MAZISHI YA MWANAWACHUONI SHEKH SULEIMAN KILEMILE | VILIO NA SIMANZI VYATAWALA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 217

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah tunakuomba kwaqadar zako umrehemu ndugu yetu naawemiongoni mwawajawako wapeponi kwaqadar zako amin

  • @rukiabari9431
    @rukiabari9431 4 ปีที่แล้ว +3

    Innalilah waina illah rajiun Allah Subhana wata Allah akusamehe dhambi zako za dhahir na za siri akuekee nuru katika maKazi yako akuepushe na adhabu za kabri .. Jennah iwe pepo yako safiri salama na na malaika wawe pokezi lako katika makaz yako... Amin

  • @zayfahmi5130
    @zayfahmi5130 4 ปีที่แล้ว

    innalillah wa innalillah rajiun inshallah mwez mngu atujalie nakauli ya ahshahadhu llailaha wa ashadhu ana Mohammadyarasulullah inshallah mwez mungu akulazeahali pema peponi kwa mawaidha mengi uliotupatia ya ushauri nawenye husia llaillah illallaha

  • @momos_kitchen38
    @momos_kitchen38 4 ปีที่แล้ว +3

    Innalillah wainna ilayh rajiun😭 Allah ampe pepo, Kazikwa na ummat muhammad subhanallah😭😭😭😭

  • @mamuhadi5664
    @mamuhadi5664 4 ปีที่แล้ว +4

    Bab deo mungu akulipe kwa jitihada zako maana najihisi km vile nipo ktk mcba mungu ampe kauli thabiti shk wetu kilemile ameen

    • @zamdaliuka5452
      @zamdaliuka5452 4 ปีที่แล้ว

      Inna lillah wainna illah rajiun

  • @mudhirmussa3586
    @mudhirmussa3586 4 ปีที่แล้ว

    Innahlilahi wainnahilayhi rajiun, mungu amsamehe uko kbrn aliko napia amuepushe na adhabu za kaburi pmj na zakiama, EWE MWENYEZIMUNG TUSAMESHE NA UTUONGOZE KATIKA NJIA ILIYONYOOKA PIA UTUINGIZE SOTE WAISILAMU KATIKA PEPO YAKO🙏

  • @aminasubira6591
    @aminasubira6591 4 ปีที่แล้ว +8

    MwenyezMungu Ampe Hatma Njema Shekhe Wetu Lahaula Wallakuwatta Pole Kwa Familia Yote Ndg Jamaa na Marafiki Wallah Baba Yang Kampoteza Mualimu/Ndugu/Rafiki yake Mkubwa na Wakaribu Almuhimu Duaa (TUTAKUKUMBUKA MILELE)

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 4 ปีที่แล้ว +1

    Maulana eheeee maulana Allah umemridhia sheikh wetu Allah alhamdulila .subhaana llah subhana llah.😭😭😭

  • @sallahsaid4630
    @sallahsaid4630 4 ปีที่แล้ว

    Mungu amlaze mahala pema pepon amkutanishe na kipenzi cha umma mtume wetu

  • @daudikhamis1595
    @daudikhamis1595 4 ปีที่แล้ว +8

    Allah Akupe Kauli Thabit Katika safari yako kubwa hii ya maisha mapya MWANACHUONI WETU MKUBWA SHEIKH SULEIMAN AMRAN KILEMILE.

  • @aishahsalah7646
    @aishahsalah7646 4 ปีที่แล้ว +6

    Innalilahi wainilahi rajiun..Mungu amueke mahali pema peponi yarab

  • @sophianyangalio3796
    @sophianyangalio3796 4 ปีที่แล้ว +11

    Innallih wainailah rajiun 😭 Mwenyez Mungu amrehem ampe kauli thabit ampe kitab kwa mkono wakulia ampunguzie adhab ya kaburi na akugeuze upande wa pili ameeen

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 4 ปีที่แล้ว

    Subhaanaa llah Allahu akbar yaraab mjalie pepo ya firdaus sheikh wetu.😭😭😭

  • @saidabdullah7273
    @saidabdullah7273 4 ปีที่แล้ว

    M.mungu atupe mwisho mwema na cc yaarab na atupe msamaha wake kbl ya kurudi kwake yaalwah 🤲

