DKT. MWINYI AFANYA UAMUZI MZITO KWA CHAMA CHA ACT WAZALENDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @ابتع-م5ث
    @ابتع-م5ث 2 ปีที่แล้ว +6

    Zinjibar tv ni mabunju ni kama ubao wa kisonge

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 2 ปีที่แล้ว +3

    Sisi wana ACT wazalendo tunakuona jahazi unaloliendesha unalipeleka mramba na ndio sababu ya kuhofia maisha yetu, kutokana na kubeba hadi panya ndani ya jahari la matumaini , wakitoboa mbao jeee?...

  • @asiashaabaniluliho6023
    @asiashaabaniluliho6023 ปีที่แล้ว

    Safi Sana dokta Mwinyi

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 2 ปีที่แล้ว +5

    Hujibu au hayajibiki

  • @khamisseif9775
    @khamisseif9775 2 ปีที่แล้ว +6

    Hussen usitudanganye huwezi kutufanyia kitu Wazanzibar wewe unatekeleza sera za ccm kuimeza Zanzibar

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว

      Unataka afanyeje na kukujengeeni anakujengeeni.

    • @w4058
      @w4058 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa asitudanganye

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 ปีที่แล้ว +4

    Asalaam Alaikum Warahmatullah Wabarakatu ¿Wewe unashindwa Zanzibar...kwa sababu sio kwenu wewe ni Mtanganyika safi kutoka Mkuranga sawa¿thanks

  • @francismhulula4746
    @francismhulula4746 2 ปีที่แล้ว

    Mimi binafsi nakushukuru kwa kupata pesa yangu yote kwa masterlave asante sana MUNGU akubariki

  • @eddyeddy1337
    @eddyeddy1337 2 ปีที่แล้ว +4

    Mheshimiwa Rais uko vizuri tupo pamoja na maendeleo ya zanzibar

  • @hassanmitawi9256
    @hassanmitawi9256 8 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @youssouphsalum786
    @youssouphsalum786 2 ปีที่แล้ว +1

    Asil y Zanzibar n unafki sas ndo twapelekw ivii

  • @khalifarashid1232
    @khalifarashid1232 2 ปีที่แล้ว +2

    Uamuzi mzito upo wapi apo.acheni kuandika vichwa vya habari tofauti na mantiki

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 2 ปีที่แล้ว

    Hayo mambo ni CCM ndio wanayoshabikia

  • @venancerichard920
    @venancerichard920 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice mjomba, ila nchi moja kodi ya ninikutoka upande mmoja kwenda mwingine

    • @SaidKhamis-q4b
      @SaidKhamis-q4b 3 หลายเดือนก่อน

      una uhakika kodi inatakoka bara kwenda Zanzibar

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie ktk MEMA unayodhamiria.

  • @handhalhandhal4608
    @handhalhandhal4608 2 ปีที่แล้ว +3

    Huna uhalali wa kuwa Raisi wa Zanzibar kwani hukuchaguliwa Bali wewe ni mlowezi kutoka mzizima.

  • @rajabjuma277
    @rajabjuma277 ปีที่แล้ว

    Zanzibar huru ndio tutakuamini hamna mkamilifu kweli lakin ccm utu hawana kila chaguzi maafa

  • @khamisalikidarasa6331
    @khamisalikidarasa6331 2 ปีที่แล้ว +3

    Huna lolote ulionao ni unafiki tu nauwongo mwingi

    • @jumasalim5425
      @jumasalim5425 2 ปีที่แล้ว

      ungekuwa unataka kushirikiana ungewasikiliza na wengine ukiambiwa unakasirika tu na bora usijibu maana hakuna cha kujibu ukweli ndio huo wewe unalipa master life lakini sisi tunaoidai serikali yako tumefanya kazi hutulipi ivo tukueleweje?

  • @zulehaabubakar3574
    @zulehaabubakar3574 2 ปีที่แล้ว

    Mnayapenda km hamuyapendi tendeni uchaguzi wa haki

  • @zulehaabubakar3574
    @zulehaabubakar3574 2 ปีที่แล้ว

    Mnauwa kisha mlipe watu duh

  • @zuwenasaid9707
    @zuwenasaid9707 2 ปีที่แล้ว +1

    Umoja wa nyani na simba sijui utaishia vipi hivi simba atamuacha nyani aruke ruke tu si rahisi.

  • @nabillkhamis8188
    @nabillkhamis8188 2 ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa ss tunataka umuondowe kamishina muondowe awazi plz

  • @abduliauni8048
    @abduliauni8048 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwinyi unalia upande mmoja

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 8 หลายเดือนก่อน

    Hautasimama kujibu wakati ndio unajibu hivyo mwamba vp kwani..
    ila tambua TUMEKUCHOKA hatukutaki unajifanya mpole ili tukuelewe hapa haueleweki hatukutambui kwani Ali karume haumuelewi akiongea haukubaliki ww ni wa ccm sio wa wazanzibar casso tukutane 2025

  • @fugameza6011
    @fugameza6011 2 ปีที่แล้ว +1

    Wee unae kumbuka ilikuwa kuwaje hebu tukumbushe ilikuwa nani kafanya nini na nchi yenu

  • @kungurukingunge2761
    @kungurukingunge2761 2 ปีที่แล้ว +2

    Muheshimiwa unakosea kuongea nikawada ebu tizama nchi zenye maendeleo viongozi wanaongelewa sana huwezi mzuia mtu kaongea Africa ndio maana hamuendelei serikali yenu inaupendeleo wacha watu waseme wewe fanyakazi yako usijione wewe kama mfalme sio wa kwanza kusemwa na wala hautakua wa mwisho jifunzeni katika mabunge ya wafadhili wenu wanaowasaidia ndio mtaelewa kua nyie hamsemwi hasaa acha kulalamika kusiko tija

    • @manilabonalumanula1014
      @manilabonalumanula1014 2 ปีที่แล้ว

      Waafrika hamuuendelei, Hivi wewe ni wa kutoka bara gani?

