BARABARA YA KIBADA - MWASONGA KUANZA KUPIGWA LAMI, WAZIRI BASHUNGWA AKAGUA ATHARI ZA MVUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @MuddyZege
    @MuddyZege 7 หลายเดือนก่อน

    Njoo majohe viwege ni shidaaaa

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 7 หลายเดือนก่อน

    Mh kwanini barabara za cement concrete ni bora pia na huduma sanaa lakini mnanga'nga'nia zikijengwa vizuri ni huduma mda mrefu

  • @MayaMisigaro
    @MayaMisigaro 7 หลายเดือนก่อน

    Kampeni zimeanza?
    Au ni tuliza toto?
    Barabara hiyo ina miaka na kila mwaka ni ahadi.

  • @mkongofundi4828
    @mkongofundi4828 7 หลายเดือนก่อน

    Wazii tunaomba uje mlamleni hatuna daraje walijenga ya mbao yote yamevunjika tunapata shida hatuna wakutusadia watu wakufa

  • @mkongofundi4828
    @mkongofundi4828 7 หลายเดือนก่อน

    Wazili tunanaomba uje mkulanga mlamleni yote hana madaya haina dalaja watu wakufa hatuwaoni viongozi hatuna msada tuko kabusana na mbagala lakini ukija utalia hatunana pakukimbilia tunamba msada wako wazili laiyo mwema asant