  • @shaibuabdala7595
    @shaibuabdala7595 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu amjaalie kila lakher katika safari take hiyo mzito

  • @jumaahmad4117
    @jumaahmad4117 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah amrehem Sheikh wetu huko uliko amiin

  • @africa7479
    @africa7479 4 ปีที่แล้ว +4

    Daaah!ameswaliwa jamn na watu wengi shekh wetu..Allah amkutanishe na Kipenzi chake kipenzi chetu Muhamad s.a.w DALILI NZURI SANA HII

  • @mudhihirumikidadi6066
    @mudhihirumikidadi6066 4 ปีที่แล้ว +3

    Innalilahi wainnaaa ilaihiraaajiuuuna mwenyezimungu akuweke pahalipema aaamiiin

  • @androydthegully6390
    @androydthegully6390 4 ปีที่แล้ว +21

    Huu mwaka unaondoka watu muhimu Sana Allah tubless wote tuwe na kauli thabiti

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Kimsingi ni kweli ila watu wote ni muhimu!!

    • @fatmaaly3056
      @fatmaaly3056 4 ปีที่แล้ว

      Kweli zanzibar shekh hasan husseni nyundo shekh ali kombo 😭😭😭😭

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 4 ปีที่แล้ว

      Shehe wangu shabani qari

    • @aliyhassan9113
      @aliyhassan9113 4 ปีที่แล้ว +1

      Kuna watu hawana muhimu wte wakuwepo duniani zaidi ya kumuasi Allah

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@aliyhassan9113 wasingekuwa na umuhimu basi Mungu asingeliwapa pumzi zake au asingeliwapa rizki zake!!!

  • @azizaiddy4981
    @azizaiddy4981 4 ปีที่แล้ว +1

    Allahumma ghfirlahaa warhamhaa waskanhaa fil jannah

  • @ismailysaid2844
    @ismailysaid2844 4 ปีที่แล้ว +2

    innalillahi wainna ilayhi raajjiun allah amrehemu sheikh wetu amlaze mahali pema peponi aamiin

  • @mariamsfamily482
    @mariamsfamily482 4 ปีที่แล้ว +4

    innah llillahi wainna illahi rajiun Allah ampke na mikono miwili ya rabbi am futie madhambi yake

  • @hawakihomile9273
    @hawakihomile9273 4 ปีที่แล้ว +2

    Innalilah wahinna lilahi lajuuni 🕌🙏

  • @chamritaabdul1592
    @chamritaabdul1592 4 ปีที่แล้ว +9

    Innalillahi wainnailayhi rajiuun. Allah amrehem, ampe kauli thabit.

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว

    Allah warehem marhum zetu waepushie na adhab ya kabri sote niwa Allah na kwake tutarejea

  • @abouhamidu9623
    @abouhamidu9623 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah mrehem shekhe wetu kipenzi Suleiman kilemile hakika yapaswa tuige Yale tuliyo kuwa tunayo ona kwake na mafundisho yake aliyo tupatia Yah ALLAH Yah Qareem Yah JABAR Yah kudus Yah radhak hakika Wewe ni mwingi wa rehma Hakika kwako tutarejea pindi utakapo tuitaji waja zako hakika Shekhe wetu maalim wetu Leo umemuitaji na kaitikia wito wako 😭😭 yarab mpe kauli iliyo Thabit mjawako Uyo ambae Leo ameitikia wito wako inshallah marehem Yah ALLAH

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Hemeid bin Jumaa bin Hemeid (Al Marhum)
    Sheikh Kassim bin Jumaa (Al Marhum)
    Sheikh Suleiman Gorogosi (Al Marhum)
    Sheikh Suleiman Bin Amran Kilemile (Al Marhum)
    Sheikh Muharram Juma Doga (Al Marhum)
    Sheikh Twaha Suleiman Bane
    Wanazuoni wakubwa wa kiislamu kuwahi kutokea katika nchi hii tuliwaidhika sana kupitia RTD na mawaaidha Yao miaka Ile 1980s-1990s Allah awape Pepo waliotangulia mbele ya Haki na waliohai Allah awape umri mrefu tuzidi kufaidika nao insha'Allah