    • @kungurukingunge2761
      @kungurukingunge2761 2 ปีที่แล้ว

      @@manilabonalumanula1014 usijali kutoka bara gani kinachotakiwa ni kuendelea haijalishi wapi unatoka kuna mtu hataki kuona maendeleo bila kukosoana hatuwezi piga hatua bro

  • @abdillahhamad890
    @abdillahhamad890 2 ปีที่แล้ว

    Uko sahihi alláh akupe subra zote ni changa moto

  • @nassornassor8789
    @nassornassor8789 2 ปีที่แล้ว

    Sorry mnakumbuka mlikosea kwa mambo mliyo yafanya nyinyi ccm mlishinda kututunza mkatengeza mpora mpora mkatupiga na zulma za roho za wazanzibari waso hatia

  • @Halima-zx4pg
    @Halima-zx4pg 2 ปีที่แล้ว

    Fanyakazi waache waseme wamezoee kusema yasikutishe hao

  • @abduliauni8048
    @abduliauni8048 2 ปีที่แล้ว +1

    Muwongo

  • @jumammanga0297
    @jumammanga0297 11 หลายเดือนก่อน

    timiza ahadi yako Acha porojo

  • @rashidsalum4885
    @rashidsalum4885 2 ปีที่แล้ว +1

    Sawa sawa kua namoyo huw mungu atakupa wepesi kwa subira yako wewe unakwenda juu ya msitari unnayo yafanya. Yanaonekana zamira yako hata. Vitendo vyako

  • @faridaali6850
    @faridaali6850 2 ปีที่แล้ว

    Tunataka mamlaka kamili ya nchi yetu hatutaki porojo tumechoka kuburuzwa

  • @VORTEXAF
    @VORTEXAF 2 ปีที่แล้ว +3

    Hili neno changamoto linatoka wapi au ni changa la moto hilo

    • @VORTEXAF
      @VORTEXAF 2 ปีที่แล้ว +2

      Anaeuza muhogo na yy anataka pesa anunulie unga ndioakapandisha bei

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 ปีที่แล้ว

    Kweli wewe ni MUUNGWANA...

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Bass haya mimi sina habari ya chama nipo oman hata kura sikutiya

    • @buuwahiid2898
      @buuwahiid2898 2 ปีที่แล้ว +1

      Lkn ndugu zako wapo

    • @kadijahajali3918
      @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

      @@buuwahiid2898 wapo tele pemba

    • @buuwahiid2898
      @buuwahiid2898 2 ปีที่แล้ว

      @@kadijahajali3918 ok ndio tupo ndugu zako kw tutakie kheri tu na duwa

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 ปีที่แล้ว

      Logically usipopiga kura maana yake umemchagua usiyempenda.

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunataka mamlaka kamili zanzibar n wewe n chama chako huwezi kuleta mamlaka kamili Zanzibar

    • @makongorowassira6593
      @makongorowassira6593 2 ปีที่แล้ว

      Mamlaka gani haswa ndugu yangu? Tujaribu kuwa waungwana kama watanzania, haya mambo ya uzanzibari au u utanganyika hautufikishi popote. Tujengeni uchumi tuache longolongo.

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

      @@makongorowassira6593 tupeni sisi serekali y Mungano na nyinyi bakini serekali y Tanganyika viongozi wenu hawataki kukubali wewe n wezako hamjuwi kitu na hamnati kujua ila kama unataka kujua naweza kufanya ukajua bro

    • @makongorowassira6593
      @makongorowassira6593 2 ปีที่แล้ว

      @@gangmore9091 elezea nielewe tatizo liko wapi haswa, na kujulisha tu hakuna muungano wa nchi ambao ni 100% unakubalika na kila mtu. Muungano wetu nadhani unahitaji maongezi ya busara zaidi ya uzanzibari na utanganyika. Hata Marekani kuna states hazikubaliani na kila kitu kwenye muungano wao ila wanaangalia maslahi ya pamoja.
      Hebu nikusikilize haswa nini tatizo?

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

      @@makongorowassira6593 Maslahi y Zanzibar ktk Mungano yapi nitajie 5!

    • @makongorowassira6593
      @makongorowassira6593 2 ปีที่แล้ว

      @@gangmore9091 nielezee kwanza ili nikuelewe maake tutapozeana muda kwa maswali.😀

  • @charlesphilipo6443
    @charlesphilipo6443 2 ปีที่แล้ว

    Acheni ubaguzi ninyi ,,,mnataka nini ,,,au mtafurahi kuwa watumwa wa waarabu,,,,acheni hayo

    • @jumasalim5425
      @jumasalim5425 2 ปีที่แล้ว +1

      bora hao waarabu kuliko watwana nyie mwatutia dhiki na umasiki kwa kua nyie mwashiba ikulu wenzenu wateseka kwa njaa

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

      Twambie warabu wameletwa n nni???

    • @kassimmussa8015
      @kassimmussa8015 2 ปีที่แล้ว

      Kwaio maoni yako naushauri wako nibora tuendelee kubaki katika ukoloni wenu upo huru hii nchi ipo huru unayo haki yakutoa maoni kuhoji usivunje sheria tu zajamuhuri lakini bora tuwe watumwa wakiarabu kuliko kua watumwa wenu,