Bonge la kazi yani iko juu sana.. ila niungane na wachache wanaokosoa kwene umaliziaji.. umekokota vizuri mpira ukawachambua wapinzani hadi unabaki wew na nyavu.. tatzo umefunga goli la mkono.. all in all good job
Kwa kweli pongezeni sana ndugu zako ,kweli movie imekua nzuri Sana tena yenye mafunzo makuu zaidi nawafuatilia sana kotoka kwenye snake boy na tuko pamoja mungu awajalie maisha marefu ili wendelee kututumbuisha na kutufunza asanteni kutoka 🇰🇪 kenya
Kazi nzuri...ila kizungu cha Kipara ni ukwaju tu...Bora angeongea tu kiswahili😂😂😂. Zatiti alikuwa mshauri mbaya Sana kwa Sandra .. Thank you for the amazing piece of art .
😅😂😅😂😅😂😅😅 kiukweli mim sinahuruma na mwanaume yeyote 😅😂😅😅 yan nawachukia sjui kwanin nataman hata nikitoka nisione mwanaume hata mmoja huko mitaan paka nirud hivyo kwanyumba
Bonge la kazi yani iko juu sana.. ila niungane na wachache wanaokosoa kwene umaliziaji.. umekokota vizuri mpira ukawachambua wapinzani hadi unabaki wew na nyavu.. tatzo umefunga goli la mkono.. all in all good job
Ktk hii movie nimemkubali sana kipara ametoa mafundisho makubwa sana kuhusu wanawake bw kipara kazi nzuri sana mungu atakubariki ktk kazi zako zote
We kipara na icho kizungu chako unanikosha kW qwel,,,,great job guyz keep it up,,,
Kakoso hajawai kuniangusha we ndo goat wa madairector wote big up sana kaka mungu akupe umri mrefu.
Ameen 👏
@@directorkakosobig director fundi kabisa...naomba uwe unamaliza move
Kipara na kizungu,wapi na wapi😂😂😂
First person kakoso nipe like 🤲 Nairobi 🇰🇪🇰🇪 ndanii
Aaa 😂 how kipara kaongea kisungu😅😅😅
Mzuri sana... Huyo kipara Ana kingereza chake cha ki Asili cha nyumbani 😂😂🥰
DIRECTOR KAKOSO NAKUKUBALI SANA 🎉🎉🎉
Team mbwela hongereni Sana kwa filamu nzuri ❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakukubali sana director wangu kakoso pamoja n bravo the genius and mr kipara ,mbwela star💥🔝
Fuzo zuri sana mwanamuke pubafu wa bomowa yumba yake kwamikono Yaki mweyewe🎉🎉🎉
Kipara nakutakia maisha marefu😅😅
Kumbe huku anajiita kipara Wana man
Hii movie inaelimisha kweli asanteni sana kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 nawapenda ❤❤
Good job..movie nzuri sna imetulia
Move nzuri nimeipenda ❤❤
Mbwela huwa ni mkali dada😂😂atakupigaaa usimjibu ivo
"BUTUA" bn ett washa moto ucku 😂😂
😂😂😂Yan ww kipara jamn haya tuwaheshimu wanawake na pia tuwaogope wanawake ndo jawabu kbxa😢😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ Asanten xan
Kwa kweli pongezeni sana ndugu zako ,kweli movie imekua nzuri Sana tena yenye mafunzo makuu zaidi nawafuatilia sana kotoka kwenye snake boy na tuko pamoja mungu awajalie maisha marefu ili wendelee kututumbuisha na kutufunza asanteni kutoka 🇰🇪 kenya
We kipara acha kuchekexha bn "UNG'ENG'E" unakutoka tu😂😂
Safi Sana kuna chakujifunza aliesema mwanamke kiumbe dhaifu alikua usingizi
Kazi nzuri...ila kizungu cha Kipara ni ukwaju tu...Bora angeongea tu kiswahili😂😂😂.
Zatiti alikuwa mshauri mbaya Sana kwa Sandra ..
Thank you for the amazing piece of art .
Hii movie immenda shule. Kakoso naomba uboreshe tu upande wa sauti
Aaaanh wap nanyie dhaifu mfano wake ni huyo aliejipa kesi kisa mapenz🤣😂
Yan huyu sandra ndo kiungo kikubwa kweny hii movie jamn tuwahurumie wanaume ak ❤❤❤❤❤❤❤❤❤hongereni xan kw bonga la movie 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😅😂😅😂😅😂😅😅 kiukweli mim sinahuruma na mwanaume yeyote 😅😂😅😅 yan nawachukia sjui kwanin nataman hata nikitoka nisione mwanaume hata mmoja huko mitaan paka nirud hivyo kwanyumba
4rom kenya here❤ love kwenu big up snaa➡🔝
Kipara 😂😂😂 your people going as if tomorrow
Your relax congratulations 😂😂😂
😂😂😂😂
Sandaa wakwanzaa nauyuu tofauti nan kaona
Kipara ameamua ni kingereza tupu😂😂😂😂
Yaani kipara aachagi umbea😮
Wa star wa clam Vevo courages sanaa
Ila huku Kenya kipara😂😂😂mzungu
Wow good one
Tuna upgrade. Tulitoka kumamake, tukaenda kubaabake, tukaenda kudaadeki, sasa hivi tupo kudadadamu 😂😂
Kazi nzuri sana inaelimisha hongeren sana.
