Hawajamaa wamekuja na mfumo wakipekee na nimetokea kuupenda. Waigizaji wachache lakini kazi ya kimataifa. Kusema ukweli wanajuwa kutengeneza contet, niwabunifu sana ktk kuandaa stori
Mzee likoma diboz kp zebuuu mbinguni mtapasikilizia kwenye taarifa ya habari tu, Shemj yangu kacheka mpaka kadondoka kwenye kit na machozi ju😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, hongeran sn nyie ni zaidi ya ubunifu
Jamani nyie .. hapo kwa shei shei kuwa mkenya nimependa....woow....eti mtoto wa kikenyaa,utembelee kanairo.. mombasa kisumu😂😂😂😂😂😂😂😂😂patamu hapo......tunawapenda mno wallae
Mbona Kali sana,,,, ila mnapo chelewa namna hiyo mtatuboa sana
Mi murundi 🇧🇮 wa kwanza jamani likes hapa natoka mbali
Burundi na Dar
Me too 🇧🇮🇧🇮🫡🫡
Weeee Don Kisai kumbe anapendezea kuwa mganga😂😂hii imeenda
Mzee likoma kanichekesha kweli na kijambo pale kijana wa hovyo anapozeeka 😂😂😂😂😂
Hawajamaa wamekuja na mfumo wakipekee na nimetokea kuupenda. Waigizaji wachache lakini kazi ya kimataifa. Kusema ukweli wanajuwa kutengeneza contet, niwabunifu sana ktk kuandaa stori
🙏🙏
@@xvany_tz2837 🤝 nawakubali sana 💥
Umeonaeee? Wanajua
@@aishaomar2287 wanajuwa sana.
Wakenya bwana mko wapi shei shei WA kwetu bwana daah
Likoma anapendeza akiwa mzee anachangamsha sana 😂😂😂
Jaman mzee likoma ananifurahisha na kam na wew unafurahishwa na likoma gonga like bas
nigonge kwa mzee likoma au kwako nakwa kaz gan uliyoifany
Mama uyoo😂😂
@@NicolasAbdoul hahahahaha saw bn
Mzee likoma bwana eti nimeagiza mganga laini😅😅
Hahaha likoma unanichekesha 😂😂😂
Yani zebuu nakupenda bure❤😅
Movi nzuri sana mtu huishiwi kiu ya kuiangalia...ila jamani muwe mnawai kututumia mana mnachelewa
😂😂😂amejaribu kiswahili ya kenya anaitwa sheila ama shey shey
Like za Sheila WA Kenya 😅😅😅😅
😂😂😂
😂😂😂😂welcome ❤❤❤
😂😂
Pia mimi ni mkenya
Haaaahahahha kisai umetisha San uganga unakufaa San like Kwa kisai jamn
Ni cynthia n watch kutoka kenya nawapenda sana
Jaman mbon Suraj sijamuon move nyingi ya kashaacha kaz😂😂❤❤ kama na wewe unampenda Suraj gonga like hapo🎉
Nawakubali Sana kutokea Congo 🇨🇩🔥🫶🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂aki mbona munatufanya sisi ni wabaya tena watapeli jamani eti dem wa kenya 😂😂😂❤❤❤❤sheishei njoo 🇰🇪 unafaa ata kwa maandamano
😂😂😂
Nimempenda sana Sheila jmn kiswahili Cha Kenya 😂😂😂😂😂
Mzee likoma ww noma sana aise hongera🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi zurisana mungu awapa maishamarefu❤
Likoma unafurahisha sana
Hahaaaaa 🤣🤣🤣🤣 hiii series Iko motoooo
Nawapenda nawapongeza sana 🎉🎉mko vzr
Zebuu, Zebuu, mbingun utapaskia tu, lkn hongera shoga ang
Mzee likoma diboz kp zebuuu mbinguni mtapasikilizia kwenye taarifa ya habari tu, Shemj yangu kacheka mpaka kadondoka kwenye kit na machozi ju😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, hongeran sn nyie ni zaidi ya ubunifu
Wao leo me wakwanza ❤❤❤ nawakubali tim zima
Hata kama 🎉🎉sema tu sijachelewa saaana ❤❤❤ from Burundi
Hii move kibokoo yaan mwazo mwish 😂😂😂 sas baba kapend mtoto kapend anaye mkubali Sheila 👊
Wale wanaosema leo mm ndo wakwanza wako wap nataka nigonge like😂😂
❤❤❤❤❤❤
Mimi apa from Mozambique
Mm hapan kutoka Kenya
@@ZitoAntonioNhanga-ms6ujjp0😊
@@SalimRhighoni0 i9lpm😊l o l
Mtu mzima hajambi😂😂
Mkenya kawa mama enu tena na aliwaibia sim
Jamani nyie .. hapo kwa shei shei kuwa mkenya nimependa....woow....eti mtoto wa kikenyaa,utembelee kanairo.. mombasa kisumu😂😂😂😂😂😂😂😂😂patamu hapo......tunawapenda mno wallae
