Profesa Mkenda: Serikali itaendelea kuwathamini vijana wapambanaji Rombo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Rombo.Mbunge wa Rombo, Profesa Adolf Mkenda amesema serikali itaendelea kuwathamini, kuwatambua na kuwajivunia vijana ambao ni wapiganaji wa maendeleo katika Wilaya hiyo.
    Mkenda amesema hayo wakati alipotembelea kiwanda cha kuchonga matofali cha Rock Blocks kilichopo Holili, wilayani humo.
    Profesa Mkenda amempongeza mwekezaji wa Kiwanda hicho ambaye ni kijana kwa ubunifu mkubwa alioufanya.

ความคิดเห็น •