Karobo don't worry there's time for everything one day one time your dad his sight will be recovered back even batimao in bible no one believed that he can see but with God 🙏 everything is possible ❤❤❤❤.
Nadhani ni wa kwanza kutoka Burundi.napenda sana movie hii.karobo ana talent kubwa sana nikiangalia jinsi ana act kwa umri wake.nawapenda sana tena sana
DAKIKA ZIKIWA NYINGI KUANZIA 25 KUENDELEA TUNATUMIA MUDA MWINGI NDOMANA TUNACHELEWA KWASABABU TUMEONGEZA MUDA
Congrats brooo
Unajenga family zetu kbs
Leka bhigende ibhind bhiloza
Tupo tunafuatilia from 🇲🇫
Asante sana baba Joan naipenda movie sako sana nasifwatilia Mara kwa mara
Wakwanza mimi leo from kenya ....Team Strong like zenu plz❤❤😂😂😂..yaani 10 sec😮
Woow kazi safi Sana hongereni Leo munapendeza Baba karobo asante Sana Kwa kutuongezea muda tuenjoy sana🎉🎉❤
Afazari mmeongez dakika❤❤
maandamano yameisha uko keny
Pamoja Sana
Na Chelewa Na Sitaki like Hila Niko Ndani Ongerani Sana. Baba Karobo Unasema. Baniani Baya lakn Kiatu Chake Dawa 😂😂😂😂😂😂
Baba karobo asante sana kwa movie zako zuri ❤❤
Mmh kalobo wewe mtoto mzuri sana yaan nakupenda sana ❤
Burundi Léo Niko wakwanza kutoka🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 npe zangu liké 100
Waooo eti ntamuryakatamugoye mashalha nawapenda jamani from🇷🇼🇷🇼🇧🇮🇧🇮🎉🎉
Baniani mbaya kiatu chake dawa ,baba karobo huyo baniani wa mchongo huyo kua makini naye ,nawapenda Bure 🇰🇪🇰🇪💪🏾
Mnaelimisha jamii nzima na kuburudisha watazamaji
From Nairobi Kenya 🇰🇪
Like zinje jamani
Karobo don't worry there's time for everything one day one time your dad his sight will be recovered back even batimao in bible no one believed that he can see but with God 🙏 everything is possible ❤❤❤❤.
Jmn nan kaona baba karobo ni mwana yanga duuuh nimeipenda hyo
Aunty shtuka ila uyu karobo mjanja kweli❤ nampenda 💯tuuu sana
Uyumtoto karobo ata ri wangapi wana kubaliana namimi gonga like
West pokot Kenya , Karobo mtoto mkali na serious ❤
Niko ndani toka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunakupenda sana baba kalobo
Huyu karobo anasom au vip na anasom sa ngp,,,,,,,,,,,,,,,,mama karobo nae jmn roho mbaya tu kumuogopa mungu Aaaaaaah!
Burundi 🇧🇮 to South Africa 🇿🇦 tunafatiriya sana baba joana❤❤❤❤
Me 2 I'm 🇹🇿 from🇿🇦
Good job baba karobo ❤ watching from Kenyan 🇰🇪
Mama kalobo mwenzio mtu wangu ananichamba uku anasema mm na fanana na wewe fujo zako🤣🤣
😂kwahyo nawewe unaroho mbaya hvo...usije ukampofua macho tu
Upunguze sasa vurugu
😂😂😂
😂😂😂😂
Good work bro God bless you 🙏 🎉🎉
😅😅😅😅😅movie ni tamu jamani baba karobo ❤❤❤❤
Nafiatilia filamu hii kutoka Makindu Kenya..naomba like zenyu.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Leo nimekuwa wa kwanza like zenu kwa wanaompenda baba Joan
Kutoka Rwanda nipe like,Papa Kalobo tunakupenda zaidi
Karibu Tanzania
Mwanamke mbaya uyuuu lol hatari🎉🎉🎉🎉🎉
Aisee nimeamini baba Karobo ni Mrundi mwenzangu maana kunasehemu amemwaga Kirundi i'm from BURUNDU
Kazi nzuri baba karobo🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yani kwelii mapenzi ni kizungumkutuu unae mpenda hakupendi anaye kupenda humpendii 🤣🤣🤣🤣🤣😂
Wesiunatafta,akpendae
Yaan kwel nimeamin Leo Kuna mwanamke nampenda lakin yeye hanpend jaman na nimeshndwa kumuacha jaman sijui nifanyaje
Kutoka Cameroun
Baba Joan naomba like dah
Pia msitucheleweshe mwendelezo
Baba karobo hongera sana umecheza vizuri sana.
