Nyota Yako | Bahati Bukuku | Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @bigmzazee2961
    @bigmzazee2961 9 หลายเดือนก่อน +12

    2024 ⭐️twende pamoja na mungu

    • @dieudonnekafunda4906
      @dieudonnekafunda4906 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ndiyo mukubwa aksanti kwa iyi wimbo 😮😮😮😮

  • @KennedyLudovickyKazoba
    @KennedyLudovickyKazoba 10 หลายเดือนก่อน +9

    Nimekuja uku tena2024🥰 kuangalia uu wimbo kwa sababu ya lafiki Yangu Mickius Peter😊😊 natumaini uko salama uko ulipo Endelea kumwamini Kristo ❤❤🤲

  • @peninaibrasuzi
    @peninaibrasuzi ปีที่แล้ว +13

    Wooow hakika nabarikiwa Sana na wimbo huu, ubarikiwe sasa dada Bahati, acha nyota ing'ae ishangaze dunia 😊😊😊, kuwa na Yesu raha Sana, sijawahi juta tangu nimjue

  • @loice705
    @loice705 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana katika wimbaji wako

  • @wilsonomondi2313
    @wilsonomondi2313 8 ปีที่แล้ว +10

    Nyota yako inang'ara katika utunzi wako.wimbo huu umenibariki sana, God bless you Bahati!

  • @bigmzazee2961
    @bigmzazee2961 13 วันที่ผ่านมา +2

    2025 twende pamoja jamani na baraka za mungu❤

  • @nyassailendo8561
    @nyassailendo8561 10 หลายเดือนก่อน +20

    2024 by God's grace this song is still strong of my heart ❤️ love you more mom bahati 🙏🙏🙏

  • @RukundJethi
    @RukundJethi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kbs iyi nyimbo ninzuri kbs

  • @reginahmwangangi6045
    @reginahmwangangi6045 4 ปีที่แล้ว +28

    If you believe nyota yako itarudi tap like kama AMEN.....

  • @ariseandshine
    @ariseandshine 2 หลายเดือนก่อน

    Nyota yangu itangara in Jesus’ name, Amen!🎉

  • @emmanuelwanyama8439
    @emmanuelwanyama8439 7 ปีที่แล้ว +17

    I LUV THIS WOMAN ....SHE NORMALLY SING FACTS

  • @delphinemochoge5275
    @delphinemochoge5275 2 ปีที่แล้ว +1

    Napokea io nyota nfanikiwe 🌟🌟🌟🌟🌟

  • @marthawanjiku2721
    @marthawanjiku2721 4 ปีที่แล้ว +16

    Wow anahubiri Kwa hii nyimbo with that golden voice.Nakupenda mama

    • @elizabathh6270
      @elizabathh6270 4 ปีที่แล้ว +1

      Ameeen

    • @charlescharlesmasanja8241
      @charlescharlesmasanja8241 3 ปีที่แล้ว +1

      Amin mama ubarikwe

    • @sprianomichael5968
      @sprianomichael5968 2 ปีที่แล้ว

      @@charlescharlesmasanja8241 p I'll

    • @somoekitemwe5835
      @somoekitemwe5835 2 ปีที่แล้ว +1

      Yesu akuinue na wewe unatubariki sana

    • @palukumuhindodieudonne6210
      @palukumuhindodieudonne6210 หลายเดือนก่อน

      ​@@somoekitemwe5835HUYU MAMA,ANASTAHILI KUKUWA BILLIONNAIRE OF USDOLLARS,KIWANGO ANATUBARIKI,SISI MA BILLIONNAIRES YA WATU,FULL 5 CONTINENTS,AROUND THE WHOLE WORLD...

