Dada asantee kwa somo zuri lakini naomba unisaidie mimi nywele zangu niliwahi kuweka dawa baadae ikakatika zikaja nywele asili tatizo ni kwamba nywele zangu hizi za kipilipili zimedumaa hazikui Wala hazisogei napenda nywele, naomba nisaidie nini nifanye lakini kunyoa sitaki
Karibu darling. Alovera ni moisturizer inazipa nywele unyevu mpaka kwenye kiini. Sio hivyo tu. Ina antibacterial na anti-inflamatory properties hivyo huzuia mba, miwasho nk
Mi mi ninanywele nyingi nzito ngumi nazipenda tatizo MBA wamejaa na nywele zimekua nyepesi kamani nitumie nini zirudi mwanzo dada na ninaasili ya kujifunga juu ni natural.
Hii ni personal darling wangu. Kutokana na ratiba zako na condition ya nywele zako. Lazima kujua haya ili kuunda routine. Unaweza nichek kwa WhatsApp number+255768945552
Nimeieleza ni ya namna gani mpenz. Isiovuta na kukaza sana nywele. Inayolinda mikia ya nywele zako. Hivyo mtindo wowote utakao usuka hakikisha unafata vigezo hivi
Dada asantee kwa somo zuri lakini naomba unisaidie mimi nywele zangu niliwahi kuweka dawa baadae ikakatika zikaja nywele asili tatizo ni kwamba nywele zangu hizi za kipilipili zimedumaa hazikui Wala hazisogei napenda nywele, naomba nisaidie nini nifanye lakini kunyoa sitaki
Tuwasiliane darling wangu kwa whatsap +255768945552 usijali zitakua
@@rjsbeautycare Sawa dada
asante dada naomba somo la aina ya nywele sijui nywele zangu nizaaina gan ni kavu au
Asanteee sana 🙏🙏🥰
Very useful video!
Thank you😘
❤ thanks mamy
Your welcome my dear
You are welcome my dear
Asante dada
Karibu darling wangu
Hello,,,, nywele yangu n chache na haikui shida n nn
Asante vipi aloevera inasaidia nn na inatumikaje?
Karibu darling. Alovera ni moisturizer inazipa nywele unyevu mpaka kwenye kiini. Sio hivyo tu. Ina antibacterial na anti-inflamatory properties hivyo huzuia mba, miwasho nk
Hello nywele zangu ni nyepesi nifanyeje iwe nzito au nipake mafuta gan nipake
Hello my dear. Nyepesi unamaanisha chache kichwani au kwamba ni nyingi ila nyepesi?
Chache@@rjsbeautycare
Dada nywele yangu ningumu pia inachelw kukua
Unaitunza vipi. Kama hauna routine hakikisha hiki ndo kitu cha kwanza unakua nacho
Masha Allah shukran
Nisaidie namna ya kuondoa mvi zilizosababishwa na Pico na dawa za nywele
Ambazo tayari zimekua mvi huwezi zibadilisha labda kama ni kwa kuzipaka rangi. Ila unaweza zuia zingine zisiwe mvi. Ungependa kujua hili?
Hi mmi nywele yangu mbele imekatika nifanyeje isikatike
Angalia mitindo unayosuka mpenz. Usizivute sana na kuzikaza. Kama una nyonyesha basi hakikisha unakunywa suppliments pia
Mbn hujaonyesha hy mitindo dada
Nimeitaja mpenzi vile ni mitindo maarufu. Ntaiweka kwenye video nyingine usijali
Mi mi ninanywele nyingi nzito ngumi nazipenda tatizo MBA wamejaa na nywele zimekua nyepesi kamani nitumie nini zirudi mwanzo dada na ninaasili ya kujifunga juu ni natural.
Angalia utunzaji wako na products unazotumia my dear
Naomba unisaidie uniambie nitumie mafta gani dada
Unataka kupata nini kutoka kwenye mafuta mpenzi?
Yaaap Yaap..
Living conditioner ni nini
Stiming ipi nitumie
Asant kwa mafunzo mazul
Karibu mpenzi🥰
Living condition ni nn
Nsamahan dada naomba ratiba ya nywele
Hii ni personal darling wangu. Kutokana na ratiba zako na condition ya nywele zako. Lazima kujua haya ili kuunda routine.
Unaweza nichek kwa WhatsApp number+255768945552
Nili taka uni saidiye njisi yaku Fanya ili uso isiwe n'a chunusi Niki paka mafuta yoyote ina niletea vipele
Pole mpenzi
Angalia video yangu ya jinsi ya kutibu chunusi na kutinza ngozi.
Itakusaidia
😢Asante sana
Karibu mpenz
hujatuonesha hiyo mitindo
Nimeieleza ni ya namna gani mpenz. Isiovuta na kukaza sana nywele. Inayolinda mikia ya nywele zako. Hivyo mtindo wowote utakao usuka hakikisha unafata vigezo hivi
Hi
Hello darling
Livin ni nini?
Ni product inayopakwa kwenye nywele na kuachwa kwa lengo la kusoftisha na kuipa nywele unyevu. Na faida nyingine nyingi
Samahani dadaangu nini living condition kiswahili
Nime penda
Asante darling
Asante sana 🎉🎉🎉❤❤❤
Karibu darling
Naomba unisaidie uniambie nitumie mafta gani dada
Unataka kupata nini kutoka kwenye mafuta?