubukia kwenye shimo nikwamwabia mvulana moja nivute akashidwa nikatoka mwenyewe nikakutana na dungu yangu anakula hafu keki akanipa inamanisha nin

  • @WanjiraNyaga-y2g
    @WanjiraNyaga-y2g 4 หลายเดือนก่อน

    Niliota dadangu mkubwa ameingia kwenye kisima na mwanangu kamfuata humo ndani na nikaona sura ya mama nayemjua akijaribu kumshika mwanangu mguu anapotumbukia na ilinishtua sana.maana yake nini.walipoingia nilisikia wakiongea wakiitana na Mimi nikagutuka usingizini

  • @Nasrasuleyum-bu3zi
    @Nasrasuleyum-bu3zi 9 หลายเดือนก่อน

    Shekhe nimeota nimedumbukia kwenye shimo la maji nikiwa na mwanangu wakiume akiwa na mwaka mmoja na nusu tulidumbukia wote

  • @SharapherMkumbo
    @SharapherMkumbo 29 วันที่ผ่านมา

    Shekh mm naitwa ramadhani ally hivi punde nimeota ndoto nimeangia kwenye shimo la chini ya ngazi ya nyumba nyumba yenyewe ni ghorofa nikajitahidi kuruka kutoka mpaka juu kabla sijatoka juu kabisa udongo ukawa unamong'onyoka nikajizuia kushuka tena niklala hapo juu naelea na nikashtuka usingizini inamaanisha nini?

  • @Meriembahati
    @Meriembahati 6 หลายเดือนก่อน

    Nimeota mwanangu kaingia kisimani na kisima kulikuwa ndani ya nyumba nzuri sana.kisha nikamutoa mm mwenyewe maana yake nini

  • @HAWAKAMWELWE
    @HAWAKAMWELWE 10 หลายเดือนก่อน

    Nimeota mume wangu ametumbukia kisiman tena kisima kirefu maji kina maji yasiyoyaa lakin nikamuokoa kwa kumvuta na kamba nini maama yake

  • @MariaAgustinou
    @MariaAgustinou 4 หลายเดือนก่อน

    Aowatu walio zama sikuwafaam ilawanawake mie nilipita njia

  • @SJSTV-z7k
    @SJSTV-z7k ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota nimeingia kisimani nikayaona maji madogo na nikatoka

  • @MariaAgustinou
    @MariaAgustinou 4 หลายเดือนก่อน

    Shee Mimi niliota visima 3 ndani yake kulikuwa na maji nawatu Wana wake 2 kismakingine mwanamke 1 walizama vilibaki vichwa vyao nje iyondoto inamaana gani

  • @EvariniJumanne
    @EvariniJumanne 9 หลายเดือนก่อน

    Namaji yalikuwa machafu saana Yan kwausi

  • @sofiamohammed5925
    @sofiamohammed5925 ปีที่แล้ว

    Sheikh Ass aleikum warahmatullah wabarakatuh mimi nimeota niko kwenye kisima kikubwa kimejaa maji na kimefinikwa juu nikapanda hapo juu naninginia kama nataka niingie nikangangana mpaka nikashuka mara mbili ya tatu nikaninginia hapo nataka kushuka nikashtuka nini maana yake sheikh

  • @MwanamisiTenga
    @MwanamisiTenga ปีที่แล้ว

    Mm naota nimeona shimo la nyoka

  • @NanaNadia-l6d
    @NanaNadia-l6d ปีที่แล้ว

    Assalam aalaikum warahmatullah wabarakatuh naomba unisaidie namba yako ya WhatsApp

  • @AbdulAzizSulley
    @AbdulAzizSulley 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeona natumbukia kwenye shimo lakin ckufika chini nkawai kujizuia na mtu akaja kuniokoa hii ipoke mkuu?

  • @Mwanajuma-i4c
    @Mwanajuma-i4c 4 หลายเดือนก่อน

    Je ukimtoa mtu ametumbukia kwenye shomo

  • @jumambote345
    @jumambote345 ปีที่แล้ว +1

    Nimeota mtoto kadumbukia kisimani nikaingia nikamtoa inamaana gani shehy

  • @issahersi9566
    @issahersi9566 7 หลายเดือนก่อน

    Unashota kisima maana yake😮

  • @MakiaRamadhani
    @MakiaRamadhani 9 หลายเดือนก่อน

    Nimeota nimedumbukia kwenye kisima kabla sijazama nikaomba mdaada nikaokolewa kisima kilikua hakitumiki nikapewa ngo nikabadilisha mana Ake nn

  • @NuruJames-cf7zz
    @NuruJames-cf7zz 8 หลายเดือนก่อน

    She Mimi nime ota mwanangu kadumbukia kisimani majiyarikuwa pakajuu baba yake akamuopowa AANA yake nini

  • @norahmatunda8223
    @norahmatunda8223 ปีที่แล้ว

    Nimeotoa naoga kwenye kisima na maji yanaonja chumvi

  • @HappyNickson
    @HappyNickson 10 หลายเดือนก่อน

    Nimeota mtoto katumbukia kwenye kisima Cha maji

  • @MelkizedekPaulo
    @MelkizedekPaulo ปีที่แล้ว

    Ukiota umelala kwenye kisima

  • @HalimaRamadhan-h9p
    @HalimaRamadhan-h9p หลายเดือนก่อน

    Ukiot mtot ametumbukia alaf unamuokoa nn maan yake

  • @AgnethaKapinga
    @AgnethaKapinga 4 หลายเดือนก่อน

    Shekhe nimeota mtoto ameingia kisiman amefariki lakini mama zake wadogo na marehemu hawajaenda kumuokoa na wanafirahi lakin akatokea mtoto wa pili kuingia nikamuita mkaka jirani ameokolewa ila nimelia sana na kuwalaumu wale madogo wa marehemu nikiwa nalia sana

  • @evelyne4686
    @evelyne4686 ปีที่แล้ว

    mimi nimeota nimetumbukia kisimani, nikawa nawatekea maji waliokuwa ardhini, Nini maana yake?

  • @dorahkasembe1839
    @dorahkasembe1839 ปีที่แล้ว

    Niunge

  • @abuuhusseni7340
    @abuuhusseni7340 ปีที่แล้ว +1

    she Mimi nimeota mwanangu wa kike kadumbukia kisimani na hicho kisima kimejaa maji lakini nikawahi kumtoa nini maana yake

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

      Nami hivyo hivyo

    • @Maryamsaid-mh5hw
      @Maryamsaid-mh5hw ปีที่แล้ว

      Mm nimeota mwanangu katumbukia kwenye kisima kirefu lkn kaokolewa

    • @emmamakanga3649
      @emmamakanga3649 ปีที่แล้ว

      Shekh Mimi nmepta tumetumbukia mimi na mke wangu kwenye korongo refu Pana sio Sana na ndani Lina maji ili tutoke labda tuvutwe kwa kamba

    • @lilianmwinuka.Mwinuka
      @lilianmwinuka.Mwinuka 10 หลายเดือนก่อน

      Ata Mimi nliota mtoto wanga anadumbukia lakn Nika muokoa

    • @shuuhassans2702
      @shuuhassans2702 7 หลายเดือนก่อน

      mm ckuwah kumtoa ndoto ilikata😢😢 cjui n vp ila mm mwenyew nliokilewa haraka

  • @aminamasudi6838
    @aminamasudi6838 ปีที่แล้ว

    Shehe Mimi nimeoya mtoto wangu wa kiume amedumbukia kisimani tena kisima kirefu lakini sikufanikiwa kumuokoa, nini maana yake?