Kipara kuadi sana
Movie nzr sana 🎉🎉
Gostei muito com vosso trabalho 🎉🎉
Safi sana......!!!
We kakoso umepigaje hapo
Kipara na kisungu hicho duh,,😂😂😂😂😂100,1%,,
Kazi nzuri sasa
Best naso wana wake wabaya🎉🎉
Kizungu cha kipara duh😂😂😂
Kaz nzur bro 🎉
Kazi mzuri sana
Nimeipenda sana hii movie ❤
Kinge cha kipara 😅😅
Mwanamke Mpumbavu Uvunja Ndoa Yake Kwa Mikono Yake Mwenyewe Aya Jipange Ila Ssi Marafiki Bwana
Ubaya ubwela😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉😂😂😂
Kwakweli movies ina mafunzo.👌
Mbweha muongo sana🤣🤣🤣🤣🤣
Eeeeeh aujourd'hui aujourd'hui aussi ce notre jour 😂😂😂sheilah😂😂😂 wafatiliaji 😂like basi kama unajuwa iyo kauli
Mko vizuri next plz
Kipara ...kazungu sielewi 😂tamka polepole tuendane,,, tuletee umbea kenya 🇰🇪❤❤
Kakoso Hii kazi ikuje baada ya snake boy....
❤️❤️mko vzr sana
Keni wi muvu zea plizi😂
Kipara hicho ni kingereza au ninini😂😂😂
😂hio talaka ama barua
kazi nzuri sana director
From Kenya 🇰🇪 mombasa....
Kaz nzur xan washiriki ❤❤❤❤❤❤❤❤Masha'Allah
Wanawake wote mlokuwa hamjaolewa na mlokuwepo ktk ndoa chukueni mafunzo ayo haya mambo yapo sana ktk jamiii yetu
Bwela 😂mkuki kwa nguriwe kwa binadamu uchungu😂😂😂usiwe na hasira 🙌
Director Kakosa Hiyi Niyenyewe Kbs Upewe Wauwa Yako Babaa
Mh kiingereza Cha kipara kinaniacha hoi jamni kah😂😂😂
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya we love you ❤you really entertain us 🎉
Kipara unazingua sana😂😂😂
Mla Cha Mweziwe Na Chake Uliwa Bwela Tuliza Mshono Ulivokula Cha Mwenzio Ulitegemeya Nni😂😂😂😂😂😂
Kaka we wamoto mungu abless mikono yako
Ameni
Kingereza cha kipara typing and deleting 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hicho kiingereza cha kipara kinanifurahisha sana😂😂
Napenda sana mwasi akicheza sehemu ya uchawi anacheza noma sana
Waaah kipara na English 😂😂😂
Umenotice pia😂😂😂😂
Tuko ndani, ndani, ndani....!!!
Mh huyu mwasi Zaid ya polic yupo makini na ndy mana nampenda
Bwelaaaaa inauma eee
❤❤❤❤❤❤Mbwela mbwela mbwela eti mkuki kw nguruwe
Kakoso hapa umenichanganya kunavitu sija vielewa
Nakuona zungu kama haji manara
Nice bongo movie
Ila kipara hapa umekuwa kiakili kwa kweli
Wanawake ni viumbe dhaifu 😢😂 dah ila siyo wanawake wote ni dhaifu
Kwakwel ukiwa umefatilia mwanzo mwisho basi nakama umejifunza vitu vingi kulingana na hii movi NIEKEE likes apo❤ bt hongeren kwa kazi nzur❤🎉
❤❤
Dah respect sana kakonso
Ila kizungu mwachane nacho😅
good movie
😂😂😂is the English for me😅
mr kakoso huwa unatumia akili nyingi sana,,,hongeqra kwa hilo na nimejifunza vingi mnoo
🙏
Tuichi nao kwa akili😂 Wana ume ama vipi like basi
Mimi ikiweko nimejifunza mengi
Wana ake bana kweli tuishinao kwa akili
Kipara Wana man
😂😂😂😂
😂😂Yaan kipara wewe English ss Aaaaaah unanishawish kbc namimi niende English Toking 😅😅😅
But All in all films mafunzo juu ya mafunzo so sweet ❤❤❤❤
Kipara unajua sana sio umbea tu hata kizungu nimeenjoy sanaa😂😂😂
Kipara jaiva😂😂
Video safi sana ningependa kujiunga nanyi kakoso naomba unitafute unifunze episod ,napenda movies zako sana.
Mmmmmh yang macho😮😮😮😮😮
❤