- 17
- 35 648
Akhfah Act wazalendo wete-pemba
เข้าร่วมเมื่อ 20 ธ.ค. 2020
Love all
Katibu wa Mkoa ngome ya vijana anavyomgaragaza mbeto
Katibu wa Mkoa ngome ya vijana anavyomgaragaza mbeto
มุมมอง: 1 591
วีดีโอ
Ujumbe wa Muwakilishi wa kojani kwa CCM.
มุมมอง 1.7Kวันที่ผ่านมา
Ujumbe wa Muwakilishi wa kojani kwa CCM.
Haya kumekucha ndani ya kojani tena hayoo
มุมมอง 1.7Kวันที่ผ่านมา
Haya kumekucha ndani ya kojani tena hayoo
Utenzi wakipekee wenye sauti ya yakipekee ndani ya kojani
มุมมอง 1Kวันที่ผ่านมา
Utenzi wakipekee wenye sauti ya yakipekee ndani ya kojani
VIJANA WA ACT-WAZALENDO WANAIFUTA CCM NDANI YA KOJANI PEMBA
มุมมอง 3.1K14 วันที่ผ่านมา
VIJANA WA ACT-WAZALENDO WANAIFUTA CCM NDANI YA KOJANI PEMBA
ACT WAZALENDO Kutoa hoja kwa ccm kuhusu uchaguzi wa siku mbili ndani ya pandani wete-pemba
มุมมอง 4.5K28 วันที่ผ่านมา
ACT WAZALENDO Kutoa hoja kwa ccm kuhusu uchaguzi wa siku mbili ndani ya pandani wete-pemba
Act-wazalendo, Mama Khadija Anuar ni kiboko kwa ccm.
มุมมอง 12Kหลายเดือนก่อน
Act-wazalendo, Mama Khadija Anuar ni kiboko kwa ccm.
M/kiti wa Mkoa wa wete wa mchama cha Act-wazalendo azidi kuwafudikiza ccm mtambwe.
มุมมอง 1.9Kหลายเดือนก่อน
M/kiti wa Mkoa wa wete wa mchama cha Act-wazalendo azidi kuwafudikiza ccm mtambwe.
kumekucha hao ndio wazee vijana wa Act wazalendo
มุมมอง 2.9Kหลายเดือนก่อน
kumekucha hao ndio wazee vijana wa Act wazalendo
Katibu ngome ya wazee mkoa wa wete azidi kuididimiza Ccm ndani jimbo la Kojani.
มุมมอง 771หลายเดือนก่อน
Katibu ngome ya wazee mkoa wa wete azidi kuididimiza Ccm ndani jimbo la Kojani.
18 February 2024
มุมมอง 2610 หลายเดือนก่อน
M/Kiti ngome ya wanawake mkoa wa wete akiongoza dua yakumuombea almarhum MAALIM SEIF SHARIF HAMAD nyumbani kwake wete pemba.
mkutano mkuu maalum wa uchaguzi mkoa wa wete leo tarehe 13 january 2024 huko dolphin hall wete.
มุมมอง 3211 หลายเดือนก่อน
mkutano mkuu maalum wa uchaguzi mkoa wa wete leo tarehe 13 january 2024 huko dolphin hall wete.
ni siasa yenye ukweli na yenye malengo ya Uhuru wa kizanzibari
มุมมอง 6352 ปีที่แล้ว
ni siasa yenye ukweli na yenye malengo ya Uhuru wa kizanzibari
UTAMADUNI wa Zanzibar uliondoshwa na seif sharif ndo mana wakapatikana w,ke wasiojistiri kisheria inavyotaka dini yaani full hijjab na nikqb kma wewe,, m,ke kma ww ndo sabab hivi sasa wanawake wa kipemba kudai talaka sabab waume zao wanatka wajistiri full hijjab na nikqb kisheria ,
💜💜💜💜💜💜💜💜💜💯hakika katibu
Acha uwongo wewe.Doct Mwinyi mitano tena
Pumbavu wewe hasidi mmoja mkosefu wa malezi
Tena wameishiwa vibaya loo hawana haya
Ishaalla mungu atuwekee OMO wetu
Mashaallah
Mbn ndugu zamgu wapemba mnatumiliwa na hivi vijana siasa
Hawakutoa 2015 watatoa 2025 washagutuka yagujuuuu
haoni washezi tu. pamoja na viongozi wao. walijuwalo ni uhuni umalaya tu.
hawajaanza leyo piya hawajawahi kushinda wala hawatashinda ishaalla
mnanikosha. moyo wangu mungu atawaonesha. ishaalla
❤💯
Pumbavu kweli wew toa sera kama sera sio uwaponde watawala
Wewe ndye mpumbavu
Mpumbavu mkuu tena
tusisahau kuwa maneno yapo kwenye kutangazwa hapo je mnaulizana kwani hawahjawahii kutushinda ila. tunaliwa. chenga. je.
