Nimeangalia mpaka mwisho ili niweze kutoa maoni sahihi. Ujumbe mzuri sana... sana.... saaaaana... tabia za kutembea na wake za watu, dada wa watu, wame za watu imekuwa jambo la kawaida. Film kama hizi zitawapa funzo baadhi ya watu watakaokiwa wamejisahau ❤❤❤ Film za namna hii zitolewe nyingi ❤❤❤
Much love from kenya 🇰🇪 hili ni funzo kwa wanaume na kwa wanawake ila na sistiza saana kwa wanaume na pia kwa jamii mwisho wa ubaya ni aibu wanaume mumezidi kunyasa wanawake wanao mpenda kwa dhati na kuwapa maumivu makali ya kumfanya mwanamke achukie mausiono ❤❤🎉🎉🎉
USHAURI KWA WAHUSIKA WAKUU, mujarabu kuangalia nyakati na maeneo wakati wa kurekodi, kipande ambacho inatoka sauti inayoashiria imamu anaswalisha msikitini haikustahiki kuingia ktk video hii na inaweza kuleta taharuki, ushauri wangu jaribuni kuwa makini mnapofanya shooting kwa kukwepa matukio yanayoweza kuingia ktk filamu zenu kwa aidha iwe sauti au picha. NI USHAURI SIO AMRI

Asante kwa ushauri sio wengine wanagombea like badala ya kutoa ushauri
@@رقيهالخصيبي shukran sana ❤
Sengo umependeza na hio thwaribush❤#kakoso unatufunza sana kazi ni nzuri Mashallah🎉🎉🎉Mola Azidi kuwaongoza
ila huyu sengo nampnda sana.sengo naomb unijbu❤❤❤❤
Nikujib mm badala yake
Kazi nzuri director @kakoso uko vzur sana
Wakwanza from 🇲🇿 naombeni like zangu
Nafurah kumuona mzee was shebeleshebel
Kakoso akili nyingi sana 11:53 🇧🇷 nikiwa huku ushenzini full starehe tymalizie snack boy bana
hili n funzo zuri sana kwa wote si kwa mwanaume na mwanamke ahsnt director ila sengo ukivaa kofia unapendeza
🎉🎉🎉🎉🎉🎉kagoso from mozambiq
Much love from kenya 🇰🇪 hili ni funzo kwa wanaume na kwa wanawake ila na sistiza saana kwa wanaume na pia kwa jamii mwisho wa ubaya ni aibu wanaume mumezidi kunyasa wanawake wanao mpenda kwa dhati na kuwapa maumivu makali ya kumfanya mwanamke achukie mausiono ❤❤🎉🎉🎉
Kaz nzuri
Hongera kaka kazi iko poa, mungu azidi kukubariki ktk kazi zako
M wapili from Kenya
Dada pole mume huna hapo huyo mtu wa totozy tu bila ya 3halali looh
Latifa nakuona udydy❤❤
Wa kwanza like zangu jaman
Duuh kweeli
Kinanda kinakera
Sana
Mashallah
Ila kuna kelele
Sauti
😅😅
❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
USHAURI KWA WAHUSIKA WAKUU, mujarabu kuangalia nyakati na maeneo wakati wa kurekodi, kipande ambacho inatoka sauti inayoashiria imamu anaswalisha msikitini haikustahiki kuingia ktk video hii na inaweza kuleta taharuki, ushauri wangu jaribuni kuwa makini mnapofanya shooting kwa kukwepa matukio yanayoweza kuingia ktk filamu zenu kwa aidha iwe sauti au picha. NI USHAURI SIO AMRI
,,🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