MPAKA HOME: Cheki Anapoishi CHID BENZ, Afanya VITUKO, Amtaja DIAMOND!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 233

  • @msafiri85
    @msafiri85 5 ปีที่แล้ว +19

    Heshima kwa akina mama wote, wanapitia majaribu makubwa. Kama umenielewa gonga like

  • @selekondo9832
    @selekondo9832 5 ปีที่แล้ว +27

    gonga like kama umegundua mtangazaji anamuhoji chidi uku anaogopa

  • @Jukwaa-7
    @Jukwaa-7 5 ปีที่แล้ว +67

    Kama unamkubali chid Benz gonga like

  • @sakshidayaly2220
    @sakshidayaly2220 5 ปีที่แล้ว +34

    Daa kweli mtoto kwa mama hakui bora ukose yote jamani maisha bila mama magumu tizama karudi anamuomba mama yake chakula

    • @abdillahnuhu1118
      @abdillahnuhu1118 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwaiyo sie tulie telekezwa mnatuweka kundi gan?😇😲😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @profbagile5323
    @profbagile5323 5 ปีที่แล้ว +23

    Keep it up chidbenzinooo
    Nakuaminia we ni tofaut kabisa na konk matako yule mjinga

  • @DIweni
    @DIweni 5 ปีที่แล้ว +10

    Mama anavyomwangilia mwanae wote wanatia huruma lakin ni mapito,chidy chuma nakukubali saaaana bro

  • @josephboniface6209
    @josephboniface6209 5 ปีที่แล้ว +3

    Chid Go...Noma Sana#*

  • @jacksonchiwalanga4817
    @jacksonchiwalanga4817 5 ปีที่แล้ว +96

    Kama unamkubali chuma naombeni like zenu

    • @ashreybanda
      @ashreybanda 5 ปีที่แล้ว +4

      Chidi napenda maisha yke si mtu wa sifa ila pia kwenye interview ni zaidi ya wasanii wote.Gonga like kama unasapoti comment yangu.

    • @jasmineshechambo3401
      @jasmineshechambo3401 5 ปีที่แล้ว +2

      Mwanaume unaomba like yann

  • @giannajoji7944
    @giannajoji7944 5 ปีที่แล้ว +8

    Chid mi Nakupenda na nakukubali sana mchizi Wangu!Mungu akusaidie sana sana!

  • @aishakidotigakii6157
    @aishakidotigakii6157 5 ปีที่แล้ว +14

    Mashallah kamsifia mamake so good 👍❤

  • @mejubaraza9415
    @mejubaraza9415 5 ปีที่แล้ว +41

    Kumbe chidi akona maisha yake mazuri hamani tusidarauliane kwa kuonana tyuu

    • @silabiboytz9569
      @silabiboytz9569 5 ปีที่แล้ว +1

      Kiswahili hujui ww et

    • @mejubaraza9415
      @mejubaraza9415 5 ปีที่แล้ว

      @@silabiboytz9569 cjui nifundishe

    • @zakiasuleiman3643
      @zakiasuleiman3643 5 ปีที่แล้ว

      @@silabiboytz9569 jamani kwan wew hujawahi kuchapia

    • @almassilvano5872
      @almassilvano5872 5 ปีที่แล้ว

      Mambo meju

    • @Dido-d8x
      @Dido-d8x 5 ปีที่แล้ว

      @@zakiasuleiman3643 adapata najeye

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 5 ปีที่แล้ว +13

    Kam umependa suit na kapelo hebu like

  • @billylovebilly9418
    @billylovebilly9418 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice kwao pazur mno mashaallah

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 5 ปีที่แล้ว +23

    Jamn mama ni mam tu hakun kam mam yaan anajua huyu kijan sasa ni mkubwa lkn lazim aweke chakul cha mtoto ake nakupenda xan mama ang hakun kama mam jamn tuwapend mam zetu mam ana roho ya hurum xan