  • @priskilakenedi9440
    @priskilakenedi9440 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa bahati bukuku

  • @remijajohnson2593
    @remijajohnson2593 6 ปีที่แล้ว +5

    amen nmebarkiwa kwanzia sasa nyota yng itangara na itashangaza wengi kiuchumi kifamilia kwajina la yesu

    • @apolomasauda9975
      @apolomasauda9975 4 ปีที่แล้ว

      Unanifariji sana huu wimbo nakutakia kazi njema bahati bukuku

  • @adolphinekavira-df9lx
    @adolphinekavira-df9lx หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu na kusiii
    nyota yangu ingare kama vile uliumba.mwan😮a damu hana ma Mulaka juu ya nyota yangu kwa jina la yesu

  • @Medesound
    @Medesound 7 หลายเดือนก่อน +20

    Like kwa mwenye iko fatiliya iyi nyimbo 2024🎉

  • @peteramani7454
    @peteramani7454 3 ปีที่แล้ว +21

    when i heard this song first time, my heart melted. Dada wetu bahati, Mungu wetu asidi kukubariki kwa huduma hii ya kipekee. wimbo huu una ujumbe wa kipekee.

  • @doctoramos3079
    @doctoramos3079 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sounds like new song🎉❤i like this song❤ she's so talented🎉 she's the only mirror in my life

    • @doctoramos3079
      @doctoramos3079 5 หลายเดือนก่อน

      2024 but sounds so new. ❤❤❤🎉

  • @yvonneivanna7595
    @yvonneivanna7595 2 ปีที่แล้ว +7

    God bless you mama Bahati Bukuku in Jesus name amen 🙏 you are blessings to many through your songs

  • @عبدالحميد-ج4م3ز
    @عبدالحميد-ج4م3ز 3 ปีที่แล้ว

    Balikiawa mama mungu azidi kukupaka mafuta umepewa neema amen amen

  • @chadrackkalenga2265
    @chadrackkalenga2265 2 ปีที่แล้ว +21

    La gloire reviens à Jésus Christ Amen,Christ est bon 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏un bon cantique à écouter dans les épreuves car chacun de nous a son étoile et cette étoile brillera un jour heureux

    • @lolabiringanine3529
      @lolabiringanine3529 2 ปีที่แล้ว

      Amen amen hallelujah 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🙇🏽‍♀️🧎🏾‍♀️

    • @kongolojeacques3405
      @kongolojeacques3405 2 ปีที่แล้ว

      W cwx r

    • @Mulindwa-k2x
      @Mulindwa-k2x ปีที่แล้ว

      Weewe bahati unaimba,ndiyo mbona nyota Yako inashikiwa na wachaawii

  • @Kachana69
    @Kachana69 หลายเดือนก่อน

    Mama Bukuku unasoma sana maandiko, Mungu akubarikiii.... Piga kazi ya injilii

  • @abeer4201
    @abeer4201 5 ปีที่แล้ว +12

    AMENA MAMA UNATUPA KUBARIKIWA MWONYO YENYE KUFUNGWA INAFUNGUKA MUNGU AKUBARIKA MAMA YANGU KUMUIMBIYA MUNGU NIKARAMA🙏🙏🥰😘

  • @annaracheldaniel5132
    @annaracheldaniel5132 8 ปีที่แล้ว +2

    yaan bahati nakukubali kuanzia nyimbo mpaka mavazi yako Mungu akubariki sana

  • @rogersmakelele3604
    @rogersmakelele3604 7 ปีที่แล้ว +8

    Asante sana Dada kwa ujumbe wako. Huu wimbo wako unanifariji sana. Mungu akubariki sana kwa kutusaidia kwa wimbo.

  • @adelladamian9530
    @adelladamian9530 6 ปีที่แล้ว

    Nyota yangu ng'alasana mungu endelea kunipgania katka maisha yandoa

  • @naomienelly8398
    @naomienelly8398 7 ปีที่แล้ว +31

    25/12/2017 niko hapa...so gratefull MERRY CHRISTMAS & HAPPY NEW YEAR...tunaomba nyota zetu zing'are zishangaze wengi in JESUS name...blessings mama bahati

  • @gabrielaakawa843
    @gabrielaakawa843 6 ปีที่แล้ว

    Iyo nimbu ime nifunza mengi piya imesema mingi ju ya maisha yangu acha mungu akubariki dada bukuku nina sikiliza nimbo zako tokeya ulaya

  • @emmaonguboontereontere5058
    @emmaonguboontereontere5058 6 ปีที่แล้ว +6

    Mungu fungua njia nyota yangu inga're amina

    • @danielmakori288
      @danielmakori288 4 ปีที่แล้ว

      Amen. Itangara katika jina la Yesu

  • @jumamwendairingatown8725
    @jumamwendairingatown8725 8 ปีที่แล้ว +1

    mwenyez mungu anibarik nyoto ili iwashangaze wengine , maadui zetu wapate kujickia haibu

