TULIVYO IKOMBOA UNGUJA TOKA KWA WAARABU MZEE KUNDI KHERImp4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Nilikuwa mtu wa Kwanza kufukiwa katika Shimo kujiandaa kumpindua Mwarabu mimi ni kati ya wale askali 444 tuliopewa mafunzo kwa ajili ya Mapinduzi ya Unguja,Tulipata taabu kubwa na nchi hii wakati wa ukoloni "Mzee Kundi Kheri Mlekwa ( 87)"

ความคิดเห็น • 458

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awalaani Wote mliohusika kuuwa wasio na hatia wala silaha na kujifakharisha kwa kuuwa kwao na wasubirie huko na nahisi wasipotubu watakufa vibaya mno. Na Allah anasema "Na atakayeua muumini kwa makusudi basis malipo yake ni jahannam humo atakaa milele na ghadhabu ya Allah iko juu yake na Allah anamlaani na anamuandalia adhabu Kali. Tubuni msijiamini. Huko mtajutia saaana mzee. Mmeuwa wasio na silaha na hawakupigana nani na mtadhalilika hivyo hivyo duniani na akhera. Hata sijawahi kukusikia na msipotubu mtakufa maskini mmekosa duniani na akhera. Tubuni kabla milango ya toba haijafungwa. Utapata taabu sana maana hujui umejikwaa wapo. Allah kaahidi kukupa hayo uliyonayo aliposema 'na atakaye puuza utajo wangu (mafundisho ya Quran) basi hakika ataishi maisha ya dhiki na tutamfufua Siku ya qiyaama akiwa kipofu... ' ikiwa ni muislam amka utubu madhambi yako ya kuuwa waislam wasio na hatia maana hutapata sifa kwa yoyote ila laana tu na utaishia jahannam kama hukutubu ukose duniani na akhera na hiyo ni hasara kubwa.

  • @mansooralmahruqi885
    @mansooralmahruqi885 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu atuepushe na wazee wa namna hii na uzee wa namna hii.

  • @abuuqatada9791
    @abuuqatada9791 2 ปีที่แล้ว +3

    Ni kheri kututawala mwarabu kuliko kutawaliwa na Mtanganyika

  • @jumakibula4851
    @jumakibula4851 2 ปีที่แล้ว +8

    Waarab walokuwa East Africa ni Ndugu zetu, Damu zetu zimechanganywa na wazee wetu , waarabu na Wabantu waliowana na kuzaa Waswahili

  • @justjj9934
    @justjj9934 5 ปีที่แล้ว +3

    Wewe ni mzee mpumbavu, wewe ni mchenzi umetoka bara. Waarabu hawakutawala Zanzibar, wala hawakuwadhulumu, mulikuwa wavivu, hampedi kufanya hazi...waarabu walijenga Zanzibar, mulikuwa na neema. Mbona Wewe hukupata kitu, wee mchenzi, nyumba huna, hata chakula huna..mungu akuweke hivo hivo kama bado uko duniani...

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 5 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo unataka kutuambia Zanzibar ni sehemu ya waarabu? Kama hakutawala yale masoko ya watumwa alijenga nani?

  • @hassanally9468
    @hassanally9468 5 ปีที่แล้ว +5

    mungu anakuonesha kwa dhulma ulozifanya ikwa kwa kujua au kutokujua ila ufukara unakulazim daima

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi4882 6 ปีที่แล้ว +2

    Duh! Kazi kwelikweli, sawa mzee achana na hilo karatasi basi maana, maisha yako yapo kwenye jitihada zako na Mungu mwenyewe na si hilo karatasi uliloshika.

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 ปีที่แล้ว

    Muon'go huyo mzee...na wazee waon'go kama hawa wako wengi sana sawa.thanks

  • @fahadhamisi729
    @fahadhamisi729 6 ปีที่แล้ว +4

    cheki puwa hilo zee hili si mwarabu au hili ni mwarabu yaheeeeeee by tuju

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee lete istighfari kwa wingi Mungu hafundishwi mlifanya dhulma kubwa mmeuwa watu wengi kisha mnajisifu mapinduzi daima eenyie nyeee rudini kwa mola mwingi wa rehma

  • @abdul-rahmanfakijuma1879
    @abdul-rahmanfakijuma1879 ปีที่แล้ว

    Innaa lillaahi wainnaa ilayhi rajiuun Allwah akusamahe makosa na madhambi Yako, Allwah alifanye kaburi lako kuwa ni miongoni mwa mashimo ya peponi Aamiyn Aamiyn Aamiyn 😢😢😢

  • @feiz3180
    @feiz3180 7 ปีที่แล้ว +1

    Muogopeni Mwenyezi Mungu. Haya majisifu yote yamekufikisha wapi. Mumetudhulumu na Mwenyezi Mungu hakuwapa imeruka popopopoooooo Nyerere kaichukuwa.