  • @adamchamoma5227
    @adamchamoma5227 4 ปีที่แล้ว +1

    Chidi kawa mpole sana kwa hii interview

  • @abuumungomaulidi9272
    @abuumungomaulidi9272 5 ปีที่แล้ว +13

    Chid ni 💯💯💯💯

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 3 ปีที่แล้ว

    Kaka chidi apa ulikuwa umekonda sana mtangazaji leo umepatikana sana

  • @reymuddy9577
    @reymuddy9577 5 ปีที่แล้ว +13

    Aiseeeh jaman chidi huyu kavaa suti alaf na chepe kichwani😂😂

  • @delabossreizer9471
    @delabossreizer9471 5 ปีที่แล้ว +21

    Jamaa limekula pamba kipedesheee zaid

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 ปีที่แล้ว +4

    Chid unamtesa sana
    Uyu bimkubwa wetu
    Ludi saw saw mzee
    Kama unatumia madaw
    Kwakujificha Ebu ACHA MZEE

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 5 ปีที่แล้ว +4

    😁 😁 😁 😁
    Chidi Benz inaelekea yupo single sijui mmemuelewa? Mpaka pale watakapokaa sawa 👍👍👍
    Ila Hakunaga Chid Benz mwengine

  • @silviapumzikenikwaamanidam8436
    @silviapumzikenikwaamanidam8436 5 ปีที่แล้ว +33

    Mtangazaji Sio kWa jicho Hilo kWenye hotpot!😃

    • @ifruitx2096
      @ifruitx2096 5 ปีที่แล้ว

      Silvia pumzikeni kwa amani Damson 🤣🤣

    • @shammoha5297
      @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว

      @Silvia pumzikeni, ingekuwa wewe ungeangalia wapi?😉

    • @hansyabdy2732
      @hansyabdy2732 5 ปีที่แล้ว

      Hajakaribishwa

  • @GodfreyByamungu
    @GodfreyByamungu 4 ปีที่แล้ว +3

    29:08 kumbe ulikuwa unaziesabu. Mi nilikuwa nakuonyesha tu😂😂😂😂😂

    • @iddyshanna932
      @iddyshanna932 3 ปีที่แล้ว

      Rudisha pale kwenye buku buku 😂

  • @nobertmulesi3387
    @nobertmulesi3387 5 ปีที่แล้ว +1

    Global Tv naomba mnifikishie ujumbe kwa chidi Benz mwana mziki bora wa hiphop kwamba mimi ni shabiki wake mkubwa na ningependa chidi benz wafanye collabo na khaligraph jones .trust me the song will be a blazing gun

  • @mudriqhamidu6031
    @mudriqhamidu6031 3 ปีที่แล้ว +2

    👆🤔🤔 hapo chidy alikuwa bdo hajakuwa sawa, 😪
    Ila sout imemkaa fresh bt hilo shart kola hai0o sawa

  • @John_sadick1
    @John_sadick1 5 ปีที่แล้ว +24

    Kama unamkubali chuma gonga like

  • @AliyMistah
    @AliyMistah ปีที่แล้ว

    Chid. Wewe. Unananifrahisha. Sana. Broo. Kumbe. Unakua. Mpole. Ivo

  • @bernardmuriithi8468
    @bernardmuriithi8468 2 ปีที่แล้ว

    Nyumba nzuri

  • @mickeykibabu6999
    @mickeykibabu6999 5 ปีที่แล้ว +1

    Duuh menu kwenye hotpot wee noma😁😁😁

  • @aggreydominickmagombana9388
    @aggreydominickmagombana9388 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha mama nae kaigiza vizuri seen ya kumuita chid atakapo ingia baada ya dk moja kuanza kwa kipindi

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 5 ปีที่แล้ว +6

    Chid co kila kitu anaweka waz anakuzuga tuu apo unazan haelew unachomuulza😊

  • @jescamassawe7824
    @jescamassawe7824 5 ปีที่แล้ว +2

    Chidy chuma much respect bro

  • @jasmineshechambo3401
    @jasmineshechambo3401 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah Bora ww kuliko Huyo dudu baya kaz umbea tu nakuzalilisha wenzake

