POLISI WAWILI WAUAWA DODOMA WAKIMFUATA MTUHUMIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 122

  • @jumamaulid9462
    @jumamaulid9462 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Poleni makamanda wetu kwa uzalendo wenu.
    Tunajua mmeziacha familia zenu kwa ajili yetu sote.
    Muovu mmoja ana uwezo wa kufunga mtaa mzima na watu wakapoteza amani hata utulivu wao si majumbani bali hata misikitini na makanisani.
    LAKINI ninyi mlijitoa kafara kwa ajili ya Watanzania wote.
    Moyo huo ni ndio ule aupedao sana Mungu.
    Tunajua ni wachache watakaoithamini kazi na umuhimu wenu kwa sasa LKN hiyo haimaanishi kwamba nafasi yenu kwa Mungu ni ndogo.
    Nawatakia huruma ya Mungu na kuchapa kazi kwa uzalendo kwani Mungu anazijua nia zetu sote na atatulipa sote kwa kila mmoja anachostahiki.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Mama Samia alishasem kifo ni kifo. Pole familia

    • @stevenmanase8162
      @stevenmanase8162 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Poleni jeshi LA polis

  • @JenniferJackson-m5t
    @JenniferJackson-m5t 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Tubaki na nukuu moja tu KIFO NI KIFO 😊

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +19

    Kifo ni kifo mimi nanukuu 😢

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂

    • @husseinmramba
      @husseinmramba 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha ushabiki wakijinga ww, uwe na akili utumie akili yako hiyo sio kuona sifa na kupelekwa kisiasa kushadadia ujinga hao wanaokujaz dhana hzo nia yao ni kuichukia serikali ma wamekuweza kwasababu hujitambui

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Chadema utamjua tu akikoment

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@husseinmrambakifo ni kifo hakuna ushabik ni haki kusema

    • @JofreyMsigwa-ok7hv
      @JofreyMsigwa-ok7hv 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Kifo n kifo na mm nanukuu🤣🤣🤣🤣

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Mmekutana na chuma cha pua👍

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bola mana hakuna watu siwapendi kama polisi

  • @annasitaziakamtewe
    @annasitaziakamtewe 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Hongera kwa kutangulia tutawakuta.

    • @hopemwalemwale2100
      @hopemwalemwale2100 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Kabisa nanukuu,kauli ya mama yao wanae msujudia,KIFO NI KIFO

    • @hadijahamza-l9z
      @hadijahamza-l9z 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Elewa neno KIFO NI KIFO

  • @richardamina9810
    @richardamina9810 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kumeanza kuchangamka mulijuwa AMZA 😊😊😊😊

  • @teddymassawe3583
    @teddymassawe3583 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mungu wangu,askari mkishajua ni mtu wa namna hiyo askari nendeni kwa tahadhali kubwa sana,askari muwe wa kutosha,inauma sana askari wetu jamani , wapumzike kwa amani

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We nae hujasikia Mama samia alisema kifo ni kifo

    • @MichaelPaulo-k1c
      @MichaelPaulo-k1c 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ila watu wengine haumi siyo

    • @DevothaJuma-s2y
      @DevothaJuma-s2y 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kifo ni kifo tu

  • @LaurentMagesa-iv5yt
    @LaurentMagesa-iv5yt 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana IGP kwa kuwapoteza askari wetu , polen pia familia kwa kuwapoteza wapendwa wenu. Mungu awapumzishe kwa amani.

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    poleni sana wana familia kwa kupoteza wapendwa wenu Mungu awatie nguvu.

  • @alphoncejohn6308
    @alphoncejohn6308 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Safi

  • @Hezron-z9c
    @Hezron-z9c 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yan nyie police mngeuawa wote mlioenda,, cause si nyie mnateka watuu,,ngoja mgawiwe wasitani Kwa idadii😊😊

  • @williamkavishe397
    @williamkavishe397 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Duu poleni sana sana jamani Tunawaombea sana Mungu awape faraja ya pekee

  • @FadhilaOmary-t8j
    @FadhilaOmary-t8j 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Hivi kweli watu wanafurahia kuwawa kwa askari kumbe mnapenda wahalifu

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Wanapenda wahalifu maranyingi nichadema wakisikia asikari ameuliwa wanakoment fura kwao

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwan samia ni chadema KIFO NI KIFO

    • @selemanisalum7685
      @selemanisalum7685 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Chadema wanafata nini hapo weee kweli akili kisoda

