#UNABII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2021
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

ความคิดเห็น • 37

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante Mungu wa geardavie nakupenda sana kwa hakika👏👏👏❤️🌞🙏🇰🇪.

  • @hellenmanzi4740
    @hellenmanzi4740 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna vitu najifunza aiseee katika hii dunia kuna vitu si vyakulazimisha mengune ni ya Kumuachia Mungu tu

  • @sweetylyimo3462
    @sweetylyimo3462 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa hii madhabahu co ya kuichezea mungu yupo hapo,kiatu cha nabii ni sawa,mkono ni dawa ,Mtu hasimcheze baba nabii ,love u daddy

  • @eddyjuniortz2234
    @eddyjuniortz2234 3 ปีที่แล้ว +3

    God's power ,, amazing miracle🙏🏻

  • @otiliahaule5180
    @otiliahaule5180 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabii mkuu akisema huwa inakuwa tuache zarau wapendwa Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @midtown2628
    @midtown2628 3 ปีที่แล้ว +2

    If I lived in Arusha, I would come here regularly. I am drawn to these miracles.

  • @user-kc9cz5hw9w
    @user-kc9cz5hw9w 3 ปีที่แล้ว +1

    Shombe nabii jamani💗

  • @winniealbert5530
    @winniealbert5530 3 ปีที่แล้ว +2

    Halleluja Halleluja Halleluja.

  • @enjoiburahim5908
    @enjoiburahim5908 3 ปีที่แล้ว

    Jamani acheni kumkosoa mtumishi wa mngu mngu ndoo mkosoaji m acheni mngu ndoo Ana ukumu acha kuukum mtumishi wa mngu mngu ndoo Ana wajua

  • @kelvindaudi6765
    @kelvindaudi6765 3 ปีที่แล้ว

    Asante baba mungu ni mwema

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 3 ปีที่แล้ว +1

    Mme kaa si wako siwako ewe dada ungesikiza ujumbe haungekua vile sasa ona......hebu omba mumeo aje na Mungu atatenda

  • @paulsule9893
    @paulsule9893 3 ปีที่แล้ว

    Powerful dady, mbona nabii Mambo yake yako wazi tu jamani mungu atujalie nabii akikuambia Barbara ni hii wewe usichoronge ya kwako bgup dady

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @felisianathadei5403
    @felisianathadei5403 2 ปีที่แล้ว

    Baba maneno mengi kazikubwa baba

  • @edwinkorir9278
    @edwinkorir9278 3 ปีที่แล้ว

    God is more powerful..

  • @sarahmgaya9853
    @sarahmgaya9853 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 asante baba nimeupenda huo unabii wako baba kazi kwake

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว +1

    powerful baba

  • @titusrop7677
    @titusrop7677 3 ปีที่แล้ว

    This is powerful revelation, please respect the prophecy

  • @loya_media254
    @loya_media254 3 ปีที่แล้ว +2

    Uhakika wa mambo.Hamnaga chenga chenga

  • @hubertndyetabula4552
    @hubertndyetabula4552 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi nas tuguse kupitia media amina

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 3 ปีที่แล้ว

    Huwezi panda mbegu ili ushikanishwe na mtu asiye wako sababu hamtawai sikizana so dadangu songa mbele na Mungu akubariki

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 3 ปีที่แล้ว

    Hapo no kudanganya

  • @aburetalreginaelias2919
    @aburetalreginaelias2919 2 ปีที่แล้ว

    Duh,nimecheka kaamazuri,😂😂😂😂 shombe hakutaki,

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 2 ปีที่แล้ว

    Sema Geordavie huwa anajitapa jamani utafilili hiyo nguvu ni ya kwake

  • @edinafaustine1142
    @edinafaustine1142 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiki sio ki dini haki imekua mchzo

  • @carolinelucky9199
    @carolinelucky9199 3 ปีที่แล้ว

    Prayer the God 🙏🙏🙏🙏 Niko kenya namber

  • @alexjopata5756
    @alexjopata5756 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣 unabii umethibitika

  • @queenwilson5804
    @queenwilson5804 3 ปีที่แล้ว +2

    Mung Wang

  • @KukuVillage
    @KukuVillage 3 ปีที่แล้ว +2

    You killed them Psychologically since day One. From my Perception youth relationship have Ups and downs , as far as you predicted that they Will never last long, And they have allowed Satan to accomplish that. It needs Grace of GOD to bind them together.

  • @lesiamonsilita1436
    @lesiamonsilita1436 3 ปีที่แล้ว

    Aje kenya ataamulia hadi Rais😂