Huyu Ndie Alie Anzisha Dhehebu La Mawahabi | Ustadh Said Ali Hassan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 92

  • @kutafuna
    @kutafuna ปีที่แล้ว +3

    MASHA ALLAH. Pili ustath umeni funguwa akili kwanza ni nika some kwa walimu vitabu vyote kadri nitakavyo jaaliwa ni ALLAH na anijaaliye na ufahamu wa nitacho kisoma. Amin Amin YARABI amin.

  • @yusuphsaad4349
    @yusuphsaad4349 ปีที่แล้ว +2

    Shukran Al habeeb

  • @SirlemNasir
    @SirlemNasir 5 หลายเดือนก่อน

    MUOGOPE ALLAH.... WAPI MAHALINAMESEMA... ANAANZISHA DHEHEBU LA MAWAHABI. WACHENI CHUKI ZENU ,,, MASUFI

    • @AllyMahaba-d4b
      @AllyMahaba-d4b 2 หลายเดือนก่อน

      Anakula mkong'oto huko kaburini saa hizi. Laanatu-llah 'alayhi. Chukueni hilo MAWAHHABI wote. Kama na nyie mnataka Jahannam basi mfuateni huyo bosi wenu PEMBE YA SHETANI"

  • @barigyejamiru9748
    @barigyejamiru9748 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe juharu enda ufundishe dini uwache kuongea mambo amboyo hujui inshallah

  • @arrawaahiyahtv9800
    @arrawaahiyahtv9800 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallaaah Sheikh, uwahabi upo hata kama hawataki

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallaah shekhe letu lazima uchafu wa huyu mudi ibn abdul wahabiii na madalali wake wotee hata km wakichukiaa

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว +3

    PUMBAVU HAYO MANENO MMELISHWA NA MASHIA!!
    AMMA KWELI ENYI MAKHURAFI ENYI MASUFI KWELI NYIE MAPUNDA WA MASHIA!!
    HAMJITAMBUI MMPO KARIBU MNO NA MASHIA!!
    ALLAH AWAONGOZE

    • @ibrahmiracle3223
      @ibrahmiracle3223 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo hawapo ila wananasibishwa tu .alaf we kama unasema wapo mbona jana ulisema kwamba shekh ni muhambali inamana kwamba yeye hawezi kuwa na madhehebu kwa sababu yy ni mfuasi wa madhehebu. alaf taja fiqh yake na mambo ya kibada tunayo yafuata kwa kumuangalia shekh abdul wahabi .mana hiyo ndo madhehebu

    • @al-haramainonlinetv223
      @al-haramainonlinetv223 ปีที่แล้ว

      Kazi yenu matusi tu

    • @ustadhamiin5941
      @ustadhamiin5941 ปีที่แล้ว

      Allah akuongoze ww huna ilimu hata ya kuongea

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 ปีที่แล้ว

      Ala akuongo ze akupe tabia njema mana hata adabu ya kuongea huna

    • @abuually-ol2xc
      @abuually-ol2xc ปีที่แล้ว

      Ahahahahahah wahabii wewe 😂

  • @JUMAJUMA-ym1kt
    @JUMAJUMA-ym1kt ปีที่แล้ว

    HAYA ALIE ANZISHA IHTIFAAL BIL MAULID NI NANI
    NIFAHIMSHE NA HILO SHEIKH WANGU

    • @HemedSerious
      @HemedSerious ปีที่แล้ว

      Ww umeuliza kitabu sio dhehebu

  • @yahyajuma9353
    @yahyajuma9353 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni style mpaya ya kutafta mbinu ya kuendelea kumharibu wasfu wake huyu sh.Muhammad Allah amrehemu

