MPAKA HOME KWA MFANYABIASHARA wa KARIAKOO ANAYEPIGA PESA NDEFU, AMTAJA RC CHALAMILA na Kumshauri...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji pole pole tafadhali usiwe mwenyeji sio utamaduni wetu

  • @ramadhankombe2643
    @ramadhankombe2643 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji anaonekana waruwaru sana,yaan hajui kumhoji mtu yupo resi sana.ajifunze kupitia wanaojua.

  • @jacklinmacha2964
    @jacklinmacha2964 ปีที่แล้ว +1

    Jamn achen majungu mtangazaj yuko vizur sana bg up broo kaz yoyote inahitaj uchangamfu mfatilien vizur utangazaj wake akiwa msiban anatangaza kimsiba yuko vizur sana

    • @rashidikanyama2357
      @rashidikanyama2357 ปีที่แล้ว

      Jamaa mchangamfu sana usiriasi mda wote sio mzuri

    • @masturasudi7394
      @masturasudi7394 ปีที่แล้ว

      Yuko vizuri, sisi binadamu tunamatatizo

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm ปีที่แล้ว +3

    Huyu akajifunze utangazaji ,,Ethics za utangazaji bado sana pamoja na lugha

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji Kawa mwenyeji eti tukae hapa badala wewe ndo uambiwe karibu ukae😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @florianmwaibabile2541
    @florianmwaibabile2541 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ni papaa mkongo sio mtanzanzania nadhani😢

  • @florakitio646
    @florakitio646 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji mbona hivi jamani, ustaarabu zeroooo

  • @karimjuma4019
    @karimjuma4019 ปีที่แล้ว +1

    Kuna watu wanaela balaa kariakoo huyo mbna wa kawaida tu hata nyumba yake haishtui

    • @hassanmugire1497
      @hassanmugire1497 ปีที่แล้ว

      Acha wivu h

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 ปีที่แล้ว

      @@hassanmugire1497 hamna wivu ni kweli sasa hapo Kuna nn Cha kujitangaza ww wa wapi au hujaona izo mambo

  • @ramadhanichuma7925
    @ramadhanichuma7925 ปีที่แล้ว +2

    Watangazaji uchwara hawa eti ni kiti gan unapenda kukalia

  • @westmanmoses541
    @westmanmoses541 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ndo mdogo kweli???

    • @ambokileosward8850
      @ambokileosward8850 ปีที่แล้ว

      😅😅

    • @lililili5621
      @lililili5621 ปีที่แล้ว +1

      Ka maanisha mfanya biashara mdogo kwa manaana ya biashara ndogo ndogo

  • @andrewsese2813
    @andrewsese2813 ปีที่แล้ว

    UYO MTANGAZAJI ANA CHETI KWELI?

  • @2116-n
    @2116-n ปีที่แล้ว

    Mtangazaji punguza wenge, si uongee tu kawaida taratibu

  • @kashuradiocles1068
    @kashuradiocles1068 ปีที่แล้ว

    Jamani mmefika kwa broo