Chino Kidd, Mbosso, S2kizzy & Dj awakening - BongoMan Remix (Official Music Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @StalonTeo-jb2td
    @StalonTeo-jb2td 4 วันที่ผ่านมา +314

    Oyaaa na mbosso khan tena aaah. Chembe chembe za India humu kauwaaa sanaaaa team mbosso like hap🎉🎉🎉🎉

  • @simba_dangote
    @simba_dangote 4 วันที่ผ่านมา +102

    Wanaoelewa tu muziki nzuri ndiyo watakaopiga like hapa🔥🔥

  • @RoyAshuma
    @RoyAshuma 3 วันที่ผ่านมา +21

    Mbosso Kaua aisee...Mbosso ameshindikana...Kenya tumekubali Mbosso♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @kasogaofficial
      @kasogaofficial วันที่ผ่านมา +1

      🔥🔥🔥 hatariii

  • @Inspectordogocomedy
    @Inspectordogocomedy 3 วันที่ผ่านมา +27

    Chino This is big I say ,, Sending love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kenya we love this hit banger is another level ,

  • @beatboy30
    @beatboy30 4 วันที่ผ่านมา +52

    Wangapi walijua hii remix atakuepo diamond platnumz baada ya kuonekana aki challenge clipe na hii nyimbo ya bongo man gonga like apa ila mbosso pia Kaua!!!!

  • @jumerrashyd2766
    @jumerrashyd2766 4 วันที่ผ่านมา +175

    Am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ila mbosso kashindikana wapi likes zangu tafadhali.

    • @GhamuMburu
      @GhamuMburu 3 วันที่ผ่านมา +1

      Ataree

    • @GhamuMburu
      @GhamuMburu 3 วันที่ผ่านมา

      Noma

    • @GhamuMburu
      @GhamuMburu 3 วันที่ผ่านมา

      Shidaa

    • @GhamuMburu
      @GhamuMburu 3 วันที่ผ่านมา

      Nomaa

    • @GhamuMburu
      @GhamuMburu 3 วันที่ผ่านมา

      Kinomaa

  • @mkombozimkinde7554
    @mkombozimkinde7554 3 วันที่ผ่านมา +35

    Wakenyaa hawataki hizii rahaaa #kama uko bongo like hapana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @LandryMapesa-ns5mq
    @LandryMapesa-ns5mq 4 วันที่ผ่านมา +66

    Kama una muitika Mbosso nipe like tatu

  • @raylenjo4660
    @raylenjo4660 3 วันที่ผ่านมา +15

    Khan atareee sana. Kapewa verse kavamia. Sele umetisha. Mob ❤from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @SwalehMohammed-v8c
    @SwalehMohammed-v8c 2 วันที่ผ่านมา +15

    MBOSOO KHAN baba inatoshaaaa💥💥💥💥💥👊👑

  • @eloitz17
    @eloitz17 4 วันที่ผ่านมา +22

    Huyu mbosso khan apewe ulinzi Guyz kama unamkubali gusa like hapa

  • @melkiadgangai5271
    @melkiadgangai5271 3 วันที่ผ่านมา +13

    Mziki mzuri unajiuza, hii ngoma ni kali ki kinoma Bongo Dsm

  • @JayNyoso01
    @JayNyoso01 4 วันที่ผ่านมา +17

    Mboso khan, huyu jamaa hafai, nyimbo zima narudia kipande chake tu duh!😮🙌

  • @CelinaantoniolinhetaAntoni-x3j
    @CelinaantoniolinhetaAntoni-x3j 4 วันที่ผ่านมา +13

    Moto ni moto nawakubali sana nilikua natamani kifanyike kitu kama iji🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @yuzkid7729
    @yuzkid7729 4 วันที่ผ่านมา +15

    Mboso khan umetisha sana mzeee.big up chino bongo piano international

  • @Mrishowalengamina-bx2to
    @Mrishowalengamina-bx2to 4 วันที่ผ่านมา +26

    daah ila mbosso kila akipewa colabo aweke vesi yeye waga ana uwa mapema san nikama nikipindi ana tunga vesi yake waga ana kutana na malaika tu sio kwa hali iyo toeni like bas