    • @FrankNzombo-k3j
      @FrankNzombo-k3j 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@EmmanuelMlowe-u1vACHA ujinga wa siasa huoni kama chadema ndo wahanga wa vifo

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@EmmanuelMlowe-u1vkenge wewe chadema wanahusika Vp hapo

  • @hafia.056
    @hafia.056 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tupe mzigo kaka Tupe sugar Tupe muziki Tupe news eee good stuff

  • @NeemaSamueli
    @NeemaSamueli 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polen kifo ni kifo ndo mungu alipowaandikia hapo pole sana

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Poleni sanaaaa mungu awatie nguvu

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d 47 นาทีที่ผ่านมา

    Mamae zenu wasenge nyie mama yenu alisema kifo ni kifo kaeni kwa kutulia ☝️☝️

  • @babyakasha4002
    @babyakasha4002 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa anashindwa kunyoosha maelezo kila kitu anasoma hadi salamu. He is not confident😢 poleni

  • @hassanrashid-l3u
    @hassanrashid-l3u 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hakuna Cha pole na wao wafe tu

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe nichadema mnawapenda wahalifu

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@EmmanuelMlowe-u1vhakuna chadema hapa,nanukuu kauli ya mama yenu, KIFO NI KIFO

    • @shamzone388
      @shamzone388 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe ni mhalifu ndio maana ukafurahiya kuuawa police pole yako subiri siku zako zipo karibu tutakulilia

    • @HAMISICHACHA
      @HAMISICHACHA 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ngoja wafe

    • @Ngoviabbas
      @Ngoviabbas 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mwenyezi Mungu awapunzishe askari wetu mahali pema peponi! Amina

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Poreni sana maasikari warikua wachache maswara ya usiku munaenda kwa kujihami jamani ona sasa tumepoteza asikari wetu wameacha famiria zinateseka daa tanzania jamani imekua tumacho samia toa sauti na neno tatizo yupo kimyatuu huoni kura yangu mimi imeishia kwa mangufuri au akingombea makonda ataiona tangia rini nchi iongozwe na mwanamke umeona wapi tanzaniatu

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jifunze tofauti ya r” na L😂😂😂

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu awape stahik zenu

  • @Kiyama-g8f
    @Kiyama-g8f 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KUNA SABABU GANI YA KUSOMA KWA TAABU HIYO TAARIFA NDUGU AFANDE AU MACHO MABOVU? POLENI ASKARI WETU

  • @Thobiaslucaskipara
    @Thobiaslucaskipara 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    KIMEUMANA

  • @NellyDady
    @NellyDady 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Askali vaen bulet kuzuia lisasi😢😢

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wavae bullet kuzuia risasi au wavae risasi kuzuia bulket

    • @MinskBelarus-il2tl
      @MinskBelarus-il2tl 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wavae Bullet proof,au bullet risasi😂😂😂😂

    • @NellyDady
      @NellyDady 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wabongo bhana..!

  • @AbrahamuMwashilindi
    @AbrahamuMwashilindi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni familia

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Imefika taifa linafurahia polisi kuuawa, yaani i wakala WA serikali .
    Je, hawa watu wajipenda utawala maana sio usingizi WA Samia na serikali yake!
    Samia ahitaji kujitafakari!!!

    • @StAr-yu3vz
      @StAr-yu3vz 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hivi askari wamekufa nyie mnafurahi inaaeezeka wewe nimuharifu😢😢

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @StAr-yu3vz " Hao polisi hawajafa ni drama tu."
      ... Namnukuu raisi Samia

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sii walizoea kuuwa nawo wafe tuu wasikie uchungu

  • @georgempogomi7329
    @georgempogomi7329 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mama anasema ni drama tu

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kauli mbiu ya sengi kifo ni kifo tu hata sehemu zingine yanatokea

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    polisi kamateni hawa mwananchi mbona wameandika tofauti na taarifa yenu

  • @JandaalHaqeem
    @JandaalHaqeem 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @idrissahaji
    @idrissahaji 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwandishi Acha kupotosha jamii

  • @meckmussa1840
    @meckmussa1840 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @MariaAndreaMusa-j6n
    @MariaAndreaMusa-j6n 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kazi iendereee

    • @OnesmoEphrata
      @OnesmoEphrata 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Askari hafi kizembe

  • @stanleykiwonde7454
    @stanleykiwonde7454 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tumefika pabaya sana

  • @RechoMzava-gt7so
    @RechoMzava-gt7so 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hapo bado yaani tutauana wenyewe kwa wenyewe

    • @Furahinikatkabwana
      @Furahinikatkabwana 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa maana wao wamekua kiongoz wa uovu

    • @RechoMzava-gt7so
      @RechoMzava-gt7so 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @Furahinikatkabwana kabisaaaa

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kila napoangalia coment naona nafsi za watu haziumizwi na hata wanaotoa pole wanatoa kinafki kwann lkni?