  • @mussambegu6386
    @mussambegu6386 7 ปีที่แล้ว +24

    Msema kweli ni mpenzi wa mungu kwa kweli mm japo c mkiristo lakini wewe Dada nakukubali % zote upo makini na kazi yako

    • @siwemaking7658
      @siwemaking7658 5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa mimi nampenda sana

    • @neckiusmoses1677
      @neckiusmoses1677 5 ปีที่แล้ว +2

      Ubarikiwe dada bahat

    • @gloryjane4147
      @gloryjane4147 5 ปีที่แล้ว

      Barikiwa Musa mbegu Mungu akatende ndani yako jambo la tofauti uonavyo pokea kwa Jina la Yesu📩

    • @elizabathh6270
      @elizabathh6270 4 ปีที่แล้ว

      Ameeen

    • @elizabathh6270
      @elizabathh6270 4 ปีที่แล้ว

      Ameeeen💜👏🙏🙌

  • @zachariamayala7008
    @zachariamayala7008 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki uendelee na nyimbo nzuri maana umenigusa moyowangu amina

  • @ramadhanyahya4667
    @ramadhanyahya4667 7 ปีที่แล้ว +7

    Ramadhani naomba na mimi nyota yangu ing'ae unabuludisha sana

    • @nicolausibulaya2466
      @nicolausibulaya2466 6 ปีที่แล้ว +1

      nimekukubali nyota yangu itagaaa na kushangaza wengi .

    • @roselynesamson3252
      @roselynesamson3252 6 ปีที่แล้ว +2

      Nyota yangu popote ilipoibiwa nairejesha kwa Jina la Yesu.....namwaga damu ya Yesu...amen nitashangaza wengi.

    • @annadaudi4330
      @annadaudi4330 4 ปีที่แล้ว

      My fv song

  • @bafidelcastro1304
    @bafidelcastro1304 2 ปีที่แล้ว

    nyota yangu iko kwa mwenyezi mungu ikingara itashangaza wengi

  • @vincentjuma9132
    @vincentjuma9132 7 ปีที่แล้ว +4

    neama mwaipopo , Christian shusho,bahati bukukhu,mwaitaje,in short tz gospel artist you are inspiration to many,plse continue with the good work you are doing,god bless and protect them,

  • @salmakadede2491
    @salmakadede2491 6 ปีที่แล้ว

    Nyota yangu itangara ishangaze wrngi asante mtumishi wamungu azidi kukuenua na huduma yako

  • @elizabathh6270
    @elizabathh6270 4 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo una nguvu
    Sana,neema
    Ya
    Mungu
    Imulaze
    Pema💜💜👏💜💜🙌

  • @gloryjane4147
    @gloryjane4147 5 ปีที่แล้ว +1

    Yesu mwana wa Mungu naomba Nyota yangu ikawake na kung'ara mahali pote katika kazi na kila kona niendako Nikang'are

  • @avelinealoyce619
    @avelinealoyce619 7 ปีที่แล้ว +4

    amen amen mungu akubariki sana dada

  • @mwajumamtali6752
    @mwajumamtali6752 6 ปีที่แล้ว +1

    Amina kwaujumbewako mwemaa

  • @bundharima5724
    @bundharima5724 8 ปีที่แล้ว +8

    Nimebarikiwa kwa nyimbo zako dada

  • @jumamwendairingatown8725
    @jumamwendairingatown8725 8 ปีที่แล้ว +1

    mwenyez mungu akuzidishie kipaji zaid

  • @janethjaphet3079
    @janethjaphet3079 7 ปีที่แล้ว +6

    nampenda sana bahati bukuku mungu akubariki kwa kazi nzurii na yenye ujumbe mzurii. sana GOD BLESS YOU B, BUKUKU

    • @roydam6011
      @roydam6011 5 ปีที่แล้ว

      mungu azidi kuonekana kwa kazi yako nzuri

  • @MariamDamas-k2c
    @MariamDamas-k2c 2 หลายเดือนก่อน

    kweli kabisa ii nyimbo inaujumbe sana mungu akubaliki sana 🎉❤

  • @albanusoburu6057
    @albanusoburu6057 5 ปีที่แล้ว +18

    An inspiring song more-so during this festive season as we wait for the messiah.