  • @hassanbilali1697
    @hassanbilali1697 ปีที่แล้ว +1

    Mawahabiiiiiiii😂😂😂inauma eeeee

    • @9119-r4t
      @9119-r4t ปีที่แล้ว

      Vile wewe zuzu au ni mtu wakaburi ndio utacheka ika mzushi siku zote ni mpumbavu

    • @muhamadberhe
      @muhamadberhe ปีที่แล้ว +1

      nyinyi masufi hamna nafasi ya kuongea ukweli hata siku moja

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      ​@@muhamadberhenyinyi mawahabi wapotofu ndio mwafaa kuongea

  • @allyhassan9318
    @allyhassan9318 ปีที่แล้ว +1

    Hv ww mzee unazani watu hawasomi hivi unazani hatumjui imamu muhammadi

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 ปีที่แล้ว +2

    Elezea ubaya wake tusikie ni upi si unaropokwa tu

  • @aliali-gw5pq
    @aliali-gw5pq ปีที่แล้ว

    Sheikh ungetaja hicho kitabu na ukabainisha makosa yaliyomo ili tujue mawahabi walipokosea

    • @KombHaji-dr5pd
      @KombHaji-dr5pd 11 หลายเดือนก่อน

      kasome kitabu fitna tuliwahabia
      al alama sayd ahmedi ibni zeyd dahalani
      alikuwa muft mku wamak ezizauhai wake

  • @abdallamassoud53
    @abdallamassoud53 ปีที่แล้ว

    Wapo hata kwenye comment tunawaona povu lao

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 ปีที่แล้ว +1

    Amefanana na Mawahhabi hata wa siku hizi. Ona uvaaji wake, anaonekana tu, mchafu mchafuuuu!!!! Na Mawahhabi ukiwaona utawajua tu vaa vaa yao, sura zao, wako hovyo hovyooo!!! wachafu wachafuuuuu!!!!!!

  • @allyhassan9318
    @allyhassan9318 ปีที่แล้ว

    Ebu kasome bn usufi huo utakuangamizaa

  • @AbuufawzanaSalafiy
    @AbuufawzanaSalafiy 2 หลายเดือนก่อน

    ما معنی وهابي !
    اعتاد الناس أن یطلقوا کلمة وهابي علی کل من یخالف عاداتهم ومعتقداتهم وبدعهم ولو کانت هذا المعتقدات فاسدة تخالف القران الکریم والأحادیث الصحیحة لا سیما الدعوة إلی التوحید ودعاء الله وحده دون سواه.
    أطلق أعداء التوحید علی الموحد کلمة ((وهابی)) نسبة إلی محمد بن عبد الوهاب ولو صدقوا لقالوا ((محمدی)) نسبة إلی اسمه محمد, وشاء الله أن تکون ((وهابی)) نسبة إلی الوهاب وهو اسم من أسماء الله الحسنی, فإن کان الصوفي ینتسب إلی جماعة يلبسون الصوف, فإن الوهابي ینتسب إلی الوهاب وهو الله الذي وهب له التوحید ومکنه من الدعوة إلیه.

  • @DaudiZanga-yk6bg
    @DaudiZanga-yk6bg ปีที่แล้ว +1

    Maneno ni mafupi masufi mcheni Allah Kuna kisimamo mbele ya Allah kwa mwenye akili na mwenye elimu hawezi kumzungumzia shekh Muhammad bin abdul wahhab vibaya hiyo inatoa picha kuwa masufi sio wa kusoma ni watu wa shekh amesema bila kufuatilia ukweli wa khabari

    • @abuually-ol2xc
      @abuually-ol2xc ปีที่แล้ว

      Wahabiiiiiii wewe huna jambo😂

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Wacha urongo ww wahabi ilimu gani nyinyi mawahabi muko nayo yakutia watu motoni na kumuita musilamu mwenzako kafiri ndio ilimu yenu hiyo

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 ปีที่แล้ว

    Hu msufi mbona hakutaja jina la kitabu

  • @mohamedmussa5200
    @mohamedmussa5200 ปีที่แล้ว +1

    Elimu sahihi ya Qur-an na Sunna inàzidi kupenya ktk jamii ya kiislam ndio maana watu wa bidah wanateseka sana!