  • @thakibuiddi1857
    @thakibuiddi1857 3 ปีที่แล้ว

    Mm chidi anavyonifurahisha anaulizwa swali lingine anajib lingine kabisa ambalo halipo kabisa yaan

  • @ringotv4918
    @ringotv4918 5 ปีที่แล้ว +1

    yaani interview ya leo chid kjitahid coz hapo alipokuwa anahojiwa ameeleewa ile mbaya na bangi juu ni kawaida yake kila akitoka studio kuandika mistari la lazima anywe kidogo na avute bangi lkn siku nyingne anakuwa poa

  • @awilly7527
    @awilly7527 4 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣chid anahoji mtangazaji.leo kakamatika Hadi anawish hangefika kwakina chid

  • @isackhassan6551
    @isackhassan6551 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwanzo chid amezingua kweli 😂😂😂

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 5 ปีที่แล้ว +32

    Yani mama hana la kuongea yani anamwonea huruma tu mwanae

    • @kweliumesemailanaowangetul1933
      @kweliumesemailanaowangetul1933 5 ปีที่แล้ว

      Nyamaza haya mbo uyaone kwamwezako likikufika utaomba kiladuwa yulebibi sazingine anaenda kuliya pale tunae nasisi mtu kama huyu mtiyani kwakweli

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 5 ปีที่แล้ว

      Siku zote mtoto akiwa katika sitofahamu mzazi uhumia sana hasa mama mzaa chema

  • @mwanakombodzayadzaya9579
    @mwanakombodzayadzaya9579 5 ปีที่แล้ว

    Uko juu kaka

  • @nassstewart181
    @nassstewart181 5 ปีที่แล้ว +2

    Genius chid

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 4 ปีที่แล้ว

    yuko tungi kinoma chidi

  • @annamichael1433
    @annamichael1433 4 ปีที่แล้ว

    Ahhhhhhhhhaaaa love king Kong

  • @ngerezamsagati7123
    @ngerezamsagati7123 5 ปีที่แล้ว

    Leo mtangazaji amepatikana kudaadeki

  • @MrMtulivu
    @MrMtulivu 5 ปีที่แล้ว +7

    Dooooo sio kwaubaya jamani but nimecheka sana. Kamaumecheka twende sawa LIKE.

  • @hakimkhamis6461
    @hakimkhamis6461 5 ปีที่แล้ว

    Mbona hi kama movie

  • @zimbatv891
    @zimbatv891 5 ปีที่แล้ว +27

    Nani amemuona chid kasizii😆😆

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 5 ปีที่แล้ว +4

    Ilalaaaaaaaaaaa
    King nkoooooon
    Buster rhymes wa bongo

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 ปีที่แล้ว +17

    Hapa bila shaka ashamaliza kuvuta vitu zake....

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 4 ปีที่แล้ว

    kweri unga sio chai duuuuh chid kaisha

  • @dismaskamanzi2365
    @dismaskamanzi2365 5 ปีที่แล้ว +1

    ChiD atAbAkiii juuu chiD chUmAaa yA dSm#💪🏻

  • @luganohenry6141
    @luganohenry6141 5 ปีที่แล้ว +3

    hii interview nimeipenda😂😂😂😂

  • @allyshaibu2190
    @allyshaibu2190 4 ปีที่แล้ว

    Ww noma unaruhusiwa katika kipind

  • @boblion262
    @boblion262 5 ปีที่แล้ว +3

    No chidi you still good bra 🔥 🔥🔥

  • @iddyshanna932
    @iddyshanna932 3 ปีที่แล้ว +1

    "Rudisha pale kwenye buku buku" 😂😂😂

  • @vailetivai8359
    @vailetivai8359 5 ปีที่แล้ว +2

    Kafanana na Bimkubwa sana

  • @GodfreyByamungu
    @GodfreyByamungu 4 ปีที่แล้ว +1

    20:19 hhhhhhh😂😂😂😂😂😂😂 nimemuonea mtangazaji wa watu huruma.

