Maafisa gereza 7 wakamatwa kufuatia utoro wa magaidi gerezani Kamiti
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2021
- Maafisa gereza 7 wakamatwa kufuatia utoro wa magaidi gerezani Kamiti
Wafungwa 3 wa ugaidi walitoroka jana kupitia shimo walilochimba
Mkuu wa DCI George Kinoti aongoza uchunguzi katika gereza la Kamiti
Wafungwa hao watoro wanasakwa na polisi kwa udi na uvumba
Wardens n kukula na kunona tu, hakuna job, leten hao watu coz n watu hatari, wameonyesha kenya askari n bure
Welcm in Kenya where gaidi wanatoroka ovyo ovyo
They are very good at Tiktok...wakule ujeuri wao
With money in kenya you can buy your free dom. Hata hao askari wanaachwa na bondi
We need a documentary on kamiti prison
Free country ndio hii kenya 🇰🇪 yetu
Kwani hii chela haina cctv?
Waa hawa noma sana
Wakubwa wa jela ni kunona tu.
Aki nimehurumia kabda...aki ka si kunona angehepa
Hii ni kali
Hao ni 007 masterminds a.k.a. james bonds😅
Kazi yenu kunona tu na wafungwa magaidi wanatoroka🤔
These are serious criminals, shld be careful
Kenyans we are very smart🤓.
It sounds like prison break Hadi vile Kabuda alianguka akiwa wa mwisho Coz ya weight
Michael scofield's work
There is no escape-proof prison anywhere with or without correctional officers' ineptitude. In the US State I live in, we had 2 escape from death row not too long ago.
Which state?
@@shakurfaith Oklahoma
Police wafanye msako mufanye kila mahali
Prison break🤣🤣🤣🤣
Ujiga ndio mob Kenya I wish wangepotea wote nilikuwa wapi nonsense kazi yako nikuchukuwa askari wa wengine siuwaweke huko ama wako wapi