Viongozi was yanga muwasaidie hawa wazee wanaojitoa sana kwenye timu, yaani huyu mzee anaishi hivyo. Hiyo misaada mngemtengenezea huyo mzee nyumba na kumuwezesha kimaisha
Haaaah haaaaah haaaah.. Wee jamaa bwana unateseka kiasi hicho kisa Mzee PMpili.. !!?? Eti mda wao umeish vp wewe muda wako bado unao mwingi sana kumbe..!!?? Ila hongera maana una muada mwingi
Kwani ulitumwa uangalie si shobo zako ww Mungu mpk useme muda wake umepita unaweza ukamaliza mud wako ukamuacha mzee wa Watu kifo mipango na akili zako fupi
Hatimse nimekua wa kwanza leo naombeni like 10 tu
Salute ya kïñg kiba 🔥🔥🔥
Dah Mzee akijua ishu y'ako umekwisha anaweka hadharani
Inamana pesa ya manara imeenda saidia ulizi 😂😂ila yanga muwezesheni mzee mpili ona anavyo msifia manara!
Mi shabiki wa simba ila uyu babu nampenda sana
Mzee nimekukubali
Kumbe manara anapiga pesa Azam....Simba anazuga tu... 🔥🔥🔥
Manara Kama atamuongeza m 1 Tena mzee anahamia simba
Haaa sana
Kabisa 🤣🤣🤣
👏🏼👏🏼👏🏼
Natamani huyu mzee angekuwa babu yangu nicheke kila siku.
Kweli Yani 😁😁
Jenga nyumba mzee
Mzee anaikubali Simba ni hatar
Mzee mpili
Unatupotezea MB nyingi nduguyangu
Umeombwa uangalie
@@hellenewillamba78 et bwan
Nibia na promosesi 🤣🤣🤣🤣 adi nimecheka kwa sauti
Mzee mpili anaongea kwa utulivu sana..hahaHH
Viongozi was yanga muwasaidie hawa wazee wanaojitoa sana kwenye timu, yaani huyu mzee anaishi hivyo. Hiyo misaada mngemtengenezea huyo mzee nyumba na kumuwezesha kimaisha
Huyu mzee mpili ndo tegemeo kubwa lililobaki kwa mashabiki wa yanga.
😂😂😂😂😂😂😂
Fact
Huo msemo bado upo huko
😂😂😂 upupu
Mzee anaiogopa Simba ila mashabiki wa uto wanajifanya hawaiogopi
Elewa alichoongea mzee wewe acha upuuzi pumbu la nguruwe wewe
@@chenyakwihela1637 😂😂
Million moja tu tayari ana mabody guard 🤣🤣
HahahahahahH
Mzee hela si ulisema unaipeleka shamba
Vija wamujini wameshindwa kumunyamanzisha manara Ila mze mpili amejaribu
Jamani naomba tumchangie babu apate japo godoro
@@kassimchogo1147 tuma hiyo hela 0684290045
@@mrsinia3064 namie ntatuma ya kabati
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Manara simba kakaa kama kanyaboya hahahaha
Milady ayo tafta abari., achana na awa wazee mda wao ushaisha., sipendi wazee wanaopenda soka iliahili mda hawana tena
Haaaah haaaaah haaaah.. Wee jamaa bwana unateseka kiasi hicho kisa Mzee PMpili.. !!?? Eti mda wao umeish vp wewe muda wako bado unao mwingi sana kumbe..!!?? Ila hongera maana una muada mwingi
Umeongea bonge la pumba
Na yeye ndo anajifariji unataka akae ndani Kama sanamu fikiria iyo no hobby yake boya wewe
Kwani ulitumwa uangalie si shobo zako ww Mungu mpk useme muda wake umepita unaweza ukamaliza mud wako ukamuacha mzee wa Watu kifo mipango na akili zako fupi
@@annahpsimon1156 umeona eeh