Kazi mzuri ❤❤❤😂🎉
Weeeh nimecheka sana nyinyi watu,munajuwa ❤❤❤
Mtoto wa Kenya wa kanairo n mama yenu tena 😂😂😂😂😂😢😢😢😂😂😂
Kisai😂😂😂😂😂😂😂daaah ati watikisa
Movie zenu ni nzuri na tunaipenda tatizo mnachelewesha sana jamani 😅😅😅
😁😁😁🤣mze rikoma maman mwenyewe aniiba watoto ❤️🌹🇧🇮
Kisai kumbe uganga unaweza😂😂😂😂😂 dah ila likoma umeweza sana🎉🎉🎉🎉❤❤❤wapi like za likoma
Wako vizuli Sana awa jamaa nawashukulu Sana nipo africa khusini nawafatilia sana
Nawakubali Sana kutokea congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩😚
Ok
Kisai 😂😂😂😂tukisa Munyapaa 😂😂😂
Movie nzur ila upande wa mzimu ndo Bado yaan mzimu anakunywa juice huyo ni mzimu kweli 😂😂😂
😂😂
Alafu mzimu ni msafi kweli
😂😂😂😂😂
Wakwanza Léo nawafatilia sana lakini kutoka like shida
Mtoto wa kikenya WA kanairo kula ndateki mtoto wa ruto 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mko vizuri Sana wapedwa mzee Likoma Safi Nawapenda wote 😂😂😂❤❤❤
I love you guys, kazi mzuri watu wangu nawapenda ❤❤ from Kenya 🇰🇪
Nimemmis suraji kinouma nouma😅😅😅😅yuko wap suraji jamani
Tuandaman wamlete brother suraj
This is love from Mozambique 🇲🇿❤
😂😂😂ila kiukweli hapa penyewe sasa mnajuwa kunifulahisha mzee likoma na mnganga wako kp na zebuu pambe tu❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂mwizi wa simu amekuwa mama watoto tena haya ni maajabu
Wow nzuri sana ila mnachelewa... Agy Congolese toka uganda
Good work Nasubili EP 3❤❤❤
😂😂😂😂 ety mganga matikisa ahahah
Hapo sheyshey umecheza kikenya😂😂😂😂😂sisi ndio tuko🎉🎉🎉🎉
Kaz nzur ❤
Nimekuwa wa kwanz 😂😂😂❤❤❤❤❤penda san kp na zebu🎉🎉🎉🎉🎉
Wow ni nzuri congrats❤❤❤🎉🎉
Good job
Muzee likoma wewe hunichekesha aki uko sawa mungu akulinde atuchekeshe zaidi kp na zebu kazi nzuri
Shei Shei mkenye mwenzangu nakupenda bure
😂😂😂😂😂😂😂 hongereni 🎉🎉🎉🎉🎉
Nyie watu mnajua sana big up zebuu nakupenda sana Nora mbona simuoni 🎉🎉🎉
From kenya naipenda movie zenu
Mr money big up❤❤❤❤❤
Good job🎉🎉
we Diboss umepigaje apo
😂😂😂😂😂😂❤❤❤from Saud Arabia
Weweeeeee Dada 😂😂😂😂😂😂😂sema haki ya Mungu 😂😂😂😂
Good good 👍🏾
Sheila ni mkenya twakupenda❤😂😂🎉🎉
Kiukweli kp unazidi kuwa mwandish Bora wa story ❤️💯
😂😂😂😂🎉🎉🎉Mr mony
Kaz nzur ila mnachelewesha sanaa
Kisai utaweza iii kazi kweli🤣🤣🤣🤣Leo wewe ndiye actor wangu wa nguvu congratulations 👏
Kweli shei shei we ni mukenya kweli 😂😂😂😂
Movie nzur san yaan mnafurahisha hongeren kwa kaz nzur
Mi naona wote wako vizuri sana ila tunaomba mtuwaishie mwendelezo jaman nawapenda bleee
❤
❤❤❤❤likoma we mkali sana usicheleweshe maana mambo kazuriii sana mr money ila sio kwa kujamba uko😂😂😂😂
Hahaah😆😆😆😆na mm nimo
Shey shey nmeipenda hiyo,aki karibu kwetu kenya
Hapo good ndio maana nawapenda
Sikuiz mnazinguwa mnachelewesha sana
Like kwa kisai jameni Leo amejaribi
daah awa ninoma🎉❤
Sheishei 😂😂😂 karbu kenya ukue shemeji yetu
Uko very likomaa ❤❤ hongera utakuja kuwa kama kanumba
Big up sana kikosi chote cha kp kwa movie zenu nzuri you are making my day from Kenya🇰🇪 nawapenda sana
Good movie
so Good likoma
😂😂😂😂😂 nouma sanaaa
Wakwanza Leo fanyeni kweli
Daaaa!! Mzeee likoma ananifutahisha sana 🙌🙌🔥🔥
Yeaaa Mambo ni moto.mambo ni 🔥..
Haiya kp unajuwa naivasha, Mombasa Nairobi congratulations kp
Bonge la movie ❤❤❤❤
Zebuu acha wivu mmmh, hongereniii sana.
Courage 🎉
Na munavyo fanana kp na zebuuu mwapendeza kuwa kaka na dada😂😂❤❤🥰🥰🇧🇮🇧🇮🇧🇮
nipo wakwanzaaa plz like kutoka kwa likoma mwenyewe
Msukuma Huo