MPAKA HOME: Maisha Halisi ya PEMBE, Ana Watoto 10!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 450

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 ปีที่แล้ว +57

    Mashaallah mzee mungu kamjalia kizazi alhamdulilai na kujipanga kimaisha jazzak Allah khery mungu azindi kkucmamia ameni

  • @fatumamramba2584
    @fatumamramba2584 5 ปีที่แล้ว +2

    Big up mzee pembe allah akuinue zaidi akujaalie mazuri kwahakika sanaa umeitendea haki hukufanya masihara umejijinga .umemshinda bambo sijui anakwama wapi.hongeza sana mzee pembe

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 6 ปีที่แล้ว +5

    Duuuu hongera sana pembe kwa hatua nzuri ya maisha unayoyaishi hakika kazi hiii umepata manufaa mazuri ,umepata nyumba nzuri, familia nzuri.Mungu akubariki sana.

    • @nicholausmbilinyi3587
      @nicholausmbilinyi3587 6 ปีที่แล้ว

      kabisaaa..mungu ambariki sana mzee huyu..anao mwamvuli wa uzeeni tayari kwakweli

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 6 ปีที่แล้ว +20

    Mzee Pembe M.mungu akusimamie kwenye maisha yako na familia kwa jumla

  • @evelynmon6491
    @evelynmon6491 6 ปีที่แล้ว +2

    Daaah! kajitahidi sana mzee pembe mwenyewe nyumba zuri kabisa na familia imetulia hadi raha kwa msanii Wa Tanzania kajitahidi sana maana maslahi yao wananyonywa sana hongera sana mzee

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 5 ปีที่แล้ว +17

    Mtangazaji una heshima sana safi sana .

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 6 ปีที่แล้ว +30

    Maashallah mzee katuliaaaaa na family yake hao ndio wasaniii sio hawa washinda mitandaoni namakk na skendo mby.

  • @nasraiddy8164
    @nasraiddy8164 6 ปีที่แล้ว

    Nampendaa huyu mzee jamanii ....ya rabi awape umri mrefu wazee wetu senga ,pembe na wengineo maana ndio furaha yetu ....Allah amhifadhi mahala pema peponi mzee wetu king majuto...na merehemu wote waliokwisha tangulia mbele ya haki

  • @nuruihondi1481
    @nuruihondi1481 6 ปีที่แล้ว +24

    Nasikitika kusikia maisha Pembe akiamka asbh saa 12 bila ya Ibada anatoka njee kuchungulia jua la Mungu:namuombe Allah ampe utambuzi wa Ibaba kabla ya kuchungulia jua:Inshaa Allah***

    • @a2gmgimwa3
      @a2gmgimwa3 6 ปีที่แล้ว +3

      Ibada ni jambo ambalo hua mtu afanye si lazima aseme

    • @badmanvibees
      @badmanvibees 5 ปีที่แล้ว +3

      Ibada sio matangazo, ukisali rafiki wakuone utafeli

    • @hamzamwilaphy2902
      @hamzamwilaphy2902 5 ปีที่แล้ว

      @@badmanvibees kabisa, anataka ataje mkapa kuswali

  • @tinawilliam4961
    @tinawilliam4961 6 ปีที่แล้ว +23

    Hongera sana pembe uko vzr kimaisha

  • @jacklinefelix7156
    @jacklinefelix7156 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sn Mzee wangu Mungu akutunze na familia yko

  • @suzanapatricks4512
    @suzanapatricks4512 6 ปีที่แล้ว +2

    Duuh! Mmempata wapi uyuu yani siamini duh! Asanteni sana...twendeni kwa senga naee tukaone Ama vip mazeee!

