This song actually inspires me each and every time whenever I experience difficulties in life, may God grant you more days on earth mum, still watching in 2022
Amina dada nmeamini nikweli Mungu anamipango na maisha ya watu wake Amina Amina amentowa nlipokuwa amenikaribisha katika hema yake Mungu ametenda mshangao juu ya maisha yangu wakat nilipo pokea ujumbe wa nyimbo hii Mungu akupe neema dear.
Nyimbo hii nayikumbu 2015 mungu asante umenishangaza ukanitowa kwayare niripitiya asante mungu naima yale mateso sitayaona tena.......lolote nitapofanya nitabakikiwa Mungu anamupango na mimi mungu anamupango na mimi kabisa
The message in this song happening this year who else believes 🤷2024 my year of blessings
Amen 🙏 🙏🙏
Amen
Who is listening with me in 2024
Am listening too
Here I am
Nko na wewe hapa july
August
Here I am
Nimebarikiwa sana rohoni na huu wimbo,natulia nikijua Mungu ako nami kwa kila jambo na chochote nitakachobariki kitabarikiwa kwa jina lake takatifu.
Who is still listening 🎧 this song in 2024
❤❤❤
Here I am
Mungu nishangaze nami pia nimepitia mambo mengi katika fake relationship with fake man pliz God nipe ndoa😭😭
Here in 2024,
Sijui kwann kila nikisikiliz huu wimbo lazim machoz yani toke ❤❤❤
This song actually inspires me each and every time whenever I experience difficulties in life, may God grant you more days on earth mum, still watching in 2022
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊p😊😊😊😊😊😊p😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
P
Bwana Yesu asifiwe wapendwa nashuru Mungu sana kukwapitia fake relationship niliomba MUNGU akasema na Mimi kama nimelala ana mpango na Mimi
Bahati huu wimbo umeupangila vizuri Mungu akuinue zaidi
Unaweza kwa kila wimbo wako Mom .....unastahili likes bilioni na bilioni , Mungu awe nawe kila unapotembea
Asante dadangu BWANA YESU azidi kukuinua zaidi. Atanishangaza maishani na wengi watashangaa kwa matendo yake ya ajabu
Mungu anampango na mm,,atanshangaza bwana,umefka mwsho wa fedhea zang,mungu ananiwazia mema,haiwezekan shidah mikos zniandame mm👌🙏🙏
Amen amen,nimewatch nyimbo zako nimebarikiwa mom,be blessed 🙏❤️
Haiwezekani shida mikosi balaa ziwe zako wewe, atakushangaza bwana it gives me strength and renews my hope, still here in 2021
Ana mpango na wewe haiwezekani shida mikosi balaa zikuandame wewe Amen
kwa kweli Bwana hutushangaza
Ameen
Amen
Sishindwe kwa jina la YESU
/
Bwana yesu ni shangaze Leo god bless me Amen
This is amorden woman of God
Great work
God has blessed me with good life after experiencing difficult life
Also praying and trusting God for a better life.
Bahati I love your songs n voice ,so beautiful.Be blessed,keep preaching the gospel.
Wimbo Hui umeni tia moyo sana!!! Ahadi za Mungu zimetajwa nyingi sana wimboni huu. Nashukuru sana. Pia beats ni nzuri sana
Amina dada nmeamini nikweli Mungu anamipango na maisha ya watu wake Amina Amina amentowa nlipokuwa amenikaribisha katika hema yake Mungu ametenda mshangao juu ya maisha yangu wakat nilipo pokea ujumbe wa nyimbo hii Mungu akupe neema dear.
Wimbo huu niliusilza kwa iman pindi naumwa hakika mungu hakuniacha ndaga fijo dada bahati
Wimbo mzuri huu ,,,kila Mara nikiuskiza wanipa nguvu mpya ya kumtumikia Mungu ,,barikiwa sana Bahati ,,still watching 2022❤❤
kweli bwana atanishangaza na mimi asee ubarikiwe sanaaa bahat bukuku
yaan bahati nakupenda kuanzia nyimbo zako hadi mavazi,,,Mungu akuinue zaidi na zaidi
amina sana
amina sana
ukicheza mi ndo nazid kutidig nyimb zko love you mno
@@michaelmike217 good
@@gisellamallya2025 kiac
Nampenda sana huyu mtumishi wa Mungu, hizi nyimbo zake bado mim zanibariki kabisa
This song reminds me of the year 2016 when life was a bit challenging but I thank God for He has always been faithful.watching on 26/3/2022.
Tomorrow am starting my exams I need to listen to this song before it's a blessing
AMEN yeye ni mwingi wa rehema kweli kwa Jina la yesu kristo maana yeye ndiye mwesa kila kitu
Amen na miye naamini kupitia iwimbo Mungu ata ni shangazz tuh merci pour vous maman bukuku kunipa tumaini tena
Umefika mwisho aibu yako wee...maana baraka za mungu iko juu yako😍😍😍
No one like God that why I love listening this song make me be proud with my lovely daddy Jehovah no more stress and sad just happiness..........
Yani napenda sana wimbo huu..kwani huwa kila ninapo usikiza unanibariki 2 barikiwa sana mama yetu Bahati Bukuku.
Amen i believe God is faithful has great plans for me be blessd mummy
He will surprise indeed, God of full of surprises
2024 still brings the spirit
Much love from this black American Lady.... We love you from States
Mungu anashangaza wengi bora umwamini ACHA MUNGU AITWE MUNGU SABABU ILE AIBU NA MADHARAU YA HAPO MWANZO ATAKUONDOLEA ( AMEN)
Amen
Napenda hizi nyimbo za bahati bukuku ,hinibaliki sana mm
Nakupenda sana dada bukuku ubalikiwe sana kwa nyimbozako zuli
Barikiwa mtumishi wa YESU bahati bukuku.
nice songs ever,May Lord fight for you all the time;bahati bukuku.