  • @OmanOman-mc8uq
    @OmanOman-mc8uq 5 ปีที่แล้ว +7

    Yani chid uko brait sana unakili.mingiiiii

  • @itikeelius5805
    @itikeelius5805 4 ปีที่แล้ว

    Chumaaa

  • @pascalkuol9613
    @pascalkuol9613 5 ปีที่แล้ว +2

    Chid benz✊✊✊

  • @amedeusfredrick1614
    @amedeusfredrick1614 5 ปีที่แล้ว

    Ana ubao 😁

  • @bensonpeter9517
    @bensonpeter9517 5 ปีที่แล้ว

    Dah mtangazaji kapatikana leo kajuta yan mamaee

  • @africa7479
    @africa7479 5 ปีที่แล้ว +6

    hahahahaha,naona leo mtangazaji umepatikana

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 ปีที่แล้ว +13

    Kaava nn pale shingoni manati 😀😀😀😀😀😀

    • @africa7479
      @africa7479 5 ปีที่แล้ว

      hahaha

    • @queenmalikia4172
      @queenmalikia4172 5 ปีที่แล้ว

      Mbona ananong'ona pekeyake

    • @nasraomary1814
      @nasraomary1814 5 ปีที่แล้ว

      Salma Othman Ha ha ha ha Mbavu ZANGU JMN mie mwnyw nlkua najiuliza nn kavaa shingon

    • @aclesaclemence8784
      @aclesaclemence8784 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahahahaaa, nikiwaga na stress naangaliaga tu interview za chidi na kusoma comment za watu

    • @godfreymofire6956
      @godfreymofire6956 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaha nimecheka kwa sauti kubwa sana mkali kwamba ametia na manati kama kingariaho eti

  • @masala8099
    @masala8099 5 ปีที่แล้ว +32

    Hahaha interview juu ya interview muulizaji naye anaulizwa

  • @GodfreyByamungu
    @GodfreyByamungu 4 ปีที่แล้ว +1

    17:52😂😂😂😂 jamaa kageuka mjibu maswali lol chezea chid wewe😂😂😂
    Kuulihuliza private life usioiona sio poa😂😂😂😂 uliza kile ukionacho.

  • @ismailmtoro150
    @ismailmtoro150 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama unamsikia cameraman like ananong'onaaa

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂 kashindwa kujizuia

  • @kevomshalebora4148
    @kevomshalebora4148 4 ปีที่แล้ว

    Leo cjamuelewa chidi hta kdogo

  • @kuzimaster3399
    @kuzimaster3399 2 ปีที่แล้ว

    😂🤣😂🤣😂🤣😂 chid makwiro ndio uyoo

  • @thetwonotoriousboys6799
    @thetwonotoriousboys6799 ปีที่แล้ว

    Aliharibika kichwa ama?

  • @hubbyemmanuel3267
    @hubbyemmanuel3267 4 ปีที่แล้ว

    Huyu kwel chizi

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 ปีที่แล้ว

    Mbona kama kalewa

  • @valentineevarist5628
    @valentineevarist5628 5 ปีที่แล้ว

    mbona video haina sauti??

  • @shubebunyesi542
    @shubebunyesi542 5 ปีที่แล้ว +5

    😁😂😂😂chuma ni shida daaa, kumuoji ujipange

    • @mariyaal5366
      @mariyaal5366 5 ปีที่แล้ว

      Unaenda kumuoji anakuoji yeye😂😂😂😂

  • @starridge3615
    @starridge3615 5 ปีที่แล้ว

    Chidi Benz tulia umpe mama faraja mama anahisi unamtia aibu sio fresh, mama anakupenda na ukisema unampenda mama utakua muongo MTU anaye mpenda mamae ni yule anamumtumikia Mola na kuketa faraja kwa wazazi

  • @bmbuti6205
    @bmbuti6205 4 ปีที่แล้ว

    Nmemuangalia chid mpk nalia yan amekuwa tofaut san

  • @suzziejelagatt
    @suzziejelagatt 5 ปีที่แล้ว

    Huyu chidi ako sawa kweli??