  • @almasinillan
    @almasinillan 4 วันที่ผ่านมา +36

    MBONA NIMESKIA MSEMO WA MOVIE LA HARD TARGET 🤣💪🏾 IPUPUTEE

    • @ramadhankhalid4676
      @ramadhankhalid4676 4 วันที่ผ่านมา

      Yenye iyo mana wanatunya sisi watoto wa200p

    • @modernjulius710
      @modernjulius710 4 วันที่ผ่านมา

      Wa elfu 2000 hawawezi kuelewa hako kamsemo kametoka wapi😅

    • @YesayaLameck-bp8pf
      @YesayaLameck-bp8pf 3 วันที่ผ่านมา

      😁

  • @Bighopethb1
    @Bighopethb1 4 วันที่ผ่านมา +20

    Nime sikia iyi kitu Tokea Congo Drc Bukavu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 3 วันที่ผ่านมา +11

    Hii umeuwa mwaka vizuri. Hata usiongeze tena Chino. Kenyan 🇰🇪fan🫶💞🥂💥💥💥💥💥

  • @HusseinMwampesse-oq9qs
    @HusseinMwampesse-oq9qs 4 วันที่ผ่านมา +7

    Oyaaaaa woteee mtulie mwenye mji kaki chafua acha tupite iviiiii 🔥 baruzaaaa

  • @BINTIFAKI
    @BINTIFAKI 3 วันที่ผ่านมา +10

    Mbosso umeuwa big love from 🇰🇪

  • @NoelyTz
    @NoelyTz 3 วันที่ผ่านมา +21

    Wanamani dondosha like 🇹🇿

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 4 วันที่ผ่านมา +31

    Tunao sabu dkiki tujuane wapi like za chino ft mboso mshedede wapi like za 🇴🇲🇧🇮🇹🇿🇰🇪🇸🇦 bila kisahau Congo

  • @barakakarisa1533
    @barakakarisa1533 3 วันที่ผ่านมา +17

    wenye tunasubiri vituko vya mbosso kwa hiyo video tugonge like hapa

  • @ahmedlatif3516
    @ahmedlatif3516 4 วันที่ผ่านมา +9

    Yaani tupo kaka mbosso khan basi yatosha kaka mamanguuuuu weeee

  • @Torres-ku4fw
    @Torres-ku4fw 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu ni mkuu sana shabiki Tangu mkubwa na wanae Adi ivi mungu akuzidishia kk yangu

  • @JanvierLwango
    @JanvierLwango 3 วันที่ผ่านมา +6

    S2KIZZY zombi weye utatuuwa n'a raha kwetu 🇨🇩🇨🇩. Mbosso Khan inatosha ❤❤❤

  • @esikingamrperfume1997
    @esikingamrperfume1997 4 วันที่ผ่านมา +13

    Likitokea jema kenya 🇰🇪 uzalendoo aaaaa😅🎉🎉🎉🎉❤❤ 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 MBOSOOOOOOO

  • @AhmadBey-r4u
    @AhmadBey-r4u 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nikipiga salute namaanisha imeenda comando team Chino ft mbosso weka like hapaa.. .

  • @BadruRashidy
    @BadruRashidy 4 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu mbosso atengwe jamn dahh😢,nyimbo nzuri na yyy kja kuingiza kitu imekuwaj balaa

  • @huslymaarifa
    @huslymaarifa 2 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mwamba uandishi wake ni Og. Hatari sana... wapi likes zangu manze

  • @MohdChicha-e6g
    @MohdChicha-e6g 4 วันที่ผ่านมา +12

    Mbossoo khani kafunika wote

  • @MJmusictz
    @MJmusictz 3 วันที่ผ่านมา +6

    ila mbosso duh mwaka unaufunga mwanetu dah ukigusa imo qaqa watakuroga qaqa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @AlonaAfc
    @AlonaAfc 4 วันที่ผ่านมา +7

    Chukuweni tu maua yenu waaaazeee mumetisha sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉From south Africa

  • @danielmacharia9603
    @danielmacharia9603 3 วันที่ผ่านมา +3

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mbosso ni mkali sana

  • @luciamagohacosmass8359
    @luciamagohacosmass8359 4 วันที่ผ่านมา +7

    Bongo dar es salaam we muhindi wa kusini umeua🎉🎉🎉

  • @ChaloWeke
    @ChaloWeke 2 วันที่ผ่านมา +2

    jamani mbosso aaah yani uko on another level walai🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪much respect