  • @mwisakihaji3782
    @mwisakihaji3782 4 ปีที่แล้ว +1

    Allahu mathabbituka min qaul thabit ...amiiin

  • @bilalkarotta8291
    @bilalkarotta8291 4 ปีที่แล้ว +4

    MOLA TWAKUOMBA UMSAMEHE SHEIKH LETU NA UMUWEKE MAHALA PEMA PEPONI KWA BARAKA YA MTUME S.A.W

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 4 ปีที่แล้ว

    Innalilaah wainnaillaah rajiun Allah ampe kauli thabit ishaallah

  • @wardasaid9083
    @wardasaid9083 4 ปีที่แล้ว

    Allahumma ghfir lahu war hamhu waaskin hu fil jannah.amin

  • @issaomarali6560
    @issaomarali6560 4 ปีที่แล้ว

    Inna lillah wainna ilyhi rwajiuun huu ni mwaka ambao Allah anatupima kwa mitihn mwaka huu tumeondokewa na viongoz wa dini viongoz wa serekal na sisi mungu atupe mwisho mwema.

  • @ziggyrayan9604
    @ziggyrayan9604 4 ปีที่แล้ว

    Allah akulaze mahali Pema Insha Allah😭😭

  • @radhiamalla9428
    @radhiamalla9428 4 ปีที่แล้ว +2

    Innalilah wainaillah rajeun Allah amrehem Shegh wetu innshaaAllah na Allah atujaalie mwisho mwema

  • @ibinhussein8561
    @ibinhussein8561 4 ปีที่แล้ว +10

    🔷🔶ALLAH amrehemu Sheikh wetu sheikh Suleiman Kilemile🔶🔷
    ______________________________

    • @khadfarsaid5098
      @khadfarsaid5098 4 ปีที่แล้ว

      Eeh!!Allah umeamua kuwachukuwa mashekh na wachungaji tunakuamba warehemu utujalie wangine wanye hekma kama hawa amiina!!!!

    • @ayushachidau6758
      @ayushachidau6758 4 ปีที่แล้ว

      Inshaallah akaigie peponi😭😭😭+254

    • @katibatanzania3089
      @katibatanzania3089 4 ปีที่แล้ว

      Inalilahi wainalilahi rajiuni mwenyezi mungu ailaze mahali pema Peponi ampe kauli sabiti na mwezi uu wa ramadhani

    • @ibinhussein8561
      @ibinhussein8561 4 ปีที่แล้ว

      Allaahumma ameen 🔷 🔶

    • @ayushachidau6758
      @ayushachidau6758 4 ปีที่แล้ว

      @@ibinhussein8561 .
      Tuma amiin

  • @mahmudumuhammed8174
    @mahmudumuhammed8174 4 ปีที่แล้ว +3

    Innaa lilahi wainnaa ilayhi raajuuun.allah akulaze mahala pema pepon .elim inarud kwa jalali

  • @abdallaramadhan3850
    @abdallaramadhan3850 4 ปีที่แล้ว +5

    Yaa Allah mrehemu sheikh wetu,msamehe,mpe kauli thabit na mlipe malipo thabit....Sisi ni wa Allah na kwake tutarejeya..

    • @cutenahla8957
      @cutenahla8957 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu amlaze pema na wote walotangulia amswameh na sisi atuswameh na ikiwadia wakti wetu atupe nusul hatima nasisi tuzikwe na umaa kma hunuu

    • @abdallaramadhan3850
      @abdallaramadhan3850 4 ปีที่แล้ว

      @@cutenahla8957 aaamiyn.

  • @عمررمضان-ب7س
    @عمررمضان-ب7س 4 ปีที่แล้ว +1

    غفر الله له وأدخله فسيح جناته والله إن القلب ليحزن والعين لتذرف ولا نقول إلا ما يرضي الله..
    اللهم يا ولي نعمتي وملاذي عند كربتي أسألك أن تجعل قبره روضة من رياض الجنة

  • @asmaturrango6456
    @asmaturrango6456 4 ปีที่แล้ว +3

    Innalillah Wainnailayhi Raajiuun, Allah ampe kauli thabit Sheikh wetu na ampe daraja la juu kabisa ktk pepo yake inshaallah. 😔

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

    Unamwambia mungu asimwadhibu!!! tunamuomba mungu asimwadhibu nafikiri itakuwa sahihi zaidi!!!

