- 120
- 188 339
Misana Manyama
Tanzania
āđāļāđāļēāļĢāđāļ§āļĄāđāļĄāļ·āđāļ 3 āļŠ.āļ. 2015
kama una shauku ya kupata elimu ya biashara ili kuikuza biashara yako Au unatafuta elimu ya kukusaidia kuanzisha chanzo kingine cha mapato ili kuongeza ustawi wa maisha yako
Upo mahali sahihi, Jifunze pamoja na Misana Manyama, mfanyabiashara mwenye uzoefu biashara wa zaidiya miaka 15. Atakupatia vidokezo vya maarifa na mikakati ya biashara pamoja na uhalisia wa stori za kutia moyo na matukio ya nyuma ya pazia katika safari yake yake ya ujasiriamali.
Iwe ndiyo kwanza unaanza au unatafuta kuongeza biashara yako iliyopo, ushauri wa Misana unaweza kutekelezeka na elimu hii itakuongoza kwenye njia yako ya kupata mafanikio katika biashara.
Karibu tujifunze pamoja.
www.youtube.com/@misanamanyama24?sub_confirmation=1
ðē +255759263287
ð§ misanatalks@gmail.com

Maandalizi yanavyotengeza mafanikio kwa haraka- Misana Manyama
#maandalizi #Mafanikio #biashara #misanamanyama
katika video hii nmeelezea umuhimu wa kufanya maandalizi na aina ya maandalizi ambayo mtu inabidi ayafanye ili afanikiwe katika maisha na biashara kwa ujumla.
Connect with me:-
Instagram : misanamanyama
Tiktok: www.tiktok.com/@misana.manyama
Spotify: open.spotify.com/episode/4B5QfB4AwpRQ5SPiZM9B5o?si=Ex7LnaizQoCCMTeXPjn2Lw
Linkedn: www.linkedin.com/in/misana-manyama-b6926025/

āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ: 1 316
āļ§āļĩāļāļĩāđāļ
Mafanikio yanahitaji Kipimo - Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 1.4Kāļ§āļąāļāļāļĩāđāļāđāļēāļāļĄāļē
#BusinessDiagnoss #misanamanyama #businessgrowth #dalali Je, unajua kama biashara yako inakua au inakosa mwelekeo? Katika video hii, nitakufundisha jinsi ya kupima ukuaji wa biashara yako kwa kutumia vigezo muhimu kama ongezeko la mapato, faida, wateja wapya, na ufanisi wa shughuli zako. Utajifunza pia mbinu za kuboresha mipango yako ya kifedha, kujua maeneo yanayohitaji maboresho, na jinsi ya ...
Sababu za kuwa BEST CEO OF THE YEAR 2024 - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 1.4K14 āļ§āļąāļāļāļĩāđāļāđāļēāļāļĄāļē
#leadership #BestCEO #misanamanyama Kuna mambo mengi yaliyofanya nikawa mshindi na mmoja kati ya Best CEO wa mwaka 2024, Katika video hii nmeshare kwa undani nini haswa kimenifanya kuwa mmoja kati ya CEO waliofanya vizuri zaidi 2024. Fuatilia kwa makini video hii kisha shiriki kwa kushare na wengine wengi zaidi. Mafanikio na ushindi ni haki ya kila mmoja wetu.
2025 ANZA NA VIPAUMBELE HIVI - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 5K21 āļ§āļąāļāļāļĩāđāļāđāļēāļāļĄāļē
#2025 #Vipaumbele #misanamanyama #mafanikio 2025 ni mwaka wa mabadiliko na maendeleo kupitia vipaumbele muhimu! Katika video hii, nimezungumzia masuala ya msingi yanayopaswa kupewa kipaumbele ili kuboresha maisha yetu na kuimarisha ustawi wetu. Jifunze jinsi tunavyoweza kushirikiana kwa vitendo ili kufanikisha malengo haya na kuleta mabadiliko chanya. Usikose kutazama ujumbe huu wa kuhamasisha ...