  • @AlexiSimba-s5b
    @AlexiSimba-s5b 4 วันที่ผ่านมา +6

    ila Daaaaah mbosso King 👑🤴🏿

  • @crsimba135
    @crsimba135 3 วันที่ผ่านมา

    Jamani Mbosso Nampendana sana Pamoja Na Chino Kidd Kujiunga na WCB Asante Sana Chino Apo Sasa Unataka Kukula Hit Ndugu Yangu

  • @EastOneDiamante
    @EastOneDiamante 3 วันที่ผ่านมา +7

    Oyaaaa hii tuipeleke hivi 🇺🇬 wana man ❤❤❤

  • @DjSwedi-b5t
    @DjSwedi-b5t 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ngoma Kali sana mbosso kwani iyi ma neno ume kuwa una itowa kwa mungu aula

  • @chrisspy6430
    @chrisspy6430 4 วันที่ผ่านมา +9

    Daa mbosso baba inatosha😊 unafanya usiku mzma naisikiliza bongo man 👮‍♂️👮‍♂️👮‍♂️

  • @ALLCONTENTSRECAP
    @ALLCONTENTSRECAP 3 วันที่ผ่านมา +6

    Tuipeleke trend namba moja hii wazeee🔥🔥🔥🔥

  • @MuhammadJuma-r7t
    @MuhammadJuma-r7t 2 วันที่ผ่านมา +4

    Chino chino wanaman kama una mkubali weka makopa ❤

  • @TarimboClasic
    @TarimboClasic 3 วันที่ผ่านมา +6

    Kama tuko kenya gonna like

  • @MussaibrahimGhalib
    @MussaibrahimGhalib 4 วันที่ผ่านมา +5

    Silali mpaka niisikilize hii Ngoma np china like zenu bc nduguzangu wa bongo

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fanya kunicheki kwa link unisikilize japo dk,3

  • @BoyFlames258oficial
    @BoyFlames258oficial 2 วันที่ผ่านมา +2

    Big love. Its good. Forma Mozambican 🇲🇿

  • @LauryMupassa211
    @LauryMupassa211 4 วันที่ผ่านมา +15

    Wakwanza ku toka congo 🇨🇩 nipenì like zangu

  • @zeinabali5962
    @zeinabali5962 4 วันที่ผ่านมา +1

    Chino wanna man,,, chino wanna man .........nuff respect chinooooo 😅 king of amapiano #chino4revaaaaa

  • @giftfungo1404
    @giftfungo1404 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mbossssssoooooooo Khan Mshedede CHINOO 🔥 next song iwe Chino X Simba

  • @sammykeidefuture9495
    @sammykeidefuture9495 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbosso mbosso mbosso... Wasoma kamusi Gani 😊

  • @AffemoAbelly
    @AffemoAbelly 3 วันที่ผ่านมา +12

    Aisee mbosso khan hauwa,, mwamba ni balaa kwenye mistari. Anaujua mziki mwamba,, dondosha kopa kwa mbossoooo khan ❤️❤️❤️❤️❤️❤️♥️♥️👍

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ...Fanya kunicheki kaka japo dakika3. Usikilize wimbo wangu

  • @ahmedlatif3516
    @ahmedlatif3516 4 วันที่ผ่านมา +5

    0:08 bwana mbosso wewe mkali chinooooooooo naye wayaaaa

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ...Fanya kunicheki bro japo dakika3

  • @Diamond_platinumztz
    @Diamond_platinumztz 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Good Music tunangoja video sasa

  • @JEANS-TZ
    @JEANS-TZ 4 วันที่ผ่านมา +4

    Katika huu wimbo mbosso khan dio kaua sanaaa wangapi tuna muku bali mbosso like hapa

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fanya kunicheki kwa link ukaniskilize japo dk3

  • @AbdallahJuma-e6w
    @AbdallahJuma-e6w 2 วันที่ผ่านมา

    Kuma la mamaake nimekoment baba aoo oyaa yakufunguia mwaka hiiiiiiiii mbosoooooooo chinooooooo

