ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Pamoja san mzazi,, kama unamkubari Anko ZUMO gonga like yako hapo......!!!!
Hatar familia saafii
Tunamkubaki mai
Hongera sanaa bwana Zumo kwa kuwa na familia nzuri,mke mzuri ,baba mzuri na watoto wazuri .Mungu awaongoze ktk kazi zenu.
Q
Aminaaa
Nice
Amina
Kaoa na kupata wtt nae kijana mdogo sana masha Allah.mungu awabariki ktk maisha yao (family nzima)
Ameen! Hakika hilo ndio jambo la kujivunia! Ndoa ni heshima, si kujifakharisha kupata watoto nje ya ndoa! Mashaallah, Allah ailinde familia yao!
Aise tumefulahia kwakweli big up kwa kaka Mohamed na familia yake ibarikiwe kwakweli mashaAllah
Mashaala munguu awaongoze
I real really like u guys very gd history.. God blessing you all so much...
Mai mhwaah much love frm Kenya 😍
Hta hivyo mai mashaAllah ako vzr mashaAllah Allah amuongoze pia amuepushie hasad azidi endelea vyema
Safi sana,nawapenda sana❤❤🙏🙏
Mai ni nzuri💝
Kama umemuona mtangazaji alivyojiachia kwenye makochi kama yy ndie mwenye nyumba gonga like hapa. ...
😂😂😂😂😂
Mohammed Seif 🤣🤣🤣🤣ivi wabongo mna nini lakini aisee nimecheka sana
😀😀😀😀
Mohammed seif yaan weye wey nmechka kama chiz hahahah
Mohammed Seif 🤣🤣🤣🤣
Nampenda mai mungu amkuze mashallah 😘🙏🙏
Mashallah family nzur nimeipend sana mpo vizur,, mai tunakupenda
you’re soo cute global boy👌👌👌👌anyway blessed family indeed
Mwenyezi mungu awajalie ndoa ya kudumu na amani amin
Mashaalah good family big up to myzumo
huu ndo upendo wa kweli wa anko zumo na mama may pia love u may
Mai zumo❤❤ habiba zumo nawapenda wote
Dah na subiri movie ❤️❤️
Nimependa happy family
Mashallah kwa familiya nzr san
Nawapenda sana
Nikiwaona naanza kicheko haswa Mai nakupenda bure🤣🤣🤣🤣🤣❤
Mnatisha sana
Umetisha anko zoom
Nampenda mai mpka naumwa Mungu abariki kipaji chake abariki na wazaz wake waendelee kumlea vzr
nimeipenda familia hii sana
Karibu kwetu katoro bro
Nimeipenda hii familia Mungu azidi kuwaongoza mfike mbal
Nimependa iyi familia 😍
Ok
Nakupenda mai
Mai yuko makini maashalaah
Jamani mai😍😍😘
Asee.. Inapendeza sana kuona familia kwa pamoja wote wanafanya kazi moja. Mm nilkua cjui kama huyo ni wife wake kwa kwel. Wametixha xanaaaaa......