MAFANIKIO HUTOKANA NA MAAMUZI MAZURI YA SASA [ZINGATIA HAYA ðð] - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 3KāļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
#Mafanikio #Maamuzi #misanamanyama Mara nyingi tumejikuta tukifanya maamuzi ili kuziba mianya ya hofu ya baadae, Maamuzi ambayo yamepelekea wengi wetu kujikuta katika mifumo mibaya ya maisha kama madeni yaliyokithiri na kukosa utulivu. Katika Video hii utajifunza namna ya kufanya maamuzi mazuri na sahihi yanayoweza kukuletea mafanikio bila kuwa na hofu. Usisahau kusubscribe na kutuma (share) vi...
INTUITION [MACHALE] NI MSINGI WA MAFANIKIO - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 1.8KāļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
#Personaldevelopment #Misanamanyama #Machale #intuition Katika video hii, nimeelezea umuhimu wa kutumia hisia za ndani (machale) (instinct) kama mwongozo wa kufanikisha malengo yako maishani na kwenye biashara. Usisahau kushare video hii na marafiki na familia yako, na hakikisha umesubscribe ili upate masomo yangu mengine yanayogusia biashara. #machale #Mafanikio #Motisha #Instinct#misanamanyam...
MAFANIKIO YAMEMEZWA NA HOFU - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 5KāļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Mafanikio Yamemezwa na Hofu | Jifunze jinsi hofu inavyoweza kuwa kikwazo kikubwa kwa mafanikio yako na jinsi ya kuishinda. Katika somo hili, tutajadili mbinu za kukabiliana na hofu, kujenga ujasiri, na kufanikisha malengo yako ya kibiashara. Usikubali hofu ikuzuie kufikia ndoto zako! Somo hili ni la muhimu sana kwa Kila mmoja ninaamini Kuna kitu kikubwa utakipata kupitia somo hili. #misanamanya...
MAFANIKIO YAPO HAPA - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 3.3KāļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
ðNamna ya Kuondoa Vizuizi Ili Kufikia Mafanikio ni mojawapo ya masomo ya muhimu hasa tunapoelekea mwisho wa mwaka. Katika video hii, tunazungumzia hatua muhimu za kuondoa vizuizi vinavyokwamisha safari yako ya mafanikio. Usikubali vizuizi vizuie ndoto zako! Jiunge nasi leo kwa safari ya mabadiliko ya maisha. ð Usisahau ku-like, ku-subscribe, na kushare video hii kwa marafiki zako ili wote wapat...
MAFANIKIO NI SEASONAL: Kuwa Makini - Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 7KāļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Kila msimu maishani una fursa na changamoto zake, hasa katika biashara. Katika video hii, tunazungumzia jinsi ya kutambua msimu wako wa sasa na kufanya maamuzi yanayokubaliana na wakati huo. Usipoteze mwelekeo tambua msimu wako na endelea mbele kwa hekima na ujasiri. Chukua hatua Ungana nami katika kujifunza somo jipya www.youtube.com/@misanamanyama24?sub_confirmation=1 TikTok: www.tiktok.com/@...
UDHAIFU WA MISANA MANYAMA - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 1.6K2 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Kuna uhalisia mwingi katika maisha ya biashara ambao nimekutana nao. Somo la wiki hii nimeona ni vema tukajifunza kwenye Mambo ambayo nimestruggle nayo sana katika biashara. Somo hili ni la muhimu sana kwa Kila mmoja ninaamini Kuna kitu kikubwa utakipata kupitia somo hili. #misanamanyama #tanzania #ujasiriamali #biashara #biasharaonline #tanzania #uganda
Stage 5 za kufanikisha chochote unachofanya - Chimbo of Thoughts, Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 2.4K2 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Ungana nami katika kujifunza somo jipya ambalo ni sehemu ya majadiliano ambayo nimefanya na Chimbo of Thoughts. Nina uhakika somo litabadilisha mtazamo wako kwa kiasi kikubwa www.youtube.com/@misanamanyama24?sub_confirmation=1 TikTok: www.tiktok.com/@misana.manyama Instagram: misanamanyama LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE #malengo #fursa #ujasiriamali #mafunzo #tanzania #biasha...