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 7 ปีที่แล้ว +1

      Feiz Amr KABLA HAMJATUKANA WATAFUTE WAZEE KUANZIA UMRI MIAKA 80 HADI 70, WATAKACHOKUELEZA, ABADANI HUTOMTUKANA HUYU MZEE. KWA UFUPI, KISIWA KILE WALIOANZA KUISHI NI WAVUVI WAAFRIKA KUTOKA MTWARA WAKAJA NA WATU WA KIGOMA, ULE MKUTANO WA KULIGAWA BARA LA AFRIKA, WAZUNGU WAKAJIGAWIA, WALE WAVUVI WAKACHUKIA, KTK SAFARI ZA UVUVI BAHARINI, WAKAWAOMBA WAVUVI WENZAO WAHARABU WAJE WAWASAIDIE KUWAPIGA WAZUNGU WAONDOKE. WALE WAHARABU WAKAJA KWELI KAZI IKAANZA YAKUWAFUKUZA WAZUNGU, HAPO HAPO WAKAPATA NA MADEMU WA KIAFRIKA WAKAZAA NA WENGINE KUOA. SHERIA ZA KIMATAIFA NASIKIA PALE UNAPOZALIWA NDIO NCHINI KWAKO. "POINT" MIMI NAONA NI BUSARA MUUNGANO UVUNJWE WEUSI NA WAHARABU WALIOZALIWA PALE WAENDESHE NCHI YAO. KITU HIKI KINANIUMIZA KICHWA SANA, TZ BARA TUMEFICHA NINI ZANZIBAR? YAAANI BARA TUNA VISIWA ZAIDI YA 50. WAACHIE NCHI YAO KWA AMANI TUENDELEE KUWA MAJIRANI WEMA. MWISHO WAAFRIKA MULIOKO ZMR HAWATAKIWI KUWACHUKIA WAGENI WAO, WALIOWAKARIBISHA WENYEWE AMBAO NI WAHARABU NA VIZAZI VYAO.

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 5 ปีที่แล้ว

      @@renaldakamugishazeramulake940 ww umeingia poit,mzur sana na huu ndio ukweli na hali halisi ilivyo ,ww ndo unajua kuongea ,goood poit na km unavyoona .muarabu hakuwa mbaguzi,mbona waliwaoa waafrika na kuzaa nao,km wana ubaguzi si wangerudi kwao kwenda kuoa,angalia wazungu wao wapo walioa na kuzaa na waafrika km waarabu,hapa unaonyesha alikuwa mikorofi ni mzungu,

  • @MohdRashid-cu9qb
    @MohdRashid-cu9qb 5 ปีที่แล้ว +6

    Mmeipindua znz ikisha mukampa Nyerere mpaka leo wanasema znz sio nchi tobaaaaaaaa

    • @fatmanasornasor9047
      @fatmanasornasor9047 5 ปีที่แล้ว

      Wasenge tu hawa

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 5 ปีที่แล้ว

      Jirudisheni sasa utumwani kwani si hata Washerisheri walishindwa kujiongoza kwaajili ya uvivu wakajirudisha utumwani mpaka sasa wanatawaliwa

    • @fatmanasornasor9047
      @fatmanasornasor9047 5 ปีที่แล้ว

      Katoto yani wee uko kwenye utumwa Tuu

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 5 ปีที่แล้ว

      @@fatmanasornasor9047 Mimi niko huru na maisha yangu ninauhakika wa kula ninachokitaka kwa wakati ninao utaka ndio maana sijawahi kuwakosoa wapigania uhuru na kitamani wakoloni kuja kunitawala tena kwrnye aridhi yangu

    • @abdulrahmansalim9773
      @abdulrahmansalim9773 4 ปีที่แล้ว

      Subiri siku yako umewauwa waislamu wenzako Hiyo yote laana imekufika.

  • @kebo2155
    @kebo2155 6 ปีที่แล้ว

    ....asante saaana Mzee wetu wa kibantu kwa kutufungulia na kutupa history ya ukweli ...Kwanza pole sana na matatizo yoooote yaliyoletwa na waarabu hapo Zanzibar.... Kwao walipotoka ni Oman mbali sana hivyo basi hapa Zanzibar siku zote watakuwa wageni tu... Hope Dr Shein na serikali wamekuangalia na upo salama.... Mola ukupe uzima na mwisho mwema... Na wote waliokutukana na laana ya Mola Mtukufu iwe juu yao isipokuwa kwa walioitubu.... BlessBabu...

    • @hemmysaleh3521
      @hemmysaleh3521 ปีที่แล้ว

      Basi aache Na uisilamu awe kafir maana Quran ya waarabu, mtume Muhammad ni mwarabu Na pia Misikiti ni ya waarabu, sasa Jina lake pia Lina athari Za uarabu, kama unakataa waarabu Na DINI yao MUIKATAE.. MUWE WAKRISTO WALE WOTE WANAOONA MWAARABU WALIKOSEA, MAANA HAKUNA ASILI HALISI YA WA AFRIKA ZNZ KILA MZANZIBARI MWEUSI HANA KABILA TAFAUTI NA BARA KILA MBARA ANAJUWA KABILA LAKE, ZNZ KUNA WA SHIRAZI WA NATOKA IRAN ASILI YAO NA WAHINDI NA WAARABU JEE WA WENGINE WA SWAHILI KABILA YAO NI NANI....

