KIYAMA KWA MANABII WA UONGO KIMEFIKA. UCHAWI MAKANISANI SASA BASI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @wellahsuleiman7881
    @wellahsuleiman7881 26 วันที่ผ่านมา

    ALLAHU AKBAR!

  • @wellahsuleiman7881
    @wellahsuleiman7881 26 วันที่ผ่านมา

    MANENO NI YA KWELI MFANO NABII ALIYEFUKUZWA, BAHATI NZURI AMEKIRI NI MWIZI NA SISI NI WAPUMBAVU. TUAMKE KWA AJILI YA MWENYEEZI MUNGU

  • @exodusmgohachi1733
    @exodusmgohachi1733 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa Leo kaona arudi kwenye Uislamu wake , unajua mashoga asilimia kubwa niwa dini yake harafu anataka wachungaji waondoshe ushoga, huyu anawavua nguo wenzake bila wao kujua , ukweli Quran haiwezi kuzungumza habari ya Yesu Kristo na ikafuatwa kama ilivyokusudiwa na Mungu zaidi sana ni upotofu na udanganyifu wa kuwatoa watu kwenye Imani Yao na makanisa yanazidi kujengwa na hao wengine wanazidi kupotea kwenye USO wa Dunia

  • @dannyking8908
    @dannyking8908 หลายเดือนก่อน

    vita ya israel iliishia wapi😂😂

  • @saidsuleiman9018
    @saidsuleiman9018 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah shekhe Hamza issa sasa anarudi ktk ubora wake km wa awali

  • @dannyking8908
    @dannyking8908 หลายเดือนก่อน

    mzee veep

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi yule mchungaji wako shoga siku hizi Yuko wapi mara ya kwanza kabisa nilikuona kwenye kanisa lake Yuko wapi maana na wewe ulikuwa mhubiri kwenye Hilo kanisa

  • @khamisjuma3799
    @khamisjuma3799 6 หลายเดือนก่อน

    Quran haijui huyu Fasiq mkubwa anaangalia na anakosea kisha anajiita MTUME ILYASA HUYU HAMZA NI FIRAUNI WA TANZANIA NA NI KAFIRI MKUBWA.

    • @faridaltamimi7454
      @faridaltamimi7454 5 หลายเดือนก่อน

      huyu atafutwe apigwe au auwawe maaana ana kashifu uislam bado

  • @ClayOmmy
    @ClayOmmy 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akuweke salama sheikh wangu

  • @SalimKaporo
    @SalimKaporo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naona mada hii imekosa comment kabisa siwaoni watu

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wanapo kusanyika Tai ujue panamzoga waokusanyika ndio wanaojua like wanachi kipata Hata Yesu wali SEMA anatumia nguvu za shetani kuponya watu hauja Anza wewe.

  • @drnow1528
    @drnow1528 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli wewe ni msomi

  • @khamisjuma3799
    @khamisjuma3799 6 หลายเดือนก่อน

    Weye kwenye Uislam humo wewe ni KAFIRI anayevaa Makanzu tu na makofia

  • @drnow1528
    @drnow1528 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli ukristo ni Imani potofu

  • @rasfordsamwel7801
    @rasfordsamwel7801 6 หลายเดือนก่อน

    ukweli mchungu wanadamu tuwe makini sana hali ni mbaya na huyu mtumis anafungua code za siri mwenye masikio na asikie na asiyesikia na basi apuuzie lakin tutaona mengi kupitia huyu jamaaa.

  • @drnow1528
    @drnow1528 6 หลายเดือนก่อน +1

    Islam pekee ndiyo njia sahihi

    • @JacksonMusyoka-s2y
      @JacksonMusyoka-s2y 6 หลายเดือนก่อน

      Saudi Arabia ndio imeshinda la Miss World na wewe uko mwezi mutakatifu wa Ramadan. Endelea kuota tu!

  • @ayubusalum7206
    @ayubusalum7206 6 หลายเดือนก่อน

    We shekhe haujui.....anzeni na hao wasanii wa dini yenu 😅ama kweli ( nyani halioni kundule)

  • @philipjey8955
    @philipjey8955 6 หลายเดือนก่อน

    Kuelewa Haya maneno itakubidi uwe mjinga kwanza ,werefu wako cjui Mimi ni musislamu,cjui Mimi ni mkristo...
    Sisemi ukubaliane na kila kitu ila tu Mimi ni mkristo lakini ukinipata nimevaa kanzu tu,manake kanzu au bui bui inavunika uchi,lakini waone sisi wakristo tunatembea uchi na kueda kanisani kutafuta miujiza....hatutii ata agizo moja la Mungu,

  • @abedgreizman4700
    @abedgreizman4700 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nenda kwa mwamposa utabarikiwa

  • @elgringo8592
    @elgringo8592 6 หลายเดือนก่อน

    Jesus is only way but not church❤

  • @petermutuku1289
    @petermutuku1289 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mganga wa kienye tumekusoea.j

  • @Joel-lt1dv
    @Joel-lt1dv 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona mashekh wanatumia aya za kurani kuita majini hausemi

  • @meisanmariah8993
    @meisanmariah8993 6 หลายเดือนก่อน

    Amen 🔥🙏

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 6 หลายเดือนก่อน +1

    TANGAZA DINI YAKO usiponde dinini ya wezio