  • @slimshmd708
    @slimshmd708 ปีที่แล้ว +1

    Allah awahidi ili msome mmjue huyu Muhammad bin Abdulwahaab, Al Wahab ni jina la Allah sasa mnasema Wahabiy yaani ni chuki sana, na hii yote ni sufi na shia wanaoharibu kwa kuwa aliwakisoa kwa kubainisha shirk ipi na Tawheed ipi.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      Ukisikia shafiy, ni kundi la imam shafy. Wahabiy ni kundi la huyo mtu mwenye jina hilo. KASOME KIARABU KIJANA. ACHA KUDANGANYWA

    • @slimshmd708
      @slimshmd708 ปีที่แล้ว

      Ashafiy na Muhammad Bin Abdulwahab kwanza aqida yao ni moja.
      Pili kwa kiarabu huwezi kutumia jina la Allah kumpa mtu sifa hio. Wewe ndio kasomeshwe uelewe hilo. Hawa watu ni wanamfuata mtume ﷺ kwa elimu yenye usahihi sio baadhi ya nyie mnaofuata masheikh wenu bila usahihi wa mafundisho.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      @@slimshmd708 WEWE MUONGO, IMAM SHAFY HAKUBALI AQIDA YA TAWHEED TATU ILA MUHAMMAD IBN WAHABIA ANAKUBALI TAWHEED TATU. KWAHIO HAPO HAKUNA AQIDA SAWA NA UWAACHE WAISLAMU SAFI WA IMAM SHAFY USIJIPENDEKEZE

  • @AllyMahaba-d4b
    @AllyMahaba-d4b 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo sio Muhammad Abdil -Wahhabi. Wakati huo camera bado hazijaanza. Camera zimeanza miaka 1800 na Huyo alifariki kabla yake. Huyo jamaa hakuna picha yake. Pamoja na yote huyo ndie aliyebashiriwa na MTUME (SAW) kwa jina la "PEMBE YA SHETANI". Tunaona jinsi alivyoleta mfarakano baina ya Waislam. Saa hizi anakula mkong'oto huko kaburini. Laanatu-llah 'alayhi.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa aliwahi kuja Dar ktk kongamano la kuzungumzia wasifu wa Maswahaba Radhwiya LLAHU a'nhum. Siku hiyo nilimjua huyu ni mshia. Njaa inamuuma anatafuta njia za kujikimu. Biography ya Shaykh Muhammad ipo wazi. Wadanganye wavivu wa kusoma,wachovu wa akili wanaofuata mambo kibubusa.

  • @abumaryam6909
    @abumaryam6909 ปีที่แล้ว +1

    Na yeye sheikh Muhammad alimfuata nani? Kiukweli haiumi kuitwa mawahabi isipokuwa anaekuita wahabi kana kwamba yeye kasalimika na moto au kamzidi maarifa sheikh Muhammad Allah amrehemu 😅

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 ปีที่แล้ว

      Huyo Shekh ndie alitabiriwa na Mtume (SAW).
      1. Mtume (SAW) Alisema atazaliwa Nejd, kweli kazaliwa huko,
      2. Ni pembe ya shetani. Kweli ukiangalia utaona ameleta fitna kubwa ya Waislam kufarakana, kubishana na kuhitilafiana.
      Sasa Mawahhabi mwoneni mtu wenu, ndio Shekh wa maana huyo???

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 ปีที่แล้ว

      Kwani huyo Wahhabi ana elimu gani? Hebu muangalie hata sura yake na uvaaji wake. Kuna mtu hapo????

  • @Biziman-pu4kf
    @Biziman-pu4kf ปีที่แล้ว

    Sisi hatumfuati yéyé tunafata kitaabu na sunnah

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 ปีที่แล้ว +1

      Lakini si ndio Shekh wenu Mawahhabi? Mbona unamkana?