    • @hajiameir8688
      @hajiameir8688 7 หลายเดือนก่อน

      Mbona huyo babu amechoka kweli ni mpinduzi huyu na kama amepinduwa aliuwa watu wangapi huyo mzee wetu alete istighfar kwa wingi kwanni hivi sasa damu ya mauwaji ndio inamnuka na anahuruju tu ni halalbadiri hiyo kawaida ya dhulma hunena

  • @ashamohammed3612
    @ashamohammed3612 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni Mtanganyika ndiye muliyempindua Mohd Shamte siyo Muarabu. Allah anawalipa kwa kumwaga damu. ya Waislam wenzenu nchi watotulia maisha kwa udhalmu mulioufanya.

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 5 ปีที่แล้ว +3

    Mzee unajisisifia kuuwa roho za wasio na hatia ALLAH anakuona

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 6 ปีที่แล้ว +11

    Mutabakia kudhalilika na kuishia maisha ya unyonge tu hamuna Zaidi ya unafiki usiokuwa na tija yoyote

    • @abdillahmohamed9818
      @abdillahmohamed9818 5 ปีที่แล้ว

      mango fish kuma to ww ndiy man ya bongo hamna kheri nyie makuma to

    • @hishamally4846
      @hishamally4846 5 ปีที่แล้ว

      Wewe mzee sasa umepata faida gani

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 5 ปีที่แล้ว

      @@abdillahmohamed9818 kheri huna ww

    • @abdillahmohamed9818
      @abdillahmohamed9818 5 ปีที่แล้ว

      fatma hamad sina kheri mm

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 4 ปีที่แล้ว

      @@abdillahmohamed9818 nikuulize wewe ni baradhuli au? Mbona una lugha za matusi kiasi hichi pasipo kuwa na sababu zozote za msingi?

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว +4

    Mtume S A W angelikua hai pia mungemkataa kwa Sababu ya Uarabu roho mbaya zenu Zimeifikisha Zanzibar hapa ilipo

  • @ummusamira3518
    @ummusamira3518 7 ปีที่แล้ว +6

    Ahmed jamal hebu fungu aman than utaipata historia nzima ya nchi hakuna utumwa bali ilipita dhulma kubwa wanawachukia warabu kutwa wanawapembejea nakutegemea msaada kwao kwanini wakawa kutwa kuomba msaaada kwao

  • @mohamedbile1147
    @mohamedbile1147 2 ปีที่แล้ว

    Man Shaa Allah barakallahulhul fiikum

  • @nassirahmed5703
    @nassirahmed5703 4 ปีที่แล้ว +3

    Wazeee wakale ndio wenyee siri..tukaeni na tujifunze kwa mzee ulienae...

  • @mrfroasty
    @mrfroasty 5 ปีที่แล้ว

    Wazanzibari wanahitaji kutoka tulipojikwas sidhani kama mtazamo huu tutafika. Tujipime na kujipanga upya kwa faida ya vizazi vyetu.

  • @utaani1
    @utaani1 7 ปีที่แล้ว +2

    laanatu llah ikushukie na in sha allah mola akupe mwisho mbaya

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 5 ปีที่แล้ว

      Mmmh,duwa mbaya sana hiii,muache tuu Allah (s .w)ndo anajua vya kumuhukumu, usimuombe dua hiyo haitakiwi ktk dini yetu,

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 5 ปีที่แล้ว

      Wangempindua kivita wasingefana muweza,lkn ona alivyo mmstaarabu,kaondoka ,alivyokurupushwa tuu ,kaondoka wala hakuna mkaidi,halafu wao ndo wakafanya unyama unyamani looooh puuh

    • @fatmanasornasor9047
      @fatmanasornasor9047 5 ปีที่แล้ว +1

      Amin

    • @msakuzikondo536
      @msakuzikondo536 2 ปีที่แล้ว

      Utawala wa Sultwn ulukuwa sawa na Apatheid kwa watu weusi

  • @saidbildo9365
    @saidbildo9365 4 ปีที่แล้ว +2

    Sasa weye umeipinduwa zanzibar mumewauwa warabu waislaam wenzenu jee umepata nini au serekali wamekupa nini.
    Mungu anakusubiri qaburini ndipo utajuwa nini umekifanya

    • @kenmichigwan234
      @kenmichigwan234 4 ปีที่แล้ว +1

      Waarabu wakiua waafrika walikuwa wanasema ni waislamu wenzao upumbavu huu

  • @mohamedothman9769
    @mohamedothman9769 5 ปีที่แล้ว +1

    We umepindua..!? Wenzio wamepigana vita Kagera. Mzee muombe mungu akujaalie mwisho mwema tu maana umeruka tope umekanyaga utelezi

  • @abuahmad1206
    @abuahmad1206 5 ปีที่แล้ว +3

    Wallah warabu walikuwa wakiwalisha kwa mikono na nyinyi vidole venu viko kwa jicho ya warab Allah atawashinda

  • @aliymaulid8941
    @aliymaulid8941 4 ปีที่แล้ว +2

    baada ya hayo mapinduzi mpaka leo unakaa kwenye banda hilo tofal moja moja unaliona ww mzee hujielewi

  • @ahmedsaidi1938
    @ahmedsaidi1938 5 ปีที่แล้ว +11

    قل الله في حديث قدس.....ياعبادي اني حرمت الظلم علي نفسي وجعلته بيبكم محرم فلا تظالمو.

