Ukiskiliza hii Ngoma kwenye makelele auwez elewa nini maana ya mziki mzuri, ila poa mahali ukiwa na earphones 🎧 classic afu furahia mziki mzuriii..... Utanishukur
King Kiba Featuring za December nnazozijua.... ITAKUWAJE MAUA SAMA, SOBER MARIOO, ZALI DULLY, NAOA VANNY BOY... Alafu zote kasumbua, kanyanyasa masikio yetu mashabiki mzee 🙌🙌🙌
Mimi najiuliza kati ya mbosso na ali kiba nani mwenye sura ngumu ambayo inaashiria kuzeeka 😂😂😂 maana mbosso ndo ana sura ngun kukikoni ali kiba sijuwi Bangi ndo zinamkomaza mbwana mbosso 😂😂
ILA ALIKIBA ❤️❤️ Huyu KIJANA 👑
Keep on Watching ITAKUWAJE.
Nambie chochote kutoka kwetu SAMAKIBA “Nasoma Comments “
🔥🔥🔥
AKA BACHUCHU MOMBASA 001
🇰🇪+254🇰🇪
Nilisema Sitopenda na Sasa Nimesharekwaaa❤❤
Hatari
Kuna wanawake wanatamani wao ndiyo wangekuwa wewe maua😂😂😂
Nakupenda maua wang
Wapi mashabiki sugu wa Alikiba ❤tuonyeshe upendo hapa
Tupo❤❤❤❤
Unyama
❤❤❤
Tupo
King ni mnyamq
Wanaokubali King huu mwaka kafanya poa tujuane kwa like
Wapi mashabiki sugu wa Alikiba ❤King of East Africa
Alikiba juu kama tupo pamoja gonga like 👍
Hii Ngoma Kali sana jamani wote walio ikubali hii Ngoma naomba mlike hapo chini 🎉🎉🎉❤❤
atali mnooooooooo
Alikiba mwaka huu ameshilikishwa sana
Kama umeangalia maranyingi kama mimi gonga like tujuane ☝
Pia kama hujaangalia....gonga to
Saf.kabisa
Wametisha 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Alikiba❤❤More Love From Kenya🇰🇪🇰🇪
Nandy n maua ndo wale upromotiwa sana n kiba kimziki wao wende mbele kama unakubal weka like happy kristmass to all of you
Wakwanza leo jamani tunaye mukubali King 👑 kiba show love apa kwa kulaki 🎉🎉
Ukiskiliza hii Ngoma kwenye makelele auwez elewa nini maana ya mziki mzuri, ila poa mahali ukiwa na earphones 🎧 classic afu furahia mziki mzuriii..... Utanishukur
Uko sahihibsana
Hii ngoma kali sana aise sasa itakuaje tena jamani
Watching live from kenya 🇰🇪
There is only one king. Slow burner music. Bravo🇹🇿🇿🇲🇨🇬🇺🇬🇷🇼🇰🇪🔥😍💕east Africa leta likes za mfalme.
Huyo kijana anaye mpenda maua ni mimi hapa ❤❤❤❤ nakupenda wewe na nyimbo zako mama.
😅😅😅 shenzi kabisa
aaah 🤣🤣🤣
Duuuuuu 😅
Chizi fresh😂😅
😂😂😂😂😂
alikiba kagoma kabisa kuzeeka🔥🔥🔥🔥
Love from 🇰🇪 wewe ndio msanii pekee tunakukubali huku Kenya ❤❤❤❤
KING kila umri unavyozidi kwenda ndio anazidi kurudi utotoni Kiutendaji na Voice MashaallaH Allah Akupe umri mrefu zaid MFALME
Tunao mpenda MauaSama na nyimbo zake weka like yako hapa.....