  • @mwajumabakari3730
    @mwajumabakari3730 4 ปีที่แล้ว

    Inalilah wainailah lajuun ndugu zangu waislam Leo hii Allha kamchukua mja wake huyu Ni huzuni kwetu maana Hawa ndy mashehe tunaowategemea ktk zama hizi tulizo nazo ngumu tumuombe Sana Allha atupe mwisho mwema na sie tulio Bali amiin🤲😭

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 4 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah kiukwel uma urifumuka s mchezo Allah akampe mapokez mema uko aendapo

  • @scayroad8500
    @scayroad8500 4 ปีที่แล้ว +4

    ALLAH AKUPE PEPO YA FRIDAUC KAZI UMEIMALIZA MBELE WW NYUMA SIE SHEKHE WETU.INNALILAH WAINNAILAH RAJIUN

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 ปีที่แล้ว +3

    Hakika bab deo miladu hii ni fahari yetu waislamu wote kwa ujumla dunia nzima

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 4 ปีที่แล้ว

    Allah akakupe sauth tabit kathik safar yko shkhe we2 mbel yko nyuma ye2

  • @aymanamohamed4725
    @aymanamohamed4725 4 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 ALLAH AKUPOKEE SALAMA AMIN

  • @hawasaid484
    @hawasaid484 4 ปีที่แล้ว +4

    Innalilah waina illah rajiun , yaallah mpokee mja wako kwa mkono wa kulia

  • @elroyaladyzu349
    @elroyaladyzu349 4 ปีที่แล้ว +1

    Inna lllilah rajiun Allah akupe kaul thabit

  • @hajimtunguja5672
    @hajimtunguja5672 4 ปีที่แล้ว

    Mungu amuweke mahali pema peponi amin

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 ปีที่แล้ว

    اللهم ثبته بلقول الثابت

  • @rubbysaleh4530
    @rubbysaleh4530 4 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainailayhirajiun Allah ampe kauli thabit amiin

  • @khadhoujjojo338
    @khadhoujjojo338 4 ปีที่แล้ว

    Inna Lillahy Wainna Ilayhi Raajioun.... Sisi wote ni wa Allah na kwake hakika tutarejea

  • @hamisichina331
    @hamisichina331 4 ปีที่แล้ว +5

    Allah amrehemu inshaallah

  • @ostadhimaulidi5030
    @ostadhimaulidi5030 4 ปีที่แล้ว +7

    Hii ni miongoni mwa dalili za qiyama kuondoshwa kwa elimu wanawachuoni wetu ndo wanakwisha hivyo na elimu inapotea ivo m mungu amfanyie wepesi huko aendako

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 4 ปีที่แล้ว +1

    So sad 😭😭inallilah wahina Lilah laajiun

  • @kingzerock1504
    @kingzerock1504 4 ปีที่แล้ว

    Allah Akulaze Mahala Panapo Sitahiki

  • @bintdhahabu787
    @bintdhahabu787 4 ปีที่แล้ว

    inna lilahi wanna ilaihi rajiuuna allah mrehemu shekhe wetu, muondoshee adhabu ya kaburi muandalie makazi mema inshallah 🙏😭

  • @jumahory3069
    @jumahory3069 4 ปีที่แล้ว +2

    mungu ampenuru Kabuki lake

  • @subrasalim8927
    @subrasalim8927 4 ปีที่แล้ว

    Yaa Allah mlipe shekhe wetu kwa mafundisho alotuachia Yaa Allah nakuomba unijaalie mwisho mwema

  • @aishahamismabugmashaalluh3255
    @aishahamismabugmashaalluh3255 4 ปีที่แล้ว

    Inallilah wainallih rajuni MUNGU awalaze mahali pema peponi maiti wote 😭😭😭

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbele yake nyuma yetu.mungu amrehemu shekhe wetu 😭😭😭

  • @issaali8277
    @issaali8277 4 ปีที่แล้ว

    الهم غفرله ورحمه وعفونه وأكرم نزله وودخل مدخله ونقه من خطاياه كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس. الهم بدله دار خير من داره واهلا خيرا من اهله.