    • @imash04tv20
      @imash04tv20 3 ปีที่แล้ว

      @@ktravel3527 mtumwa ni ww unaongea tu

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 2 ปีที่แล้ว

      @@ktravel3527 mhh wewe ni mzigo kama hayo huyaelewi, ujue haya kuhusu na kama unaona ni utumwa, soma hii unayo ona ni njia ya peponi kupitia kanisa, Allah said in qudus narratives oh my servants I prohibited tyranny to myself, and prohibited tyranny between you do not do so, kawasomee madhahabuni wcheza mziki wenzako

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 2 ปีที่แล้ว

      @@ktravel3527 kama ungekuwa kuwa na busara kidogo kama jongoo tu ungeuliza ili upate faida kuliko kutanguliza chuki na kuonesha udhaifu wako, ni mtu gani mwenye busara anaeweza kujisifia dhulma alizotenda, mauaji, wizi, ubakaji nk mwisho wa siku unabaki kulalama pasi na faida yo yote ulitumika kama mshumaa hatimae unaishia kama shamte huoni huo ni upuuzi na laana wangapi waliuunga mkono masimulizi ya aliehojiwa tafakari hilo u jitambue usishabikie dhulma na upuuzi wa asiejielewa

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 2 ปีที่แล้ว

      @@mohamedsheikh6618 🤣🤣🤣hapo mzanzibar umeshaenda zako kwenye copy and paste😆, unaleta maneno yako ambayo hayana funga(") wala fungua(") semi🤣 madai yako na wewe umeandika english🤣 rudi shule mpemba🤣

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 2 ปีที่แล้ว

      @@ktravel3527 umejitahidi, imependeza angalau kujua ni English

  • @allyelbusaid9888
    @allyelbusaid9888 5 ปีที่แล้ว

    Mzee jitahidi tu uombe toba ya kweli... hamkumpindua mwarabu maana mungewatoa wale tu waliokuweko madarakani.. ila mliwaua waarabu na waliokuwa wafuasi wa znp.. mliua watu kwa chuki za kidini na rangi tena kwa kuletwa kutoka bara pamoja na majeshi yenu... Allah yu hai na anajua namna bora ya kulipia damu mlizozimwaga

  • @eliasnavytanga
    @eliasnavytanga 6 ปีที่แล้ว +19

    Mzee, ushapindua, nchi unayo, sasa mbona wenda kuomba omba kwa hao mliowapindua? Basi hata haya hamuoni?

  • @hamidhamad4462
    @hamidhamad4462 5 ปีที่แล้ว +2

    Hiv ww mzee chiz kumamako akaaaa ety tumepnduwa na kin ali amer mbn weunaliya.njaaa hd asaiv ujingao ckwautawal huu wa anco.magu pole yoo we mzee

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 5 ปีที่แล้ว +1

      Kua na adabu huyo anaumli wakuweza kumvua chupi mama yako au bibi yako, jifunze kua abadu wewe mtoto wa malaya

    • @abdallamohamad6562
      @abdallamohamad6562 4 ปีที่แล้ว

      K Travel bratha mambo ya kuvuana chupi yametoka wapi!! Jamaa kakosea kumtukana mzee ila mzee mshenzi sana huyu

  • @YussufJAli-rz6uo
    @YussufJAli-rz6uo 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mzee anaonekana keshapoteza akili.

  • @abduliddi4589
    @abduliddi4589 4 ปีที่แล้ว +1

    Unaehoji kuna sehem umeirukisha maongezi apo kwann km hujawa tayar na kazi yako nenda kwa warabu wenzio

  • @salumabass8670
    @salumabass8670 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee ni mbwa kama hao wenzake wote

  • @salumpiano4223
    @salumpiano4223 7 ปีที่แล้ว +6

    ilozeeeeee ongoo uyo nimuongo ayo mapinduz hayakumbuki nunamjua vizur anakaaa kinyasini kinehe tu uyooo

    • @eldaddys1410
      @eldaddys1410 7 ปีที่แล้ว

      Salum Piano hebu mchambuee kwa hisani yako

    • @kebo2155
      @kebo2155 6 ปีที่แล้ว

      Salum Piano ahhh wacha kuropoka sasa sisi tumsikilize mzee wetu au Mbwa??

    • @salumpiano4223
      @salumpiano4223 5 ปีที่แล้ว

      Hehehehehehe hana lolote

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 2 ปีที่แล้ว

    Mzee wewe hodari, lakini hukutwambia, uliua waarabu wangapi, ulivunja maduka mangapi, umebaka watu wangapi nk unastahiki nishani kuweza kufanya mauaji na mpaka Leo hujutii, vile vile hukutwambia wewe ni mkristo au miislamu

  • @isaacm1852
    @isaacm1852 5 ปีที่แล้ว +2

    Comments nying wamechukizwa na babu wamebaki kusema uongo uongo nyie mlikuepo huo ukweli mnaoutaka nyinyi upi? Angekua anasifia mkolon mngefurah sasa waingereza walivyokuja zanzibar sultan wenu akawa akitawala kwa syllabus ya UK mbona hamkusema?

