Madhali umetinginywa na chizi lazima uzae na chizi. Nawe ni chizi. Hiyo kuvunja vitu vya ndani bila sababu ni uchizi huo. Kuvua nguo hadharani ni uchizi huo.
Luka Ana mkewe tena mziri ajabu Hana shobo wala midandao na Ana hela na zile hela uloziona ndio kakabidhiwa juzi tu wala sio ya zamani Ila kaambiwa asijitowe sura yake kwaajili ya husda maana kupata mwanamke anojiheshim na maadili pia pole yako utazidi kukonda nyau wee😂😂😂
Kutwa kufanya media Tours lini umeumwa ww acha mhaho unajidhalilisha tu unaonekana mshamba haswaaa loh😂😂😂
kazi kazi
Acha kujichosha move on dada
Nilichokigundua huyu pendeza anampenda sana Lukamba ila hana jinsi
Yani Kama ulokuwepo Ila Lu hataki hata kumuona wallah tena dah anafoss umaarufu tu
Linapenda umaarufu hadi linajidhalilisha kuuza connection zake, mwanamke wa hovyo kabisa
Hawa wadada mtihan wakipenda a huwaambini kitu ,wakiachana siri nje nje,
Bonge la mshamba,haujui huu mji vizuri time ll tell you na utakuwa kwenu Mwanza ukilia kwa majuto😅
Jamani mbona ramadhani kareem jamaniii wapendwaa hili tumelimaliza haya tunasubiri mwengine nipo kwenye ndoa nimetulia kuangalia za wasanii kuoa kuacha nipo tuu
Mitishamba Imani
Cecy alisema pia kama lukamba anamdomo😅😅
Mhuuu huyu dada hatari
Kwahyo mpka judge ulimuhonga…??? Iv unawajua TAKUKURU KWL?
Kwaiyo uyo dada hanatwambia makamani Kuna rushwa jamani
Huyo huyo chizi ndio ulimpenda na ukapagawa nae
This is not good🤦♀️ tenda wema nenda zako wachakutowa siri zaa Ex wako pia yeye alikua na mazuri wake poo
Madhali umetinginywa na chizi lazima uzae na chizi. Nawe ni chizi. Hiyo kuvunja vitu vya ndani bila sababu ni uchizi huo. Kuvua nguo hadharani ni uchizi huo.
Ndo ujufunze hivyo v Ben ten vinarudisha nyuma
Huyu haishi matusi jamani
Luka Ana mkewe tena mziri ajabu Hana shobo wala midandao na Ana hela na zile hela uloziona ndio kakabidhiwa juzi tu wala sio ya zamani Ila kaambiwa asijitowe sura yake kwaajili ya husda maana kupata mwanamke anojiheshim na maadili pia pole yako utazidi kukonda nyau wee😂😂😂
M2 mxuri ni aliye org.Hapo cjaona.
Uyu Dem mpuzi sana
😂😂😂😂😂 Haya lukawize
Usimvue nguo hivo mwe,
Wewe demu acha uozo wako uko
Kicha wewe shenzi