  • @shikuassi4876
    @shikuassi4876 4 ปีที่แล้ว +6

    Dalili za kiyama ndg zangu, watu wema wanaondoka, yarabb tujalie mwisho mwema

  • @arabimandindi3713
    @arabimandindi3713 4 ปีที่แล้ว +3

    Innalillah lillah wainna ilaihi rajing'un 🕌🕌🕌

  • @hajiseif3255
    @hajiseif3255 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah S .W.T ampe kauli thabit na ampe pepo ya daraja la juu kabxa !!! Amiin thumaa amiiin😭😭😭

  • @abdallahjuma8168
    @abdallahjuma8168 4 ปีที่แล้ว

    Innalillah Wainna ilayh Rajiuun Mwenyez Mungu mjaalie mja wako huyo pepo yako ya juu

  • @nanashekale2772
    @nanashekale2772 4 ปีที่แล้ว

    ALLAH amsameh dhambi zake in shaa Allah

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainnailayhi raajiuun
    Allah ampe kauli thaabit Al habibi kilemile na Sisi atupe kauli thaabit mwisho wa siku

  • @fauziaomary8903
    @fauziaomary8903 4 ปีที่แล้ว

    Allah ampe pepo ya firidausi amiin

  • @hamismungur8744
    @hamismungur8744 4 ปีที่แล้ว +2

    اللهم اغفرله ورحمه وسكنه في الجنة

  • @maryammct3967
    @maryammct3967 4 ปีที่แล้ว

    Alllh akurehem 😭😭😭😭

  • @emmyayoub8249
    @emmyayoub8249 4 ปีที่แล้ว

    Allah amrehemu kiongoz wetu

  • @aminasubira6591
    @aminasubira6591 4 ปีที่แล้ว +7

    AMA KWA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA 🙏🙏🙏😭😭😭

    • @najimshaib9306
      @najimshaib9306 4 ปีที่แล้ว

      Kbx wallah kila nafs itaonj maut

  • @khadijaabdallah9613
    @khadijaabdallah9613 4 ปีที่แล้ว

    Allah atamlipa shaikh kw alio yatanguliza ila ndugu kweny msiba mmezidisha uzushi tuzke kw mafundisho sahihi

  • @hawa4968
    @hawa4968 4 ปีที่แล้ว

    Inna Lilah wainah ilayhiy ranjiun! Allah atupe mwisho mwema

  • @mudrickmbuyu3263
    @mudrickmbuyu3263 4 ปีที่แล้ว

    Innalillahir Wainnaillahi rajiun Kipenzi cha Umma wa Kiislamu Sheikh Kilemile

  • @ayushachidau6758
    @ayushachidau6758 4 ปีที่แล้ว

    Nimeteleza
    Mungu inshaallah atatupa zaidi yake+254

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 4 ปีที่แล้ว +2

    Allahuma Fiilahu Warhamhu Waaskunu Filjanna

  • @amourabdallah2978
    @amourabdallah2978 4 ปีที่แล้ว

    Dah nimefurahi kumuona sheikh wangu wa Riyadh kwa Mnyimaki Alhabibu Said Mohamedi Saidi Mnyimaki

  • @hidayashaaban4542
    @hidayashaaban4542 4 ปีที่แล้ว +5

    Allah ampe kauli thabit na amjaalie nuru ktk kabur lake tumeondokewa 😭 😭

  • @suleimanshaban2140
    @suleimanshaban2140 4 ปีที่แล้ว

    Yaarab,, twakuomba umpe pepo ya juu ,,aamin

  • @jacklinethomas110
    @jacklinethomas110 4 ปีที่แล้ว

    Ina lilah,waina lilah rajoun

  • @hassanmbaga4169
    @hassanmbaga4169 4 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar,,innalilahi waina ilahi rajiuun

  • @kasimugullum5862
    @kasimugullum5862 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah amfanyie wepesi ktk qabri yake

  • @alhaithamiy_
    @alhaithamiy_ 4 ปีที่แล้ว +5

    Tumepoteza sheikh letu wallah.... 😢 😢 😢 😢 PIGO KUBWA SANA KWETU.