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 ปีที่แล้ว

      Ww wahabi wafuata suna gani ya ndevu tu ama

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 ปีที่แล้ว +1

      Wahhabi wanakubali shekhe wao mguu mmoja ndani mmoja nje.

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 7 หลายเดือนก่อน

    Ustadh gani hana hata ndevu mwanamke huyu au? Labda ni shangani na sio shekh

  • @Team-t6k
    @Team-t6k ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂 twambiye Imam Muhammad ibn Abdoulwahab alikuwa anafata nini? Soma vitabu vyake kama kweli unasema ukweli.

    • @ustadhamiin5941
      @ustadhamiin5941 ปีที่แล้ว

      Wauliza jibu na ww c ni Wahhabi wamfata nani 😂😂😂😂😂

    • @Team-t6k
      @Team-t6k ปีที่แล้ว

      @@ustadhamiin5941 mimi dini yake ni Coran na sunna Mtume swallalahu alayhi wa salam na kila bid'a ni upotovu twambiye nini kama mko wa kweli bid'a alizo zuwa huyo ambaye njoo madayi yetu na sisi tunazifanya kama kweli uko shabiki ao unataka kufata haqqi

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      @@Team-t6k KILA IMAM ILIOWAITA WATU NA KUITAQIDI KUWA ANAFATA QURAN NA SUNNA KWA UFAHAMU WAKE BASI HILO NDIO DHEHEBU. IMAM SHAFY, HANAFY, MALIKI, HANMBALI, IBADHI, MAIMAMU WOTE HAO WALIFATA QUR-AN NA SUNNA. NA SISI TUNAFUATA SHAFY NI QUR-AN NA SUNNA KWA UFAHAMU WA SHAFY NI MASHAFY, TUNAOFUATA MALIKI TUNAFUATA QUR-AN NA SUNNA KWA UFAHAMU WA MALIKY, NA MFANO HUO. NA WEWE UNAFUATA QUR-AN NA SUNNA KWA UFAHAMU WA PEMBE YA SHETANI ALIOTAITABIRI MTUME SAW NAYO NI MUHAMMAD IBN ABDUL WAHABI KUCHOMOZA NAJDI. SASA HATUJAKUAMBIA KUWA UNAFATA BIBLIA. TUNAJUA UNAFATA QUR-AN NA SUNNA KWA UFAHAMU WA QURNI SHAITANI. KWAIO WEWE NI MUWAHABI JINA LAKO AU UNAEZA ITWA QURNI SHAITWANI

  • @husseinazizi1275
    @husseinazizi1275 ปีที่แล้ว

    Kitabu gani hicho wewe Umepinda ujitambui hata kidogo

    • @husseinazizi1275
      @husseinazizi1275 ปีที่แล้ว

      @@suleimanabdalla5022 huyo hizbi ndio sifa yao kutapa tapa

  • @husseinazizi1275
    @husseinazizi1275 ปีที่แล้ว +1

    هل دعوة لشيخ محمد بن عبد الوهاب دعوة إسلامية حزبية، كجماعة الإخوان المسلمين والتبليغ، والصوفية.
    إن دعوة الشيخ محمد بن الوهاب رحمه الله
    على منهج السلف الصالح في الأصول
    كان محمد بن الوهاب رحمه الله موجودة ، وهي تزخر بيان العقيدة الصحيحة ،وبيان التوحيد ، الذي هو حق الله على العبيد ، وبيان ما يضاده، وسيرته العطرة في دعوة الناس إلى عبادة الله وحده، ونبذ ما سواه، وهذه دعوة الرسل جميعا صلوات. الله وسلامه عليهم.
    هذه دعوة الإمام الجدد،
    الذي أحيا الله به العباد والبلاد،

