Msiri WA Msisiri one amongst the best actor in hard scenes ever . Kiufupi kasoko umeupiga mwingi kumtafuta huyo Mzee ktk hizi film zako. Huyo ndio role model WA waigizaji wengi ktk magician scenes 🎉
Ni mshabiki kutoka kongo,nasapoti uujamaa aliesema kuhusu mouvies za kishirikina.inabidi ku change Pia za ki Mungu,itakuwa Bora zaidi.asante kwa kazi nzuri,awabariki Mungu
Kakoso una akili sana ya kutengeneza film hii kazi naona mbali sana kwa namba ilivyo anza tunao mkubali kakoso gonga like hapa
Nipo nasijacelewa 😊😅
❤❤❤🎉🎉🎉 another block buster..heko kwako kakoso
Tunakupenda sana kakoso wana dodoma naombeni Like🔥🔥🔥
Msiri WA Msisiri one amongst the best actor in hard scenes ever . Kiufupi kasoko umeupiga mwingi kumtafuta huyo Mzee ktk hizi film zako. Huyo ndio role model WA waigizaji wengi ktk magician scenes 🎉
Kama unamupenda Mungu kuliko iyi séries ya BLACK DAY nipeni like
@@AsifiweImani huko ni kutaka like kwa nguvu mie nampenda mungu kuliko nnavojipenda na like sikupi
wana vihele hele na hizo like utafiikiri zinawashibisha
@@SheikaYussuf sheika Yusufu kumpenda Mungu ndio furaha yangu hata mimi sikupi like ila non nitakupa mimi siko mchoyo
@@AsifiweImani hahahaaaaa usilie bureee chukua like
@@AsifiweImaniUmefata nin huku
Mzee msisili nampenda Sana mungu ape maisha marefu Baba yangu❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Kama unamwamini bwana yesu kristo kua mokonzi wa maisha yako basi sema like amen
@@Shukuru2535 unapenda sn like munaziuza izo like ao je ila mm ninamuamini sn
Safi sana director kakoso mungu azidi kukuinua
Yea nakubali sana kazi zenu wazee .simba na masimba sengo
Uhakik wadau wa super genius kakoso master tunadil na hii mwanz mwixho BLACK DAY baad ya kakos kuonelew kweny mpangaj kaamua huk awe ngugwa 😂😂
Kama unaamin tumeanza movie yetu salama na tutamaliza salama kwa uwezo wa mungu like hapa❤🙏
Inshallah tutaimaliza tukiwa salama❤
Nyinyi munapenda sana movie ya kichawi sana lakini ata siku moja munafanya ya ku Mungu
Kicheke unazingua sana😂😂,Hira kitakuramba utashangaa sana 😂😂😂😂
Congratulations Mtoto WA msiri msisiri Odama ,lazima uolewe na Mtoto.....kakosa tunataka vitu kaa hizi 254
Siku nyeusi 😢😢😢kazi nzur ila jina linanitisha 😂😂,skuzi kakoso umekua kigagula mzowefu hongeren sana 🎉🎉🎉🎉
Mashaallah kazi nzuri sana❤❤❤❤
Mambo n moto ongera kakoso🎉🎉🎉
Started together and with God's favour we would finish....piga like tukisonga from mombasa kenya
Nakukubali mno kakoso haujawai kukosea Simba la masimba sengo na mzidole mzee wa miuno mgando
Asante kwa kazi zenyu nzuri,,nimejifùnza mengi kutoka kwenyu❤❤❤from kenya
Kazi juu ya kazi❤❤❤❤
Mpya kabisa ❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Kazi ni yamoto sana ila niseme tu asante sana mungu awabariki🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏👏👏hila kakoso?