Be blessed daughter of the Jesus Bahati Bukuku ❣️🤗
My best song for this Christmas. God bless you Bahati Bukuku. Still the best song
Asante kwa nyimbo mzuri. umenipa matumaini
I love this song kwasababuu niwimbo ambao unaofariji yeyotee ambaye kakata tama (amen ubarikiwee sana)
dadangu ubarikiwe mpaka ushangae,,, I love ua songs..big up
Aminnaaa😢😢😢
These songs they really complete my life, continue with the work of. God🔥🔥🔥🙏🙏
So inspiring, l had to close the year with this...Mungu anampango nami,thanks Bukuku you are blessed.
Nina imani Mungu anaenda kunibariki. AMEN
Ubarikiwe sana.dada bahati nakupenda sana nyimbo zako sina ujumbe mzuri always
Amen and Amen umefika mwisho aibu yako ww i love it so much
Shida na mikosi hazitaniandama kwa Mungu ana mpango mwema n mm ,,,hata huzuni imekwisha
Still watching in 2020😍
Yess
@@sarahmibulano7407 xes
Luv from Zimbabwe.
Still watching feels as if it was Yesterday It is still a hit song for me
Passing here 2024 ❤
ameeeeen....so blessing.i have seen the work of God in my life
thank you for your testimony dear
Mungu akubariki sanabahati bukuku❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Bahat buku na bony mwaitege mungu kawapa vpaj mnagusa maisha halisi
Nabarikiwa sana kusikiliza huu wimbo,,,Bahati Mungu akutie nguvu uendelee kutunga nyimbo nzuri zaid
Ninaimani mungu atanipigania kwa kile ninacho muomba ninaraha katika moyo wangu
Nyimbo zako zinanibariki. Barikiwa pia nawe Bahati Bukuku
haiwezekani shida,balaa ziniandame mimi,mungu ana mpango na mimi.barikiwa sana,mungu akuinue
Ameeen nyimbo zako zinanitia nguvu
KWELI MUNGU ANA MPANGO NA KILA MTU
Barikiwa dadangu mpenz kwa ujumbe huu.umenijenga
Mungu akubariki sana dada bahati ,zikunenee mema daima
I like ur songs can make someone to change in life.
2021?!!!
Mungu atanishangaza!!! ✅🙌
love you bukuku I do really love your song ... u my inspiration via blessing Dada,,, May our Mighty God bless u abundantly
A very loving family.God bless you so much.
keep up sister you dnt get old you look young glory be to God anampango na wewe haleluhya haleluhya
Atakushangaza bwana ww kabla ya mwaka huu 2019 kuisha...Maana baraka za Mungu zipo juu yako
Haiwezekani shida,mikosi,balaa ziwe zangu😢😢😢😢😢😢ana mpango nami
God bless you and take care of you and your family like your songs! May you live long life to sing more songs
Amen God has good plans for me🙏🙏
Kweli baraka ziko mbele yangu amen ubarikiwe Mungu akutie nguvu simama tena
Aminaaaaaaa naamini mwezi huyu atanishangaza.niliyo yapitiya yatosha kwa kweli ashuke anisaidiye mwezi huyu📖🐠👏👏👏13.10.2022
wow!ubarikiwe sister Bahati.wengi tumekuwa tukibarikiwa na style yako hii.keep it moving.
mungu ndie mwanzo na mwisho
Dada me nataman tungekua tunasali pamoja napenda uwimbaj wako mungu akulinde
My ALPHA AND OMEGA😇😇😇😀😂😨😢😢😢😢
Kweli atakushangaza bwana" when I remember where I come to where I am 🙏🙏🙏 sifa n shukran zikufikie mola
May God bless u,,you inspire me through your songs dear
Nyimbo hii nayikumbu 2015 mungu asante umenishangaza ukanitowa kwayare niripitiya asante mungu naima yale mateso sitayaona tena.......lolote nitapofanya nitabakikiwa
Mungu anamupango na mimi mungu anamupango na mimi kabisa
Amenishangaza jameni..Asante Mungu wangu
Naomba Mama yangu umwimbie huu mwimbo leo kanisani
kweli kabisa AMEEN mungu akuinue sana
Amen,atanishangaza.zidi kubarikiwa dada
Amen naamini Mungu atanishangaza siku moja tu kwajina la Yesu
My love for these particular song whenever am down thanks ❤madam
Atakushangaza BWANA
Love from 🇰🇪🇰🇪 2021 still watching
I love this song kwa sababu nimepitia mengi mungu akubariki
flavian khasoa amen
Amen amen and amen dada, Mungu aku bariki sana kwa kazi yake ambayo unayo ifanya.
ubarikiwe sana dada bahat, uko vizur sana, Mungu anaenda kutushangaza
Amen
Haiwezekani huzuni zikuandame wewe... ..ana mpango nawe..... AMINA
Barikiwa sana Madam Bukuku the song is so sweety
Amenishangaza zaidi n anazidi kuinshangaza🙏🙏
Mungu shangaza maadui wangu uko na mpango wa maisha yangu
Na azidi kukushangaza Bwana leo na hata milele.
Hey Bahati I love your songs July 7/2021 still here much love from Kenya
Tuko kimoja
Naenda nyimbo za. bahati. bukuku❤❤❤
Can't get tired of listening to your music mum be blessed always