Inakuza ten kwa haraka San masha Allah mm natia kila siku asubuh na jioni natengeneza karafuu naroweka siku 7 siku 8 natia tangawiz nasaga nalaza siku moj naishuja naanza kutumia mpk inamaliza
Hakikisha unaziweka kwenye mitindo ya kuzinyoosha ( hapa utaona kama zinarefuka) mara nyingi ukiona nywele inajaa tu bila kurefuka jua ni inajishindilia
Mpenzi, itategemea na utunzaji nywele wako wote kiujumla. Lazima uwe na mtiririko mzuri wa kuzitunza. Mfano uwe pia unafanya treatments, unahakikisha ngozi yako inaafya na unazilinda nywele zako nk. Hapa utaona matokea haraka
Bila samahani dear. Kwanza hakikisha hauna allergy na karafuu. Pili unaweza kutumia kila unapotaka kuzipa unyevu au ukaamua kufanya ndo maji ya kusuuzia nywele zako baada ya kuondoa steaming
Habar yako dad.. Nina shida na sawa zako pleeez naomba uniachie namba zako Kuna tatizo pia nahitaj nikueleze ili unisaidie kwa dawa hizi.. me naitwa rahma.
Pole mpenzi. Kila mtu ana experience tofauti. Kukata nywele zako itategemea na vile unayatumia pia. Ila kama unaona hayakufai viko vingine vingi unaweza kufanya vikakufaa
Kwa urahisi wa kutumia ni vizuri uwe na spray bottle. Hata ya perfume ilioisha unaweza tumia. Ila kama umekosa kabisa unaweza iweka kwenye chupa ukawa unapaka kama vile mafuta
Unaweza ukaweka kwenye spray bottle ukawa unaspray kuzipa unyevu. Lakini pia unaweza baada ya kuosha na steaming kuisuuza ukazimwagia hayo maji kisha ukazifunga zinyauke
Be blessed always ❤️❤️ tungepata wapi haya maarifa ya bure sie 😇😇
Wawooo thank you my friend
Inakuza ten kwa haraka San masha Allah mm natia kila siku asubuh na jioni natengeneza karafuu naroweka siku 7 siku 8 natia tangawiz nasaga nalaza siku moj naishuja naanza kutumia mpk inamaliza
Unakuwa unatiaje au unatia nikama unaosha
Nitajaribu
Ndiyo dear nami juzi nimekoga nimeona mateyo zimerefuka siku moja takuwa naoga kwamaranying
Yani nywele unaosha kila siku nakarafu na hiyo tangawizi
Ss unakuwa unafanya stimmin au unafanyaje yaan hebu. Nielekeze vzr
Samahani darling nikitumia kila.siku asubuh na jion nitaona matokeo kwa wiki ngapi?
Samahan aunt naweza loweka kwa siku tatu then nikachuja nakuanza kutumia pia itakuwa na matotokeo sawa na kuchemsha
Shukran sana na mm nitaanza kutumia maana nna mba na nishakata tamaa
Karibu darling. Mba wanasambabishwa na vitu vingi mpenz. Mfano kupaka mafuta ngozi ikiwa mbichi
@@rjsbeautycare ok shukran sana
Nitajaribu nakuleta mrejesho
Sawa darling 😊
Mbona me nywele zangu zinajaa tu lakin hazirefuki
Hakikisha unaziweka kwenye mitindo ya kuzinyoosha ( hapa utaona kama zinarefuka) mara nyingi ukiona nywele inajaa tu bila kurefuka jua ni inajishindilia
Unaweka kwenye ngozi au nywele dada
Done
Hujmbo wajna
Keep up the good work dera🥰🥰🥰
Thanks darling
Nisaidie namba zako dada
Whatsap number +255768945552
Aunt inafanya kaz baada ya siku ngap☺
Mpenzi, itategemea na utunzaji nywele wako wote kiujumla. Lazima uwe na mtiririko mzuri wa kuzitunza. Mfano uwe pia unafanya treatments, unahakikisha ngozi yako inaafya na unazilinda nywele zako nk. Hapa utaona matokea haraka
@@rjsbeautycare okie aunt thank you na kaz njema dear
Naweza tumia kila siku darling nijbu bas
Kalafuu siyeliwi Nini please
Au siyo vizur kutumia kila siku
Nitaa leo maana nyele zangu ni zur ila haziendelei kukua haraka
Zingatia pia vile unazitunza kiujumla darling wangu
Muda gani nitaona matokeo
Nafanye aje ili nywele zangu zijae?
