NENO LA SIKU | Yohana 15 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Utumwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @DevotaSamsohn
    @DevotaSamsohn วันที่ผ่านมา +3

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nakataa roho ya utumwa wa madeni kwa jina la yesu

  • @IreneMtoto-un5lg
    @IreneMtoto-un5lg 2 วันที่ผ่านมา +5

    MUNGU NITOE KATIKA UTUMWA WA NDOTO MBAYA NA HUSBAND SPIRITUAL IN JESUS NAME AMEN 🙏🙏

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 2 วันที่ผ่านมา +3

    Amen Amen Mungu mwenye nguvu nakataa roho ya utumwa wa magonjwa kutoka kwa Adui Yesu niondoleeroho ya utumwa ya magonjwa sugu nitowe kwenye utumwa wa kutoelewa Neno la Mungu nisaidie Bwana
    Asante mtumishi kwa somo na maombi Mungu azidi kukuongoza BARIKIWA

  • @rhodamwakatundu5226
    @rhodamwakatundu5226 2 วันที่ผ่านมา +4

    Asante Yesu kwa maombi haya

  • @jacquelineissike5828
    @jacquelineissike5828 วันที่ผ่านมา +2

    Nimefunguliwa katika kila vifungo vya utumwa maishani mwangu nimekuwa huru Kwa damu yake Yesu Kristo Amen
    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu na masomo haya ya biblia tunawekwa huru na kila utumwa wa dhambi

  • @lennyfrank
    @lennyfrank วันที่ผ่านมา +3

    Ameen Ameen

  • @RuthGeoffrey
    @RuthGeoffrey 2 วันที่ผ่านมา +4

    Kwa Jina la YESU nakataa roho ya utumwa wa hofu na wasiwasi.nakataa roho ya utumwa ya magonjwa maishani mwangu katika JINA la YESU. Naishinda roho ya udhaifu wa magonjwa yasiyoisha kwa Damu ya YESU na kwa Jina la YESU. Barikiwa kwa neno mtumishi asante

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 2 วันที่ผ่านมา +3

    Ameen ❤

  • @SidiMariam-ph7cc
    @SidiMariam-ph7cc วันที่ผ่านมา +3

    AMEN AMEN AMEN

  • @SoosanOman
    @SoosanOman วันที่ผ่านมา +2

    Amen. Nakataa Roho ya utumwa wa. Ndoto mbaya kwa Damu yesu Amen

  • @GladysMagoma-d4m
    @GladysMagoma-d4m วันที่ผ่านมา +2

    Mungu niondoe kwenye utumwa wa magonjwa n madeni kwadamu ya yesu

  • @gladyskerubo6075
    @gladyskerubo6075 2 วันที่ผ่านมา +3

    Amen

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 2 วันที่ผ่านมา +3

    Amen Ameeeen

  • @vivijohn2578
    @vivijohn2578 2 วันที่ผ่านมา +3

    Amen Amen Amen

  • @Tinahtinash
    @Tinahtinash 2 วันที่ผ่านมา +3

    Amen 🙏 🙏 roho ya utumwa wa madeni itoke katika maisha ya kaka yangu kwa jina la yesu😢😢

  • @MariaMjeni-rh6sy
    @MariaMjeni-rh6sy 2 วันที่ผ่านมา +3

    Amen 🙌🙏🙏🙌🙏🎉

  • @leanyaki8748
    @leanyaki8748 2 วันที่ผ่านมา +3

    Ameeeen Ameeeen barikiwa sanaaaaq

  • @agathatembo430
    @agathatembo430 19 นาทีที่ผ่านมา

    Amen natoka kwenye utumwa wa madeni Kwa jina la Yesu

  • @AnnMwajuma
    @AnnMwajuma วันที่ผ่านมา +2

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @SaumuChengo
    @SaumuChengo 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu wa mbinguni akujaze neema mchungaji

  • @gfcgghh9138
    @gfcgghh9138 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ameeen,roho ya utumwa naikataa kwa jina la yesu.

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 2 วันที่ผ่านมา +3

    Ameen ❤

  • @philipomwoyo4765
    @philipomwoyo4765 2 วันที่ผ่านมา +3

    Amen

  • @agathatembo430
    @agathatembo430 18 นาทีที่ผ่านมา

    AMEN AMEN