“Absolutely love the energy and vibe in this video! The visuals and music are perfectly on point 🔥👏”
Wa kwanza hii chemistry haijawahi kufeli bonge ya ngoma🔥
Tamuuu
team kiba like tafadhara
I really Love the beats.... King you're such a vibe😘😘😘😘 keep going
King Kiba Featuring za December nnazozijua.... ITAKUWAJE MAUA SAMA, SOBER MARIOO, ZALI DULLY, NAOA VANNY BOY... Alafu zote kasumbua, kanyanyasa masikio yetu mashabiki mzee 🙌🙌🙌
Mimi najiuliza kati ya mbosso na ali kiba nani mwenye sura ngumu ambayo inaashiria kuzeeka 😂😂😂 maana mbosso ndo ana sura ngun kukikoni ali kiba sijuwi Bangi ndo zinamkomaza mbwana mbosso 😂😂
Ila mbosso mby jaman ana sura ya wiz
🎶🎶🎶🎵💕💓kama njiwa tunapepea wawili eiy 👌
Am always supporting good music this song is 🔥🔥 ali kiba is unstoppable 🔥💪
Maua you are so talented ❤️,love from Uganda,of course Alikiba is a king 👑
❤❤❤❤❤
KING💓💓💓💓
❤❤❤ King 🤴 kashamaliza uku teali mazeeee
Ali sio kihumbe cha kawaida ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🫡🫡🫡
Kitambo❤❤❤
Leo nimekuwa wakwanza naombeni like za maua sama na alikiba 🎥🎥🔥🔥🔥❤❤
Maua sama mimi huwa nakupenda kusema ukwel ❤❤
Mna chemistry nzuri sana❤️
King kibabe❤❤❤
Wooow nice one king kiba na my queen Ngoma kali Sana 🙌🔥💥
Underated mauwa Samaa inabidi apew heshima yake🔥🔥🔥🔥
Hongera kwa nyimbo nzuri
Wanastahili pongezi muziki mzuri kila la kheri legendary duly sykes
Saitakuaje juma unajua nimetumia million 30,😂😂😂😂😂 hii ngoma kali sanaaaa 🎉🎉🎉
From congo DRC alikiba tuna mkubali mpaka congo anajua
Nimependa toka 🇨🇩 Congo🎉🎉
Nakupenda sana maua
Nyimbo nzuri sana sana sana
Respect for you king kiba Allah kakujalia kipaji na wewe unajua kukifanya kazi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
She's the flower, he's the fragrance. LOVE FROM KENYA
Hii December ni yako wewe king kiba huna mpinzabi mwanetu 👊 maana umekiwasha sana December hii 🫡👑🫡
Hongeraaa broooohhh umetishaaaaaa xnaaaa asehh
❤❤❤❤king viva
Huyu kiba ni mnoma sanaaaa ❤❤❤
Anaekibaliana na mimi kuwa hii ngoma qali alike hpa ...ila king na maua sama kha?
Walai producer wew nikupate Ile viboko utapokea weeweee..........big up for the tune guys........❤
Maua sana kazi nzuri❤❤
Aisee kingkiba nimoto mwingine kabisa ngoma hata ukiwa single nitamu
Umetisha sanaaaa 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Nyimbo kali kusema kweli na itawaka tuu hii
My king nakukubali kutoka Kongo 🇨🇩 🇨🇩
Cjawahi kuwa wa 6 Leo nimekua wa SITA daaah Ngoma kali
Sijawahi kuona KING KIBA akifeli siku zote amekuwa fire,
❤❤❤ alikiba all always
King🎉🎉🎉🎉
sa ITAKUWAJE. I just love this song walahi ❤
Nyimbo tamu sana hiii
The KING LEGENDARY MR MAUJUZI KING KIBAAAAAAAA 🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana kwa iyi nyimbo wewe ni king wa muziki Tanzanie❤❤
Mattishall sana
Perfect combii here from Eldoret Kenya enjoying the Vybz 🎉, 💯🔥💯
WANGAPI TUNAAMINI SAMA NA ALIKIBA NI WAPENZI❤❤
safi sana mauasama kwa kutunza kijana wetu
kingggggggggkibaaaa🎉🎉🎉🎉❤
bang 🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The King 👑 KIBA Proffesional singer
Nyimbo kali kinoma inapaswa iwe pale namba mbili na views nyingi zaid
I love you so much Maua Sama ❤❤❤❤
pongezi kwa wore wanaopendwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Kenya we're happy where are my likes
weh naye unatuangusha, hii ujinga ya likes achia wa-tz
Wendo acha.acha apate mziki mzur mwenzio@@adembeza
Ila SAMAKIBA 🎉🎉 toka 🇨🇩 Congo ici🎉🎉
Ila king 👑👑👑👑🔥🔥🔥🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good Music indeed ❤
My favourite voice 👍👌
Bonge la ngomaaaaaaaaaa
From 254..liking king's vibes all the way❤❤❤
This song is pure magic! The visuals make it even more unforgettable. Big respect to everyone involved! ❤🎉
pongezi zote ziende kwa mwana dada SAMA
🔥🔥🔥LIT
Alikiba ni kama jini. Unajua sana aisee😊
😂😂😂😂
Heheh pewa soda kwa bill yangu
Anajua nn
Kama na wewe umeona Alikiba alivyo MTEKENYA Maua Sama Gonga like😂😂
King 🙌🎉🎉🎉🎉🎉💥💥💥💥👑👑👑
nyota does it again👌👌👌👌👌👌👌👌❤❤❤❤
Nyimbonnzr san
Home boy!🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉 Iink inatembea hii Hadi ikafike mbinguni❤💯
WA KWNZA LEO TEAM KIBA GONGA LIKE HAPA
love from 🇧🇮 King kiba👑👑
Kaz juu ya kaz ww ali kiba utatuuwa mwaka huu
Hii wimbo ni tamu sanaaa ❤❤❤
Kama na wewe upo dar es salaam like apo wazee wa New song
Kama Umependa hili Song like zao hapa
Team KIBA 👑 nawaesabu hapa Kwa LIKE 👍
SA ITAKUWAJEEEE ❤❤❤❤
Wow ❤❤ beautiful song