Zingatia matunzo yako, lishe yako na afya yako darling wangu
Samahan unatumia mara gap kwa wiki
Bila samahani dear. Kwanza hakikisha hauna allergy na karafuu. Pili unaweza kutumia kila unapotaka kuzipa unyevu au ukaamua kufanya ndo maji ya kusuuzia nywele zako baada ya kuondoa steaming
Habar yako dad.. Nina shida na sawa zako pleeez naomba uniachie namba zako Kuna tatizo pia nahitaj nikueleze ili unisaidie kwa dawa hizi.. me naitwa rahma.
Salama mpenz. +255768945552 whatsap
My dear naomba nisaidie nimuweke nn mwanangu nywele zake ziwe nyeusi
Nywele zake rangi gani? Zilikua hivyo toka mwanzo?
Nimetumia karafuu Kila siku lakini ywele inakatika sana pia huwa naichana ikiwa imelowana sio kavu nisaidie my dear
Ikiwa hukupika namaj huwez kuroweka karaf kweny maj siku3 naukatumia?
Unaweza darling
yanakata nywere zangu
Pole mpenzi. Kila mtu ana experience tofauti. Kukata nywele zako itategemea na vile unayatumia pia. Ila kama unaona hayakufai viko vingine vingi unaweza kufanya vikakufaa
Karafuu nini
Hizi chupa zinauzwa maduka gani naomba unisaidie
Ya vipodozi, sh amon pia utapata
unapakaje haya maji ya karafuu
Je mmi nimesuka naweza kupak hivohiv
Yes dear unaweza
Izi chupa zinauzwa maduk gn jmn nimetafuta sana
Upo wapi
kwahiyo ukiweka kwenye nyele je unazisuka arafu unaosha au?
Hiyo inakua ndo moisturizer yako dear. Hauoshi.
Ila kama unafanyia prepoo(kupaka Maji na mafuta/conditioner kabla ya kuosha) ndio utaosha
Nitumie kwa siku ngapi na nitumie kila siku ama akama naosha nywele
Utakapotaka kuzipa unyevu
Inafaa kwa nywele ya dawa
Yes dear inafaa
Samaani nilikuanatamani kufanya nywele kua narangi yake
Unamaanisha nini darling wangu? Imefubaa au ikoje?
Je kam nywer ina daw naweza tumia
yes darling unaweza
No 1
Unaeza fanya km umesuka ama mpk ufungue
Unaweza darling.
Abari za siku dada naomba kuuliza je Kama nywele zako ni low porosity unaweza kutumia maji ya karafuu? naomba unijibu tafazari .
yes darling unaweza kutumia. Maana yenyewe yanazipa unyevu kitu ambacho ni muhimu kwenye nywele aina yoyote
@@rjsbeautycare Asante kwa kunijibu.
Kama sina sipirei je nafanyaje
Kwa urahisi wa kutumia ni vizuri uwe na spray bottle. Hata ya perfume ilioisha unaweza tumia. Ila kama umekosa kabisa unaweza iweka kwenye chupa ukawa unapaka kama vile mafuta
Ukisha spray hayo maji ya karafu kweny nywel unaosha au una acha hvyohvyo tu
Unaacha mpenzi. Usisahau kuspray sio kulowesha
Unayatumiajee sasa???
Unaspray kwenye nywele pale unataka kuzipa unyevu
Haundikunyoosha
Sijaelewa mpendwa
Mim bad sijafah kidog hap unatumiaj hayo maji yaan ukimaliza kuziosha am unapaka kwenye mistar au vp eb nifahamisheen
Unaweza ukaweka kwenye spray bottle ukawa unaspray kuzipa unyevu. Lakini pia unaweza baada ya kuosha na steaming kuisuuza ukazimwagia hayo maji kisha ukazifunga zinyauke
Done