    • @imash04tv20
      @imash04tv20 3 ปีที่แล้ว

      mjinga mwengine kafika huyu

  • @azeezabdallaofficial5983
    @azeezabdallaofficial5983 ปีที่แล้ว

    Waarabu walikuwepo kabla hujatoka Zimbabwe 🇿🇼 khaini mkubwa na ukasilimishwa Karume katoka Malawi 🇲🇼 nyote haponi wageni

  • @alibaraka6699
    @alibaraka6699 5 ปีที่แล้ว +1

    Nampongeza Mtangazaji wa clip hii.. anajua jinsi ya kufanya mahojiano..

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe mzee mlimuondowa mwarabu kwa kutegemea nini na sasa hivi unakufa njaa hiyo inaitwa halbadiri unahuruju na bado hujasema unakula mlo mmoja kama shetani

  • @rashidothmani4730
    @rashidothmani4730 ปีที่แล้ว

    Warabu walichuma sana zanzinar babi unayafahu sana mapinduzi

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 6 หลายเดือนก่อน

    Kundi kher mlekwa daa miaka imekwenda

  • @jumakhamis2350
    @jumakhamis2350 ปีที่แล้ว

    Wacha uongo Mzee znz kapinduliwa Muhamed shamte

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 6 ปีที่แล้ว +9

    Haya sasa.. yote mlivovitafuta ni kwa ubaya na dhulma mwisho wake ndio huo.! mlijua mtapata kumbe mmepatikana.!

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว +3

    Roho za watu mulozitoa zinakusubirini. iko wapi hiyo Nchi muliopindua maji ya drop hamuuzi tanzania bara sikwambii Sukari namengie mutabaki sie tumapinduyya

  • @abuahmad1206
    @abuahmad1206 5 ปีที่แล้ว +1

    Shida ilioko watak utambuliwe lakin bado una njaa na huna iman na uislam na kukutwala ulikwa waishi vzur SAA hi njaa wanuka

  • @andrewsadiki9914
    @andrewsadiki9914 7 ปีที่แล้ว +2

    Eeh kikongwe kawaida watu wanafanya ubaya ujanani uzeeni wanaomba msamaha kwa mungu duuh mzee bado yeye hatari

  • @davidarabian5004
    @davidarabian5004 5 ปีที่แล้ว +3

    Baada ya kuigomboa znz ktk kwa warabu yakowapi maendeleo?? Ukuta wa nyumba haijapigwa hata plasta .UMEKULA BAO BABA.

    • @idrisasalum8013
      @idrisasalum8013 5 ปีที่แล้ว

      Hhhhhhh tell him

    • @mwanaidiramadhan3919
      @mwanaidiramadhan3919 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 5 ปีที่แล้ว +1

      Kama unaamini kutawaliwa na mwarabu ni bora kuliko kua huru kwasababu tu alikua nakupa kila kitu, njoo mimi nikujengee nyumba na nikupe kila kitu halafu niwe nakuchezea matako wewe na mama yao. Kwanini mnaakili za kipumbavu nyie kwahiyo bora uwe utwamwa wakupewa kila kitu kiliko uhuru?

    • @yanamwisho871
      @yanamwisho871 4 ปีที่แล้ว

      Kaondoka muarabu kaja mkoloni mweusi ameiba kila kitu limebakia jina tu Zanzibar

  • @Rastamuslim
    @Rastamuslim 6 ปีที่แล้ว +5

    bora mngewaacha waarabu ingekua kama dubai sasa

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 ปีที่แล้ว

    Hongela gaiza

  • @twahacaiza9792
    @twahacaiza9792 7 ปีที่แล้ว

    twaha wao, mkwajuni unguja,,, kila la kheri baba Kundi Mungu akubariki na Inshallah mkono kwa mkono mpaka peponi

  • @saidpolenikwamsbakinidi6232
    @saidpolenikwamsbakinidi6232 7 ปีที่แล้ว +2

    wanafik wakubwa roho zawatu mulizozitoa mutaenda kujibu mbele yahaki

  • @abuubakar7594
    @abuubakar7594 ปีที่แล้ว

    Hahahaha uxauza nchi wewe mzeeeeeee uxatuuuuaaaaaaaa 😂😅😂😅

  • @hamedabdallah6728
    @hamedabdallah6728 5 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe ww mwenyeo si mzanzibari ni mmanyema wa kuja tu hapa Zanzibar . ungemuuliza baada ya mapinduzi alifanya kz wapi ?

    • @Majengojr
      @Majengojr 5 ปีที่แล้ว +1

      Ndiyo Asili ya Wazanzibar. . kasome historia usimbeze

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 3 ปีที่แล้ว

      Wee muoman tulia.

  • @ausihaji2398
    @ausihaji2398 5 ปีที่แล้ว +1

    Eti yupo tayar Kukaa na njaa kuliko kutawaliwa na mwarabu. Huyu mzee hajitambui kweli

  • @mohamedkiyungi4867
    @mohamedkiyungi4867 5 ปีที่แล้ว +3

    Na Allah anakusubiri kwa ushenzi wenu mlio ufanya

  • @abuahmad1206
    @abuahmad1206 4 ปีที่แล้ว

    Kumamamako utabaki na ufukara maisha yko mkundu firimbi

  • @nassorahmed4672
    @nassorahmed4672 6 ปีที่แล้ว +2

    Ww nzee mjinga sana akusaidie nan utakufa na nyaa zako

    • @kebo2155
      @kebo2155 6 ปีที่แล้ว

      Nassor TV wacha kufuru.. Wewe ni mgonjwa???

