Ccm wamejiona kuwa kwenye kura hawashindi kazi iliyobakia ni kusema kura siku mbili ili wapate kuiba kura. Ccm haijawqhi kushinda ZANZIBAR ndio maana wananitungia sheria kwa maslahi yao.
@@OmarKombo-h2j Tena watulie Sana tu maana kama mwinyi alishinda uchaguzi mwanzo wakati akitangaza ilani atashindwaje kushinda baada ya kutimiza na kutekeleza ilani zake,mtuliiiiiiie ccm ushindi lazima.
@@SuolFat ACT ndio wanaogopa uchaguzi,ndio wenye mikutano mingi ya hadhara kuliko ccm,Kila wiki mikutano sita maana yake ni kueneza propaganda mfululizo lakini ccm wametulia wanasubiri muda ufike wamalize kazi,mwanamme mwinyi hana porojo na Kila siku anawambia watu wake wasikujibuni wala wasitukane huyo ndo kiongozi tunaemtaka, Nyinyi Kila siku ni matusi na kejeli kwa rais,lini viongozi wenu wamekatazana mabaya naomba ushahidi wote watukanaji na hasa dhaalim Jussa,kumbaro kutoka sijui India au Bangladesh uko.
@w4058 Swali zuri Sana,ccm ni sehemu ya zao la chama Cha kizalendo Cha wazanzibar Cha Afro Shirazi,ambapo walikiunganisha na Tanu Cha Tanganyika ccm ndio ikazaliwa,sasa jee ACT wazalendo kinatokana na sehemu gani ya chama huku Zanzibar, ACT ni chama Cha Tanganyika Tena sijui Kama sio kutoka kasulu uko kigoma mwishoni mwa nchi.
❤❤❤❤ kipenzi chetu wazanzibar othman masoud othman❤
😂😂😂😂 shukran Mh OMO
Mbn ndugu zamgu wapemba mnatumiliwa na hivi vijana siasa
Mwamboje Pwagaaa!
Wameweka siku mbili ili mwinyi wampe kura za WIZI.
Ccm wamejiona kuwa kwenye kura hawashindi kazi iliyobakia ni kusema kura siku mbili ili wapate kuiba kura. Ccm haijawqhi kushinda ZANZIBAR ndio maana wananitungia sheria kwa maslahi yao.
Mbutu mshenzi mmoja na CCM walokuwa kama yeye maana sio wote miuwaji midhalim miongo haina haya
😂😂😂😂 hakuna
Kura ya mapema ipo kwa mujibu wa sheria .mkitaka msitake
Tupo pamoja
Kura ya mapema ipo wala haindoki tulia
😎
Sasa nyie ccm mnasema mmeleta maendeleo mbona mnaogopa uchaguzi
utulie weyeee kura ya mapema haipo na mara hii mnalo
@@OmarKombo-h2j Tena watulie Sana tu maana kama mwinyi alishinda uchaguzi mwanzo wakati akitangaza ilani atashindwaje kushinda baada ya kutimiza na kutekeleza ilani zake,mtuliiiiiiie ccm ushindi lazima.
@@SuolFat
ACT ndio wanaogopa uchaguzi,ndio wenye mikutano mingi ya hadhara kuliko ccm,Kila wiki mikutano sita maana yake ni kueneza propaganda mfululizo lakini ccm wametulia wanasubiri muda ufike wamalize kazi,mwanamme mwinyi hana porojo na Kila siku anawambia watu wake wasikujibuni wala wasitukane huyo ndo kiongozi tunaemtaka,
Nyinyi Kila siku ni matusi na kejeli kwa rais,lini viongozi wenu wamekatazana mabaya naomba ushahidi wote watukanaji na hasa dhaalim Jussa,kumbaro kutoka sijui India au Bangladesh uko.
Kura ya mapema inasababisha wapinzani wawe na woga wa mapema,
Act wazalendo ni chama kutoka tanganyika.
Hebu twambie Chama kilokuwa Zanzibar peke yake acha choko choko jina zuri lakini hulitendei haki huwachi kusema uwongo
Waoga ni wao mizimwi ya chama cha Maharamia
@w4058
Swali zuri Sana,ccm ni sehemu ya zao la chama Cha kizalendo Cha wazanzibar Cha Afro Shirazi,ambapo walikiunganisha na Tanu Cha Tanganyika ccm ndio ikazaliwa,sasa jee ACT wazalendo kinatokana na sehemu gani ya chama huku Zanzibar,
ACT ni chama Cha Tanganyika Tena sijui Kama sio kutoka kasulu uko kigoma mwishoni mwa nchi.
Mzee karume kafa wala hakijui CCM