  • @adolphinekavira-df9lx
    @adolphinekavira-df9lx หลายเดือนก่อน

    Malkia anakaa mbinguni mama wa yesu na mama wetu utuombee imejaliwa neema

  • @samwelmarwa8503
    @samwelmarwa8503 6 ปีที่แล้ว +15

    This is the time when our redeemer was born
    wonderful song,prince of peace, savior
    of the world (name above all names Jesus Christ.)
    keep it up mum.

  • @حميورمضان
    @حميورمضان 6 ปีที่แล้ว

    Nakupenda bahati bukuku nishidah japo me ni Muslim lakni jinsi ninavyo kupenda

  • @paulynchristopher7824
    @paulynchristopher7824 8 ปีที่แล้ว +13

    in love with every song of this beautiful woman.For sure when God wants to bless u il bless u in so many ways,personally blessed to hv a chance to hear beautiful words from Bahati Bukuku.
    May God keep u fr our sake.

  • @benithokujela1330
    @benithokujela1330 6 ปีที่แล้ว +1

    Kweli nyota yako inga'are popote ulipo .barikiwa mtumish kwa wimbo mzuri sana

  • @charlesodimo798
    @charlesodimo798 7 ปีที่แล้ว +6

    What a combination Jenipher Mugendi and Bahati nikiwaona najua kuna upendo kati yenu maana mlifanya mziki moja kitambo kama bado Bahati nakuja na mwili sana lakini mlikua bora,hata Leo bada naona wimbo mzuri, barikiweni

  • @lilyabel2320
    @lilyabel2320 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mtumishi wa mungu Jennifer Mgendi. Ubarikiwe pia

  • @tumwendeekihongosi6802
    @tumwendeekihongosi6802 8 ปีที่แล้ว +4

    Nyota yako is very nice song it inspire much God bless you sister bukuku

    • @rickyboss882
      @rickyboss882 8 ปีที่แล้ว

      Tumwendee Kihongosi Jesus loves

    • @deborahchan6795
      @deborahchan6795 8 ปีที่แล้ว

      Tumwendee Kihongosi

    • @tumwendeekihongosi6802
      @tumwendeekihongosi6802 8 ปีที่แล้ว

      Ricky Boss thanks he loves you too

    • @zawadigambi3055
      @zawadigambi3055 7 ปีที่แล้ว

      huu wimo unanifariji sana mungu akubariki BAhati bukuku kwa wimbo nyota ing,are

    • @adesinacosmas971
      @adesinacosmas971 7 ปีที่แล้ว

      Tumwendee Kihongosi

  • @nyabisemaro2586
    @nyabisemaro2586 4 ปีที่แล้ว

    Ameeeen Ubarikiwe na Jenifer Mgendi Pole kwa Kufiwa na Mme wako

  • @beatricelepoki6025
    @beatricelepoki6025 7 ปีที่แล้ว +5

    Amen.l believe in him.nyota yangu imefunguliwa in Jesus name.be blessed sisy

  • @dennicmtn5269
    @dennicmtn5269 6 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Dada Bahati ktk huduma yako

  • @aurasmartsoft2452
    @aurasmartsoft2452 6 ปีที่แล้ว +6

    Thank you for being a blessing to us in Kenya.

  • @kendivitinyu9821
    @kendivitinyu9821 2 ปีที่แล้ว

    mama bahati bukuku wimbo huu unaguza roho yangu napenda sana huduma yake

  • @agneslyoba3636
    @agneslyoba3636 7 ปีที่แล้ว +2

    Amen Nyota yangu ing'are kwa Jina la Yesu!!

  • @shamsswad9634
    @shamsswad9634 8 ปีที่แล้ว

    ahsante xana dada.I believe nyota yangu itang'ara in Jesus Christ.