Leo mimi wa mwicho kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Am watching from Mombasa kisauni
PONGEZI SANA BABA JOAN KWA HII BONGE LA SERIES 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉🎉❤🎉
Karobo nakupenda mpenzi unaweza unakili mwanangu 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
Good job keep it up
Karobo the best actor,
Sasa kwakuwa nimlundi na nimekuwa wakkwanza naomba like jamani
Nadhani ni wa kwanza kutoka Burundi.napenda sana movie hii.karobo ana talent kubwa sana nikiangalia jinsi ana act kwa umri wake.nawapenda sana tena sana
❤❤❤❤🎉🎉
Karobo jitahidi utakuja kuwa mtu makubwa kwenye bongo movies
Mimi wa kati leo kipindi kimependeza leo naomba like zenu from Kenya
Ila nasra na mumewe wamependezana mashallah ❤
Umeonaeee😊 vijidogo dogo❤
Wakwanza kutoka kenya nipeni like zangu jamani
Watu tupo busy na maandamano wewe uko busy kuomba likes hebu toka twende 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂one love swee ❤❤🇰🇪
Naomba liké ❤ ata kama wa tatu ❤ n'a wapenda nyote ❤❤🎉❤😂
Napenda kazi yenu mungu awazidushie wema bt hi movie 🎥 Iko na mafunzo mingi Niko Kenya Nairobi nawatizama
Baba kalobo umenifurahisha sana ety mmmh kusifia waume wa wenzio tu Chakwako aaaaah😂😂😂😂😂❤❤❤❤
𝑈𝑚𝑒𝑠𝑘𝑖𝑎 ℎ𝑒𝑒𝑒😂😂𝑘𝑢𝑙𝑒 𝑎𝑙𝑖𝑠𝑒𝑚𝑎 𝑤ℎ𝑜'𝑠 𝑡ℎ𝑖𝑠 𝑔𝑢𝑦🤣🤣🤣
Asante babakalobo nakufata congo
Kigali Rwanda 🇷🇼 we ❤u
Kwl mchungaj n wa mchongo
Ongela drc 🇨🇩
Wa kwanza
Naomba ku zungunza nawewe
Leo nimeiwahi wa kwanza ku like
Moviee nzuri mnooo
Usually
Naikubali sana hiimov
My love with the movie is on another level
Tunaoamin dadake baba karobo atashinda hii vita na mama karobo tujuane KWA LIKE ZAKUTOSHA,,❤❤😂😂😂
❤❤❤
❤❤❤
😅😅😅
😂😂😂
😅😅
Wakwanza kutoka kenya🇰🇪
Ndo Bora dakika ziwe nyingi. Nawapenda sana tim joan.from Zanazibar
Jamani Ina mafundisho mazuri
Allah awahifadh waliokuw kwenye ndoa natuliokuwa hatujaow Allah atupe wake wema insha Allah
Et mm wa kumi na mbili,
Karobo keep going 🗣️ you're so beautiful and mukarimu .I love you💕
❤❤❤
Dondedieu kutoka Kolwezi Drc
Nanipenda sana igizo hii.🥰🥰
Nimekuwa wa kwanza nipeni like zang
Mpenzi wangu fashion 😂jmn
❤❤❤❤❤
Sitaki like
😂😂😂naona😊
😂😂😂 maana hata ukiomba hupewi
Unataka nni
Da! Mnachelewa sana
Baba kalobo wewe ni mwamba, nakupenda kwa maonyo ya mambo tunayo ishi
Good job,Baba Joan, with your team, we love you, in kenya
Unafanya vizuri sana baba kalobo mungu akuzidishie kipaji
Nipee likes please,From Kenya thanks once again.....🎉
Waoooo Leo nimewahi ❤❤❤
Baba karobo wewe nooma sana nimezipenda sana kazi yako naile ya never give up your so great na kuangalia nikiwa zambia
Nasistiza wewe unaweza. Bom trabalho
Baba karobo kweli kwenye kazi yako unaitendea haki na kama ningekuwa ndani ya Tanzania Basi ningekuomba tufanye wote kazi
Umqrekqni mwingi😅😅
Nawapenda nyote mlioshiriki kazi nzuri sana ina mafunzo🎉🎉
Wewe ndo mbabi wao mpaka Moçambique uku tunakwelewa sana sana sana
❤❤❤❤❤❤❤Masha'Allah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉very great movie
Like kwa baba Joan kwa kuongeza dk
❤❤❤ zuu Jat nakupenda san kipenzi baba kalobo na kalobo na wapenda pia
Am watching you from Zambia
Kaziii nzuri baba kalobo👏👏🇹🇿
Nimecelewa sana ryameni nawapenda sana❤❤❤❤
Parabéns papá karobo, você é um máximo no seu papel.
Hongera bint Naah nimependa ufanyajji kazi wako
Jamani sina chakuwapa ila nimependa sana movi zenu zawadi yangu kwenu hiyap🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Kiukwer mv hii nimeipenda sana,ongeren kwahilo
Kusifia wanaume wa watu tu kumsifia wako aaaah😂😂😂😂
😂😂😂
😅😅😅😅
Safi sana naomba ht isiishe Mimi naipenda hii movie sana
From UAE Dubai I like following this show of baba Karobo
Napenda movie 🎥 sna Iko poa❤❤❤❤❤❤❤
Na miye na furaha sana tuna taka suite❤❤❤
Mume wa Nasra anasauti ya mamlaka hongera sana 🎉🎉🎉🎉
Naomba uni sapoti kwaku like page yangu ya TH-cam
Buruni Leo Niko wakwanza kutoka❤❤❤
Nice to you ❤
Good movie
Movie Tamu Sana
Yote kwa yote ila iyi movie imenipa funzo naomba like ata 10 naipenda. Toka🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💖
Wa Kwanza mie leo
Nice
kusifu wa wawenzio tu kutunza wa kwako Aaaaah😂😂kali hiyo nimechelewa Leo