Waandishi wetu sijui mnasomea taaluma!!!! Mbona hamuna heshima ya kazi yenu!!? Hili nalo ni la kuliweka hadharani!!? Bibi amepoteza memories tyr au hajui akifanyacho but still mnawela public majojiano yenu😢😢😢😢😢😢 dah!!
Kweli memory hana tena lakini cha kustaajabisha bado hao walio mrikodi wame mueka hadharani iwe vipi maana au muhimu video yao tu ionekane wapate pesa? Ajabu yakhe watu wengine dunia hii
Kuwa na Heshima usimuite muongo mtu ambaye anakujukuu km kweli unaakili ww mpumbavu, Huyu Bibi memory ishaanza kukimbia kwa hy ni kumchukulia tuu siyo useme muongo na inaonyesha hukupata malezi. Mazuri
Mashaalah twamkumbuka marehemu seif mungu amlaze mahali pema peponi
Waandishi wetu sijui mnasomea taaluma!!!! Mbona hamuna heshima ya kazi yenu!!? Hili nalo ni la kuliweka hadharani!!? Bibi amepoteza memories tyr au hajui akifanyacho but still mnawela public majojiano yenu😢😢😢😢😢😢 dah!!
Mashaa Allah namkumbuka huyu bibi
Jamani sikilizeni tu,yale aliokosea muyachukulie kuwa ni utuuzima wake ndio sababu,nasi twaelekea huko huko
Kweli memory hana tena lakini cha kustaajabisha bado hao walio mrikodi wame mueka hadharani iwe vipi maana au muhimu video yao tu ionekane wapate pesa?
Ajabu yakhe watu wengine dunia hii
Bibi memory yake haiko tena vzr munamuhangausha tu
ww je memory yako iko vizur
Waliom record huyo bibi hamukusomea uandishi wa habari hayo ndio maadili ya uandishi,bibi kumbukumbu sio nzuri mulikuwa musimpost.
uyo bibi muachen apumzike..
Yanyuma Yanaletwa mbele yambele yanaekwa kati yakati yanawekwa juu 😂😂
Chama hiki sio Cha seif chama Cha alihaji pandu
Chama hakikuwa cha Maalim wala Ali Haji Pandu
Bibi ana mengi mno ...Utuuzima tu lakini raha sana kumsikiliza anayo yakusema anajua vitu ni umri tu...
Huyubibi nimuongo hana kumbukumbu sefu hakugombea namwinyi enziza mwinyi sefu alikuabwa mdogo
Kuwa na Heshima usimuite muongo mtu ambaye anakujukuu km kweli unaakili ww mpumbavu, Huyu Bibi memory ishaanza kukimbia kwa hy ni kumchukulia tuu siyo useme muongo na inaonyesha hukupata malezi. Mazuri
Kumdhalilisha tu
Alichokizungumza ni mchakato ulivyokwenda wakati Maalim akiwa CCM.kwenye mchakato wa kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar
Bibi anazungumza vitu muhimu...Hata kama anachanganya kwasbabu ya utuuzima lakini anayoyazungumza yana maana.
Bibi masikini hana tena ufahamu anakumbuka mbali masikini yalimini anamkumbuka leo salimini kiposhu hata huyo bibi anafya nzuri kuliko huyo anomtaja
Kumbukumbu zimeanza kupotea
Mwcheni apuzike huyo bibi.
Sasa CUF na Shamte wapi na wapi😂😂😂
Memori ipo kama haipo endekuwa hayajui ya kale
Lumumba
Kumbe
Mhh