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว +1

      KABAINISHA TAWHEED AMBAYO MASWAHABA WALIKUWA HAWAIJUI. KWAIO HIO TAWHEED YA MAWAHABI NI TOFAUTI NA TAWHEED YA MASWAHABA, KWASABABU HAKUNA SWAHABA ANAEJUA KUWA TAWHEED NI TATU. HIO NI TAWHEED YA HAQI KWENYE UKAFIRI WENU. LAKINI SISI WAISLAMU TAWHEED YETU NI TOFAUTI SANA NA NYIE MAWAHABI

    • @hutiswalehe2444
      @hutiswalehe2444 ปีที่แล้ว +1

      @@hilalkhalfan1452 tawhiid ya kiwahab ni ya kikiristoo

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 ปีที่แล้ว

      ​​​​​@@hilalkhalfan1452dugu enda ukasome kwanza, vigawanyo vya tauhidi vitatu viko ndani ya quraan, tuheed rububiya na tauheed uluuhiya na taheed al-asmaai waswifaat, makafiri walikubali kigawanyo cha kwanza cha tauheed rububiya lakini hachikuwaingiza katika uislamu:وَلَئِن سَأَلْتَهُم مَّنْ خَلَقَهُمْ لَيَقُولُنَّ ٱللَّهُ ۖ فَأَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
      (الزخرف - 87)
      Allah anesema ukiwauliza hao makafiri nani kawaumbeni watesema ni Allah...., wanakubali tauheed rububiya lakini wanakataa tauheed uluhiya na tauheed Al asmai waswifaat

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      @@abuuaisha6110 HIVYO VIGAWANYO VYA TAWHEED ALIKUWA HAVIJUI MTUME SAW NA MASWAHABA WAKE. ILIOKUWA SIO DINI WAKATI WA MTUME SAW BASI HAIWEZI KUWA DINI LEO. QUR-AN IMESEMA " WALAA TAQUULUU THALATHAT" YAANI " WALA MSISEME TAWHEED TATU"
      1) ULUHIA ( MUNGU BABA)
      2)RUBUBIYA ( MUNGU NA MWANA), yaani deusim, ni RABI wawili kwa kiarabu ni RUBUBIA. Yaani tawheed RUBUBIA ni tawheed ya waungu wawili, mungu na mwana. SASA KWA SISI WAISLAMU SAFI MTUME SAW NA MASWAHABA WAKE HATUNA TAWHEED HII YA KUAMINI MUNGU NA MTOTO. HIO MNAYO NYIE WAKIRISTO. KWETU HUO NI UKAFIRI ILA KWENU NDIO DINI YENU MPYA.
      3) ASMAU WA SWIFATI ( NI MUNGU SIFA AU MUNGU ROHO MTAKATIFU). TAWHEED HII NI KUAMINI MAMBO YA UUNGU ROHO AU SIFA. kwetu waislamu Safi TUKIMUAMINI MUNGU WA HAKI IMETOSHA KUWA TUSHAAMINI SIFA ZAKE, ILA KWA WAKIRISTO KILA PAHALA NI PAKE, YAANI IMANI YA KUAMINI MUNGU NI NYENGINE NA IMANI YA KUAMINI MAJINA AU SIFA AU ROHO NI NYENGINE.
      ####
      KAMA TAWHEED TATU ZINGEKUWA NA NAFASI KATIKA DINI HII, YAANI HUWI MUISLAMU MPAKA UTIE TAWHEED TATU, BASI WAKWANZA NI MTUME MTUKUFU MWALIMU BORA ALIOKUJA NA TAWHEED ISINGETOSHA KUWASILIMISHA MAKAFIRI KWA KUWATAMKISHA, LAAILAA HAILALLAHU NA AKAWA MUISLAMU SAFI. NA AKIFA ANAMUAMBIA UNAINGIA PEPONI. KWA MAKAFIRI LAZIMA UWE NA SHAHADA TATU, MUNGU BABA, MWANA NA SIFA. KWAIO NYIE KAZI MLIOPEWA NI KUWATOA WAISLAMU KATIKA DINI YA HAKI NA KUWAINGIZA KATIKA UKIRISTO. NDIO MAANA UTAWAOA MAADUI ZAIDI KWENU NI WAISLAMU KULIKO WAKIRISTO NI MARAFIKI ZAIDI KWENU. NAKUKUMBUSHA UKITAKA. ACHA UWAHABI ( PEMBE YA SHETANI ALIOITABIRI MTUME SAW) NA URUDI KATIKA UISLAMU. IMAM SHAFY ALISEMA, FUATENI NJIA YA WATU WA SUFI. MSIKILIZE " UTUBE, KHALIFA MPYA" ILI UWACHE UKAFIRI. KHALIFA MUSSA ISSA. NA KUNDI BAYA KATIKA DINI. HAKUNA KIASHIRIA YA KUWA MUISLAMU UMSILIMISHE ILI AWE MUISLAMU BASI UMSOMEE TAWHEED TATU. ISIOKUWA DINI KWA MTUME SAW BASI NI UKAFIRI