  • @kelvinmathias7357
    @kelvinmathias7357 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mzee Pembe na Mungu akupe maisha marefu,maaana wewe na Senga nawpenda sana na DVD zinazohusisha wewe na senga ninazo

  • @danieljefwa2071
    @danieljefwa2071 5 ปีที่แล้ว +2

    1/1/1976 pembe aana Sanaa. Daah hongera baba

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mzee mungu hazidi kukujalia ama kweli uko vizuri mungu hakulinde pamoja na kizazi chako

  • @fayzersuleyman6674
    @fayzersuleyman6674 6 ปีที่แล้ว +1

    daaaah mitaa ya home nimepamiss sana home wallah... nakuona mama salma bize na kuuza kuku☺☺

  • @orediflavour
    @orediflavour 6 ปีที่แล้ว +4

    Mwende kwa mzee senga kwanzaee please 🤣🤣 mtangazaji uko poa 😍😍

  • @AliBaba-zb3tg
    @AliBaba-zb3tg 6 ปีที่แล้ว +8

    Huyu baba kila siku yuko ivi ivi mashallah Allah Akuweke Babu yetu

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 6 ปีที่แล้ว +6

    Yuko vizuriii hongeraaa

  • @pendoernest9444
    @pendoernest9444 5 ปีที่แล้ว +7

    Mtangazaji nimekupenda uko na adabu sana Hongera kwa hilo
    Mimi pembe na senga hawaniachagi salama kwakweli😂😂😂

    • @emmanuelndaki5214
      @emmanuelndaki5214 5 ปีที่แล้ว

      Yaani mzee nilivyokuwa namuona ndani ya Sanaa ni tofauti kabisaaaa na Maisha yake anayoishi! Mungu ampe Maisha marefu!

  • @aminamrope9785
    @aminamrope9785 6 ปีที่แล้ว +14

    Masha Allah katulia Baba na familia yake

  • @manofgodbabazero9237
    @manofgodbabazero9237 5 ปีที่แล้ว

    Haya ndo Maisha ya kisanii..... Mpeni Like Mpembee

  • @mwajabumussa4860
    @mwajabumussa4860 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana mzee malezi bora watpto na wajukuu

  • @princekarani7836
    @princekarani7836 6 ปีที่แล้ว +8

    daaah!!apo freshiii umefanya kaz nzur za sanaa alafu mjengo wako uko poa kwel

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 6 ปีที่แล้ว +1

    mashaallh

  • @kennedjohn5785
    @kennedjohn5785 6 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji uko vizuri sana umerelax..keep on doing bro utafika mbali

  • @mhinajohn1548
    @mhinajohn1548 6 ปีที่แล้ว +2

    Dah!!! Mzee kajipanga uzee wake anaula vizuri

  • @lameckfrank2660
    @lameckfrank2660 6 ปีที่แล้ว +4

    Kijana snash hongera sana nakuona umepiga hatua. Uko vzr sana kijana piga kazi.

  • @happyanania6208
    @happyanania6208 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akujaalie maisha marefu pembe pamoja na familia yako

  • @elvismlay418
    @elvismlay418 6 ปีที่แล้ว +7

    Long time sana pembe job ulianza unahaki ya kuwa na wajukuu

  • @esharamadhani3438
    @esharamadhani3438 6 ปีที่แล้ว +28

    😂😂😂😂😂😂😂msisahau senga pia nawapenda sana hawa jamaa

  • @vkdjdnznzzn9507
    @vkdjdnznzzn9507 6 ปีที่แล้ว +1

    Ongera sana mzee pembe nimfano wa kuigwa

  • @aishaail4455
    @aishaail4455 6 ปีที่แล้ว +12

    Mzee pembe mkarimu ,rungu la shilingi miatatu linaendesha maisha yake ongera sana.

    • @haibuninale7540
      @haibuninale7540 5 ปีที่แล้ว

      Duu mzee unawatoto wengi

    • @lykamlaki1218
      @lykamlaki1218 5 ปีที่แล้ว

      😂 yaani ukiambiwa unaweza usiamini

  • @jaliakamote5485
    @jaliakamote5485 6 ปีที่แล้ว +2

    Baba ukiamka usichungulie jua nakuwahi kifungua kinywa,jitahidi ukiamka ufanye ibada umshukuru Mungu kwakukuamsha,ndipo ufungue kinywa.

