Asante sana brother umenifumbua sana akili na ndio maana kumbe biashara zetu tunaona hatupati faida kumbe tunapanga bei bila kuangalia cost za kupata ile product. MUNGU akubariki sana .
Hujambo ndugu . Mimi ni mwanabiashara kutoka kaunti ya kilifi, Kenya . Ni furaha yangu kuu kwamba hatimaye nimekutana na chaneli yako iliyo na madini ambayo tumeyakosa hadi kwenye vyuo vinavyofunza biashara. Niruhusu niseme unanijenga sana na ni matamanio yangu kukutana nawe punde nifikapo Dar. Amani ya Bwana iwe nawe 🙏🙏
Kwamfano una mahitaji makubwa kuliko faida yako unawezaje kumudu kuendendesha maisha yako ? ...au ni wakati gani mzuri wa kuanza kuchukua faida kwenye biashara huku biashara ikiendelea kukua ?
Asante sana kwa swali Zuri. Nitakujibu kwa upana zaidi katika video zitakazofuata. Endelea kufuatilia masomo haya na kushare kwa wadau wengine ili yafanyike msaada.
Hakika ww ni genius broo
Asante sana brother umenifumbua sana akili na ndio maana kumbe biashara zetu tunaona hatupati faida kumbe tunapanga bei bila kuangalia cost za kupata ile product. MUNGU akubariki sana .
Hii ni muhimu sana kaka, nimejifunza somo Hilo kwa maumivu mengi na ndio maana nikaona ni muhimu watu wafahamu ili kuinusuru biashara za watu wengine.
Hujambo ndugu .
Mimi ni mwanabiashara kutoka kaunti ya kilifi, Kenya .
Ni furaha yangu kuu kwamba hatimaye nimekutana na chaneli yako iliyo na madini ambayo tumeyakosa hadi kwenye vyuo vinavyofunza biashara. Niruhusu niseme unanijenga sana na ni matamanio yangu kukutana nawe punde nifikapo Dar. Amani ya Bwana iwe nawe 🙏🙏
@@evansmayuro8038 karibu sana na asante kwa kunitia moyo niendelee lufanya vizuri zaidi
Asnte kwa dalasa mungu akubarik sanaaaa kwa funzo bora ulio tufundisha leo
Shukrani sana mkuu
Ututengenezee somo na sisi wa graphics, content creators..
@@elkanakilumbe Ujumbe umefika
@@elkanakilumbe Unata Somo kuhusu eneo gani hasa ??
Nakuelewa sana kiongozi ahsante
Exactly dose 🙏
#
asante sana kwa masomo mazuri
Asante Coach
Ahsante
Nimejifunza sana aise3e ntaensa na iyo 30%
Ni muhimu sana nafurahi kusikia unatendea kazi
Asante sana
Asante sana
Mungu akubariki 🙏
amen amen
❤
Kwenye % apo unafail mkuu....
Je muuza duka la mangi yaani bidhaa mchanganyiko anapataje faida mahesabu ya jioni?
Kwamfano una mahitaji makubwa kuliko faida yako unawezaje kumudu kuendendesha maisha yako ? ...au ni wakati gani mzuri wa kuanza kuchukua faida kwenye biashara huku biashara ikiendelea kukua ?
Asante sana kwa swali Zuri. Nitakujibu kwa upana zaidi katika video zitakazofuata. Endelea kufuatilia masomo haya na kushare kwa wadau wengine ili yafanyike msaada.
@@misanamanyama24 Tunashukuru kwa mafundisho haya Mungu azidi kuwabariki ,nitashare kadri iwezekanavyo
Je ni lazima faida yangu iwe ni 30% tuu kama sio
Inaweza kuwa percentage ngapi Tena.....
@@mercylekei93 hapana hiyo imaetumika kama mfano tu
❤