ALI KAMWE NA AHMED ALYY USO KWA USO UTACHEKA/ MPANGO KAZI WAO UPO HIVI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2024
  • ALI Kamwe Ofisa Habari wa Yanga na Ahmed Ally Meneja wa Idara ya Habari ndani ya Simba uso kwa uso walikuwa na tambo zao kila mmoja kwa namna yake katika kuibua mabosi wapya wajao.

ความคิดเห็น • 73

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 6 หลายเดือนก่อน +10

    SIMBA NGUVU MOJA 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💖 mashabiki bora barani Africa

    • @masoudmwakoba2757
      @masoudmwakoba2757 6 หลายเดือนก่อน +1

      Huo ubora kwenye mashindano gani?
      Kwenye ndondo huko

    • @user-px3ct3nq6r
      @user-px3ct3nq6r 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio mafanikio yenu😂

    • @mayrose9772
      @mayrose9772 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂​@@masoudmwakoba2757

  • @MarckyCholla
    @MarckyCholla 6 หลายเดือนก่อน +14

    Nawakubali sana hawa jamaa sio yule manara matusi mengi na kelele mingi

  • @allymanyika3502
    @allymanyika3502 6 หลายเดือนก่อน +14

    Huu ndo utani unaotakiwa wa simba na yanga, nje ya mpira urafiki uwepo,kila la heri Ally na Ahmed

  • @marystambuli8045
    @marystambuli8045 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi pia Ally Kamwe na Ahmed Ally nimewapenda bure. Kuna kitu cha kujifunza hapo. BRAVO!!! Upendo na udugu

  • @LucasHaile-dy9kd
    @LucasHaile-dy9kd 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aendelee kuwapa moyo wa kupendana hivyo hivyo , wanasoka wote hasa watani wa jadi tunapaswa kujifunza kitu hapa, ahsante sana mbali na kuchangia kukuza vipaji mmetoa somo pia, ahsanteni sana.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 6 หลายเดือนก่อน +6

    AHMED ALLYNA ALLY KAMWE MMENIFURAHISHA SANA NIMEWAPENDA SANA. UKWELI MNAPENDANA SANA. SAFI SAAAANA. HAO WANAOWACHONGANISHA WAACHE HY TABIA NYIENI MARAFIKI SANA. MNAFAA SANA KWENYE TIMU ZETU ZA MPIRA. ASANTENI SANA VIJANA

    • @dizoclick
      @dizoclick  6 หลายเดือนก่อน

      Classic

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 6 หลายเดือนก่อน +14

    Hawa jamaa wanajuana vizuri sanaa nje ya mpira

  • @pendothomas7885
    @pendothomas7885 หลายเดือนก่อน +1

    Tecno kweli aisee

  • @ShawejiKaneka
    @ShawejiKaneka 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba na yanga ni wapinzani ila so kama awapatani maji yanayotoka mto msimbazi ndo yanayojaza jangwani

  • @husnasimba1659
    @husnasimba1659 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nawapenda sana hawa

  • @TedyMshi
    @TedyMshi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda San Viongaz wa mchezo ongera San na mungu awape nguvu

  • @user-jo3xu4bq8g
    @user-jo3xu4bq8g 15 วันที่ผ่านมา

    Nimeipenda sanaa hiiii imeenda kweli hakuna uaduii

  • @fettyabuu2644
    @fettyabuu2644 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mpira ni amani furaha na upendo sio uhadui ,,,safi Sana vijana

  • @deomusyebi9930
    @deomusyebi9930 หลายเดือนก่อน

    Nyie vijana mna mambo lkn vizuri sana vijana wa mateam makubwa Tanzania

  • @user-xi9lj1gz2p
    @user-xi9lj1gz2p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapendaaaa

  • @putilegamagama6049
    @putilegamagama6049 6 หลายเดือนก่อน +8

    WAPO WATU HAMSALIMIANI SABABU YA MPIRA😂😂, HALAFU WANAO UPAMBA MPIRA NDO HAOOO WANAENDA MADUKANI PAMOJA KAMA UNAVYOONA NDUGU MTANZANIA. 😂😂😂 #mpira ni utani usiweke kwenye damu utakutesa😂😂