  • @obbytz3995
    @obbytz3995 6 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri kijana nimeipenda

  • @memisaphusseni7190
    @memisaphusseni7190 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mzee wetu uko sawa alhamdulillah

  • @doyjack95jack39
    @doyjack95jack39 6 ปีที่แล้ว +9

    Nice family

  • @kokubanza8538
    @kokubanza8538 6 ปีที่แล้ว +2

    Guys I love this may ❤❤❤❤ nakupendqa

  • @brownjumbe9
    @brownjumbe9 6 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah

  • @aminaomary3118
    @aminaomary3118 6 ปีที่แล้ว +6

    Mashallaah mzee umejitahidi

    • @bakarijuliwa5175
      @bakarijuliwa5175 6 ปีที่แล้ว

      hongera mzee hukutaka kujenga eshima baa

  • @Myright888
    @Myright888 6 ปีที่แล้ว +16

    Pembe wanguuu!! Jamani ukiangalia hii video nitafute my kaka, long time sana, miss youuuuuu!

    • @beautywithnay5974
      @beautywithnay5974 6 ปีที่แล้ว +4

      Mic u na wewe dada nyaso wangu jmn enzi za daimond jebeleee mpz 😘😘😘😘

    • @Myright888
      @Myright888 6 ปีที่แล้ว +1

      @@beautywithnay5974 ahahahahaha Nasra wewe jamani

    • @Myright888
      @Myright888 6 ปีที่แล้ว +1

      @@beautywithnay5974 miss u sana mdogowangu

    • @beautywithnay5974
      @beautywithnay5974 6 ปีที่แล้ว +1

      Nakupenda sana dada nyaso yesu akutunze kwa ajiri yangu

    • @Myright888
      @Myright888 6 ปีที่แล้ว

      @@beautywithnay5974 oh my God, asante Nasra wangu.
      Ubarikiwe kwa upendo na mi nakupenda sana yaan nimekumiss sana dear

  • @andrevdheuvel4340
    @andrevdheuvel4340 6 ปีที่แล้ว +1

    mwenyezi mungu akulinde mzee pembe

  • @mealemalika7565
    @mealemalika7565 5 ปีที่แล้ว +13

    Kumbe pembe ukiwa kwako wee mtulivu hivo ukikutana na Senga ndio huwa wazingua sana hongera lakini

  • @niceladeus1697
    @niceladeus1697 6 ปีที่แล้ว +2

    love him

  • @anawa4326
    @anawa4326 5 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @brunompolle1404
    @brunompolle1404 6 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda Sanaa ya dizain hii pembe Asante mungu akupe ulinzi wamaisha

  • @teddyantony7279
    @teddyantony7279 6 ปีที่แล้ว

    Hongela san baba pembe

  • @husnahkidula6891
    @husnahkidula6891 6 ปีที่แล้ว

    waaoooh nimekukic khadija
    😍😍😍my classment jmn umependeza sana kipenzi

  • @domihmwesh9021
    @domihmwesh9021 6 ปีที่แล้ว

    Ongera sana kwa mzee

  • @merianhalibunyoha2629
    @merianhalibunyoha2629 6 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mzee pembe alivyo mkaribu utazani shekhe toka utotoni mungu ampe pumzi ndefu ktk maisha marefu nabaraka tele za watoto na wajukuu kaajaliwa haswaaaa jamani usisahau jumtembelea na hasimu wake senga jamani

  • @pagodakidume6446
    @pagodakidume6446 5 ปีที่แล้ว

    Hongera mzee pembe umajipanga kimaisha upo vizur sana

  • @kingdonald3312
    @kingdonald3312 5 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana uyu Mzee na pacha wake SENGA 😃😃

  • @happinessjoseph3571
    @happinessjoseph3571 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akusimamie mzee wetu

  • @husseingwanone7825
    @husseingwanone7825 6 ปีที่แล้ว +12

    Alie Miss Rungu LA Pembe Gonga Like

  • @ramadhanmanko4614
    @ramadhanmanko4614 6 ปีที่แล้ว

    Pembe munguakubaliki

  • @taabohosain3849
    @taabohosain3849 6 ปีที่แล้ว

    Masha'Allah

  • @jacksonmsuya1812
    @jacksonmsuya1812 6 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @armandoleonardo3643
    @armandoleonardo3643 6 ปีที่แล้ว +1

