PAWASA AWAPA MAKAVU KIBU NA CHAMA WATULIZE VICHWA/YANGA WATAFIKA MBALI SANA/ENG HERSI NI MFANO MZURI
āļāļąāļ
- āđāļāļĒāđāļāļĢāđāđāļĄāļ·āđāļ 11 āļ.āļ. 2024
- JISAJILI NA KUSHIRIKI PROMOSHENI ZA ROYAL SPORTS NA ROYAL WIN KUPITIA LINK HII ð pmbet.co.tz/en/auth/signup?ut...
NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA TOYOTA HARRIER NA NISSAN X-TRAIL
TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE TH-cam CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU
INSTAGRAM @pmtvtz
TWITTER @Pmtvtz
TIKTOK @officialpmtv
Pawasa nimekuelewa Kwa ushauri mzuri sana bro
upo sahihi kabisa pawasa ,viongozi wetu siyo wanachama wa simba nandiyomana wanatuangusha Sana,SIMBA NGUVU MOJA âĪâĪ
Upo sahihi, timu zetu zitengeneze wachezaji vijana huko mbele watakwama
Kweli kabisa
Kwani huyu Pawasa ametokea nchi za nje au! Maana kingereza ni kingi kuliko kiswahili
Upo sahihi beki letu
Naimisi sana simba Ile
Ukisikia tu Juma k juma, santer half Pawasa. Zamaleki hawatawasahau
Pawasa mbona kwa Fei hamkusema abakie yanga?why?kwa kibu?mwacheni kibu spare pesa nyingi jangwani.
Mzee kingereza acha kitakuharibia.kiukweli kinakufanya utoe mahesabu sio.kuna maneno yakingereza pia unauaongea ambayo yanapoteza maana.
Asante pawasa anajua mpira umesema kweli
Mzee hicho kizungu unachochomekea sio kabisaðð
ð ð
Mi ni shabiki wa yanga ila nimekubali sanaaaa ushauri wako Kwa kibu na wachezaji wengine shida ni Elimu kama kina FEI Huwa hawajitambui
Fei sio kwamba hajitambui anajitambua ila fei amefuata masilahi co mbaya
@@KomboKhamisi-fj1ny sawa maslahi kwann hakufuata taratibu za kupata hayo maslahi yake ndo kutojielewa huko
â@@KomboKhamisi-fj1ny Basi na kibu anaweza kufuata maokoto