Ila mashabiki wa simba mnapeenda kukosowa wenzenu mbona nyinyi timu yenu aifanyi vizuri kwenye safu ya ushambuliaji na umaliziaji amuikosoi mnaikosoa yanga kweli yanga the big timu
Mmmmh kwahiyo yanga imeshuka kiwango etii eeeh hapo Sasa Nisha muelewa akili zake ndani ya Pala lake yule kocha Gamondi Iko janja sana angalieni makolo msije mkapasuka nyingi kwenye Dabi maana watu wa simba mshaanza kuizarau yanga Kwa mechi Moja ambayo imeshinda Tena ugenini je ingefungwa ingekuwaje?
Kichwa boxes 📦 vip leo mbappe zile kosa kosa je? Nae sio mzuri pumbu kabisa ujuwi mpira tokaaa
Huyu nimemuelewa sana inaonekana anajuwa mpira
Niwachache wenye kumuelewa.gb64
Ila mashabiki wa simba mnapeenda kukosowa wenzenu mbona nyinyi timu yenu aifanyi vizuri kwenye safu ya ushambuliaji na umaliziaji amuikosoi mnaikosoa yanga kweli yanga the big timu
Mmmmh kwahiyo yanga imeshuka kiwango etii eeeh hapo Sasa Nisha muelewa akili zake ndani ya Pala lake yule kocha Gamondi Iko janja sana angalieni makolo msije mkapasuka nyingi kwenye Dabi maana watu wa simba mshaanza kuizarau yanga Kwa mechi Moja ambayo imeshinda Tena ugenini je ingefungwa ingekuwaje?
Usi2kan mamba wakat hujavuka mto bwege ww ww hujacheza unamkosoa mwenzio unawazm
Upo saw GB kumekucha ngoja tuhamie upande Wa mke
Unaakiri pumbavu kolo wewe ongerea yakwako