    Gosto mwito dessa equipa,Pembe com Seu amigo Senga força ai mas velhos

  • @halimasaid7184
    @halimasaid7184 5 ปีที่แล้ว

    Ongera sana baba umejipanga

  • @godfreyorago7501
    @godfreyorago7501 6 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa

  • @mpendwalove4390
    @mpendwalove4390 6 ปีที่แล้ว +20

    Mzee kweli kajipanga..yupo vizuri

    • @marygaspar6429
      @marygaspar6429 6 ปีที่แล้ว

      Ingekuwa mzee wa kichaga, angekupeleka shule tu, mambo ya kukupa fremu hayapo!

    • @shabaniliwiga2599
      @shabaniliwiga2599 6 ปีที่แล้ว +1

      Hongera zake

    • @johnsimbeye3934
      @johnsimbeye3934 6 ปีที่แล้ว +1

      Nakukubali mzee pembe

    • @lykamlaki1218
      @lykamlaki1218 5 ปีที่แล้ว

      Yuko vizuri kweli alijua kutumia kidogo alichokipata enzi hizo kujipanga

  • @kingmavenga8913
    @kingmavenga8913 5 ปีที่แล้ว +1

    mtangazaji unakwa katika kuchukua historia ya mtu "amesema alikuwa anapg ngoma je umeshindwa nini kumuliza aligunduaje kipaji chake cha uigizaji hadi kuingia huko"

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 6 ปีที่แล้ว +14

    Nampenda sana pembe,anajua sana kuchekesha Kwa Kweli looh,familia Hiyo ni wastaarabu sana sana,mimewapenda sana

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 6 ปีที่แล้ว +71

    Mwende na kwa Konk master...yeye interview zote ni bar...

    • @abyudmsigwa2209
      @abyudmsigwa2209 6 ปีที่แล้ว +1

      neema charles Ndio konk bar tu tunataka mpaka home

    • @Blackie_blackie9327
      @Blackie_blackie9327 6 ปีที่แล้ว

      @@abyudmsigwa2209 yap yap

    • @salimsadick9533
      @salimsadick9533 6 ปีที่แล้ว +1

      Fanya muende kwa senga

    • @jaguarpaw113
      @jaguarpaw113 6 ปีที่แล้ว

      neema charles daaa umeniweza

    • @sekelatunko20
      @sekelatunko20 6 ปีที่แล้ว

      neema charles hahahahaaaaaa

  • @eliphaziamon8794
    @eliphaziamon8794 6 ปีที่แล้ว

    Duuu nimependa sana hongera mzeeee wetu

  • @gambwemfaume5580
    @gambwemfaume5580 6 ปีที่แล้ว +1

    big up

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana father pembe good

  • @madengesalimu6881
    @madengesalimu6881 6 ปีที่แล้ว +2

    Eu gosto muinto storia de Ese masvelho Aquele hestoria que saiu nu 2001

  • @عوشزنجبار
    @عوشزنجبار 6 ปีที่แล้ว +4

    Umejipanga vinzuri sana mzee wetu ongela kwa kaziyako

  • @franknicholaus8393
    @franknicholaus8393 6 ปีที่แล้ว +3

    Kama umeiskia iyokote kwambali ngonga like twende sawa

  • @reghinahaule8360
    @reghinahaule8360 6 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 jomoni nakukubali sana Babu ,,, Bless

  • @FatmaFatma-kt1or
    @FatmaFatma-kt1or 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @kalamuyantajajr2605
    @kalamuyantajajr2605 6 ปีที่แล้ว +9

    Duh! Pembe hizi sasa dharau. Yaani we unaanza Sana'a mie ndiyo nazaliwa? Kama na wewe ni mhenga mwenzangu umezaliwa wakati Pembe anaanza sana 1976 like tuandamane mpaka kwa Pembe