  • @lakishiferonzia5076
    @lakishiferonzia5076 7 ปีที่แล้ว +16

    you're the best Gospel musician Bahati... love you so much

  • @salomejuma352
    @salomejuma352 7 ปีที่แล้ว +1

    kweli tumng..anganiye mungu ili nyota xetu xingare namini yangu itangara ameni mum bahati mungu aongexe kipaji chako

  • @priscilarkahindi9126
    @priscilarkahindi9126 8 ปีที่แล้ว +23

    amina nyota yangu ing'are! ishangaze wingi asante mtumishi mungu azidi kukutumia kwa huduma

  • @sarahpanza8823
    @sarahpanza8823 3 ปีที่แล้ว

    Nyota yangu imegaa sana na mushukuru mungu wangu mungu pia akubariki dada

  • @lisherjerry317
    @lisherjerry317 6 ปีที่แล้ว +8

    Chorus with Sweet voice from Grand mgendi!!! Stay blessed!!

  • @fatimasaumu804
    @fatimasaumu804 5 ปีที่แล้ว

    Amina Amina Amina dear napokea kwa jina la yesu wa Nazareth

  • @daudikijani9202
    @daudikijani9202 7 ปีที่แล้ว +5

    mwanamama bahati anajua sana

  • @christinanoah3887
    @christinanoah3887 6 ปีที่แล้ว +1

    amina nyota yangu ing'are mungu akubalik mtumishi

    • @haronmaake5216
      @haronmaake5216 4 ปีที่แล้ว

      Kiswahili tafadhali achana nayo

  • @gerraldbukelebe5152
    @gerraldbukelebe5152 7 ปีที่แล้ว +5

    Nadhani kupitia ujumbe huu nyota yanguitang'aa katika jina la yesu

    • @mosesmafunga4939
      @mosesmafunga4939 6 ปีที่แล้ว +1

      bila shaka kaka, jipe imani.

    • @celestinemaria8168
      @celestinemaria8168 5 ปีที่แล้ว

      nyimbo zako bahati zinanipa matumaini name mafanikio Dada ubarikiwe

  • @adriennebalenba117
    @adriennebalenba117 6 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen mama.kila nikisikia nyimbo zaka nqsikia nyele kama inanitoka kwa kichwa ama machozi kwenye macho.ubarikiwe tena mtumishi wa MUNGU

  • @gracemsangi4886
    @gracemsangi4886 7 ปีที่แล้ว +3

    Amen,, Mungu na azidi kukutumia

  • @LeyansimireChance
    @LeyansimireChance 10 หลายเดือนก่อน

    Amen mama bahati Mungu aiangaze tena nyota yangu

  • @antoniodonizettiseveriano5454
    @antoniodonizettiseveriano5454 2 ปีที่แล้ว +9

    Amém só Jesus que tem poder muito bom esses louvores aleluia 🙏🙌🔥⭐

  • @reinhardokinda4887
    @reinhardokinda4887 5 ปีที่แล้ว +1

    Nyota yangu itangara iwashangaze wengi

  • @peninnahwanza6304
    @peninnahwanza6304 3 ปีที่แล้ว +3

    Halleluuujah,,glory to Jesus!!! You're the best musician,,, may God bless u mummy...that's why I love you from the depth of my heart!!!much love dear mummy!!!

  • @mercyamunga7265
    @mercyamunga7265 6 ปีที่แล้ว +1

    AMEN...NADAI NYOTA....YANGU POPOTE ILIPO WEKWA IRUDI KATIKA JINA LA YESU..HUKUNAKUFINYILIWA TENA KATIKA JINA LA YESU

  • @julienswanatansha3903
    @julienswanatansha3903 8 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akubariki. Mina barikwa sana. Nyota yangu tangu sasa in ng'ara na ita shangaza wengi.

  • @jacquelinemoses1411
    @jacquelinemoses1411 5 ปีที่แล้ว

    Nyota yangu itang'ara kuanzia sasa kwa Jina la.Yesu kristo alie hai

  • @otienojacky222
    @otienojacky222 7 ปีที่แล้ว +4

    Your songs have been a blessing to me and my family blessed so much bukuku

  • @justajames3791
    @justajames3791 6 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu hakika huu nimwaka wa neema kwangu

  • @patelkanyiba8765
    @patelkanyiba8765 4 ปีที่แล้ว +3

    Luke 1:28,42. Great message Bukuku. God's favour is with you.

