@rubbymusa1971: watu wa ku fuatili dini za wageni hapa nasemee uislam na ukristo... unamshauri kufunika kichwa sababu mwezi huu ni Ramadhani yaani kwa mwaka mzima mwezi 1 tu ndio wa maana kuwa karibunna Mungu?🤔🤔 kwa nini watu wasijitahidi kuishi maisha yote miaka na miezi yote asijufunike kama kujifunika ndiyo alama ya mucha Mungu, basi jifunikeni mpaka siku ya kihama sio mwezi moja au miwili kwa mwaka, ni sawa baadhi ya wakristo mwezi wa pasaka wanasukumana kuepuka dhambi sababu ni kama kumusulubisha Yesu kristo kusukumana kusiwe tu kwa mwezi wa kumbukumbu wa mateso mwokozi alipitia ila iwe kila mara kuepuka ma dhambi ila ikiwa ya mwezi moja kwa mwaka hiyo unafiki na kudandia dini msijo juwa
Swaum na mirasta kichwani muogope Allah. Yaani umeumia sana kuachana na Lukamba hd shingo imeingia ndani umepauka angalau unajitahidi kumchafua lkn unateseka sana inaonekana huna bahati yakupendwa ww na ndy maana unawalea kila leo😂😂
Safi sana liseme adi liwakome wanawake na lijue linatakiwa kutafuta pesa kwa jasho kiume sio kuona raha kulelewa ni kwa mda tu hamna mwanamke anaweza uo upumbavu atakupokea mwanzo akiamini utaweza kusimama nae lkn lenyewe likiingia linaona limepata pa kupumzikia kumbe mwanamke ndo anataka apumzishwe na mihangaiko ya utafutaji
Uliingia kwa vishindo hiyo ni KARMA ya Cecy,ulijigamba,uukamsema chuchu vibaya,ona Mungu anavyo kuonesha,Sasa unajielezea nini?Wanawake mjifunze,ukiona mwenzako kashidwa hutakuwi kujigamba
Alimtendea vibaya cecy alojitoa kwa moyo wa dhati akayabeba yote adi akafunga nalo ndoa likamlipa shukrani ya punda leo zamu yake kudhalilika na atawakumbuka walopita nyuma atajua walibeba yake mazito kiasi gani
Wewe ndio unamuongelea vibaya kila siku ukiulizwa tu 😮naanza kuropokwa kiufupi bado unamtakaaaa ila humpati tenaaaa pumbavu
usivae wig unapendeza sana bila zile kofia
Jamani ss wanawake huyu si alikua akimsema cecy akijigamba sasa mbona sai anamsema lukamba unafiki mwingi
We acha tu alijikuta kafika kumbe kajificha kwny kichaka safari bado😅😅😅😅😅
Alienda Kwa lukamba kufata umaaruf
@@najmasalim-rg6ow kabisaa kweli wala siuongo
Hata huyo Baunsa atakutenda tu ,uko desparet mnooo
Duu! iv ni wew ninae kujua uliekua unaishi mwanza maduka 9?
Mwanamke amayejitambua huwez kuwa hivi..........mdomo upo waz sana
Wakiachwa ndo wanasemana ila mkiwa kweny mahusiano Wala hamsemani 😂
Mimi ni mwanamke ila sipendi kukutana na wanawake wahaina iyo😢😢
Interview kali👏 nimerudia mara mbili kuisikiliza haichoki
Siyo kweli kuwa mtu ukimpa mpenzi kitu chochote mkiachana lazima akuridishie.
Je ukimnunulia chakula arudishe?
Ndiyo Faida zakulea Wanaume
Umekondaaaa kwa ushamba unamtafuta ili ujuwe undani wake ila humpati utabaki kujuwa kuwa hana kitu wakati mwenzio anayoyoma kimya kimya 😅😅😅😅
Umependeza ila kama binti wa kiislam ungefunika kichwa na hii Ramadhani we mzuri tu isingeharibu kitu
@rubbymusa1971: watu wa ku fuatili dini za wageni hapa nasemee uislam na ukristo... unamshauri kufunika kichwa sababu mwezi huu ni Ramadhani yaani kwa mwaka mzima mwezi 1 tu ndio wa maana kuwa karibunna Mungu?🤔🤔 kwa nini watu wasijitahidi kuishi maisha yote miaka na miezi yote asijufunike kama kujifunika ndiyo alama ya mucha Mungu, basi jifunikeni mpaka siku ya kihama sio mwezi moja au miwili kwa mwaka, ni sawa baadhi ya wakristo mwezi wa pasaka wanasukumana kuepuka dhambi sababu ni kama kumusulubisha Yesu kristo kusukumana kusiwe tu kwa mwezi wa kumbukumbu wa mateso mwokozi alipitia ila iwe kila mara kuepuka ma dhambi ila ikiwa ya mwezi moja kwa mwaka hiyo unafiki na kudandia dini msijo juwa
Wanawake cc kwa kujihaibisha looo
Mbona dem mwenyewe wa kawaida sana,wala haumizi kichwa kabisa!