Tusimamiani,haki,Allah,atatupigania
Subirini kipigo tutakacho washushia 2025. Kipigo cha Mbwa koko. Maana hamuna Kiti mutakachopata
Huna akili wewe jinga
hongeya mtoto wetu. mzuri.
hatakiwa. ni kweli bibi. unayosema. mungu. awalinde
ndio hatumtaki. aondoke. hatumtaki mwinyi. hatakumuona tumechoka maumivu. ya hawa mbwa waitwao ccm
😂😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤❤act mupo powaaa
Mashaallah.. utenzi mzuri
Asante kojani 🔥🔥🔥
Ah Hawa nao toa sera vutu ww
Tena aanze kukunja virago
Mtakauka sauti ..masikini roho zetu.DOCT MWINYI MITANO TENA
Mamlaka kamili ndiyo mambo.ya mjini🎉
Kojani oyeeeee
Oyeeeee
Allahumma Aamiin
Na akina kajole na njaa zao na watokomee
Allah awazidishie kheri nguvu na moyo huo huo YAARABB
Hongereni viongozi wetu ❤
Bendera ya za kijani za peponi ivo
M/mungu akulinde na akujaalie umri mrefu ufanikishe lengo la baba yetu maalin.
Waislam wote hao dah mtihani motoni tunaingia hivihivi wallah
Wote hawapigi kura hao
Hhhhhhhhh tafteni vitambulisho muwape ubunge na uwakilishi njaa hao
❤❤❤❤❤❤ act wazalendo
MAENDELEO KWA KASI TUNAYAONA,HUSSEIN ALI HASSAN MWINYI MITANO TENA KWA KISHINDO KIKUBWA.CCM HOYEEEE MAPINDUZI DAIMAAAA*❤
Hamna jipya nyie wapemba zaidi ya GUBU na ubinafsi.MWINYI MITANO TENA
Safi Sanaa ❤
Omo angalkua Akiongea anajkaza km hv
Bora Zanzibar yangu iendelee kuwa masikini kuliko tajiri isiyokua na tawheed na aqeeda
Mungu awasaidie wapemba na wazanzibar kuijua dini kwa misingi yake , na kujua kua maalim seif aliwapoteza sana wa Zanzibar, sisi wazanzibar ni waislam na asili yetu waislam hakuna democracy wala hakna kiongozi au msemaji wa hii dini yaani asili ya wazanzibar m.mke, na asili ya waislam hakuna kuwakashifu viongozi,
, wazanzibar tutapata shida hadi turudi ktk UISLAM, tuacheni mambo ya siasa zisizo za kisheria ktk dini yetu na tusomeni tawheed na aqeeda
UTAMADUNI wa Zanzibar uliondoshwa na seif sharif ndo mana wakapatikana w,ke wasiojistiri kisheria inavyotaka dini yaani full hijjab na nikqb kma wewe,, m,ke kma ww ndo sabab hivi sasa wanawake wa kipemba kudai talaka sabab waume zao wanatka wajistiri full hijjab na nikqb kisheria ,
Okoa.nchi.yako.tupa.hizo.pesa.adui.ya.maendeleo.ccm.saidien.watu.si.kutoa.pesarushwa.adui.haki
Huna hadhi ya kumsema dr hussein jua nafac yko unachoongea pumba tupu
Mungu akuongoze mama
UTAMADUNI wa Zanzibar uliondoshwa na seif sharif ndo mana wakapatikana w,ke wasiojistiri kisheria inavyotaka dini yaani full hijjab na nikqb kma wewe,, m,ke kma ww ndo sabab hivi sasa wanawake wa kipemba kudai talaka sabab waume zao wanatka wajistiri full hijjab na nikqb kisheria ,
Muungu akulinde pesa isije ikakuhadaa
Mungu awaongoze nyot tuwe pamoja hadi peponi inshallah na mamlaka kamili kuyashuhudia
Mash Allah, Khadija hongera..woga huna❤
dada ameshjndwa malim jembe ataweza huyo manongwa?
Nyinyi nd Wazanzibar tuaowajua
Kura ya mapema ipo kwa mujibu wa sheria .mkitaka msitake