UKIFANIKISHA KITU KIMOJA NI RAHISI KUFANIKISHA NA VINGINE - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 2.4K2 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
UKIFANIKISHA KITU KIMOJA NI RAHISI KUFANIKISHA NA VINGINE - MISANA MANYAMA
KWANINI OVER - AMBITION HUONDOA MAFANIKIO - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 2.1K2 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
KWANINI OVER - AMBITION HUONDOA MAFANIKIO - MISANA MANYAMA
KWANINI LAWAMA HUUA MAFANIKIO? - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 1.9K2 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
KWANINI LAWAMA HUUA MAFANIKIO? - MISANA MANYAMA
MAFANIKIO YANAHITAJI USHINDANI - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 3.5K3 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
MAFANIKIO YANAHITAJI USHINDANI - MISANA MANYAMA
MAFANIKIO YANAHITAJI SPIDI - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 10K3 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
MAFANIKIO YANAHITAJI SPIDI - MISANA MANYAMA
JINSI YA KUKUZA BIASHARA YAKO KWA UTARATIBU - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 2.7K3 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
JINSI YA KUKUZA BIASHARA YAKO KWA UTARATIBU - MISANA MANYAMA
NAMNA NZURI YA KUUZA HUDUMA AU BIDHAA - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 2.2K3 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
NAMNA NZURI YA KUUZA HUDUMA AU BIDHAA - MISANA MANYAMA
NAMNA YA KUSIMAMIA BIASHARA UKIWA MBALI - MISANA MANYAMA
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 3.2K4 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
NAMNA YA KUSIMAMIA BIASHARA UKIWA MBALI - MISANA MANYAMA
Namna ya kukuza kipato chako - Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 2K4 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Namna ya kukuza kipato chako - Misana Manyama
TABIA ZINAZOWARUDISHA NYUMA WAFANYA BIASHARA - Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 1.8K4 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
TABIA ZINAZOWARUDISHA NYUMA WAFANYA BIASHARA - Misana Manyama
Jinsi ya Kuanza Biashara na Ulichonacho - Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 2.3K4 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Jinsi ya Kuanza Biashara na Ulichonacho - Misana Manyama
MAFANIKIO HULETWA NA SPEED YA KUBADILIKA : Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 2K4 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
MAFANIKIO HULETWA NA SPEED YA KUBADILIKA : Misana Manyama
Ni wakati gani sahihi wa kuchukua Faida kwenye Biashara - Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 1.8K4 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Ni wakati gani sahihi wa kuchukua Faida kwenye Biashara - Misana Manyama
Tofauti ya Biashara na Mwenye Biashara - Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 1.8K5 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Tofauti ya Biashara na Mwenye Biashara - Misana Manyama
Ukitaka Kuwa Masikini Fanya yafuatayo... - Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 2K5 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Ukitaka Kuwa Masikini Fanya yafuatayo... - Misana Manyama
Tofauti kati ya Taarifa na Maarifa - Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 1.4K5 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Tofauti kati ya Taarifa na Maarifa - Misana Manyama
Mabadiliko yanayoweza kuleta Mafanikio - Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 2.9K5 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Mabadiliko yanayoweza kuleta Mafanikio - Misana Manyama
Namna nzuri ya kupanga Bei kwenye Biashara - Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 3.3K5 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Namna nzuri ya kupanga Bei kwenye Biashara - Misana Manyama
Mafanikio katika Biashara yanahitaji kiongozi muda wote - Misana Manyama
āļĄāļļāļĄāļĄāļāļ 1.5K6 āļŦāļĨāļēāļĒāđāļāļ·āļāļāļāđāļāļ
Mafanikio katika Biashara yanahitaji kiongozi muda wote - Misana Manyama