Wawakilishi wadi wavamia ofisi za gavana wa Kiambu leo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • Gavana wa Kiambu Kimani Wamatangi yuko mashakani na wawakilishi wodi wa kaunti yake, kwa kile wanachosema kuwa ni uongozi wake wa ki-imla. Wawakilishi hao mapema leo wakivamia ofisi yake wakitaka kuharakishwa kwa utoaji wa basari ili kuwasaidia wanafunzi wasiojiweza. Wawakilishi hawa pia wakimshutumu Gavana Wamatangi kwa utumizi mbaya wa ofisi yake. Brenda Wanga na mengi zaidi

ความคิดเห็น • 35