ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nmebarikiwa sana na hz nyimbo zao hasa MAISHA YAKO NI YAKO MWENYEWE.
Hongela Sana Dada Rwanda tunakupenda
siwezi kukujua ila kwa muonekano unaonekana una hekima hata kimavazi una nidham
Hawa wanaimba jamani, dah kwa Kweli Mungu awabariki sana, japo hawapo wengi Lakini Mungu awabariki
Mungu akubari
Ule wimbo Mungu anakupenda.Kwangu ni wimbo wa siku zote niwapo hapa dumiani.Nawapenda wa Upendo.
I really loved their songs
na nyie ndio kioo cha jamii safi sana unawakilisha vyema
Huyu dada hazeeki jamani ubarikiwe dada
Jamani mi awa watu uwa wananibariki sana sana yani mko wapi Mungu atawauliza?dahh
Come back please
Tunakupenda dada Mungu awabariki 🙏
This woman is amazing. I like your music guys, but where are you? I no longer hear about you
Search for her new songs, her Channel is Eliwinjuka
Natamani mrudi jaman hakuna waimbaji ambao walikuwa wananibariki kama hawa jaman
Walikua balaa jaman
Fanyeni reunion huduma irudi nilitamani hata msipokuwepo ninyi waasisi muwe mumerithisha hii huduma Kwa wengine,
Very poor interview from the interviewer why do such a good interview in a windy place affecting audio
Muulizaji mmbea unalazimishaje iwe ka unavyotaka
😍🙏
💥
Je ni kitu gani kitanitenga na upendo wa Kristo????
Walikuwa wachache mno
Walivumishaga huyu mama amefariki jamani
Hey , hii ni habari ya kweli? kulikoni?
Aliekufa siyo huyu...kafa yule alieimba chorus ya ndoa
Aliefariki ni ester kale kadada karembo kadogo dogo by my side nlikua nakapenda mnooo