  • @princeganji2779
    @princeganji2779 5 ปีที่แล้ว +4

    Aloo huyu Mzee muongo kweli

  • @abduliddi4589
    @abduliddi4589 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyie mnaokoment juuuuh ya uyo jamaaa kwani mnajuwa kipindiiiicho ilikuwaje hao ndio waliotutetea mnaskia mwarabu alivyofanya au mnaongea tuh

  • @user-zo9hj9eq4e
    @user-zo9hj9eq4e 2 ปีที่แล้ว

    Tumempindua muarabu halafu kavaa kanzu na kofia zao mbna hajavaa ilo picha la magufuli laaana

  • @suleimanmohammed5344
    @suleimanmohammed5344 7 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe yeye mwenyewe ni mmanyema wa kigoma arudi kwao na yy ni mhamiaji tena inawezekana yy amewakuta hao anaosema wakoloni.

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 5 ปีที่แล้ว

      Kwani karume kwao wapi?

    • @sawbaa6332
      @sawbaa6332 5 ปีที่แล้ว

      Watu wote Zanzibar asiliyao Tanganyika kwasilimIa80

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 5 ปีที่แล้ว

    Hehehe pole sana mzeee

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 4 ปีที่แล้ว

    Habar ndgu mtangazaji.. fanya mahojiano hayo yawe official ikiwezkana yawe ya nda mrefu zaid... hku ukibadili stail ya kumhoji mzee.. 7bu kwa mtindo wa usimuliaj wake akizungumza kwa nusu saa anaweza kuanguka..

  • @ausihaji2398
    @ausihaji2398 5 ปีที่แล้ว +2

    Anajisifu kwa Ubaya

  • @khamismohammed2582
    @khamismohammed2582 5 ปีที่แล้ว

    dah nimesoma comment nying na takriban wote wanaumia na maisha haya kweli wazanzibar wana uchungu na nchi yao pia hizi habar za mapinduz ya uongo watu hawana mpango nao kabisa mana walikufa ni waislam than wanajisifu kua wamepindua.. mzee njaa imempata huyu mana mwisho anakubal kua saiv zanzibar haipo imeshamezwa na tanganyikAAAAAAA

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂naona hajijui alisemalo

  • @ipmalu9947
    @ipmalu9947 6 ปีที่แล้ว +4

    Nyie ndo mloitia Lana Zanzibar

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 5 ปีที่แล้ว

      Zanzibar ilianza kulaaniwa tangu kipindi waarabu walipo wa panda bibi zenu nakupatikana nyie kizazi cha unafiki

  • @abdulazizharthy5627
    @abdulazizharthy5627 8 ปีที่แล้ว +8

    Sio kapindua ila tu kajipindua watazame waarabu waliopinduliwa walivyokuwa na walipo hivi sasa na yeye alivyo hali yake kundi hivi sasa kwani dhulma waliowafanyia waarabu imewarudia wenyewe nchi imekua masikini na imetawaliwa na inazidi kutawaliwa mpaka the end of the world sasa analia nini hichi kibabu

    • @mwanaidiramadhan3919
      @mwanaidiramadhan3919 5 ปีที่แล้ว

      👍👍👍

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 2 ปีที่แล้ว

      kamwe wasingesaidia chochote ila ukiwa mjinga kujikomboa huwa ni taabu hilo ndio tatizo la wengi

  • @hamedabdallah6728
    @hamedabdallah6728 5 ปีที่แล้ว +2

    Sahv watawaliwa na muafrika ,na hilo picha ulilopakata ndio mkoloni wako .mumenyanganywa nanani tena wakati mumepindua ,ndio walala na njaa hv

  • @user-ik4xc5vh7b
    @user-ik4xc5vh7b 4 ปีที่แล้ว

    Mzee unasema uongo historia inasema jemshid katawala mwka haukufika

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er ปีที่แล้ว

      Akika kwa huyu mzee hisroria ya Zanzibar haijui kbisa anaropokwa tu, na dhulma zake alozifanya ndio zinazomtafuna

  • @thanimosi8906
    @thanimosi8906 4 ปีที่แล้ว

    Pongezi zako mzee Kundi kwa kusema ukweli mana wengi sasa hivi wanatumia mitandao ya kijamii kupotosha ukweli juu ya Mapinduzi Matukufu ya 1964

  • @antoinekatembo5316
    @antoinekatembo5316 5 ปีที่แล้ว

    Big asset of Zanzibar but since you live in Africa babu ndo hivyo hivyo tena! Pole sana mzee wangu!