  • @gloriamichael3698
    @gloriamichael3698 5 ปีที่แล้ว

    Ndaga Tukuju gwimbile ndaga fijo yota Yangu iliyoibwa imerudi Kwa imani ktk jina la Yesu mnazareth

  • @mkolelamazengo6437
    @mkolelamazengo6437 4 ปีที่แล้ว +62

    Nyota lazima ing'are 2020 kama unakubali itang'ara kwako like twende sawa

  • @EasyMan23-fi8yr
    @EasyMan23-fi8yr 3 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo yangu pendwa mpaka leo 2024 Mungu akubaliki we dada

  • @rehemajohn7712
    @rehemajohn7712 7 ปีที่แล้ว +9

    Nyota yangu ikashangaze wengi

    • @gracemoshi1465
      @gracemoshi1465 4 ปีที่แล้ว

      nyota yangu in,gare mpaka ishangaze wengi 🙏🙏

  • @lilianlaizer6137
    @lilianlaizer6137 6 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukuinua Kwa viwango vingine ili kusudi na mapenz yake yakapatekutimia

  • @lizatemi
    @lizatemi 5 ปีที่แล้ว +4

    Watching from Kenya and feeling blessed.May our Stars 🌟 🌟 shine ever brightly

  • @rehemaiddy5696
    @rehemaiddy5696 2 ปีที่แล้ว

    Hongera hii kwaya simchezo na hata hao vijana wako vizuri

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 8 ปีที่แล้ว +4

    Aamina najua nikiwa na Yesu lazima nyota yangu itang'aa!!

    • @gisellamallya2025
      @gisellamallya2025 7 ปีที่แล้ว

      nakupend San mamy

    • @vincentjuma9132
      @vincentjuma9132 6 ปีที่แล้ว

      Yawezekana nyota imechuckuliwa na wachawi.hi Leo na mulilia yesu,awashagaze wengi

  • @sultanalbshri3408
    @sultanalbshri3408 8 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana dadangu bahati kwa kazi yako nzuri

  • @mamatuishi-mamatuondoke8822
    @mamatuishi-mamatuondoke8822 8 ปีที่แล้ว +4

    Ni kweli mama'nyota yangu ing'ara mpaka nashitka"nashukuru mungu"barikiwa madam bukuku

  • @favouropande1065
    @favouropande1065 8 ปีที่แล้ว +1

    Bahati Bukuku hapo umeniguza kabisa. Mungu akubariki kabisa

  • @lilianboimanda7443
    @lilianboimanda7443 8 ปีที่แล้ว +4

    Mungu atukuzweeeeee nyotaaa na ing'areeeee kwanguuuu kwa jina la YESU I LOVE BAHATI BUKUKU &JENIFER MUNGU AWABARIKI SANAAAA.....MZIKI MZURI BIGUP PRODUCER😊😊😊😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘❤❤❤❤❤❤❤❤❤💓💓💓💓💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💝💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💝💝💝💝💝💝💝💝💝💗💗💗💗💗💗💗💘

  • @peterkioko6816
    @peterkioko6816 6 ปีที่แล้ว

    Leo 9:10:18 katika Jina Kuu La Yesu Kristo Nyota Kuu inaenda kungare ishangaze kwa mataifa yote.

  • @NdihokumbwaySamuel-y9j
    @NdihokumbwaySamuel-y9j 29 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu anipe baraka nyotayangu ing'are mpaka daima

  • @machumumujaya3449
    @machumumujaya3449 7 ปีที่แล้ว +3

    ubarikiwe mama kwa utungaji mzuri.

  • @joellaniyonkuru8908
    @joellaniyonkuru8908 2 ปีที่แล้ว +1

    nyota inayo tuelekeza tunako kwenda.huyo ndiyo mwokozi wetu Yesu alishangaza wengi na kwenye anafika vitu vinabadilika.this night aca nyota iniongoze katika hiyi safali ya maisha yangu🙌🙌🙌🙌10.06.2022

  • @dianajepkorir3821
    @dianajepkorir3821 7 ปีที่แล้ว +3

    nimejifunza mengi sana kutoka nyimbo zako

  • @lydiagesare2819
    @lydiagesare2819 2 ปีที่แล้ว

    Hii nyimbo inanikumbusha mbali naipenda Sana ubarikiwe mama