Zorah - Mwambie (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 เม.ย. 2024
- Listen to Zorah Songs: linktr.ee/Zorah_
Subscribe on TH-cam: / @zorah_
Instagram: raj_zorah?igshi...
Facebook: profile.php?...
TikTok: tiktok.com/@rajzorah
Twitter: x.com/raj_zorah?t=uSkaSR0eVRT...
#zorah #kassumusic #mshindi #music #fypシ #tabora - เพลง
ASANTENI KWA SUPPORT YENU. USISAHAU KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT & SHARE❤
Kak naitwa Vish TZ nipo nzega nahtaji nje kasu music
@@SamweliPetro-rc4su 0622888909 Mcheki KASSU
Thanks my bro
Owa kk
Kaka ila kuna vi2 kidog vimemiss kama siku ukipanga bajet unaweza kuiludia hii ngoma ata kwa s2kizzi mana ngoma kali ila kwenye micksi kuna vi2 vimepungua kaka sio kwa ubaya lakin ila goma kubwa san
Video haichoshi nataman niirudie hata mara mia daaah kwakwel Mungu akujalie utafika mbali❤❤
Rudia kuangalia utakavyo, hii ni kwa ajili yako❤️🙏
Hatare Sana, jamaa alivaa miwani na Tshet jeus umeuwa sanaaaaa hakika una smile na unajua kueckt
Asante sana brother🙏
Kaka umekaza sana mie shabiki wa mdalingwa tz ila nawe upo poaaa
@@SekwaEdward Shukrani sana brother. Mungu ni mwema🙏🙏
hii ni international video...hongera sana kassu Music kwa kazi nzuri...❤bravo Kulubone is your first fan
Thank you brother🙏
Amazing.... Video kali. story nzurii na unyamwezi mwingiiii hatareeeee....😊😊😊
Shukrani sana kaka🙏🙏
ONE OF MY FAVRTE NMESKILIZA SKU NNZIMA
@@oricktunyoni3143 Shukran Sana 🙏
kaza buti blood, shusha mawe mpaka uchoke mwenyewe 🫶🫶🫶
@@omarywambali9910 Asante sana Mkuu🙏
Umeua boi sio kwa song hili
Asante sana kaka🙏
Kazi nzuri bro ongera namuona Sabry kwenye ubora wake good job
Shukurani Sana 🙏
Big up bro korasi imefanya ni commente❤🎉🎉
Asante sana brother. God Bless You❤️🙏🙏🙏
Mdogo wangu now unapo vizuri kwenye kuigiza nimependa ulivyo shangaaa😂😂😂
Haha ninachukua maujuzi yako bro😁🙏
Safi sana one day yes
🙏🙏🙏
Good kaz nzur
Keep it up
Asante Sana Brother
Umetisha sana big
Asante sana Big🙏🙏
Nakuona mbaliiii sanaaa bonge la ngoma
Asante Boss Wangu🙏
Video ni nzurii bro, more steps ahead
Shukrani sana🙏
Video ni level ya dunia mzee saluuuuut mmetisha
Asante sana kaka mkubwa🙏🙏
good music mboka boy
Thank you brother🙏
Kazi nzuli tuñasubili nyingine
@@AlphaPaulo Shukrani sana. Inakuja soon🙏
Muziki Mzuri, Kichupa Kimeyulia☑️
Asante sana kaka🙏
Unyama sanaaaa
Shukrani sana🙏
Kali kinoma
🔥🙏🙏
Home boy nice talented 🎉🎉 we love you bro
Thank you bro. I Love You Too❤️🙏
Uko sawa kaka,unatisha sana,tusha subscribe,kazi kwako kutupia magoma,Mimi JACK B nitakuwa pamoja nawe kwenye safari yako,jamaa yangu unaweza,dua nyingi twakuombea
Aamin damu yangu. Asante sana brother🙏
Hongera dogo pambana
Asante sana Sister❤️🙏
Video Ya Motoooo Kinomaa🔥
Ninaamini sijakuangusha🙏
Unajua balaa sana
Asante Sana
Big up Broo,umeuwaaaa video Kali mnoo
Asante sana❤️🙏
big time big time hommie