  • @KasongoCharles-z1y
    @KasongoCharles-z1y 4 วันที่ผ่านมา +10

    🥁🥁🥁🥁🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲spy Kay cosmetics in Zambia 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AlexJumanne-ls5gm
    @AlexJumanne-ls5gm 3 วันที่ผ่านมา +7

    Tulio skiliza kipande cha mbosos tu tujuane hapa kwa like

  • @hamiduhassani372
    @hamiduhassani372 2 วันที่ผ่านมา

    Mboso khan msedede baba la bia ameua sana kweh hii goma kam una mkubali mboso gonga like hapa

  • @MukizaFab-s4k
    @MukizaFab-s4k 4 วันที่ผ่านมา +6

    Wakwanza Toka Rwanda

  • @KevinNdayisenga-m2d
    @KevinNdayisenga-m2d 4 วันที่ผ่านมา

    Oa mbosso unatakia umfungwe jela mwanangu sio kwa kuandika ivo ,Sema ukaua nakubali 🇧🇮🇧🇮🇿🇦🇿🇦

  • @hakunakubakisha
    @hakunakubakisha 3 วันที่ผ่านมา +3

    Kali sana 🔥🔥

  • @Jayfreestarboy
    @Jayfreestarboy 2 วันที่ผ่านมา

    Mbosso tushajua unaweza inatoshaaaa Sasa eee inatosha baba inatoshaaaa

  • @vannysancho-music
    @vannysancho-music 4 วันที่ผ่านมา +2

    Saw Saw Chino kidd ila ingehitajika we zombie awe dani

  • @AhmadZumba-p2z
    @AhmadZumba-p2z 4 วันที่ผ่านมา +1

    Atawauwa huyuuuu.... Ukimtoa chibu, wengine wote pita mbeleeeee

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fanya kunicheki. Kaka ukasikilize wimbo wangu japo dk3

  • @richardwilfred5683
    @richardwilfred5683 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kudadekii unaocheka nao ndio marafiki feki,
    Watakulisha sumu hawaeleweki 🔥🔥🔥

  • @hudhaifaidrisa5488
    @hudhaifaidrisa5488 4 วันที่ผ่านมา +1

    Aseee awamu hii mtatuua na raha sio kwa vibe hizi

  • @hopxzbahati1078
    @hopxzbahati1078 4 วันที่ผ่านมา +5

    Hii ngoma ni nyoko kabsa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌

  • @nasakahela9613
    @nasakahela9613 3 วันที่ผ่านมา

    Msakahela naona mbosso kashindikana pamoja na chino wapi likes zangu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 3 วันที่ผ่านมา +5

    Goma la kwenda hili🎉🎉

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ...Fanya kunicheki bro ukasikilize wimbo wangu japo dakika3

  • @jerryjob1692
    @jerryjob1692 4 วันที่ผ่านมา

    Chino 🔥🔥 Mungu aendelee kukushika Mkono Keep Growing CHINO WANA MANA

  • @SonBrown_og
    @SonBrown_og 4 วันที่ผ่านมา +3

    Wote wameuwa yan wamekutana mafund wanajuwa wanacho kifanya hongera kwao🎉

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fanya kunicheki japo dakika3

  • @ChifundoEneya-m4n
    @ChifundoEneya-m4n 3 วันที่ผ่านมา +1

    ila mbosso Wana vitu vyake
    We zombie noma Sana
    Bongo dar es salama

  • @vankayvankay-fk7el
    @vankayvankay-fk7el 4 วันที่ผ่านมา +12

    Oya mwanangu chino wewe kiboko mimi kama mimi deejay van kay napiga ngoma zako kinoma bigap my super legemd

  • @furengthedone1071
    @furengthedone1071 2 วันที่ผ่านมา

    Yule chizi alotoroka mirembe angekuwepo hapo sijui hata ingekuwaje🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💥💥💥

