So blessed with dada Eliwinjuka. God bless you hata wewe mwana habari uliyetuibulia huyu mwanampotevu. But nimesikitika sana kusikia hicho kikundi cha Upendo Goup kimesambaratika. Indeed that is an attack. Kama ni mpango wa Mungu watarudi tena in Jesus.. AMEN
Kosa la rose mhando lilikuwa hili hili la kujitoa kwenye kikundi na kuwa solo artist,tatizo la solo arist ni kukosa covarage hasa ya maombi kama shetani aliweza kupiga kundi kubwa kama lile na kulituliza fikiria mtu mmoja mmoja itakuwaje?
Dada unaimba sana, nakifatilia toka upo upendo group.. Munga azid kukupa nguvu....❤
BARIKIWA SANAA DUMU KATIKA MAOMBI VITA N KUBWAA
So blessed with dada Eliwinjuka. God bless you hata wewe mwana habari uliyetuibulia huyu mwanampotevu. But nimesikitika sana kusikia hicho kikundi cha Upendo Goup kimesambaratika. Indeed that is an attack. Kama ni mpango wa Mungu watarudi tena in Jesus.. AMEN
Namkubali sana huyu dada Mungu ambariki sana
Aise uyu Dada uimbaji wake ulikuwa unanibariki sana adi leo ana sauti nzuri...2024
Pole Eliwinjuka unalia, nimesikia Joshua pia, kweli mlipitia makubwa umetumia hekima kutunza ya sirini huko KUG
Huyu Dada ameimba nyimbo nyingi sana katika upendo group ila nyimbo zake pendwa ni ingia zizini na Azalikoya
She is humble. Nampenda wakwetu Single Dar.
Aisee kaka sky wewe ni kibokoooo yaaani umemuhoji hadi dada eliiii
Yes bam bam ata Mimi nimesikiliza saizi nikakuona nimeacha ndo nakusikiliza apa kutoka oman
Nampenda sana Joshua bambam nakupenda sana dada
Wow so amazing
Abarikiwe sana maana huu anatubariki sana kanisani.
🙏
Ooh jamani, Nimefurahi kumuona Huyu Dada, hakika nilimpenda bure kwa sauti yake.
🥹
Sanaaa huyu dada noma
Ana hofu ya MUNGU.
Enzi izo kigoma mwanga sokoni
😲
Duuu sky walker kitambo tangu RFA na glory Robinson na Yuko wap Groly
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.
Kosa la rose mhando lilikuwa hili hili la kujitoa kwenye kikundi na kuwa solo artist,tatizo la solo arist ni kukosa covarage hasa ya maombi kama shetani aliweza kupiga kundi kubwa kama lile na kulituliza fikiria mtu mmoja mmoja itakuwaje?
Kila mtu ameitwa kwa namna ya tofauti
Kila mtu ameitwa kwa namna ya tofauti
Kila mtu ameitwa kwa namna ya tofauti