  • @abasimfaume1482
    @abasimfaume1482 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah amrehemu na amjaalie pepo yenye darja pia atujaalie mwisho ulio mwema

  • @ibrahimbakary2464
    @ibrahimbakary2464 4 ปีที่แล้ว +1

    Inna lillah waina illaih rajiuun 😭😭😭😭🤲🤲

  • @khadijasharifu9591
    @khadijasharifu9591 4 ปีที่แล้ว

    Inalilah wainnaillah rajunna Allah amlaze maala pema peponi ample kauli dhabiti

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 4 ปีที่แล้ว

    Wewe mbele cc nyuma yako sote niwa Allah Allah nakuomba umpunguzie adhabu yakaburi kwaqadar zako Allah

  • @habbysaleh4521
    @habbysaleh4521 4 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainailah rajiun , mungu amrehem shekh wetu

  • @mariamumapunda4614
    @mariamumapunda4614 4 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainnahilah rajiuun 😭 Allah akulipe lillilobora

  • @khadijaallyissa5340
    @khadijaallyissa5340 4 ปีที่แล้ว

    Inalillah wa inna illah rajiun

  • @adenmikoba7506
    @adenmikoba7506 4 ปีที่แล้ว +3

    innalillah wa inna ilayh raajiuun

  • @sayeedsaleem6395
    @sayeedsaleem6395 4 ปีที่แล้ว +2

    Inalillah wainna ilayhi raajioon

  • @bilihudamapesa2012
    @bilihudamapesa2012 4 ปีที่แล้ว +2

    Inalilah waina ilah rajioun 😭😭😭😭

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 ปีที่แล้ว +3

    Mbele yake nyuma yetu sote ni wa Allah nakwake tutarejea Allah amuhifadhi pema Ammin nasi atupe mwisho mwema Ammin

  • @athumanihassani1005
    @athumanihassani1005 4 ปีที่แล้ว +2

    اللهم اغفر له وارحمه، وعافه ،واعف عنه ،وأكرم نُزُله ، ووسع مُدخلهُ ، واغسله بالماء والثلج والبرد ، ونقه من الخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس ، وأبدله داراً خيراً من داره ، وأهلاً خيراً من أهله وزوجاً خيراً من زوجه، وأدخله الجنة ،وأعذه من عذاب القبر

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 4 ปีที่แล้ว +2

    Wewe sijui unaijiita banabi naona umecoment hapa unasema kuna wanauzikwa na watu kumi na kuna wanauzikwa na watu wengi nyamaza hapo hapo funga mdomo wako tafadhal usitutie machungu zaid tafadhal san huy Sheikh wetu haiwezekan na haitowezakana kuzikwa na watu kumi hata iwej watu tumeshikamana san kama lolote litokee lakin kwa mtu mzito kama huy haiwezekan abadan abadan Mkuu wako wa mkoa katulia wewe nan?...tena tulia kama maji ya mtungin tuwache na msiba wetu tafadhal san.....unawaona hapo Masheikh wakubwa wamejitoa pamoja na umma wa Kiislam bila kujal kuna nin sote kwake tutarejea atuna hofu wala shaka na hili ....machoz yananitoka hv sasa kwa hali hii nnayoiona umma ulivyojitokeza ..

    • @loolaa1783
      @loolaa1783 4 ปีที่แล้ว

      Naombeni kujua jaman huyu ndio mwenye anafasiri quraan kiswahili? Tafadhali nijuze

    • @rukiamohammed5031
      @rukiamohammed5031 4 ปีที่แล้ว

      Tena atuache actubadilishe mawazo 😌na atuogope km Corona

  • @ashasaidi1895
    @ashasaidi1895 4 ปีที่แล้ว

    Allah mrehemu marehemu wetu awe kwenye Busta ya milele

  • @salmabossler5284
    @salmabossler5284 4 ปีที่แล้ว

    Ina Lilahi Waina Ileyhi Rajuun!