  • @user-qk5tr8dt7j
    @user-qk5tr8dt7j 4 หลายเดือนก่อน

    Wako vzur sanaaa

  • @Media-zz8ec
    @Media-zz8ec 4 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda mkiwa hivyo

  • @aminakhamis2276
    @aminakhamis2276 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo kweli mmechangia lakini sio kwakuupenda hiyo tecno

  • @emmanuelakutulaga9756
    @emmanuelakutulaga9756 6 หลายเดือนก่อน +24

    Ahmed Ally & Ally Kamwe,...nawapenda sn,Mimi Simba damu....huu ndio Utanzania,tutaniane tunavyoweza but udugu wetu ubaki pale pale,Kuna nyakati nilikuwa naumia sana, sisi mtaani Simba na Yanga tunapendana na pia ni ndugu,...lkini Kuna jmaa yule msemaji feki WA Yanga a.k.a Man......r HUYU kiumbe alitaka kupanda mbegu ngumu sn ktk TAIFA letu,...lkini ameshindwa.

    • @dizoclick
      @dizoclick  6 หลายเดือนก่อน +1

      Tanzania ni Amani na Upendo

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 6 หลายเดือนก่อน

      Usimhukumu mtu...kwani hakuwahi kusema baya alivokua kwenu???!! Ninyi mna roho za vinyongo na visasi...mtu anenda anapoona pana mfaa usilazimishe mambo!! Hata wachezaji wanahama kutokana na maslahi ni mjinga tu ndo atabakia na ushabiki wa kutojiongeza😏

  • @user-be8th5tu5m
    @user-be8th5tu5m 4 หลายเดือนก่อน

    Inapendeza sana jaman muwe vivi hivi siku zote

  • @user-qb6zl4ds4d
    @user-qb6zl4ds4d 6 หลายเดือนก่อน +1

    Aahhhhhh hamed we

  • @SALOMEISULULU
    @SALOMEISULULU 20 วันที่ผ่านมา

    Ameeeen

  • @farajambaza
    @farajambaza 6 หลายเดือนก่อน

    safiii

  • @KarimlimbalileLimbalileyahya
    @KarimlimbalileLimbalileyahya 3 หลายเดือนก่อน

    Nimewakuli maafisa abli yanga na simba❤

  • @SaidyJanuzaj
    @SaidyJanuzaj 4 หลายเดือนก่อน

    Dah utadhan sio wao wakiwa kwenye issue serious za timu zao, sio yule babu matusi ndio kipaumbele chake 😅

  • @bahatisilvesta
    @bahatisilvesta 6 หลายเดือนก่อน

    Hawa jamaa tofauti na mpira wanajuanna

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ahmed Aly kashinda

  • @LinusEdward
    @LinusEdward 6 หลายเดือนก่อน

    Huwezi nunua simu kubwa kama hiyo kwa ngojera kama za ahmed ally za mpaka kadi toa hela nimeipenda😂😂😂😂

  • @mengishabani5026
    @mengishabani5026 28 วันที่ผ่านมา

    👍👍👍

  • @MojaMerekwa
    @MojaMerekwa หลายเดือนก่อน

    Moja merekwa kutoka zanka jamani amekuwaje

  • @edisondiokeresy2306
    @edisondiokeresy2306 6 หลายเดือนก่อน

    Ni wapi apo

  • @user-ie3my5xe9d
    @user-ie3my5xe9d 5 หลายเดือนก่อน

    Mlikua wapi miaka yote? Mmeufanya utani wa jadi uwe wa amani sana.Nawakubali

  • @user-kt3ro2zt5i
    @user-kt3ro2zt5i 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa jamaa inabid wawe Tim moja

