ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
huwa nampenda sana lwanda magere,mzee wa skadi kwa sababu wanajua sana kusimulia yani wanakutajia tukio mpaka unahisi kweli lilitokea, wanataja location, mwaka, hata davista matta anakosaga maswali ya kuuliza
Nikweli Rwanda magere, Musa chesa, Zabron nimewakumbuka
Jamaaa anapumua kama basi lamkoa au scania😂😂😂 au akikumbuka machungu yanazidi mzee😅😅😅
Brothers jitaidi kuwa nauliza date of events mwaka and location
Location za nini au tarehe 😂ww sikiliza na jifunze.unapo uliza Location unakuwa wahitaji waganga uwende😂😂😂😂
Ya4
Unataka tarehe au location za Nini kenge wewe
@@zulekhasaud483kweli kabisaa
@@Peterchila-un2lx 🤣🤣🤣🤣
Karibu sana kaka davista
Shetan aananzia mbali sana kumtafuta mtu hii story inafanana na yangu ila sikufika huku namshukur MUNGU aliniokoa mapema
Amina
Nakukubali davistar
Kaka simu zinadisturb sana interview
Mr facts usipotee sana hivio
Hivi kaka davistar ile stori ya kijana Chogo mmeifuta?
Kwani mgeni hasikii vizuri mbona ana hema hivyo juu Kwa juu
Host unaboaaaa hauko professional
Lazima aset camera kulingana na dakika
Mmmmmm kazi ipo
Mbona anahema sana shida ni nn au hayupo sawa kiafya??
Asee mbona vpande saiv vmekua vifupi sana
Sio vifupi tatizo msimuliaji anasimulia taratibu sana yani hapo anahisi kama anamsimulia Davista pekeyake kumbe tupo wengi
Wa pili 🎉
Mbona anahema hema sana.😊
Ni kwasababu ya mionzi mikali ya camera.....
Inachelewa sana
Simu zako zinatuboa na zina mboa mpenz msimuliaji
Jamaa bana anasimuliwa story yeye mwenyewe hayupo anaongea na simu pembeni.
Davistar umekua wa hovyo siku ivi....poor very unprofessional..... Yani unathamini simu kuliko story?? Kulikua na haja gani kumualika msimuliaji
Watu tulikuwa tunangojaa
Inacherewa san
J.B.B.1999
KAKA DAVISTA UMEWEKA FUPI SANA LEO
Kesho itakuwa ndefu
Davista vol Iko chini sana fanya mabo bro..
Sawa
Nilijua tu ni jini
Saut ipo down sana
Vipande vifupi sana