    • @rushboyofficial
      @rushboyofficial 2 วันที่ผ่านมา

      Angeuwa saaana😁ibraah

  • @FulkoKomba-eb9pn
    @FulkoKomba-eb9pn 4 วันที่ผ่านมา +24

    Kama unamkubali mbosso gonga like hapa za kutosha

  • @Learnmorey7f
    @Learnmorey7f 4 วันที่ผ่านมา +1

    Baluza chino wanaman mbosso ni GOAT wote nawapenda

  • @Shejazi_tz_official
    @Shejazi_tz_official 4 วันที่ผ่านมา +5

    mbosso umeua sanaa

  • @EmmanuelMgavilwa
    @EmmanuelMgavilwa 2 วันที่ผ่านมา +1

    kama tupo bongo manigaaaa 🔥🔥🔥 big shot out kwa mnyamwez @chinokid

  • @conkar95
    @conkar95 3 วันที่ผ่านมา +4

    Kama tuko buja man🇧🇮 like zangu bas😅

  • @ShabanMohamed-sm1hi
    @ShabanMohamed-sm1hi 4 วันที่ผ่านมา +1

    Dhaaa.... Mbosso Khan Tena kaka mmetishaaa Sanaa 🔥🔥🔥🙌

  • @Freddymedia-p7d
    @Freddymedia-p7d 4 วันที่ผ่านมา +4

    Kama tuko bongo baharia hit like twende

  • @Yohanankwabi-e9o
    @Yohanankwabi-e9o 4 วันที่ผ่านมา +2

    Fundi khani baba 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @AlexGermany-x8e
    @AlexGermany-x8e 3 วันที่ผ่านมา +6

    Nimekuja hapa kwa ajili ya mbosso

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ..Fanya kunicheki kaka japo dakika 3 ukasikilize wimbo wangu

  • @savagetv2153
    @savagetv2153 วันที่ผ่านมา

    remix imekuwa kali kuliko ngoma yenyewee

  • @bekaboysurce
    @bekaboysurce 4 วันที่ผ่านมา +5

    Mbosso Khan 🔥🔥🔥

  • @kongwiziibraah
    @kongwiziibraah 4 วันที่ผ่านมา +2

    oooho kumbe mboso iko tena bien 👍👏❤❤❤🎉🎉🎉😂

  • @RamaAbdhallah
    @RamaAbdhallah 4 วันที่ผ่านมา +5

    mbosso umetisha

  • @IbrahimIbla-d4w
    @IbrahimIbla-d4w 4 วันที่ผ่านมา +1

    Kumamakeeee mbosso umeshindkana kaka ww ni genious

  • @BUDDYMWAFRICA
    @BUDDYMWAFRICA 4 วันที่ผ่านมา +3

    Nakubali wanaman❤🎉🎉

  • @AmiliSheheSelemani
    @AmiliSheheSelemani 4 วันที่ผ่านมา

    Mbosso uwishi miaka mingi sana unajua mpka mumepitiliza🤲

  • @NoName-pp4lo
    @NoName-pp4lo 4 วันที่ผ่านมา +3

    Baluuuuza na mbosso khan tena

  • @piusjoaojoao1926
    @piusjoaojoao1926 4 วันที่ผ่านมา

    Mbosso nakwitanji tufanye kazi nzuri na wewe yani wewe upo vzr from 🇲🇿 Moçambique.🇲🇿🇲🇿 Mbosso Khan bom trabalho 💥.

    • @jayhamso9902
      @jayhamso9902 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Fanya kunicheki japo dakika3 ukasikilize wimbo wangu japo dakika3

  • @KhayruniMussa
    @KhayruniMussa 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mboso khan🎉🎉🎉🎉🎉

  • @IsaacSalali
    @IsaacSalali 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kutoka Congo 🇨🇩

  • @AMMY_TONYofficial
    @AMMY_TONYofficial 3 วันที่ผ่านมา +1

    Unaocheka nao hao ndo marafiki fekiiiii kudadadekiiii,......{BONGO MAN}💥🙌🏾

  • @Charles_Carney
    @Charles_Carney 4 วันที่ผ่านมา +5

    Yoooh mboso Khan mshedede 0:29

  • @daudimwanza
    @daudimwanza 4 วันที่ผ่านมา +2

    Mbosso Kaua🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Mosses-z6j
    @Mosses-z6j 4 วันที่ผ่านมา +2

    🔥🔥🔥 mbosso

  • @ChristinaTina-l1o
    @ChristinaTina-l1o วันที่ผ่านมา +1

    Baruzaaaaaaa!!!!🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