    • @LawrencMbwana-dk7rb
      @LawrencMbwana-dk7rb 5 หลายเดือนก่อน

      Hapana mpira hauta noga hivyohivyo ndio safi

  • @danielmjema4316
    @danielmjema4316 6 หลายเดือนก่อน

    io laki4 na 20 ni pro au

  • @thedickisonilinusi
    @thedickisonilinusi 6 หลายเดือนก่อน

    Inapendeza sana

  • @user-gk9wq5pl6l
    @user-gk9wq5pl6l 4 หลายเดือนก่อน

    Mkovizuri wasemaji wetu

  • @givenjackson5449
    @givenjackson5449 4 หลายเดือนก่อน

    Kuwa shule sio kujua English ahmed jaman

  • @abdullhamaidsalum1511
    @abdullhamaidsalum1511 27 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi asaa muna ubumbavu 😂😂😂

  • @user-dv8tx7tn7m
    @user-dv8tx7tn7m 4 หลายเดือนก่อน

    Ahmed Aly haache tabia za kunyanyua vidole juu mtoto wa kiume

  • @rahmaali8423
    @rahmaali8423 5 หลายเดือนก่อน

    Babu edi na babu ali 😅😅😅😅😅

  • @amanlazaro
    @amanlazaro 3 หลายเดือนก่อน

    Natoa ya kufananaaa na wee we we

  • @johannmaloda6027
    @johannmaloda6027 5 หลายเดือนก่อน

    Hawa jamaa bwana wanafurahisha sana😂😂

  • @ZiadaMlowe-pz4pe
    @ZiadaMlowe-pz4pe 27 วันที่ผ่านมา

    Yan apo Ahmed Ally asha salenda Kwa Ally Kamwe!! Mpole huyoooo😂😂😂😂 lakin ally acha mateso yako kwa ahmed

  • @user-ov7ge3ci6f
    @user-ov7ge3ci6f 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio unabust vpaj au kuftengenza

  • @mohdseif2593
    @mohdseif2593 6 หลายเดือนก่อน +1

    Utanzania ndiohuu sijelas

    • @dizoclick
      @dizoclick  6 หลายเดือนก่อน

      Classic

  • @eaportBaraka
    @eaportBaraka 3 หลายเดือนก่อน

    500000 nahitaj

  • @JohnsonMartin-gc1lw
    @JohnsonMartin-gc1lw 19 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅😅

  • @user-yu9hn2cq3y
    @user-yu9hn2cq3y 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 kisipiker vs miwani 😂😂kizazi jeuri

    • @dizoclick
      @dizoclick  6 หลายเดือนก่อน

      Si mchezo

  • @user-zr8be7ep4g
    @user-zr8be7ep4g 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa jamaa wanajuana

    • @mwanza_university
      @mwanza_university 6 หลายเดือนก่อน

      kumbuka wamefanya kazi wote azam media

  • @PiliAbdallah-vc2no
    @PiliAbdallah-vc2no 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @user-pm5oj6op5d
    @user-pm5oj6op5d 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @kwangahudispensary7238
    @kwangahudispensary7238 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii combination ni noumer

    • @cornelphilipo2976
      @cornelphilipo2976 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa jamaa wanaelewana sasa, cc tunauana bure

    • @dizoclick
      @dizoclick  6 หลายเดือนก่อน +1

      Classic

    • @user-vr5bi8rb8y
      @user-vr5bi8rb8y 6 หลายเดือนก่อน +1

      Me ndo mana sa hivi,sitaki kuumia na mpira Wala kumchukia msemaji yoyote😅😅😅,tunaumbuka sie mashabiki

  • @IsmailMakeo-ne3iy
    @IsmailMakeo-ne3iy 23 วันที่ผ่านมา

    Hahahahahah Et Unaandika Kwa Kulemba San Aisahihishwi

  • @user-ov7ge3ci6f
    @user-ov7ge3ci6f 6 หลายเดือนก่อน

    Yan bongo kwel mipango ziroo

    • @Shera806
      @Shera806 6 หลายเดือนก่อน

      Tuoneshe uwo wako uliosoma😢