Nilianza BIASHARA na 16,000 sasa nina zaidi ya MILIONI 300/USHIRIKINA upo kwenye BIASHARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe TH-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

ความคิดเห็น • 8

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu hayupo kaka fabo?? Katika siri zako kaka...mungu kwanza,,alafu mambo mengine yanafuata..apo unejisahau bila kumtaja mungu fahafi

  • @paulmarius8050
    @paulmarius8050 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa baba yake ni tajiri sana pale zanzibar nyumbani kwao kuna mpaka zoo,sikia sasa anavowapanga watu kwamba alianza kuuza ubuyu na mtaji wa elf 16 😅😅

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukiskiliza story za hawa washkaji unaweza ukajiona huna maana kabisa mtaji wa 16000/=

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂 bongo bana mtajia wa 16000/= hadi 300M mauongo matupu

  • @focus140
    @focus140 58 นาทีที่ผ่านมา

    hongera

  • @JusamaJunior-nw3ot
    @JusamaJunior-nw3ot 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Madini mengi sana

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Moja kati ya wapumbavu kabisa ni watangazaji na wajinga kama hawa wanaosema nilianza na buku au hela ambayo ni ya chini.
    Hivi wewe ukipewa elf 50 ufanye biashara, utaweza kufikia viwango hiko kwa muda wa miaka 10?
    Hua mnaongea mkiwa mmelewa au mnaongozwa na usenge gani

    • @hijamaulidi7382
      @hijamaulidi7382 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kila kitu ni malengo na mipango. Ukishindwa kufanya Jambo kubwa bas Fanya Jambo dogo kwa ukubwa. Watu wanaanza biashara