Tutapataje kupona? - Joshua Mlelwa & KUG

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ค. 2022
  • เพลง

ความคิดเห็น • 32

  • @NasraSalehe-bi8sh
    @NasraSalehe-bi8sh ปีที่แล้ว +9

    Among the best educative gospel songs of all time. Kaka Joshua Mlelwa na kwaya nzima mlifanya kazi njema sana. Naamini wimbo huu unapaswa kupata air time kwa kupigwa vituo vingi vya radio nyakati za sasa kuzikabili changamoto tunazopitia jamii nyingi kwa sasa.

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว

      Amen Amen 🙏

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k ปีที่แล้ว +2

      Kaka @@joshuamlelwa kiukweli huu wimbo unanikumbusha mbali sana na hadi leo ninapokuwa safarini kwenye usafiri binafsi lazima niuweke huo wimbo. Mungu awabariki sana maana kiukweli huu wimbo ukiimbwa unaweza ukaona mbingu hii hapa...

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว

      @@user-yv7ij4zh4k
      Amen Amen.
      Mzidi kubarikiwa.!

    • @cecilibachwenkizi4528
      @cecilibachwenkizi4528 9 หลายเดือนก่อน +2

      Hii Kanda ya nyimbo hizi tulikuwa nayo nyumbani, Kila siku mama yetu alikuwa anaiweka. Ikafikia hatua nyimbo zote zikawa kichwani. 2004 hiyo nikiwa std 7.. hakika tulibarikiwa sana sana, Hadi Leo hii 2023 Nina familia yangu, mume na watoto wanne natamani nipate CD niwawekee wanangu wasikilize, wabarikiwe, wawe na hofu ya Mungu, wamjue na kumcha Mungu siku zote za maisha Yao🙏🙏
      Kaka Joshua una Kibali Toka juu. Mungu azidi kukubariki sana, sauti Yako nzuri sana hata ukiimba live🙏🙏

  • @yohanamwasambungu9233
    @yohanamwasambungu9233 3 หลายเดือนก่อน +1

    Joshuwa ubarikiwe bado tunainjoi nyimbo zako hii 2024

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 2 ปีที่แล้ว +5

    Joshua Mlelwa, one of a very talented musician in Tanzania

  • @salomehazael8912
    @salomehazael8912 ปีที่แล้ว +4

    Kila nikisikiliza najikuta nalia kwa aibu hii wanadamu tuliyoifanya mbele za Mungu. Lakini naamini katika rehema na fadhili za Mungu wetu. Atuhurumie kila tunapomlilia na kutubu.

  • @kelvinemanuel2416
    @kelvinemanuel2416 ปีที่แล้ว +3

    Mziki mzuri unaishi mile🔥🔥🔥

  • @stellalauden-mb8hc
    @stellalauden-mb8hc ปีที่แล้ว +3

    Tutapataje kupona?🙌

  • @kilingechasimulizi2072
    @kilingechasimulizi2072 ปีที่แล้ว +2

    Huu wimbo nilikuwa kuliko nyimbo yeyote ya dini unayoijua..2002 kipindi cha sensa, namkumbuk mke wa mjomba alikuwa na hii kanda na nilikuwa kwake.. ndiyo alinifanya nikawajua awa watu..nashukuru kuwajua

  • @ashaomary8038
    @ashaomary8038 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo unaoishi,una mafundisho sanasana mambo yaliyoimbwa humu ndio yanayofanyika sana nyakati hizi yaani hali inatisha Mungu atusaidie na atuepushe na haya..ubarikiwe sana bro Joshua na waimbaji wenzio kwa wimbo huu wenye mafundisho..

    • @elizabethsanga4076
      @elizabethsanga4076 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa hii nyimbo imetabiri mambo yanayoendelea sasa

  • @stellalauden-mb8hc
    @stellalauden-mb8hc ปีที่แล้ว +3

    Huu wimbo uneimbwa miaka mingi iliyopita
    Ila haya mambo sasa yamepamba moto.
    Tuzidi kuusambaza,watu wausikie,Dunia ipone..
    Huu wimbo una mafuta ya Roho Mtakatifu.
    Mungu aponye watu wake🙏

    • @joshuamlelwa
      @joshuamlelwa  ปีที่แล้ว

      Amen Amen

    • @God.sDaughter
      @God.sDaughter 7 หลายเดือนก่อน

      What’s the meaning of the song?

  • @user-do8dy3ut3p
    @user-do8dy3ut3p 4 หลายเดือนก่อน

    Nikat yanyimbo adim zenye mguso sana rohoni tuomba msizipoteze bado tinazihitaji sana hasa mimi

  • @stivenmacha9732
    @stivenmacha9732 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Sana....Joshua.

  • @innocentmagaula9923
    @innocentmagaula9923 ปีที่แล้ว +1

    Melody dedication very clear 🤔🙏 indeed Long live Brother

  • @danielmlwafu4380
    @danielmlwafu4380 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe, Daniel toka tunduma Moravian

  • @judithmkiramweni4137
    @judithmkiramweni4137 11 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa wimbo mzuri sana

  • @ElifadhiliSima
    @ElifadhiliSima ปีที่แล้ว +1

    Joshua Mungu akutunze kaka.. wewe ni wapekee sana

  • @tumainsolomon1357
    @tumainsolomon1357 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙌

  • @michaelludovicknduhiye3798
    @michaelludovicknduhiye3798 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @resgestae4225
    @resgestae4225 9 หลายเดือนก่อน

    Tafsiri halisi ya NYIMBO ZA INJILI.....

  • @samwelimoshi5614
    @samwelimoshi5614 11 หลายเดือนก่อน

    Hao waimbaji sahv wapo wap

  • @midlasternelson2166
    @midlasternelson2166 ปีที่แล้ว +1

    Ujjju33y

  • @gospelman3720
    @gospelman3720 2 ปีที่แล้ว +1

    Album nzima mlirudiaga video zake?

    • @faharimbilinyi5972
      @faharimbilinyi5972 ปีที่แล้ว

      Yaliyotabiriwa ndo yanatimia nyakati hizi za vizazi vya nyoka.

    • @kadekade___cor
      @kadekade___cor ปีที่แล้ว

      MUNGU atusaidie na aturehemu kwa rehema zake. Atupe mwisho mwema sisi na vizazi vyetu.Amen