JINSI YA KUKUA KIROHO Sehemu ya Kwanza- Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 พ.ค. 2024
  • JINSI YA KUKUA KIROHO Sehemu ya Kwanza- Innocent Morris
    Somo hili litakusaidia sana kujifunza namna ya kukua kiroho. Na utaweza kupiga hatua katika kila eneo la maisha yako ya kiroho, kimaombi, katika kusoma neno n.k
    Chukua kalamu yako na daftari ujifunze somo hili.
    Ubarikiwe sana.
    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    TH-cam Link:
    / holyspiritconnect

ความคิดเห็น • 50

  • @evalynependo3824

    Asante sana pastor innocent Morris, kupita maelezo haya,nitatumia neno la mungu katika maeneo ya maisha yangu, najiona nikimiliki vitu vya kifahari katika uso wa inchi kwa jina la yesu kristo amen and Amen 🙏🏻🙌👏🏿❤

  • @user-sb4ok6db8c
    @user-sb4ok6db8c 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ooh mtumishi wa mungu,this is me,apo Kwa mfungo yameniguza roho sana,wiki uliopita nilijiandaa kufunga siku Saba nikaanza siku ya kwanza na pili nikasali vizuri bila jaribio lakini siku ya tatu nikafungua saa Saba na kula kabla ya saa kumi na mbili thn huo mfungo kukawa na majaribu sasa nilipofungua na kula nikamaliza kichwa ikaniuma sana Kwa muda mchache na kutulia kabisa Kisha Jana saa sita ya usiku nikashika bibilia kusoma neno nikajawa na uzingizi nikazinsia nikalala hdi saa tisa nikashtuka nikiketi nimeshika bible mkononi nikakasirika sana

  • @MwanaHuseni-jf2lv

    Amen be blessed apostle aki nakuelwa vzur Mungu akulinde 🙏🙏❤️❤️

  • @PriscaKihiyo

    MUNGU akubariki sanaaaaaaa mtumishi wa MUNGU kwa somo nzuri sanaaa ni kweli kabisa ni mebarikiwa sanaaaa. Ameeen

  • @ireneuwimana5385

    Eee Mungu wangu unijaze na neno lako ili nizidi kukuwa kiroho, kwa jina la Yesu Kristo. Amen 🙏🏽

  • @MweshMwesh-dr5lp

    Atutarudi nyuma katika jina la Yesu Kristo 🙏

  • @philmonnem7294

    Nmegundua napitwa na vitu vizuri nina mda siyo sana nafatilia mafundisho yako yamenijenga sana Mungu akubariki mno 🙏🏻 asante

  • @AngelMitarimbo

    Baba samahan mtumishi wa Mungu naomba haya maufundisho ktk whatsp yangu Natamani kujifunza zaidi somo hli..

  • @BerthaPhilipoShigi-pg4kv
    @BerthaPhilipoShigi-pg4kv 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mtumishi autoi vipindi naona najirudia tu

  • @user-mi8he4rp1s

    Mungu nisaidie nikue kiroho

  • @Marianamsafiri-sm2vx
    @Marianamsafiri-sm2vx 14 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @marysalome-mg4cn

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 be blessed pastor

  • @agneswavinya4268

    Amen Amen 🙏

  • @allenjohn4328

    Amen Amen mtumishi wa Mungu

  • @powerofgospeltorecover804

    Ameen nakupata mtumishi

  • @DinahEdward-xu6ni

    Amina barikiwa Munngu nisaidie nikue kiroho🙏🙏

  • @user-io1tp6nz8m

    Be blessed 🙏

  • @floradavid5216

    God bless you