@@CASTOTRYPHONE Thank you brother🙏
Mamae acha tujitafute one day tuta jipata
One Day Yes bro🙏🙏
😂😂😂😂😂
Urakoze cyane ❤❤❤
Murakaza neza❤️
Good job
Thank you🙏
No comment kazi nzuri
Hii Piah Ni Comment 🙏
Nakubali Kaka ❤❤
🔥❤️🙏
Kwa hiii melody 💥
@@user-zl8dk9fd6j 🙏🙏🙏🙏🙏
Next vision, next level 🔥🔥🔥
Thank you brother🙏
Congratulations legend to be
Thank you brother🙏🙏
So good kk
Thank you🙏🙏
Umetish Blood @zorah🎉🔥🔥
Asante sana brother🙏
Iko pw san
Asante sana🙏
Kitu
Shukrani sana kaka🔥🙏
Nimeimiss hii nyimbo mekuja Tena kusikiliza 😂😂😂😂
Enjoy, wakati wowote utakapojisikia❤️
Unyamaaa sana🎉🎉
Asante sana🙏🙏
Daah... Hataleee
🔥🔥🙏🙏
Fundiiii😊
🔥🔥✊🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ we gooo
❤️❤️🙏🙏🙏
Nice work🎉
Thank You❤️
Kali sana
@@mkarambati_tz Asante sana🙏
Keep going zorah💥💥
Asante sana brother🙏
Nice song🔥🔥
Thank you🔥🙏
Gud work
🙏🙏
One day yes
@@swedymohamed2246 🙏🙏🙏🙏
Hongeraa kazii nzuriii zorah
Asante
🔥 🔥 kichupa cha kwenda kaka
Iendeeee Kaka
Awoooooteeeeee kaz nzur sanaaaa chama langu 👑👑🌟🌟
Shukrani sana🙏🙏
@zorah👏👏👏👏👏👏👏👏
@@jumakibaba9118 🙏🙏🙏🙏
Nice
❤️🙏
Homeboy🔥🔥🔥🔥
Blood🔥🙏
snaaa
🔥✊
Nomaa home boe💥💥
@@KuppeBurrows 🔥✊
Video kali Sana hongera umeupiga mwingi sana kijana
Asante Kaka Mkubwa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@@SekwaEdward 🔥🔥💪💪
Video Kali, mandhari Iko pia kifupi mmetisha
Asante sana brother🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️🙏
Let's GOOOO mwanangu ZORAH TZ
@@Deezingotz nakubali damu yangu🔥🙏
Unatisha
@@KamojaAmri 🙏🙏🙏
Nyimbo nzuri hongera sana pia inatia uchungu umejitahid hongera mungu akudhidishie ufike mbali my friend
Ameen 🙏 My Friend
big fun
@@MgombaJunior Asante sana, sitokuangusha🙏💯
❤❤❤❤❤
❤️❤️🙏🙏
Greet music❤
Thank you❤️
Moto hii
🔥🔥🔥🙏
💯💯
💯🙏
Sema unatisha
@@simestanzaofficial Asante sana🙏🙏🙏
ya moto kak 🔥
Shukrani sana🔥
Soon tutakuwa mjini
@@hemedyadam5116 Amen. Na iwe hivyo🙏
🔥🔥🔥
My brother🔥✊🙏
🔞🙌🙌🙌 chumaaa
Asante sana blood🔥🙏
what a song ✨
Thank you🙏
Chukuwa mauwa yako 🎉🎉❤
Nimepokea Kaka🙏
Nomaa saan
Saaana
Ngoma kal salute
@@danielwilson1107 Thank You🙏
Lazima kieleweke tu
We Must Be Heard🎧🔥
Hatari 🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Sanaaa
Video Kali mdogo wangu good
Asante Kaka
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shukrani sana brother🙏
hit song 🎉🎉
@@ManjooTz 🔥🙏🙏🙏
Zorah unaweza sana mkali
Shukurani Sana
Kari san❤❤
Shukrani sana🙏
Bonge moja la ngoma pia ni bonge moja la video
Shukrani Sana🙏
🔥
🔥🔥🙏
Kassu music , another big stup, kazi nzuri Zorah
Asante Kaka
Hi video ni kali
Asante sana❤️🙏
I Love It❤❤❤
@@MarthaMwabulambo ❤️❤️❤️❤️
God bless 🙏
Amen🙏
Broo pambana mother anakupa support huku igunga nimeonana nae leo
Habari njema sana. Asante sana brother🙏
Your so talented
Thank you❤️
Unajua
Asante Sana
Iko njema sana bwana mdogo keep it up nakuona ukiwa mbali sana
Asante sana kaka🙏
Homgera Sana bro video nzur San 🎉🎉🎉🎉
Asante sana🙏