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      MFANO WA MAWAHABI NI WAKIRISTO WANAOSWALI MISIKITI YA WAISLAMU. KISHA WAO WAKAJIFANYA NDIO WAISLAMU WAKUU, KUMBE WANAABUDU MUNGU MWENYE MACHO NA VIUNGO KAMA MWANAADAMU NA UKICHUNGUZA MUNGU WA MAWAHABI WANA MUABUDU YESU AU SANAMU, MAANA MUNGU WAO ANA SIFA YA KUCHOKA, NI YESU, ANA VIUNGO NI YESU, ANAKAA NI YESU, ANA MIKONO KAMA MIKONO NI YESU, ANA MIGUU NI YESU, ANA MACHO NA MASIKIO NI YESU. SASA MALIZENI ANA TUPU TUU ILI MUMPE MWANAE IWE UKIRISTO WENU UMETIMIA KAMILI

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว

    Shekhe wewe unaonekana ni Sufi lkn mwenye maarifa, ila hizi ajenda hizi ndio zinazo watia upofu pamoja nakwamba muna macho.
    Dhehebu la kiwahabi, hebu twambieni kabla ya kudhihiri Shekh Muhammad Ibnu Abdil-Wahhaab Allaah amraham, hawa wanao itwa Mawahabi kwa lugha ya kumtweza huyu Imaam na kuwabeza Ahlissunnah, walikua na Maulamaa wao ambao wanarejea kwao ktk Elimu zao, jee walikua nani kipindi hicho?
    Na baada ya kudhihiri Imam Muhammad Ibnu Abdil-Wahhaab Allaah amraham walibadilika na kua mawahabi sasa sio?!!!

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      Ukisikia IMAM SHAFY NA MADHEHEBU YAKE HUITWA SHAFY, HAINA MAANA KUWA MASWAHABA WALIKUWA WAKIFUATA SHAFY. LAKINI SISI TUSIO NA ELIMU NDIO TUNAFUATA FATUA ZA MSOMI NA MWANACHIONI SHAFY ALIVYOWAFAHAMU MASWAHABA.
      NA NYINYI MAWAHABI, HAKUKUWA NA DHEHEBU LA UWAHABI KABLA MUHAMMAD IBN ABDUL WAHABI. NYIE MNAEMUAMINI NA KUFUATA FATUA ZA IBN WAHABIA NDIO MAWAHABI. WENGINE NI SHAFY, WENGINE NI HANAFY ILA NYIE NI IMAMU WENU NI WA ZAMA ZA PEMBE YA SHETANI MUHAMMAD IBN ABDUL WAHABI. KWAIO ANAEMFUTA HUNASIBISHWA NAE, MIMI SIMFUATI WALA SIKUBALI FATUA ZA IBN WAHABIA, WEWE UNAEMFUATA IMAMU WENU BASI MFATE KUROHO SAFI USINUNE, WEWE MUWAHABI