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 ปีที่แล้ว +7

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu chidi anavituko san yaan inter view imeanza mpk inaisha hakuna jibu hata moja alil o ulizwa amejibu🤣🤣🤣🤣 zaidi ya kuzuga tu

    • @mudriqhamidu6031
      @mudriqhamidu6031 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣👆 hyo leo syo interview bt presenter ameenda kupewa stry to na Benzino, cz jamaa tokea imeanza hii interview hakuna maswali ya msingi , cz anaogopa😝😝😝😝

  • @aminiraper6264
    @aminiraper6264 5 ปีที่แล้ว

    Unajua chidi Benz anaakili sana unajua hawa waandish wa habar kazi yao kumuhoji tu lkn hakun faida yoyot anayo pata ndio mana sometimes kama anawakataa mana wao ndio wanaopat viewers kibao na faida za pesa kweny Chanel zao

  • @12322879
    @12322879 5 ปีที่แล้ว +1

    Bado anajiiba.

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 4 ปีที่แล้ว +1

    😆😆😆 mtangazaji kakutana na chuma anahoji uku anaogopa ogopa

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 2 ปีที่แล้ว

    Kiufupi Chid naona kama hafagilii issue za kinyumba tizama kila akiulizwa kuhusu mchuma anakwepa

  • @japharysety6890
    @japharysety6890 5 ปีที่แล้ว +1

    Unyamwez wote lakini akifika kwa maza anatulia

  • @akbaringena9420
    @akbaringena9420 4 ปีที่แล้ว +2

    presenter unapataje ujasiri Wa kuingia na viatu kweny hizo malu malu.......

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 5 ปีที่แล้ว

    duu suti na kapelo? chid umetisha

  • @petermwambito2339
    @petermwambito2339 5 ปีที่แล้ว +2

    Who says hip-hop doesn't pay

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 5 ปีที่แล้ว +1

    Chidi unakula mwenyewe ata karibu ya uwongo kwa mgen hamna tena unalia mlemle kwenye hotpoti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @alonsodachi3564
    @alonsodachi3564 5 ปีที่แล้ว +1

    Yan mtangazaji kz yko kuangalia hot pot

  • @kiki-ko8vi
    @kiki-ko8vi 5 ปีที่แล้ว +3

    Mue mnapeleka watangazaji walio kula jaman😹😹

    • @shameemrashid5219
      @shameemrashid5219 5 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁😁😁kwli jamn anaonekn hajala huyu

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 5 ปีที่แล้ว +1

    Chumaaaaaaaaaaaaaa

  • @sinyoritamoha1629
    @sinyoritamoha1629 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji ulijua hujui🤣

  • @kuzimaster3399
    @kuzimaster3399 2 ปีที่แล้ว

    Chid ajala wazee

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji sijui km utarudi tena hpo pole san

  • @championgm9311
    @championgm9311 5 ปีที่แล้ว

    Unazinguwa

  • @cleverlandmusicbyshakur423
    @cleverlandmusicbyshakur423 5 ปีที่แล้ว +1

    Asee huyu jamaa bwana dah yaan mpaka roho inauma

  • @fettyzing5777
    @fettyzing5777 5 ปีที่แล้ว +3

    Ameniumiza masikin kusema kwamba akienda kwa sir god ataenda na sura ya mama yake chid unajitabilia jaman 😦😦😦

  • @Communication863
    @Communication863 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahahaaaa chid sijui kasizi??????😂😂😂😂

  • @poschasbae9511
    @poschasbae9511 5 ปีที่แล้ว +3

    Chid we mkali dudu ata asujudu matako akufikii

  • @thomasmatle8545
    @thomasmatle8545 5 ปีที่แล้ว

    Sauti vp Mbn ivo

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 2 ปีที่แล้ว

    Chid benz anakwepa maswali kimpango alafu yeye anaulizwa lakini yeye ndiye anauliza maswali duh kudil na mtu kama Chid hapo balaa

  • @sulejiTv
    @sulejiTv 5 ปีที่แล้ว +4

    Sasa hilo shati vp na ww?