  • @patrickevra2934
    @patrickevra2934 ปีที่แล้ว

    Mzee anaona ufahari ujinga wake

  • @omarmakame3390
    @omarmakame3390 5 ปีที่แล้ว +4

    Ww babu rudi kwenu kigoma, umepinduwa upate mali ,cheo ,umeua watu wa watu sasa mbona na nyinyi mumepinduliwa na Tanganyika mwana wa kwenda mwana haramu wee, nyinyi nyote ni vibaraka wa kitanganyika, iko siku zanzibar itarudi muthalilike

  • @mohdeddy3429
    @mohdeddy3429 6 ปีที่แล้ว +2

    Mzee io yako laana dhiki yako imekuacha uso kama ngozi ya kwapa kufa sasa na njaa yako bwege we🤛🏻

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee nakuuliza wewe umeuwa watu wangapi

  • @saeedal-awen2190
    @saeedal-awen2190 5 ปีที่แล้ว +2

    mmanyema na zanzibar wapi na wapi? we mzee naona umesahau km wewe ni mkongo zanzibar sio kongo

    • @lawmaina78
      @lawmaina78 5 ปีที่แล้ว

      Kabla mwarabu ina maana kisiwa nani aliishi.

    • @mwanaidiramadhan3919
      @mwanaidiramadhan3919 5 ปีที่แล้ว

      Hee hili swali

    • @ktravel3527
      @ktravel3527 5 ปีที่แล้ว +2

      @@lawmaina78 hicho kisiwa kilikua kinakaliwa na Watanganyika yani waafrika weusi pure ndio maana wakapaita Zingibar mean aridhi ya watu weusi. Lakini wazanzibar wengi ni nyumbu na wanafiki ndio maana hata historia yao hawaijui. Na yote ni kwasababu hata kizazi chao ni chakishenzi wao walipatikana baada ya waafrika kubakwa na waarabu ndio maana kama wanalaana hivi . Hapo zamani hakuna muarabu alikua naoa muafrika walikua wanapandwa tu. Ndio sababu ya kupatikana hichi kizazi cha kishenzi kisicho na abadu ( wazanzibar).

  • @hudhud2022
    @hudhud2022 5 ปีที่แล้ว +2

    Na sasa kutwa kuchwa mnafuata huko huko Subhanallah MMungu tunusuru na unafiki una chuki zako wewe binafsu Subhanallah MMungu atuhidi

  • @anethmlawa6904
    @anethmlawa6904 2 ปีที่แล้ว

    kama kweli mlipigania haki ya zanzibar mbana haki iyo imepotea kila uchaguzi mauwaji yanatokeya pumbavuu

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Mzee muongo kwanza hana Fadhila ZA wazee mujue mnayemsikiliza

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 5 ปีที่แล้ว

      Anasema kweli maana anasema mwenyewe,hayo mambo walifanywa,kumbe cio mateso,ni kazi wakifanya na mkilipwa,ubaya upi hapo,lbd kwa kuwa hawakupewa uongozi,hata sasa si tunafanya kazi ili upate cha kukila ikiwa kwa kutumwa ama kwa biashara, sasa babu ubaya mi sijaona,vitabu vya skuli wametudanganya,wechora watu wanapigwa kumbe ni uongo watu hawakupigwa,kwaikia ya taaa,Bali babu kaeleza wakitumwa na kulipwa,na tena sio Pesa Ndogo ,lakiiii,sasa laki kwa zamani si ukitumiwa mpaka ukachoka mwenyewe

  • @faridaali6850
    @faridaali6850 5 ปีที่แล้ว

    Mmepindua halafu mkapinduliwa miguu juu

  • @abuuashyam8417
    @abuuashyam8417 5 ปีที่แล้ว +1

    hii kauli mtaijutia nyinyi siku yakiama ...eti anamwacha mkewe kwa ujinga halafu anasema kamuacha rizki imeisha...nani kasema...

  • @111dudi
    @111dudi 7 ปีที่แล้ว +8

    vipi mtu wa kwanza kuzikwa na ilihali yuko hai? Kanisa gani alilolijenga Karume Ulaya?

  • @abdulazizharthy5627
    @abdulazizharthy5627 2 ปีที่แล้ว

    Ama kweli na nchi halafu mkampa Nyerere

  • @inuyashasgirlsmao5084
    @inuyashasgirlsmao5084 6 ปีที่แล้ว +1

    Zanzibar ni ya warabu na waislam...

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 5 ปีที่แล้ว

      Zanzibar ni ya waafrika

    • @parisz
      @parisz 5 ปีที่แล้ว

      inuyasha's girl smao Alhamdulillah

  • @hasinayussuf986
    @hasinayussuf986 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahahahaha pole thana

  • @suleimansaid7486
    @suleimansaid7486 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwongo mzee huyo.
    Huyu alikuwa mkwezi na mshona kofia. .

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 3 ปีที่แล้ว

      Ndio wanamapinduzi hao. Kaa utulie.

  • @dvdbruno1266
    @dvdbruno1266 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee mzalendo hyu.waarabu kwani walisaidia nn Zanzibar?