  • @gililwise
    @gililwise 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mkuki kwa nguruwe. kwa ..............malizia.

  • @ibrahimabdallah5681
    @ibrahimabdallah5681 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila kuongea kwenye vyombo vya habari nikazi

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ina maana hao wahalifu Wana silaha nzito na maarufu zaidi kuliko walinzi nanzo askari wetu ? Sasa Hawa wahalifu walijipanga mtaisha nashauri walimu wenu wawarudishe shuleni wawape mbinu zaidi ya kupambana na wahalifu pia mkijua hivyo nendeni wengi muwazingire maana Hawa wahalifu wa Sasa nao ni wasomi wanajipanga hivyo muweakini mkienda kwenyeatukio ni ushauri wangu mdogo tuu japo mtaona ni wa kijinga nao pia wanajua udhaifu wenu duh poleni

  • @DevotaKatumba
    @DevotaKatumba 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kifo ni kifo

  • @gracewilliam4102
    @gracewilliam4102 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa mbona anasoma si aseme tu

  • @YahyaNuru-v7d
    @YahyaNuru-v7d 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Majambazi wana silaha za kisasa zaidi ya walinzi wetu

  • @TeacherBoda
    @TeacherBoda 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo ndo huwa nashindwa kuelewa. Askari wamekufa baada ya kushambuliana na mtuhumiwa haf mnasema mwili upo hosptl na uchunguzi unaendelea sasa uchunguzi gani wakati kifo kinaeleweka kuwa kimesababishwa na majibizanao ya risasi na mtuhumiwa...Mnaniacha njiapanda chuo

    • @bockerNyarusahi
      @bockerNyarusahi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hitimisho lao ndilo hilo,hata kama mambo yapo wazi

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wapumzike kwa amani!

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Inalilah wainalilah rajuuni

  • @MichaelPaulo-k1c
    @MichaelPaulo-k1c 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ila polisi waendele kuwa raia

  • @bushowadidi7518
    @bushowadidi7518 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    R.i.p

  • @hopemwalemwale2100
    @hopemwalemwale2100 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    so sad😢

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa Mwananchi digital nasikia sii wabongo

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata huko nchi za jirani na ulaya wanakufaga tuu hivyo kifo ni kifo tuu poleni

  • @AbubakariBausi-zd6xf
    @AbubakariBausi-zd6xf 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kifo ni kifo twende kazi hata wangekufa wote hakuna shida kifo ni kifo naludia kifo ni kifo

  • @FatumaMatanga
    @FatumaMatanga 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ata mtume muhamad. Alikufa sembuse -----+++(kaz iendlee

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Niliwambia wabaya wata tumia humwanya kushambulia askari na mkijibu kwanguvu bado itawaghalimu

  • @JeremiahJustine-b3o
    @JeremiahJustine-b3o 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa kufa kwa hao askari inatushusu nini sisi raia

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbee

  • @MelkioryJmoshiro
    @MelkioryJmoshiro 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbinu za ukamataji labda

  • @costancelyimo2160
    @costancelyimo2160 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    So sad

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kifo nikifo haijalishi ninani kafa nanukuu

  • @amadimlilapi1185
    @amadimlilapi1185 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwandishi huna akli wapi amesema wasiojulikana

  • @AlpheusCharisma
    @AlpheusCharisma 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunaelekeawapi

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kufaa

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukiona mtu anafrahia polisi kuuawa ujue sy taia mwema

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tumechoka na vifo

  • @AliciaKyai
    @AliciaKyai 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mimi hapo nawatetea polisi maana huyo ambae walipambana nae ni jambazi sasa jamii yetu haiitaji majambazi poleni sana polisi tambueni hao polisi walikuwa si watekaji acheni mihemko ya kipumbavu ninyi mnaosema polisi wafe je huyo jambazi angekukaba wewe au kukufila ungesema maneno hayo? Mjinga mkubwa

  • @masoudtwalib6413
    @masoudtwalib6413 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hassan utakuwa na wewe ni jambazi.

  • @BabuNyau
    @BabuNyau 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe nawao wanakufaga😂

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kifo ni kifo