Wacha 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤maua yako kakoso hayoo
✌ *Mamba, Du!. Mbamba, Du!. Mimi ndie Msisi wa Msisili katika aridhi hii ya Mbambadu* 😂
😂😂😂😂 kitaaaambo sana
Nyinyi munapenda sana movie ya kichawi sana lakini ata siku moja munafanya ya ku Mungu
Kakoso kwani ulikua unataka akaulishe nani??na Kwa hiyo nyumba mko tu wawili 😂😂😂 kumbe wewe mwanga kakoso ausio 🫣🤣🤣🤣
Sema hii kalata yakakoso angeicheza mzee wamishenyento ingependeza zaid😊😊
Hapan kw nilichokiona kwenye siri ya mgeni ni dhahiri kwamba inamfaa kakosa
Nimefurahi kumuona mzee msisiri
Waliofurah kumuona mzee Msisili tufurah 😂
Kakoso. Kakoso kakoso. Nimekuita mara 3 brother tunakupenda sana. Huna mwenza ktk hii industrie
Nakukubali sana kakoso
KAZI mpyaaa na nzuli sana❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri
Safi sana Kakoso kwa kumridisha Mzee msiri hewani mungu akutangulie ufike malengo yko🤲
Mombasa to Kenya naikubal Sana sengo 🎉🎉🎉
Kazi zenu ni nzuri sana ❤❤❤❤
😮 mzigo mpya naona pamoja sn
Kicheko ukuu makabulini yeye alikuwa anafata nn atashenyetwaa😂😂😂
Akiwemo mzee msisiri mwenyewe 😂❤❤hongereni
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤Naona mambo mapya 🎉🎉🎉
wa kwanza Leo nipeee likes kutoka Kenya
Baba yangu KAKOSO katuletea kitu kipya tukae kwa kutulia macho tuelekeze uku kweny hii channel❤🇧🇮🇧🇮
Duu hii n zaid ya moto kaz n nzur sana ❤❤❤❤ 🎉🎉
Huyo jamaa WA mishenyento mwambie abadilishe shati na kofia tafadhali 😂😂,,, otherwise nawapenda Sana from+254 Nairobi 😅
Kakoso umesha haribu mambo😮
Hawa jamani bona unaanza kuvua nguo nyeudi badala ya nyeupe
Naona sasa Director ana directiwa kazi kubwa sana boss
hakuna story zaidi ya uchawi kakoso
Mbona mnapenda movie za kichawi si mbadilishe angalau
Muha huyo
Waliofurahi kumuona msisi wa msisili ndani weka like apa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤Naona mambo mapya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kakoso natimu yako nawakubali sana km ninavyo mkubali Clam
Hongera kwa kaz mzuri
Chuma hichoo😂😂kimetinga🎉🎉🎉🎉🎉mwamba kakoso kaluka nabland huku🎉
Ni mshabiki kutoka kongo,nasapoti uujamaa aliesema kuhusu mouvies za kishirikina.inabidi ku change Pia za ki Mungu,itakuwa Bora zaidi.asante kwa kazi nzuri,awabariki Mungu
Msisi wa msisili much love mzee wetu❤❤❤❤❤
Mwaxi nakupenda xana
Bismillah
Likes nying kwa mzee msisi wa msisiri >>>>
Msisiri ndani nyumba bilashaka itakua zaidi ya Movie 😂😂😂
Movie nzur sn 🎉🎉🎉
mwezi wa pili huu director atuoin the big bosi
Mzee msisili ndani yanyumba❤❤
Kakoso siri ya mgeni vp ep 2
Kenya tupo ndani
MAASHALLAH. TIM VEVO MUSHAZIBA PENGO LA KANUMBA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mbwela asikose kweny hii movi
Saidi komba mwenyewe nipo apa mwanzo mwisho
Sengo badilisha nguo kila kazi nguo hizo hizo😅😢
Movie baada ya lingine. nashukuru kwa vile manajituma sana nyie kwa pamoja mkiwa kikundi
Jamani Léo nimewai
Kwa series tenaa
Unanifurahisha sn kakoso❤❤❤❤❤
Mzigo uwooo❤❤
mzee sengi tumekuchoka na hizo nguo/kofia
Mumehanza vizuri sana
Onesheni utofauti kidogo
Namuelewaga saaaana HAWA
Mie shabiki mkubwa wa kicheko nakukubali sana kaka
Namwamin sana kakoso
Naona kazi nzuri
Mzee msisiri welcome to the game again 💯
Uyu mke wa kakosa anajua sana KUIGIZA
Mpeni LIKES zake
samahani kwa sawli nitakalo uliza
kwann mnapenda kutoa movies za kichawi sana maana asilimia kubwa naona zote zina husu uchawi
Kazi tunayo yaani ukiuliza majibu hawatoi
Waaah kakoso hii Kali sasa❤❤
Kakosa nmekuchoka na move zako za kijini Jin Kun mamb kibao dunian yakuelimisha co Majin too peke yke jitaid ubuni vitu tofaut bc
Mzee msisili❤❤❤❤🎉
tumeipokea kwa mikono miwili toka mpangaji to Black day 🤲🥰
Wa kwanz from Malaysia 🇲🇾 km tunaamin hii movie itakuwa hot tujuaneee
Haha😂😂😂 huk kuna kicheko,kule kuna shedafa, na kwingine kuna kipara😂😂😂😂
Mzee msisi wa msisili
Br boresha kamale na changanya wahusika
Kumekucha 🎉🎉🎉
Pamoja sana kakoso
Kakoso nakukubali saana
Keep it up bro
Asant❤❤❤
Jaman nipen Leo wa kwanza mimi
Kaz nzur mungu akubarik aweke mkono ktk kila kaz yk mm nishabik yk mkubwa sn!!
Sultan#Msisili🎉🎉🎉🎉
NAMI nimeianza hii na nitakuwa nanyi mwanzo mwenga