  • @SalehSaleh-re1ud
    @SalehSaleh-re1ud ปีที่แล้ว +1

    Elimu mpya ya kunukuu mukaddima wa kitabu bila kutaja jina lake. Au kwa sababu kila wakitaja jina la kitabu baada ya muda inadhihirika kua ni uongo. Haraam kusema uongo. Kwa wale wenye kuwafuata masheikh wanaonukuu vitabu lazima mujiridhishe ukweli kwa kufuatilia vitabu hivyo, musifuate tu.

  • @shariffali7780
    @shariffali7780 ปีที่แล้ว

    Hawa hasa ni 'Khawarij alsalafiyatul wahabbiya'. Ilm yao finyo ni kuchezea maneno matatu 'kufr, shirki na bidha'a!'

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 ปีที่แล้ว

      Hayo matatu ndio yatakaoingiza watu motoni

    • @muhamadberhe
      @muhamadberhe ปีที่แล้ว

      Mkifanyia mzaha dini kwa hizo bida'ah zenu na ushirikina ndio mnyamaziwe , tukaneni mpaka mchoke lkn kunyamaziwa Hilo ni Jambo haliwezekani masufi nyie

    • @shariffali7780
      @shariffali7780 ปีที่แล้ว

      @@muhamadberhelabda bida'a na ushirikina ni kwa fahamu yenu. Mtume(saw) hakuogopea ummati wake ushiriki baada yake, mwaja nyinyi eti mwatumbia shirki, halafu yeye mtume (saw) ndie katoa ruhusa ' man sanna fil islami sunnatan hasana ...' mwaja nyinyi mwasema bida'a! Hujja tunazo shida ni ufahamu wenu ndio una utata!

  • @mohamedmussa5200
    @mohamedmussa5200 ปีที่แล้ว

    Ndg waislam, jihadharini sana na masheikh wa sampuli hii ambao kazi yao kubwa kuhakikisha sunnah za Mtume hazijulikani na bidah ndio zidumu.

  • @abdisalan7515
    @abdisalan7515 ปีที่แล้ว

    Mashalah nikuwelli wahaabiyo ndio jina laawo rasmi wakataae wasi kataa na wahaabiya ndio khawarij enyeewe moana sikuuzi wametole wa marina meengi ndio Tabia ya khawaarij

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 ปีที่แล้ว

      Waulize mashekhe zako nini maana ya:"AL WAHAAB "

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      @@ahmadmzoa74 SIO AL WAHABI. NI WAHABIYA. KUNA TOFAUTI YA WAHABIYA NA AL WAHABI. WAHABIA NI WAFUASI WA PEMBE YA SHETANI KUTOKA NADJI AMBAE NI MUHAMMAD IBN ABDUL WAHABI. WAHABIYA NI KUNDI LA HUYU MTU. HAPO AL WAHABI LABDA UJIITE WEWE,

    • @muhamadberhe
      @muhamadberhe ปีที่แล้ว

      ​@@hilalkhalfan1452 ikiwa unayoyazungumza ni kwa kutafuta radhi za Allaah Basi atuongoze Mimi na wewe na ikiwa wataka ujulikane wasema Basi umesikika na Allaah ni mbora wa kuhesabu, na Kama wafanya hivyo ilimradi kumchafua shekh rahimahullaahu Allaah akufadhaishe wewe