wanakuaga watamu hao ohooooi
Hamna lolote@@Mohamed-uz8id
Swaum na mirasta kichwani muogope Allah. Yaani umeumia sana kuachana na Lukamba hd shingo imeingia ndani umepauka angalau unajitahidi kumchafua lkn unateseka sana inaonekana huna bahati yakupendwa ww na ndy maana unawalea kila leo😂😂
Upuuzi kabisa
Cheche Hilo la kufa mru
Asante best😄 🤣 😂
Hadi namuonea huruma huyu dada.Hakuna mwanaume mwenye akili yake atamfuata huyu!😢
We ulimbebaaa wa nini alkwambia hawez kutembeaaa khaaa we ni mnafkiiiiiiii kiherehe kilikuzidiiii dadaaa na2najuaa badoo unamtakaaa lukambaaaaaa iloooh jitu zimaa ovyooo
😅😅😅
😅😅😅
Unstoppable pendez unaakili Sana na unaongea vizur nimekuoenda bure
Safi sana liseme adi liwakome wanawake na lijue linatakiwa kutafuta pesa kwa jasho kiume sio kuona raha kulelewa ni kwa mda tu hamna mwanamke anaweza uo upumbavu atakupokea mwanzo akiamini utaweza kusimama nae lkn lenyewe likiingia linaona limepata pa kupumzikia kumbe mwanamke ndo anataka apumzishwe na mihangaiko ya utafutaji
Sasa kama zaman ulikubal kumbeba Leo hi mapov yanakutok ya nn si umpotezee au bado unampenda
Lukamba mropokaji ila we umezid
Sasa huyo brown si ndo king'asti mkubwa mkubwa daaah kuna mademu ovyo kweli😂😂😂
😂😂😂😂😂😂kapatikana mwaka huu mpigapicha😂😂😂😂😂
Sasa kama unamueshimu mwanaume ulie nae Kwanini unamzungumzia mwanaume aliewai kupanda juu ya kifua chako 😊
Huyu Dada Anapenda Ustar😂
Kabisa
acha dawa ikuingie ulijifanya kuungana na lukawise kumchamba cecy nw imekurudia
Juyanini nikulishe mume❤😂
Mie Nampa pole cecy, kumbe cecy aliteseka Sana Jamani
Tanzania kama hakuna wasani amna maisha mengine ya binadam wa kuoji kujua maisha Yao au ndo ao mlio wachagua
Uliingia kwa vishindo hiyo ni KARMA ya Cecy,ulijigamba,uukamsema chuchu vibaya,ona Mungu anavyo kuonesha,Sasa unajielezea nini?Wanawake mjifunze,ukiona mwenzako kashidwa hutakuwi kujigamba
Dem mmbayaaaaaaaa brown na lukamba hawana akili
Mbona kama umevaa heleni kwenye ulimi 😮
Kumbe ni Men sio Man 😅😅
I love my men😂😂😂😂
Bora usije hivo kuliko mawigi
Cecy was the best
So uongee kiswahili fasaha
Si ulikua unachamba ww kama unahudumiwa na kulamba umepewa duka umepewa cm kumbe ulikua unafanya wewe😂 nyie achanenj na maisha ya mitandao uongo mtupu
😂😂😂😂😂😂
Ongera du mnamoyo unabeba majukumu yake unafanya wewe unagaramia mwanaume km mkeo
Ushauri wng acha kuoga sasa
Anaswali vp sasa na ayo manywele na Hali ya kua amefunga
Yani marasta ameongeza na makeup tena kichwa wazi.... SubhanAllah mungu atuongoze wanawake
Saumu gn hapo ilopanda MNAFIQ ww mbichwa wazi.
Halafu hujamuuliza kuhusu ile ex Kwa mange
Alivokuja nguo zake alikuja nazo mkononi acha ushamba wwwe mwanamke ulimnyanga nguo alokuja nazo kisa katoka navo kwa sesi
Lukamba punguza kucomment unachapia sawa😅😅😅😅
Mwanaume hazarawishi hivo ,turiya wewe mwanamuke .ubora ukaye kimya.
Na huyo uliyo nae ajipange kutangazwa
Vijana tutafuteni helaaaaa
Wewe unaongea Sanaa unaonekana bado unamaumivu mnooo
Wewe dada unavyo ongea vitu hazarani hivyo haipendezi wanaume watkuogopa
Bora wamuogope ttu
Kulea wanaume ulee wewe afu uje kujiongelesha hapa
Kumaninazakoooo alikuwa Hana pakulala nyooooooo
Alimtendea vibaya cecy alojitoa kwa moyo wa dhati akayabeba yote adi akafunga nalo ndoa likamlipa shukrani ya punda leo zamu yake kudhalilika na atawakumbuka walopita nyuma atajua walibeba yake mazito kiasi gani
Huyu demu anae Hoji nime somanae Kilwa masoko Kweli maisha usimkatie mtu tamaa Tena Akijiita Ambarosee Kishule shule 😅😅
HUYU NAE AKALALE ANACHOSHA KUTWA LUKAMBA LUKAMBA
Huna akili wewe
We kicheche wengi Na wenzie maana Yake Nini?
amberose 😂😂
Unatafuta kiki ww
Lukamba ni chizi