  • @medys218
    @medys218 5 ปีที่แล้ว +2

    huyu mzee alinifuata na mi ni muarab akaniomba shilling mia mbili anunue muhogo na pweza wakukaanga. sehemu ya mkwajuuni

  • @thamanimusictarakea2747
    @thamanimusictarakea2747 5 ปีที่แล้ว +1

    alipambana sana mzalendo wa kweli

  • @ummusamira3518
    @ummusamira3518 7 ปีที่แล้ว +5

    Mpaka Leo hii babu ilo linatukana Wa pemba wanawatukana wapemba kutwa kucha utamtukanaje mpemba na ni ndugu yako? Nchi moja? Siku ya salmin alitutukana saana allah atatulipia duniani Na akhera

    • @bahatinassorali5222
      @bahatinassorali5222 5 ปีที่แล้ว +1

      Ummu Samira wewe hujui kama mpemba anaubaguzi kwanini asitukanwe mpemba yoyote kutu la ngombe kama na wewe mpemba basi ujijue kama kutu LA ngombe siwapendi balaaa

    • @chiefchiefgeneral8908
      @chiefchiefgeneral8908 5 ปีที่แล้ว

      Mm nashangaa sanaaa cause pasipo mpemb hii unguja isingekuw hv leo, kwanz hawatuwez kwa lolote

    • @bahatinassorali5222
      @bahatinassorali5222 5 ปีที่แล้ว

      Chief Chief general hahahahahahahaha na msinge acha kwenu mngeona nchi ingekuaje kwenu hamkai mapka mnakufa kwenye mameli kwa kukumbia makwenu mrudi kwenu mjenge nchi yenu wenyew nyooni wapemba mbwa

    • @bahatinassorali5222
      @bahatinassorali5222 5 ปีที่แล้ว

      Mzee Baba hashuo lako mi kahaba wew msengee unofirwa na mbwa wenzio kwatarifaaa yako Mimi mzenj Mana nikisem mzanzibar nitakua nakipenda na icho kisiwa chenu na kama tanganyika makahaba kwanin mnakwenda kila siku kununua biashara za kikahaba mnauza wajinga nyie

    • @bahatinassorali5222
      @bahatinassorali5222 5 ปีที่แล้ว

      Mzee Baba hahahahahah ngurue pori mwenyewe kwanin mnachaa kisiwa chenu mnakuja zenj kwetu pazuri kaeni kwenu kuma nyie mikojo ya sultani hahahahahahahahahahahag

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 5 ปีที่แล้ว +2

    DHULMA MLIYOIFANYA NDIO MALIPO YAKE, NA UTAKUFA FAKIRI KWA MAUAJI MLIYOYAFANYA.

  • @kymussa1083
    @kymussa1083 5 ปีที่แล้ว +2

    Naona hate speech za wasili ya kiarabu
    Maana ya debate nikuikiliza pande zote

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo ccm imekupa nini nguo ya kuvaa huna

  • @saidizungu2115
    @saidizungu2115 5 ปีที่แล้ว +1

    Uyo mzee muhun tuu

  • @lipymuscat4779
    @lipymuscat4779 6 ปีที่แล้ว +3

    Mumeua sana nyinyi....moto unawangoja

  • @mohdnasser894
    @mohdnasser894 6 ปีที่แล้ว +5

    Huyu sio mzanzibar huyu ni mzanzibara kutoka congo

    • @kitalechapombe6602
      @kitalechapombe6602 5 ปีที่แล้ว

      Hiyo jeur yenu ndo mpaka sasa hv miaka 55 mnatawaliwa na watanganyika,mfanye mfanyavyo mwaarabu harud zanzibar ng'o Akija tunamtimua kumamae zenu wapemba

    • @allykigatta3239
      @allykigatta3239 5 ปีที่แล้ว +2

      Sasa mbona unatuchanganya...kuwa na msimamo basi...HUYU NI MZANZI BARA AU MZANZICONGO...unazingua ujue...

    • @tanzania2559
      @tanzania2559 5 ปีที่แล้ว

      Mzanzibar anafananaje?

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 5 ปีที่แล้ว

      @@kitalechapombe6602 Alhamdulillah, Mungu akuongoze,na ww tusijekuona ukikAnyaga pemba,umeharibu watoto za watu,kwa chuki zako za kijinga,Mungu atakudhalilisha APA APA duniani ww,soon inshaallah

    • @fatmahamad2156
      @fatmahamad2156 5 ปีที่แล้ว

      @@kitalechapombe6602 naona anakuja,na uyo rais wenu magu ,anabembeleza,anataka awekeze huko Oman
      😄😄😄na wanakuja makundi kwa makundi na wala hamuwatimui,lbd kuharisha mavi😅😅😅

  • @rafaelmarquez9396
    @rafaelmarquez9396 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee kachanganyikiwa hajui akisemacho yeye mmanyema ina maana jemshid ni ndugu yake kwani mama yake ni mmanyema sasa kampindua nani kajipinduwa mwenyewe maana nchi imekua mkoa wa tanganyika

  • @maalimmaulid4016
    @maalimmaulid4016 5 ปีที่แล้ว

    Dah!! Mi nimekosa hata cha kuandika..ila jamani musimtukane ila hapo ndio muone ukweli wa quran..yanamfika sasa majibuye ..jamani tuchukue tahadhari tusije amini makafiri kama wazee hawa nasi yatatupata kama yalowapata..YASEMA QUR-AN

  • @mokhimji
    @mokhimji 2 ปีที่แล้ว

    Wamekutumia na kukutupa... bado unasema uwongo mzee hahah hakuna lolote tena.... bado kuna mambo siku ukikutana na haki...