Nafurahi kuwaona mayi hujambo kumbe nibaba wawukweli piya na mama kakazake namayi mansha Allah
M mungu amjalie kipaji bzaid mtt wa anko zumu na masomo yawe juu juu zaid
Mai anavyowaangalia wazazi wakiongea...maswali atakayowauliza baadaye😂😂😂😂😂sipati picha
Saidah lici
😂 Mwenyew Nmefkiria atavowauliz kwahy baba Ulifel
Saidah licious .. ah ha
Waah mimi huwa penda lakini sai nmewapenda zaidi.Mwaaah to Mai
😃 😃 😃 Gonga like kma una. Soma comments za kizungu unacheka... Watanzania Bana comments mie Hoi za kizungu
😂😂😂 Jamani mie ndo ungonjwa wangu siangalii ccopi bila kusoma Comment
Mai nomaa sana aki
Duuuh uncle zumo dume kiukweli sio wanaume wa siku hizi hakufaam ndo mara ya kwanza anakuona heti hooh nakupenda nyooo
Africano Queen
Huyu mtoto nampenda jmn siku nakuja tz natamani nimuone live nampenda sana Mungu amtunze sana
Kwan saiv uko nch gan
happy birthday anko zumo
Mai nakupenda bure
Welcome
She deserves
Unizid mm nampenda adi naumwa
Mashaallah Mai Mungu akujalia kila la kheri
Nakupenda Sana zumo
Hongera
Kweli kabisa unajua sio wale wanabadili hadi sura na sauti bado hawachekeshi
Anko weeeee et madem dem wangekunangaaaa
Love u mai
Mashaallah hii family iko funny waweza cheka pka bac mungu azindi kuwacmia
Mke mxur hongera
Yapo
Inapendeza sanaaaa
niceee zumoo
Mtangazaji hujui
Soo cute 👊🏼
Nakubali kazi yao
Not leri reli
Kila siku global mnabadilisha watangazaji duh
Jaman raha mbi zang haziendibur mai umwaa nawapenda bur frm Buru257
mai love
Mtangazaji hamna kitu.... Unachonganisha ati my jina kbwa kuliko papa
Jamani mbona muda mdogo sana kwa familia ya zumo tulitamani kujua vingi kupitia yy jamani fanyeni nae tena interview au ingekuwa na party 2
Nasra Iddy hahaha wasem haitoshi
Duh uyu jamaa noma adi kwetu Katoro anapajua
Nampenda sana hako katoto Mai
Life,is undifine brother
🤦
Reli sio Leri , sijui mnapata vipi kazi za utangazaji?
Wakwanza ku comment.
Sana
Zumo wafundishe watoto wako kusalimia wageni wakifika waamkie kwani watoto wako hawajui neno shikamoo mpaka waombwe kweli nimesikitika sana mtoto hajuwi Shikamoo !! Aibu wafunze wanao wakimwona mgeni wasalimie kabla hajaombwa!!!
jmn Global TV naomba mwambienu Anko zumu nina binti yang amefanan sn Na binti yake ukimona utafikiria mapacha
Nzur
Nimefurahi kuwaona barikiweni zaidi Mai ,Zumo ,Mama Mai
Nyc
Kwn mma mai amvimba shngo?.
Mtangazaji huyu nampendaga Sana. Anatangaza uzuri.
Sawa bana
Leri
Nawapenda sana zumo na familia yako
Mmmm mnawezaje kuchukua au kuvaa uhalisia wa kuigiza mke na mume mi ningecheka hatari
mtangazaji uko ziro kabisaa sa hayo mahojiano gani ya kitoto au unataka kumuandikia historia ya maisha yake
May ls very nice
familia nzuri
Yeah
Nakubal familia ya ank zumo 2k pmj cn
nakipind kizur lakin kifanyien modification
nice uncle zumoooo
That's good
WANGAPI MNAMKUMBUKA YULE MTANGAZAJ ALIYE KUWA HABADILISHAG SHATI 😂😂
😂😂😂😂💃
Utani wa ngumi huu
Hahahsha
Mai😂😂😂Shikamoooo
elimu na maisha ni vitu viwili tofauti
Watoto hawajui kusalimia why!!!!!
Oooo wao kumbe zumo mkwilima
Mmmh hayo mahojiano ama ,mbona stori ndefu hivyo
big up sana kwenu
Hao watoto wakubwa wanaelekea km si wahuyo mama kma mama yao mwengine
Wako weye
Jamani huo mkao veepe mtangazaji?
wallh wee mtngazj nimeangukia kwako hiko love wewe
Hasan Zakir
hiki kipindi nimekipenda na nimejifunza kitu katika maisha
Pamoja san mzazi,, kama unamkubari
Anko ZUMO gonga like yako hapo......!!!!