ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Tuliokuja kumuangalia ABIUD baada ya Roma kumshirikisha kwenye ngoma ya NIPENI MAUA YANGU tujuane kwa like tu jamani oyoooo!!
Tupo wengi sana
Nipo namii
duh! noma sana...mazee huyo ni wa pekee
Mungu Akikupa Hakuandikii Barua
Hii interview inagusa sana, mie msanii tokea Kenya 🇰🇪. Hongera kwa kazi nzuri 💪
Hongera sana kwa kipaji
Abiud hahika mwenyezi mungu amemjalia kipaji kikubwa ana kitu ndani yake kikubwa sana ndani yake.anahitaji saport kwakweli.
Jamaa uyo yuko vizuri Mungu ambarik
Mungu akupe maisha malefu nataka namba yako nikupe chochote brother
Dah abiudi mungu akupe maisha malefu
Ivi anae jua interview hii ilifanyika kini aniambie
Jamaaa anajua sanaaa🎉🎉🎉
Jamaa anajua aseee
sasa baada ya mandoga sasa ni abiudi kiukweli mimi mwenyewe nampenda abiudi amejua kunifurahisha .mungu wangu wa mbinguni ambaliki sana amlinde usiku na mchana
Mungu akubariki sana Abiud ukawe mtu mkubwa sana na umtumikie yeye.
The most valued resource in this world is talent and or skill covered with consistency. IPO SIKU
Abiud anaonyesha ni mbovu sana wa kucheka 🤣🤣🤣🤣
Maisha banaaa yanatwasira ngm xnaa mungu siku zote n mwema akitaka kukupa anakupa to Kwa mda wake na akuna kipingamizi
Nilipata video clip ya Abiud akiimba ...ni Neema, neema ya Yesu, kuishi Leo ni Neema ya Yesu, nimemtafuta sana. Naombeni namba yake nimusupport.
Roma kwa alichokifanya kwa abiudi wanakigoma wote tunamuombea na tunamuombea aludi home.
ukweli nikwamba njia za Mungu sio za mwanadam na mawazo ya MUNGU sio yet .
Ina maana huyu ndo mshikaji aliye imba kwenye nyimbo ya roma
Ndio
Kwenye maisha yako Kuna mungu ndio msaaaada wako
Big UP ABIUDI
Home boy huyo🙏🙏🙏🙏
Ana vimanya bhana mpeni mahua yake right
Dah huyu jamaa yuko vzur ila nimeshanganzwa na mdomo wake kuwa gitaa... Khaa😂 yani mabit yamebadilika anapiga had amapiano mweeeeeee😂😂
Ni rizk yake kwakweli
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉dah huyu mwamba
Huyu jamaa ni balaa sana n mtu na nusu aisee akiimba gosple wachache watakaompata
Roma amefanya tumfuatilie abiud