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah uliweka dunia nyuma maendeleo mbele saafi 👍

  • @anganilemichael2283
    @anganilemichael2283 6 ปีที่แล้ว

    Daa kitambo sana mzee pembe mungu akutunze wasalimie yombo dovya home boy

  • @jeremiaherasto5893
    @jeremiaherasto5893 6 ปีที่แล้ว +3

    Acha kuchanganya lugha, km unafanya mahojiano kiswahili basi simama katika lugha iyo sio unaanza "mna communicate, creativity"

  • @saidaabdallah4320
    @saidaabdallah4320 6 ปีที่แล้ว

    Safiii sanaa

  • @jenjoseph7270
    @jenjoseph7270 6 ปีที่แล้ว

    safi sana pembe

  • @oman11oman59
    @oman11oman59 6 ปีที่แล้ว +10

    Kumbe watoto siku hizi wanaitwa frem duh hatariiii saruti kwako mzee senga

  • @neemaruhembe6360
    @neemaruhembe6360 5 ปีที่แล้ว +1

    Pembe mashallah

  • @nyotayajaa3890
    @nyotayajaa3890 6 ปีที่แล้ว

    munguakulide

  • @theodorageorge8505
    @theodorageorge8505 6 ปีที่แล้ว

    nice

  • @faridasaid8724
    @faridasaid8724 6 ปีที่แล้ว +1

    ukweli kabisa

  • @godlistenmaridadi754
    @godlistenmaridadi754 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa
    Senga lini

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 6 ปีที่แล้ว +34

    Pembe baba yangu umejipanga sana ongela

  • @viacaleb9542
    @viacaleb9542 6 ปีที่แล้ว +3

    Mtangazaji handsome

    • @HusenNdambile
      @HusenNdambile 2 หลายเดือนก่อน

      Umalaya tuuuuh kuoga aaah

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 6 ปีที่แล้ว

    Safi Sanaa Mzee pembe

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 6 ปีที่แล้ว +2

    wow, kajipanga sawasawa mtafte senga tena

  • @hamimuramadhan6329
    @hamimuramadhan6329 5 ปีที่แล้ว

    Duuuu Ongera Mzee Wangu Umejipanga Xna

  • @madengesalimu6881
    @madengesalimu6881 6 ปีที่แล้ว

    napenasana movies zake

  • @neemakaluwa5856
    @neemakaluwa5856 6 ปีที่แล้ว +6

    Yaan mzee hujaibiwa iseee!
    Kwel c wakisport sport

  • @ramadhankasora5349
    @ramadhankasora5349 6 ปีที่แล้ว

    good mzee

  • @halfbloodprincess7714
    @halfbloodprincess7714 5 ปีที่แล้ว

    Nimekifulahia sanaaa kipindi hicho

  • @dorcusmsinga3136
    @dorcusmsinga3136 6 ปีที่แล้ว

    Pembe umejitahidi sana Mungu akubariki Sana

  • @rashidkassim7836
    @rashidkassim7836 6 ปีที่แล้ว

    Ongera sana Mzee kwani nyumba ndio hazina kuubwa kuliko hata gari

  • @jvhkbvjnvjkbcjbvcj2822
    @jvhkbvjnvjkbcjbvcj2822 6 ปีที่แล้ว +37

    Mtangazaji na ww ukopoa bana unaadabu2 unaoji kwa kheshima

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 6 ปีที่แล้ว +1

    Bangalore saaafi👍

  • @aminasalum1954
    @aminasalum1954 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndio ndoa kwakweli mwaka 76 mpk Leo ALLAH awape mwisho mwema

  • @allyswear1094
    @allyswear1094 6 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @glorytechnicalsolutions9591
    @glorytechnicalsolutions9591 5 ปีที่แล้ว +1

    bhana mtangazaji ni magari ya buza unashuka dovya chama then unaulizia mcharingeni ukifika tyuu mcharingen bas ni kuuliza tu nyumba ya pembe au baba adam then mambo yanakuwa mareshiiiiiii majirani tunampenda sana mzee wetyuu