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      @@muhamadberhe KWAKWELI SITAKI SIFA WALA UMAARUFU. NAWAHURUMIA WALE AMBAO WAMEINGIA SHIMO AMBALO NILILOTOKA MIMI ZAMANI NA NIKAIONA HAQI KWA WALE WALIOSINHIZIWA UONGO AHLU SUFI. NILIGUNDUA NIPO KWENYE KUNDI LA UONGO LA KIWAHABIA KABLA HAZIJANIDHIHIRIKIA DALILI ZOTE NA KILA NILISOMALO NIKAONA UWAHABIYA (JINA LA BANDIA SALAFY AU ANSWARU SUNNA) NI PEMBE YA SHETANI ILIOTABIRIWA WAZI WAZI KUMBE NA MTUME SAW.
      990) في صحيح البخاري ، الذى لَمْ يَدعُ فيه النبى صلى الله عليه وسلم لِنَجد ، حيث قال : إن الفتنة والزلازل ونفير الشيطان سيخرجون من نجد . وقد سمعت بعض العلماء يشيرون إلى هذا الحديث عند الحديث عن علماء نجد ،
      MTUME SAW ALISEMA " PEMBE YA SHETANI ATAZALIWA NAJDI NA ATALETA FITNA KUBWA". LABDA SUALI MOJA TU LAKUANZIA KABLA HATA KUKUPA MIJELEDI YA DALILI.
      JEE NI WATU GANI AMBAO WALIOZUKA NA WAMESABANBISHA NYUMBA MOJA KUNA FITNA MUME NA MKE NA WATOTO KWENYE NYUMBA MOJA KILA MTU ANA SKUKUU YA IDDI YAKE, NA NIANI WANAOKUFURISHA WANAZUONI AMBAO WALIOAMINIWA KAMA MUFTI WA MAKKA ALIOKUWA EZI HIZO SHEKH BARZANJI PAMOJA NA TUHUMA NYINGI ZA MASHEKH WALIOKUWA MADH HABI KAMILI YA IMAM SHAFY NA MENGINE WAKIONEKANA SIO LOLOTE KULIKO KAULI YA PEMBE YA SHETANI ALIOZALIWA NAJDI AMBAYO NDIO FITNA KUBWA ILIOPO NA IMEFIKIA KUWA ASIO FUGA NDEVU NA NI JAMBO LA SUNNA BASI ANATABIRIWA KUINGIA MOTONI HUKU KUNDI HILO LIKITAFSIRI MENGI KINYUME NA MAAGIZO NA MPAKA SASA WAMEGEUKIANA MPAKA WENYEWE KWA WENYEWE WAKITOANA KWENYE UISLAMU MARA FULANI SIO SALAFY NA KUWAITA WAISLAMU NI MAGHURAGI, HIZBI NA MAJINA MENGINE YA MATUSI NA WAO ATI NDIO KUNDI LA PEPONI. HUKU WAKIWAFANYA WAISLAMU ATI HAWAJASILIMU MPAKA WAWATAMKISHE SHAHADA YA TAWHEED TATU AMBAZO SIO MAAGIZO YA MTUME SAW, HAWA WATU HAWANA SANAD WALA SHEKH BALI KAMA MBUZI WALIOACHIWA HURU KILA MTU HUFANYA ATAKAVYO NA KUVUNJIANA ADABU KWAO NDIO DINI KUBWA. WAKISINGIZIA WANALINGANIA DINI. MUME NA MKE WAMEACHANA, WAZEE NA WATOTO WAMEGOMBANA KWASABABU YA HILO KUNDI. UTAONA WANAENDA KINYUME NA KILA MUFTI WA NCHI WALIZOKAA NDIO MAAGIZO WALIOPEWA NA WAYAHUDI ILI KUFIKA MAHALA WAISLAMU WAPIGANE NA WAKISINGIZIA ATI MUFTI NI MTU MUOVU HAWAMUAMINI. HUO NIMFANO TU KIJANA

    • @barzaqtradingcompany8541
      @barzaqtradingcompany8541 ปีที่แล้ว

      Hawa masufi wana shida na Dh Wahabi shauri ya kusema musiabudu makaburi tu , ndio chuki yao kila siku linazida kuawo