Mi nafikiri kinachompa utam Roma ni ngoma zake za kiharakati anzotoa ase kiukweli zina vibe sana but uchungu wake ni pale alipokidnapped by watu wasojulikana.ama vipi like na ucomment hapo chini kinachompa utam roma na uchungu wake.
ROSTAM ndio, kwanini maswali yenu hayaendi kwa Stamina... kuna kitu mnakosa mizani hata kama ninyi presenters mna kitu mnahitaji tuwe versatile sometime! Otherwise tuko poa... Album ni alama zinazowaacha wasanii katika nembo ila mafanikio hakuna kwa sasa! Kuna kitu flani tubadilike
Wapige kelele kwenye mic lkn watangazaji wangu wa burudani namba moja lilyomy, jabil salehe na mzazi dulah planet. Salute brothers
Mi nafikiri kinachompa utam Roma ni ngoma zake za kiharakati anzotoa ase kiukweli zina vibe sana but uchungu wake ni pale alipokidnapped by watu wasojulikana.ama vipi like na ucomment hapo chini kinachompa utam roma na uchungu wake.
Kama unawakubali #RosTAm gonga like twende sawa 👍👍✌✌
Salut kwenu rostam
Wako poaaaaaaa kinomaaaa
good
"Unanidiss hafu tukionana unachekacheka.. Hasa unacheka nn.. " nimependa hiyo Stamina 🐐
Punchline
Nimeikubari sana ngoma yenu parapanda mmeua sana humo 👊👊👊👊 kwenu
kizazi san 💯💯💯💯
Charles Edward 👊👊👊
Tungu Izengo ✊✊
kama wewe shabiki wa rostam weka like tuwe pamoja
Charles Edward pamoja
Charles Edward hongera
v
?b
Nawakubali chunya
nawakubali sana Stamina with Roma sana🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Starmina Kaka we ni mkali watu napenda sana kazi zako
this is one of my best interview bro keep it mwenyez mungu atakusaidia
Nawapenda hawa wakaka kweli toka moyon wanavyoshirikiana tu wanapendana kweli Allah awaepushe mahasid wasijeingiza fitna juu yenu amina yarab🤲
goma imekaa fresh nimeikubali san 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Rostam wanyama Sana! Big up Tambwe Lil Ommy hataree Sana kizazi Sana!!
2021 still Kenya tunawakubali #RoStam 🔥🔥🔥
Oya ROSTAM mi mbona napenda michano yenu...especially ubunifu kwa ujumla...Yenyewe nimependa chorus ya Atan kwenye Parapanda👊👊👊
matano safari
Dah mafundi wa hip hop top juu sana # By THIAGO KARUME chaboli mungu awaongoza
Noma sana rostam,
Wakali wetu
Pamoja sana nawakubali m2 mbili Kali
Jamani was kwanza ni edrick
#2022_05_22 bado mnanifraisha saaaana #Stamina🌍💪🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
28 April 2023
Nawakubali wazeee #parapanda
nawakubali sana wana bgp
lilommy nice bro
Iyo parapanda ni noma sana budaa
It
Oo
Ebwana safi sanaaa nyie muko really sanaaa ROSTAM.....WANII MUNATAKIWA MUWE IVO....
Nawakubali sana Rostam
Hasaaa mate wqngu Boniventure Kabogo
nimekupenda sana nyie mjma mme jibu poa wastarabu ase mmeua from 🇧🇮🤗
Nawakubali sana roma gizeri pia unajua
Haha I Love You Pals..
..HiPhOp Vybes heads
Wakizazi Sana🔥♥️🇰🇪♥️🔥🙌🏽
Sijaona wasanii hapa Tanzania zaid yenu
Kenya tunamiss hii
Nakubr sana
Parapanda ndio mziki mzuri kinoma cjawahi kuwafikiria kwa kitu kama hicho
Parapanda ni bonge la ngoma
LILommy yuh the illest presentor in Bongo for now brah. .Just keep uplifted fam
Ao jamaa wanaju sana
Lili omy nakukubali sana
sema nn Hawa jamaa huwa wanajielewa had wanaboa vichwa vilivyobaki Tz twende nao sawa
Namukubal sitamin kwakuchan
Wa kwanza kucomment,nipeni basi like zenu
Abasi Lihundu
ok
Rostam parapanda iko vizuri sana
Nawaelewa sana rostam tambwe shoo ilikua poa
Ninoma sana
OK pouwa nawakubali
Roma so sana huyu pamoja na Stamina
Makini mzazi
Nawakubali sana2 rostam
Good
Nawakubari sana kwa hip hop kbx munauwa kama ile palapanda daaah
Kali mbaya na wa baya wanawabaya wao
stamina.na.roma.ni.shidaah.
mko vizuri sana wana
*Rostam* nawakubali sana
Roma bhana ety stamina anakaa Sana morogoro kwahy Ana mawazo ya mor town
nice nawakubaliii
Staminaaa nakuelewaaa
Pamoja sana
nawakubali sana rostam
Nakubali Daimaaaaaaa!
Aiseee parapara kiboko . Subscribe kwenye chaneli yetu bonyeza picha itakuleta kwneye chaneli kucheki filamu ubuyu wote wa insta karibuni
Heshima stamina
Lily ommy iyo kofia ya Tecno ni promo sio!
gud xana ma'bro
#OmMYbOY🔥🔥🔥💰💰💰👍🏿
#rOStaM🔥🔥🔥🔥🔥
Ninyi ni wa kweli na wa kali
Taaaambweeeee
nice wanangu #Rostam
Parapanda haijawaacha watu salama kbx
wametisha sana
Sema washikaji wanawezaaaaaa
From 254... 🔥
nawakubali sana
Kali Sana #ROSTAM..
#LilOmmy big up Sana mwana unaua Sana...
👍👍
#themvp Kizazi sana unajua
Nomaaaa sana
Pamoja sana mwana
Nakubal
Hahahaaaa umetisha
ROSTAM ndio, kwanini maswali yenu hayaendi kwa Stamina... kuna kitu mnakosa mizani hata kama ninyi presenters mna kitu mnahitaji tuwe versatile sometime! Otherwise tuko poa... Album ni alama zinazowaacha wasanii katika nembo ila mafanikio hakuna kwa sasa! Kuna kitu flani tubadilike
iko pouwh Xan
Nawepanda jamani pale nawaona mkiwa ote na mkiwa na fraha nawakubari Sana Happ tanzani
2019 like zangu
Kali xn
nawakubal sana Rostam
ROMA# Kinakachokupa utamu ndiyo Kitakachokupa uchungu #
stamina 🔥
Nakubali hii miamba inajua inachojua
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🔥🔥🔥🔥
Polite Boy pamoja
Tunaishi ✊🏽✊🏽✊🏽✊🏽✊🏽
Kabisa
Like nyingi kwao@rostam
Mm nimemuelewa sasa Roma
Ya kizazi sana nakubali sana
mmetisha na uku bujumbura nawaelewa jamani
Roma stamina ney wamitego fagio la chuma
Yeyoooh Mke aende chooni kila saa anaharisha
Roma miwni wapi mzazi unaniangusha
stamina 😘
Mnyamwezi unajua Sana kutangaza
Wozaaa xna stamina
Kumbe Roma ulikuja mlimba mweeee 🙆🙆🙆
Rostam mpo good xna wazee
Roma roma
mkn sana wajeda wang
🔥🔥
Hawa jamaa wako vizr ubunifu nimeupenda
TOKA TEAM MEDIA MAKAMBAKO TOWN TAMBWEEEEEEEEEEE
Baba irham